Ibraah ft. Harmonize - One Night Stand (Official Music Video)Sms SKIZA 5430239 to 811

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • Available In All Digital Platforms
    Subscribe for more official content from Harmonize: / harmonize255
    Connect with Ibraah on
    / ibraah_tz
    / ibraah_tz
    / ibraah255
    Follow Harmonize
    Instagram: / harmonize_tz
    Twitter: / harmonize_tz
    Facebook: / harmonize255
    TikTok: vm.tiktok.com/...
    Listen to Harmonize
    UA-cam: / harmonize255
    Audiomack: audiomack.com/...
    Apple Music : / harmonize
    Spotify : open.spotify.c...
    The official UA-cam channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
    For Bookings & More
    Email: Harmonizemanagement@gmail.com
    Call: +255 752 222 442, +255 658 135 762
    #Harmonize #OneNightStand #Ibraah

КОМЕНТАРІ • 11 тис.

  • @JacksonLusinde
    @JacksonLusinde 11 місяців тому +97

    Naangalia mpaka 2024 Ngoma Kali sana

  • @mickylifetimes
    @mickylifetimes 4 роки тому +63

    Kichupa kikalii..vocal kaliii
    tatizo la hii nyimbo ni tamu sana adi inaonekana fupi....like kwa #Kondegang

  • @shadhilibakari8405
    @shadhilibakari8405 4 роки тому +40

    Konde music world wide from mtwara chinga kama chinga drop like kam unaona harmonize anajua kuimbaa

    • @boazmasinde2764
      @boazmasinde2764 4 роки тому

      😂😂😂😂

    • @AsmaComedy
      @AsmaComedy 4 роки тому

      Tafadhali naomba nisaidie kusubscribe channel yangu ya comedy

    • @AsmaComedy
      @AsmaComedy 4 роки тому

      ua-cam.com/video/3z_HetvHWjo/v-deo.html

  • @doctar001
    @doctar001 2 роки тому +35

    Kazi ni kukunywa tu mapombe na ajui anyelipa nani😂😂😂 big love kakaa

  • @edwinkimani1320
    @edwinkimani1320 4 роки тому +75

    Harmonize baba lao.
    No money no love.. if yes pita na like

  • @thomasmusisi9529
    @thomasmusisi9529 4 роки тому +468

    Naona apa Watanzania wanapata umaarufu mkubwa kupitia huyu bingwa. Keep up the good work.👌👌😘

  • @susanahonacha2897
    @susanahonacha2897 4 роки тому +37

    Yaani hamornize mi napenda vile we huimba Sana.
    Unatunga wimbo kimawazo sana

  • @scriptmedia9960
    @scriptmedia9960 3 роки тому +83

    Kumbe huyoo Ibraa,kusema ukweli Attitude ikanipeleka Kwa Angella,kisha nikafika Huku💋..kondeboy for everybody..
    From today am officially signing myself to kondeboy music🤣🤣🤣sending you lots of hugs from kenya.good music

  • @antaraly9163
    @antaraly9163 4 роки тому +27

    Tumekubali harmonize huku kenya kuliko diamond, let that sink!!!

  • @bojobojoni6247
    @bojobojoni6247 4 роки тому +86

    Jamaniii kazi imeingia mujiniiiiiiiii
    JESHIIIIIIII linapita

  • @amenaa361
    @amenaa361 4 роки тому +193

    Kumbe napitwa huku jamani! Ebu nipeni like ya hili goma yani ni fire! Konde gang forever aisee

  • @yusufsaadat6420
    @yusufsaadat6420 3 роки тому +4

    Sio unakunywa tu mapombe ,unajua kalipa nani ,mo 🔥

  • @mrishorashid4161
    @mrishorashid4161 4 роки тому +34

    Likes za kutosha kwa director unyama alioufanya humu sio mdogo big up hanscana

  • @josephmusyoka1653
    @josephmusyoka1653 4 роки тому +87

    Kenya best song
    Ibraah mkali like kama umekubali ibraah 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @giftbensoccer5920
    @giftbensoccer5920 4 роки тому +80

    Eti atadanganya ako jogging kumbe yupo lodging,,,,,,,,harmonize na mistari imeenda shuleni,,,Kenya tuko na wewe

  • @sheilaschelken9267
    @sheilaschelken9267 2 місяці тому +1

    Wallai 😢siwezangi kuzunguka 😂wee nipe tuu🎉 kisigino begani say 254 ❤

  • @avinkaijunga3954
    @avinkaijunga3954 4 роки тому +122

    Ibrah ni mixer ya Marioo, Mboso na Hanstone....kuna wakati unaweza kumfananisha na hao watatu wote kwa wakati mmoja....Japo mimi naamini ni multtalented kwenye vocals (yaani Katika kupandisha na kushusha Sauti)....Ndo maana watu wanajaribu kumfananisha na hao wasanii ila kiukweli Ibrah yupo katika LEVEL ya kipeke ake kabisa sema mixer (waingereza wanaita hybrid) ya wale watatu...Yaani anaweza kufanya vitu vya watu watatu katika wakati mmoja....Ni kipaji cha kipekee kwa nchi ya Tanzania...
    Ushauri kwa konde worldwide misic... Kijana wamuunge mkono na kuinvest zaidi kwake maana naona kuna maajabu atakuja kuyafanya mbeleni
    binafsi namchukulia kama TEKNO wa Nigeria na naamini wakipata nyimbo ya pamoja na jamaa(TEKNO) basi itakuwa nyimbo nzuri itayosumbua Afrika, kwa aina ya uimbaji wao
    Niko nasubiria hayo maajabu hapa ya Ibrah na TEKNO hili nithibitishe ninachokiamini!!

  • @totokenya2776
    @totokenya2776 4 роки тому +52

    Konde geng I love you, Kenyans penda wewe tu sana, wapi likes za wakenya jamani show love to harmonize jamani

  • @KiddybeatzOfficial
    @KiddybeatzOfficial 4 роки тому +97

    Ibraah TZ ..the next talk in East Africa...in fact Africa... Ziii world 😂😂...Harmonize kali sana

  • @geniuskid2544
    @geniuskid2544 2 роки тому +9

    Boooom 💥💥💥 tumeland kaFebruary 😂😂 weee January sijui ilitoka wapi lakini si ni life 😅😅, aaaya nani ako hapa kwa ajili ya one night stand kama mimi👊🤗 dondosha like tukisonga🤗🤗🔥🔥🔥🔥

  • @danidiaz8617
    @danidiaz8617 4 роки тому +36

    Nan mwingine Alimiss kumuona harmonize kwenye style hii ya nywele🔥🔥

  • @Dienacademy
    @Dienacademy 4 роки тому +32

    HARMONIZE THIS VIDEO.... UMEUAAAAAA BABA... HATARI NA NUSU KAKA.... HATAREEEEE.... IBRA UMEANGUKIA KWENYE SUFURIA LA UBWABWA AISE.... MASTER WAKO ANA NJAA YA MAFANIKIO.... 🔥🔥🔥🔥🔥

    • @goldentopaz4922
      @goldentopaz4922 4 роки тому +1

      Hahahaha

    • @barobarotz2129
      @barobarotz2129 4 роки тому

      Hahahaha tembo ft chingaa

    • @Dienacademy
      @Dienacademy 4 роки тому

      @Ramadhani Hamisi 🤣🤣🤣 sasa unalazimisha unachopenda wewe na mimi nipende.... We ndio unayumba.... Unamkubali ndio maana umekuja hapa.... 😁 😁 😁 Kwani umeitwa... 🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️

  • @TravelersTour_TT
    @TravelersTour_TT 4 роки тому +27

    Harmonize ni HATARI! Kama unapinga kapingane na MAMAKO🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 🇰🇪

  • @BizeddOfficial
    @BizeddOfficial 8 місяців тому +3

    Harmoniizee yah ukitaka kuongeza memba wa konde gang jaribu kuanza na wapya so walowahi kukaa lebo fulan wanakuja kuzishindwa sheria za kambi ko anza na sisu tuwekwe tufundwe hata mwaka mzima kama chinga then unamuapisha artst wako mpya kabisaa 🙏bonga d alpha #jose wa mipango # ibraah chinga ##harmonize tz. & me # bizedd oficiall msanii mpya wa konde music worlwide 2024/25

  • @joycengina3135
    @joycengina3135 4 роки тому +121

    Aki guys let's support this young talent even in his other songs coz he's real talent.... Na wenye ku compare ibrah na zuchu mjue Ata miaka Yao hailingani😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @lydiawendy9490
    @lydiawendy9490 4 роки тому +170

    Harmonize wasio kupenda wacha wakajinyonge, they throw some harsh words on you, but finally you a the boss on your own, Kenyans in house let's show love on behalf of our president kenyatta ❤❤❤❤

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 4 роки тому +28

    Magoli mengi SAMATTA..nimekuelewa hapo Kondeboi...
    SAMAGOALLLLL BONGOLAND

  • @lwangawasi8241
    @lwangawasi8241 3 роки тому +6

    From DR Congo 🇨🇩🇨🇩 Nina kukubali 💪harmonize 💪.konde Gang forever

  • @amedeusmushi7952
    @amedeusmushi7952 4 роки тому +41

    Dogo fundi sana, kama na wewe umemuelewa gonga like hapa
    More love from meki associates

  • @Godsblessing12
    @Godsblessing12 4 роки тому +204

    kawaida mimi ni shabiki wa Harmonize lakini tena namufurahia msani huyu Ibraah nilikua simjui lakini ana kipaji sana . ( From Rwanda) I need your likes kama umewupenda wimbo huyu

  • @hawaa5speckiey102
    @hawaa5speckiey102 4 роки тому +131

    "Njoo nikupe guu la ng'ombe ukaungulie nyumbani"...Gonga like kama huu mstari umekubamba

    • @shayonelson1574
      @shayonelson1574 4 роки тому

      Kwakwel njooo

    • @magretnjeri3648
      @magretnjeri3648 4 роки тому

      I like that song😍

    • @mtelgon23
      @mtelgon23 4 роки тому

      Hehe😛

    • @joebaben9593
      @joebaben9593 4 роки тому

      😅🤞🏻

    • @alexstesema2946
      @alexstesema2946 3 роки тому

      I love this song i can't sleep without listening itt and i kanda understand itt because my men is a swahili now he tell me about what they sayy i trully lovve iit♥🙏

  • @billiahnyaboke1444
    @billiahnyaboke1444 3 роки тому +6

    Baada ya kuskiza kipara ndezi,now am here, Ibraah unajua sana keep going

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 роки тому +25

    *Bonge moja LA ngoma KMMK*
    🔥🔥🔥🔥🔥
    Wenzako wanamjaza mimba we uko gym unajaza Body 😂😂😂😂😂😂😂

  • @kimokotibinale6694
    @kimokotibinale6694 4 роки тому +60

    What I believe without money there is no love.... One love ibra ft kondeboy #onenightstand....254 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 wapi like

  • @elijahmairura5585
    @elijahmairura5585 4 роки тому +144

    Harmonize atakua the best musician in Africa very soon.Well done Konde boy.

  • @abasijeshiboysbdi8120
    @abasijeshiboysbdi8120 2 роки тому

    baba yangu si magufuli wa la kenyata wa Kenya uyu Dogo noma sana

  • @Ibrahimonami
    @Ibrahimonami 4 роки тому +58

    Sio unakunywa tu mapombe unajua anyelipa nani...
    Konde gang 254+🇰🇪

  • @drsmartdanial3735
    @drsmartdanial3735 4 роки тому +129

    This boy right here uuuuhhhhhhhh is becoming very, strong just like jeshiiiiiii💪💪💪💪💪,just watching from USA give me some likes

  • @reaganstv2131
    @reaganstv2131 4 роки тому +47

    Kama unaamini Ibraah gonga like twende
    Harmonize baba yao,,, amezima WCB🤣🤣

  • @wanjalajr7230
    @wanjalajr7230 Рік тому +1

    Ibraaah just go ,no more no less

  • @jescamassawe2519
    @jescamassawe2519 4 роки тому +42

    Oyooooo tuipeleke sasa namba 1 on treanding music

  • @patrickwaihenya7382
    @patrickwaihenya7382 4 роки тому +99

    Walofikiria harmonize ataisha kimziki , oneni mambo ya mola.,yuamfungulia njia kila siku. Hormonize, you're blessed. Yeah ❤more love from 🇰🇪🇰🇪

  • @samuelosyanju8755
    @samuelosyanju8755 4 роки тому +51

    Konde boy sajili huyu Messi apige pasi za mistari mng'ae...kali sana

  • @dennisochieng9774
    @dennisochieng9774 2 роки тому +4

    I know what I mean when I say I love Harmonize more than Diamond. This guy was a threat to Diamond!

  • @beingcate4674
    @beingcate4674 4 роки тому +338

    "Skuizi kupenda penda kumepitwa na muda" ±254🇰🇪🇰🇪🇰🇪piteni na likes kama mnamkubali Ibra y Harmo

  • @gellasjr21g87
    @gellasjr21g87 4 роки тому +31

    Pongez sana kwa Ibrah na harmonize ,bila kumsahau hanscana aisee ambae ni diretor. Hii ngoma ni moja ya video kal sana ya mwaka amini ivoo locations is dope💥🔥🔥🔥🔥

  • @smashjunior5934
    @smashjunior5934 4 роки тому +86

    Wapi like za Wakenya jameni....Harmonize you made it liiiit

  • @Nickparroty-r7g
    @Nickparroty-r7g 4 місяці тому +2

    Hili goma Ibrah alifanya unyama mwngi mbya

  • @caroljoshua2202
    @caroljoshua2202 4 роки тому +227

    Wangapi tumeraukia apa kufikisha One night stand 1M leo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎶🎶🎶🎶still dancing to the beat ♥️♥️♥️+254🇰🇪🇰🇪🇰🇪.

  • @Maths_can_smile
    @Maths_can_smile 4 роки тому +74

    one night stand is lit menh,,, ibraah is such talented guy, big up bro. kenyans wamekupokea vema,nayo nayo

    • @djamohatari3841
      @djamohatari3841 4 роки тому

      Challenge ua-cam.com/video/rJiW0lcZlJw/v-deo.html

  • @mkenya2545
    @mkenya2545 4 роки тому +403

    Jaman kama ww ni mwana Africa mashariki 🇰🇪 🇺🇬 🇷🇼 🇧🇮 🇸🇸 🇹🇿 ucwe mchoyo wa likes 1000 zinatosha

    • @Daccoh_
      @Daccoh_ 4 роки тому

      ua-cam.com/video/HWUSwyaSH-c/v-deo.html

    • @suleimanabdul6094
      @suleimanabdul6094 4 роки тому +2

      Waph Somalia dadangu umetusahau bana

    • @princess-uf5ux
      @princess-uf5ux 4 роки тому

      🇧🇮

    • @Nganji1
      @Nganji1 4 роки тому

      🇷🇼🇷🇼🇷🇼

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 4 роки тому

      @@suleimanabdul6094 kbsaaa, +252 km sjakosea itakua ni+251

  • @lulupeter-xf9gs
    @lulupeter-xf9gs Рік тому

    Kupenda penda kumepitwa na muda Kwa kweli, kwanza mapenzi yamezaliwa bombei❤❤❤.

  • @clemohfamily254
    @clemohfamily254 4 роки тому +243

    Kama umegundua huu wimbo kupostiwa kwenye UA-cam ya harmonize imeufanikisha Sana naomba like.
    Na pia Kama umeona ibraah amechangamka this round usininyime yako...#like. naukubali mie.

  • @geoffreykinyangi9402
    @geoffreykinyangi9402 4 роки тому +60

    Nani ako hapa in 1million views👏👏👏👏👏

  • @jemybamupende998
    @jemybamupende998 4 роки тому +562

    Wanao mkubali ibraah na harmonize gonga like yako apo

  • @fuadshell5188
    @fuadshell5188 2 роки тому +1

    This song nevet rotten
    Two giant harmonize/prince Ibra
    Konde gang Empire'

  • @abdifatahali8757
    @abdifatahali8757 4 роки тому +58

    I believe that konde boy will be best musician in the whole Africa . Am waiting to see that bay . I u agree hit the like

  • @magasithegreat1952
    @magasithegreat1952 4 роки тому +34

    Kama umemuona dogo ibraah anauogopa mshangaz wenye makalioooo usiniache bila like 🤙

  • @elijahm.muthini
    @elijahm.muthini 4 роки тому +59

    Now you are back to your normal route, wachana na vizungu mingi tulikupendea mashairi maan👏🇰🇪

  • @harrisonmunga895
    @harrisonmunga895 2 роки тому +1

    Noma sana.namkubali harmonise

  • @barakahassani9258
    @barakahassani9258 4 роки тому +225

    Tuliorudia maranyingi kuitazama tujuane kwakugonga like

  • @aadam722
    @aadam722 4 роки тому +119

    Who here thinks Ibraah done the the song Justice. Big up Ibraah, wapi likes zake jamani.

    • @MiriamRoberts_5050
      @MiriamRoberts_5050 4 роки тому

      This song has made me this Ibraah guy..... he's so talented.

    • @p2mtv981
      @p2mtv981 4 роки тому

      ua-cam.com/video/nciJt7bRPnA/v-deo.html

  • @hesbonotieno9046
    @hesbonotieno9046 4 роки тому +38

    I'm here representing #254 wapy likes yenu kwa hamornize #kondegang for life

    •  4 роки тому

      *Lyrics*
      ua-cam.com/video/AJq5rAjZsBo/v-deo.html

  • @bavonichristopha1693
    @bavonichristopha1693 Рік тому +1

    Hii ngoma kali sana

  • @estheriperu6281
    @estheriperu6281 4 роки тому +41

    I love this konde boy ryt here Uganda 🇺🇬🇺🇬

  • @nyabokemabuka6321
    @nyabokemabuka6321 4 роки тому +46

    Kama corona ikiisha kikinuka uwe on time tujuane kwa likes
    Wanyama wawili wameachia kazi dah mji una kazi
    Video ya kizazi sana ,love from 254

  • @hellentyrah7789
    @hellentyrah7789 4 роки тому +32

    What I believe what I believe no money no love
    Kuna uliowapaga moyo wakaugawa vipande, wapi likes zangu jamani kila siku narudia huu wimbo and it means a lot from my experience

  • @omondistallon3288
    @omondistallon3288 4 роки тому +5

    Jamani nyimbo hili limepenya rihoni na kila siku sikosi kuisikuza.Infact the song ni skiza tune yangu.Love you guys 🇰🇪🇰🇪

  • @partohyulemsee4583
    @partohyulemsee4583 4 роки тому +927

    Tangu Nianze Kussuport Harmonize sijawahi pata like hata moja..Leo angalau Mnipee 100

  • @frashiaflash
    @frashiaflash 4 роки тому +96

    Ibraaa handsome boy gonga like

  • @bake6457
    @bake6457 4 роки тому +206

    tuifikishe 5 million jamani🤑🤑🤑🤑this a banger❤🙌🙌🇰🇪

  • @deulemwangolo
    @deulemwangolo 10 місяців тому +2

    KONDE Music worldwide 🎉🎉🎉🎉
    Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @edwardsamilee2330
    @edwardsamilee2330 4 роки тому +140

    I almost said AYOLAIZER at the beginning of the song and WASAFI at the end.I still can't believe you left WCB. I must say that you are doing a good work. Konde Boy for everybody

  • @charleskaranja4209
    @charleskaranja4209 4 роки тому +466

    Kenyatta wa 🇰
    🇪 wakenya like kama unampenda harmonize

  • @verohgabriels7672
    @verohgabriels7672 4 роки тому +31

    Harmonize u neva disappoint + Ibraah wimbo umeweza am just playing ova n ova

  • @Faith-n7r1i
    @Faith-n7r1i 4 місяці тому +1

    Nioe nkupe kabla akujapambazuka u kill it ibraah and konde❤❤😮😮

  • @kimtaraj5543
    @kimtaraj5543 4 роки тому +128

    Kweli mtoto wa Simba ni Simba who else realized harmonizes move are similar to those of diamond,mob love from Kenya

  • @renepatrick8102
    @renepatrick8102 4 роки тому +30

    call him bad boy # ibrra killing in the beat!! press like plz for our future African artiste. fan from Rwanda🇷🇼🇹🇿🇰🇪🇧🇮

  • @chris_jabari
    @chris_jabari 4 роки тому +174

    Hewaaaaaaaaa, kama umeshuhudia trending number one like hapa
    👇🏽

  • @timmusumba5846
    @timmusumba5846 3 роки тому +22

    Lovely song! "Mwenzako anajaza mimba uko gym unajazaa body".

  • @djmakora0018
    @djmakora0018 4 роки тому +72

    turururu imeweza kondhe boy alaf beat imeweza ,wapi likes za 001

    • @umyahmed5487
      @umyahmed5487 4 роки тому

      Turururururu!😘😍😘😍😘😍

  • @nk.t.shabani4217
    @nk.t.shabani4217 4 роки тому +62

    Respect 🤘Harmonize 🤟Ibraah 🌍🇧🇮🇰🇪🇷🇼🇸🇸🇹🇿🇺🇬 🌬💨 (Konde Music Worldwide)

  • @official_young_boykarimh4178
    @official_young_boykarimh4178 4 роки тому +47

    Kwanza mapenzi yamezaliwa bombey kwenye majani utayaweza mtoto wa mkango"nde yalimxhinda xharukhan... More like guys if you like this song......

  • @piventsienevans
    @piventsienevans 3 роки тому +13

    Kama unaikubali kazi yake iko juu kushinda Mbala Mwezi Tujuane basi,,,,,,,,,

  • @kangemighettotalenttommy3177
    @kangemighettotalenttommy3177 4 роки тому +267

    Nilihama na wewe# wasafi tuko # konde gang, leteni like za harmonize kutoka kenya

  • @sylviawafula887
    @sylviawafula887 4 роки тому +39

    "One night stand",, the song is too lovely to mi💕💞💞,,mistari nazo znatesa kutesa,Mwaaah 💋💋

  • @tumajoseph6861
    @tumajoseph6861 4 роки тому +63

    "SIO UNAKUNYWA TU MAPOMBE,UNAJUA ANAYELIPA NANI..??"

  • @pishon
    @pishon 2 роки тому +2

    Ukiacha wamama you'll carry Africa in your hands.👊👊

  • @maliqdapainkiller8203
    @maliqdapainkiller8203 4 роки тому +153

    I told you guys Ibraah is in good hands...
    Kama umeona Hilo nipeni likes tukisongaga❤️❤️❤️

  • @onestar1928
    @onestar1928 4 роки тому +35

    Hanscanner kanunua camea mpya for sure ,sio kwa quality hii 😅 ya vedeo.

    • @emmanueljohn5162
      @emmanueljohn5162 4 роки тому +1

      Kumbe na wewe umeona nlicholiona
      Ama konde kuna investment kafanya hapo maana video zote anafanya anko hans

    • @josephmtalemwa7615
      @josephmtalemwa7615 4 роки тому +1

      Katisha mwana ni nomaaa

    • @waddytz5239
      @waddytz5239 4 роки тому

      ua-cam.com/video/rl2Sucz41lg/v-deo.html

    • @simondogtrainer7498
      @simondogtrainer7498 4 роки тому +1

      Kwel mzee hii IPO vzur kuliko zote hd

    • @lockedaway4666
      @lockedaway4666 4 роки тому +1

      balaa na nusu😍😍

  • @zainabuyusuf7730
    @zainabuyusuf7730 4 роки тому +228

    "Siku hizi kupendapenda kumepitwa na muda" kama umeskia hivyo gonga like twende sawa .

  • @jamesgitau4253
    @jamesgitau4253 9 місяців тому +1

    Who else is watching from Kenya. Hii ni bonge la Mzinga c hata chupa❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @obirinaom9611
    @obirinaom9611 4 роки тому +37

    Kenyatta from Kenya brought me here,our ibrah is🔥🔥🔥 Kenyans in the house🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤝🤝

  • @felystarzorwaru6157
    @felystarzorwaru6157 4 роки тому +38

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💕💕💕💕register ndo hii hapa 🔥🔥🔥

  • @janewambui6730
    @janewambui6730 4 роки тому +54

    I can't wait for corona to be over nikadance one night stand....much love konde boy and Ibrah from kenya...

    • @azizaomary7938
      @azizaomary7938 4 роки тому +2

      Konde boy ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @boazmasinde2764
      @boazmasinde2764 4 роки тому

      🔥 🔥 🔥 Kwa ibraah 254 kenya

    • @hastent2897
      @hastent2897 4 роки тому

      @@azizaomary7938 ua-cam.com/video/dEuwVTUKjWo/v-deo.html

  • @luckyboymalo
    @luckyboymalo 2 місяці тому +8

    Wangapi tunasikiliza huu wimbo 2024 Nov

  • @nesterenock864
    @nesterenock864 4 роки тому +156

    Kama umeona location kaliiii ZOTE kaka harmonize😂😂😂😂 gonga like

    • @boazmasinde2764
      @boazmasinde2764 4 роки тому +1

      Pendaaaaaa sana

    • @VostieChei
      @VostieChei 4 роки тому

      Watu hawalali kweli, nikama walikua wameingoja, already cover yake ishaundwa, hii apa
      ua-cam.com/video/0Xp9OHKR7KQ/v-deo.html

    • @pluginaccount4677
      @pluginaccount4677 4 роки тому

      Nester Enock ua-cam.com/video/OraWCGVGJIk/v-deo.html

    • @blackculture8045
      @blackculture8045 4 роки тому +2

      Angalia kwangwaru utaelewa kuwa kila mkubwa na mkubwa wake

    • @ayeshal4395
      @ayeshal4395 4 роки тому +1

      TN ako juu snaaa hyo ibra

  • @Soniajane649
    @Soniajane649 4 роки тому +28

    ibraah ur in good hands never give up Harmonize keep on fire burning we love u so much Kenya it's ur sec home bro Kenya hatuna matata

  • @dreezyboe3564
    @dreezyboe3564 4 роки тому +160

    jaman tangu nianze kulike cjawah kupata like hat 200 wakat zangu nawapa tuu!!

  • @erickmutuku5215
    @erickmutuku5215 4 роки тому +1

    Is true no money no love...special request kwa madem wote wenye ukula fare.

    • @saymonsaka7735
      @saymonsaka7735 3 роки тому

      That's true without money no love 🤣🤣🤣🤣🤣