Harmonize - Niteke (Official Music Video) Sms SKIZA 8545380 to 811

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 4,2 тис.

  • @SamuelMungai-cl8fh
    @SamuelMungai-cl8fh Рік тому +72

    Tuko 2024 na Bado hii Ngoma inabamba baya ...🎉🎉🎉🎉

    • @kiliopanyota3486
      @kiliopanyota3486 6 місяців тому

      uhakika kaka

    • @LeilaIddy-s5k
      @LeilaIddy-s5k 5 місяців тому +1

      🎉

    • @EuniceOkama
      @EuniceOkama 3 місяці тому

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊​@@kiliopanyota3486

    • @SadiqAhmed-kq5nj
      @SadiqAhmed-kq5nj 2 місяці тому

      Bana 😂😂😂

    • @johnmichaellukindo21
      @johnmichaellukindo21 2 місяці тому

      2024 niko hapa! enzi ya sarah

  • @فاطمةفايز-غ1غ
    @فاطمةفايز-غ1غ 2 роки тому +16

    Mungu alkutoa kusudi uwaoneshe wanaoringa Eti vipaji Ni vya kwao tu..wakomeshe BAKHRESA..nyimbo zako tamuuuu..Hadi raha

  • @soudyruge-fi9xv
    @soudyruge-fi9xv 10 місяців тому +32

    2024 nimekuja kumuona Sara❤

  • @wasalimie11
    @wasalimie11 3 роки тому +4

    jamani yaani mapenzi huisha jamani yaani siielewi dunia 🙌🙌🙌

  • @pendokimaro5394
    @pendokimaro5394 5 років тому +39

    wale ambao tunakubaliana na harmo kuwa Sarah kamtekaaa gonga like

  • @babachims8996
    @babachims8996 4 роки тому +75

    From the time he started with this lady,we have not hear any news about him with another lady,pls keep it up;be a singer dose not mean jumping from one lady to another.may God bless yr efforts,love from Belgium

  • @entertainmentplace3460
    @entertainmentplace3460 5 років тому +20

    Mkenya uko hapa🇯🇴🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 gonga ukipita kama umelike Harmonize...

  • @moanamisintshutelang7787
    @moanamisintshutelang7787 3 роки тому +11

    TANZANIA IS GIFTED IN EVERY ASPECT LIFE. NYERERE, MAGUFULI, HARMONIZE, DIAMOND. MBOSSO. ALIKIBA. ZUCHU. LAVA. RAYVEE. DARLENE ETC, THE LIST IS ENDLESS. BOTSWANA HERE I AM, ENVYN ALL YOU HAVE, LANGUAGE IS THE BEST GLOBALLY. I LOVE YOU GUYS. THANK YOU

  • @zebdayleonard8599
    @zebdayleonard8599 5 років тому +19

    Macho yake nungu nungu miba inasimama,kwel WCB wote ni wajasliamal na asil ujasiliamal ni ubunifu like t znazotaftw

  • @tonieblaze9504
    @tonieblaze9504 5 років тому +168

    Team harmonize count me too big up bro.
    From Canada. 😉

  • @abdulatifually7381
    @abdulatifually7381 5 років тому +119

    Konde Boy
    Heheheh.. Genius
    [Verse1; Harmonize]
    Mmmmh
    I want to keep you, I no go let you go
    Nishafunga na zipu, Kwingine nishasema No
    Acha nikusiifu, Uzuri wa nyumba choo
    Na ulivyo nadhifu, Sipati vidonda vya koo
    Eeeh
    If you leave me I go die, I go die ma bebe
    Na ukinipenda ntajidai, Ntajidai ma bebe
    [Pre-Chorus; Harmonize]
    Ooooh Ohooo Ohoo
    Nakoma na zako Kachiri, Kachiri, Ukibinuka binuka
    Eeeeeh Eheee Ehee
    Kivumbi na jasho wawili, Wawili kwenye mashika mashika
    [Chorus; Harmonize]
    Asa bebi nite.. Uniteke, uniteke
    Nicheke kama mtoto, Uniteke (Ah bebi nitekenye)
    Bebi (Ahh) hapo ndo penyewe, Uniteke, Chii uniteke
    Ninenepe kama Mpoto, Uniteke (Ah bebi nitekenye)
    [Verse 2; Harmonize]
    Mmmmh
    Macho yake nungunungu, akinitazama
    Nami nageuka nungunungu, Miba inasimama
    Macho yake nungunungu, akinitazama
    Nami nageuka nungunungu, Miba inasimama
    Eeeh
    Fanya wazi unachotaka, Zidisha kunipenda
    Kuna paparazi na basata, Tusichapane madenda
    [Pre-Chorus; Harmonize]
    Ooooh Ohooo Ohoo
    Nakoma na zako Kachiri, Kachiri, Ukibinuka binuka
    Eeeeeh Eheee Ehee
    Kivumbi na jasho wawili, Wawili kwenye mashika mashika
    [Chorus; Harmonize]
    Asa bebi nite.. Uniteke, uniteke
    Nicheke kama mtoto, Uniteke (Ah bebi nitekenye)
    Bebi (Ahhh) hapo ndo penyewe, Uniteke, Uniteke
    Ninenepe kama Mpoto, Uniteke (Ah bebi nitekenye)
    [Hook; Harmonize]
    Asa bebi mi nataka nikukande, Pindaa, Pinda mugongo, Pindaa
    Yaani pinda nikukande, Pindaa, Pinda mugongo, Pindaa
    Ooh nishikilie nami nikugande, Pindaa, Pinda (Mi napinda mugongo) Pindaa
    Embu nipe nikukande, Yaani nikukande
    Chiiii
    Embu nipe nikukande, Yaani nikukande
    Follow @dailyswahiliquote

  • @victoiregangvtg2706
    @victoiregangvtg2706 5 років тому +73

    Force a toi harmonize moi je suis guinéen mais ton son la me fait pleure malgré je comprend la langue c'est l'Afrique qui gagne tu as du talent frère

  • @wolfdjmovies
    @wolfdjmovies 5 років тому +118

    Perfect boy harmonize I like your song.............
    many peoples in 🇺🇸 Colorado springs like your song Mr konde boy

    • @edoboysabuni7617
      @edoboysabuni7617 5 років тому +1

      Tisha sana

    • @wolfdjmovies
      @wolfdjmovies 5 років тому +2

      @@edoboysabuni7617 poa kjn

    • @zaiiomary8970
      @zaiiomary8970 5 років тому +1

      Basat hatokuwacha wew umemvalisha sara mwanzo mwisho yupo mtupu kwer jamani

    • @wolfdjmovies
      @wolfdjmovies 5 років тому +1

      @@zaiiomary8970 akuna kitu waache umama

    • @jumahamisi2836
      @jumahamisi2836 5 років тому +2

      Konde boy katisha mpaka aibu kibuyu kikali

  • @asaimupdull601
    @asaimupdull601 5 років тому +58

    kusema kweli sikuwa nawatch harmonize i was concentrating on his lady like if you did the same

  • @kossammusundire5194
    @kossammusundire5194 5 років тому +16

    Bongo flavor is probably one of the few pop genres in Africa that is not bubble gum. There is a certain level of honesty in the vocals and composition which cant be found in other genres this big.

  • @magidachimija5599
    @magidachimija5599 5 років тому +130

    Kunapaparazi na basata tusipigane madendaaa
    Nani apo kackia agonge like twende sawa

  • @daggydavy9201
    @daggydavy9201 5 років тому +108

    Nimerudia kuwatch mara mob bila kuboeka na hii song👌👌uniteke🎵🎶
    Kama umeipenda❤️ like👍 hapa👇

  • @suleimankhalid8465
    @suleimankhalid8465 5 років тому +304

    If u know , u know East Africa stand up !! Show love like hapa let's support our East African music🇹🇿🇺🇬🇰🇪🇷🇼🇧🇮

  • @ussiali1100
    @ussiali1100 5 років тому +59

    Its your time to perform on African music festival in NEW YORK cant wait to see you

  • @hazarikipingu2865
    @hazarikipingu2865 8 місяців тому +13

    Ngoma lamaana 2024❤

  • @benmutesvu9561
    @benmutesvu9561 5 років тому +65

    I don't understand wat ur singing abt bt I jus fell in love w yo music cz ur always onpoint wen t comes to visuals.👌👌👌Big up to Director Kenny.Big fan from Zimbabwe

  • @calvinwelema159
    @calvinwelema159 5 років тому +111

    Kama umeludia kuangalia Mara mbili mbili kama mimi gonga LIKE

  • @nebrowntz9154
    @nebrowntz9154 5 років тому +9

    Wa kwanza jamn nipeniii Likes mm msaniiii wa Harmonize

  • @kajikaone
    @kajikaone 4 роки тому +19

    A kenyan. I came here after i saw Benjamin Bogonko dancing to it. I have fallen in love with it.

  • @mahamudmhawi2731
    @mahamudmhawi2731 5 років тому +12

    Nice song from konde boy imekuja kuwashika zaidi ya kwangaruu.....in fire

  • @alexmurithi1327
    @alexmurithi1327 5 років тому +74

    The potential in this guy is unpredictable and unique. This is more than a talents believe me. Daaah hatari Sana. WCB to the world.. From embu county, Kenya big tune

  • @v.a.m.2549
    @v.a.m.2549 5 років тому +14

    254 msipite nikiwa wakwanza😂😂😂

  • @athanasmasmami5389
    @athanasmasmami5389 Рік тому +6

    Who else still watching with me 2023 ❤

  • @ntemigarany1208
    @ntemigarany1208 5 років тому +9

    et kama vile nmeckia pale mwanzo Simba kacheka vle nakusema Genious

  • @saidmukhtan8566
    @saidmukhtan8566 5 років тому +26

    All the way from UK jamaniiii ata kama likes hamsiinii ntafurahi

  • @osmane-uo5dr
    @osmane-uo5dr 5 років тому +22

    Fan from eastleigh..NAIROBI.. like jh ma nduguh.....👊🤗👑🔥🔥💫

  • @Shekeyeh
    @Shekeyeh 10 місяців тому +2

    love from somali this song like ❤ harmonzie💯💯

  • @jibubitangaro
    @jibubitangaro 5 років тому +25

    Duuuh, I can't imagine how this song gonna be hit than Kainama. Iyi Kali.
    Kama umeikubali #niteke by Konde boy weka #like
    From +257🇧🇮

    • @jamilaomar9860
      @jamilaomar9860 5 років тому

      On point

    • @jumahamisi2836
      @jumahamisi2836 5 років тому +1

      Monde boy ngoma Kali sana hivi huyu quen video ndio yule demu wako.umemfunua sana Mzee wapi basata.

  • @kazafnash5681
    @kazafnash5681 5 років тому +61

    Love From Ghana 🇬🇭To You BRO ✌🏿

  • @alwanhassan2543
    @alwanhassan2543 5 років тому +102

    Harmonize you have a miracle voice keep going bro... love you from Nairobi kenya 🔥

  • @sadymoremafendo
    @sadymoremafendo 5 років тому +50

    Love from Zimbabwe 🇿🇼🇿🇼🇿🇼🇿🇼, nice voice.

  • @franktom667
    @franktom667 5 років тому +12

    Tupo live na video za Wasafi kabla ata ya HARMONIZE NA MZUNGU

  • @cyizereleon4304
    @cyizereleon4304 5 років тому +12

    this song is lit, here from Rwanda , we're just overwhelmed dat like you

  • @selekondo9832
    @selekondo9832 5 років тому

    yani uyu jàmaa ananipaga wakati mgumu sana kuchagua nani mkali kati yake na ray vany daaaaaa

  • @mullahkaposo6663
    @mullahkaposo6663 5 років тому +446

    Hivi wale wanaombaga #Likes hua mnaziuzia wapi😂😂😂😂??? I like the song.

    • @rashidsaidi2740
      @rashidsaidi2740 5 років тому +6

      Bora ulivyowachana mshua

    • @easygirl5047
      @easygirl5047 5 років тому +6

      Young Mullah that the question I use also to ask

    • @haimahaima9135
      @haimahaima9135 5 років тому +4

      😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @hazelbrown4712
      @hazelbrown4712 5 років тому +5

      @@easygirl5047 andika tu Kiswahili Ndugu

    • @gigyesther5066
      @gigyesther5066 5 років тому +4

      Hhhhhhhhh 😂 😂 waulize

  • @fadhililasoda6214
    @fadhililasoda6214 5 років тому +347

    Ngoma tamu sana jamn km umeangalia zaid ya mala kumi km mm gonga like

    • @jimmykidendei1630
      @jimmykidendei1630 5 років тому +5

      Mashalaaaaaah kal knoma noma👍

    • @sadiaabdi7661
      @sadiaabdi7661 5 років тому +6

      Jifundishe kiswahili ati mala kumi

    • @lulupkorkor8793
      @lulupkorkor8793 5 років тому +2

      Fadhili Lasoda kweli ngoma, jaki

    • @colbymackells7597
      @colbymackells7597 5 років тому +4

      sasa tukufunze kiswahili na wewe mtanzania? ''MALA'' ni maziwa. Tumia ''MARA''

    • @sadadololi4545
      @sadadololi4545 5 років тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @khalfanomary4297
    @khalfanomary4297 5 років тому +16

    daah cjuw hat nseme vp yaan nmetizama mar 10 kali kali kali sanaaaaaaa
    WCB wakali tuuu hamna mpizan
    mnajua hasaaaaaaa
    👍🏽👍🏽👍🏽❤️❤️❤️👏🏾👏🏾👏🏾👊👊👊

    • @ramadhanimgos5175
      @ramadhanimgos5175 5 років тому

      Wasanii wabongo mmerogwa hamnajipya mnaimba nyimbo zamapenzituu hakunachakujifunza niujingatuu

    • @Babatriplet
      @Babatriplet 5 років тому

      I lk it most

  • @kambuakambua791
    @kambuakambua791 5 років тому +1

    Congrats Sarah wajivunia Sana mapenzi yako napenda ukimshika mbele ya watu

  • @kabangaonline4523
    @kabangaonline4523 5 років тому +108

    🇹 🇿. 🇹🇿tunatisha haya gonga like kama umeikubari ngoma ya #kondeboy , 🇹🇿💪💪💪💪🔥

    • @allyhamic1255
      @allyhamic1255 5 років тому +1

      comment za dizain hii zinadhoofisha upendo wa nnch na nnchi...

    • @kabangaonline4523
      @kabangaonline4523 5 років тому +1

      Broo ili ni love 🇹 🇿 tuu sijazungumza ubaya mbona nchi zngne znajsfia kwa kuwa na wanawake wazuri

    • @kerryivana1678
      @kerryivana1678 5 років тому +1

      #kubali

    • @omaryngokwe2676
      @omaryngokwe2676 5 років тому +1

      Wcb for life kisima ch burudan🇹🇿🇹🇿

    • @kabangaonline4523
      @kabangaonline4523 5 років тому

      @@omaryngokwe2676 kama kawa

  • @simbadume5401
    @simbadume5401 5 років тому +8

    Wa kwanza 1 nipe like

  • @franklyimo6685
    @franklyimo6685 5 років тому +46

    harmonize hujawahii kufeli..... you always rock! video queen ndo amazing 😅😅😅😅😅😊😊😊😊😊😊😊big up sarah

  • @kidunapoletano3118
    @kidunapoletano3118 5 років тому

    Konde boy UMEUWAAAAA mzee babaaa endelea ivyo ivyo kk. Hii new brand ni kubwa xana Na itakuwa kubwa xana Na itatisha Dunia nzima mana kazi unaijua so wacha kusikiliza maneno neno ya wambea Na wanafiki weee piga kazi tyu endelea kutoa madude juu ya madude alafu ndo watajua km Konde boy sio mtu wa mchezo mchezo washindwe Na walegee. Mtu umekua tayar Na mtu unajua kuwa ukienda kivyako vyako uwezi kuanguka si mtu unajitoq tyu. Walitakq wakuone ukizeekea wasafi ndo roho zao ziwatulie... Umefanya jambo la mana kujitoq muhimu eshima kwa watu waliyo kufikisha ulipo kuwa ilo ndo muhimu so kuza brand yako Na weka upinzani piga kazi hili na wewe kesho uweze kuwasaidia wenzako wengine waliyo kuwa mitaani ivyo ndo inavyo takiwq umeshikwq mkono Na umekuwa Na umeondokq Na wewe washike wenzio mikono hili lengo letu litimie la kuipelekq Tanzania seemu inayo stahili ktk Dunia ya mziki Na najua kwa HILI lazima litawezekana mkiwa km wewe Konde Na mond Na Kiba Na mkishika mikono vijana wengin kadhaa Tanzania itakuwa wa 1 Africa Na Duniani lazima watatutambua Safi xana kijana kwa kuona mbali tumia Jina lako Na brand yako vizur HILI iweze kuwa fundisho kwa vijana wengin wanao chipukia ok

  • @oscarmwambonja
    @oscarmwambonja 5 років тому +132

    Aliyeirudia rudia kuichek kama Mimi dondosha like yako hapa... #Konde_Boy #Niteke in the Building. #AfroBongo ni 🔥

    • @castormpunga7091
      @castormpunga7091 5 років тому +3

      Hii me Mara ya 67 naludia kuplay tuu 🔥

    • @oscarmwambonja
      @oscarmwambonja 5 років тому +2

      @@castormpunga7091 #Konde_Boy ametisha.

    • @halimapeter1383
      @halimapeter1383 5 років тому +1

      Umeirudia kwakuwa umeona chupi

    • @oscarmwambonja
      @oscarmwambonja 5 років тому

      @@halimapeter1383 Ndo Akili yako Ilipoishia.

    • @halimapeter1383
      @halimapeter1383 5 років тому

      @@oscarmwambonja he yakwako inaishia wapi? Pumbavu zako

  • @Musmtetezi
    @Musmtetezi 5 років тому +6

    Uzuri wa nyumba choooo I really appreciate this one leta kitu lith ingine kaa hii

  • @aluspabangs3405
    @aluspabangs3405 2 роки тому +44

    Swahili songs on another level, thanks Harmonize

  • @stanleyngugi8212
    @stanleyngugi8212 5 років тому

    Diamond jionee,,,,,upo chini yake sasa kijana mwenye sauti kwelii

  • @jayhassan8161
    @jayhassan8161 5 років тому +17

    Respect Harmonize All the way From🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @harshemshekspear9868
    @harshemshekspear9868 5 років тому +5

    Cjachelewa hehe ngoma ni kalii 💥 wapi like za 001🇰🇪

  • @unlimitedalbert6777
    @unlimitedalbert6777 4 роки тому +11

    Can't believe I have just discovered this after this long..much love from Uganda

  • @boysondeniclousTv
    @boysondeniclousTv 3 роки тому +1

    Nimeanzia attitude, jeshiii, uno, hainishtui, fall in love, bedroom, now niteke, bado naendlea

  • @msavangekelvn529
    @msavangekelvn529 5 років тому +58

    If you appreciate konde boy....just like...all the way from Canada

  • @blessingbarry2672
    @blessingbarry2672 5 років тому +31

    Tanzania singers your're the best champion in Africa the golden voice 💪💪💪💪👈🙏🙏

  • @shebbytz7111
    @shebbytz7111 5 років тому +7

    Hivi yote hayo niloyaona zilikua ndoto!!!! Duuuuuuh.. Had Nimetaman namm niote ndoto za hv.... #niteke

  • @jrmnyama463
    @jrmnyama463 3 роки тому

    Angaria nyimbo mpy ik UA-cam jr mnyama mdogo ake B2K

  • @gabumuzik1878
    @gabumuzik1878 5 років тому +9

    Am not writing this to gain publicity. I am just here to say that diamond ni simba wa muziki na Harmonize ni nduguye.
    Am from 254🇰🇪 but am very proud to say that this guys are raising the east African music to an international level. Tangia siku za mbagala, kamwambie, matatizo, aiyola kati ya baadhi ya mwanzo wa ndume hawa wawili, ustamihilivu wao na bidii umetetemesha dunia. Sahii kila mtoto ambaye ako na umaalifa wa muziki ana KAINAMA....Wazee nao kwangwaru inazidi kuwa konki kwetu...
    So kama diamond ama konde boy mmeona hii, kaeni mkijua nyinyi ni ma mentor wangu....toka moyoni mwangu na hua mnanipa motisha wa kuandika ngoma kali💥💥💥💥

  • @musajallow463
    @musajallow463 5 років тому +80

    Love swahili songs..
    Love from the Gambia West Africa....

  • @godfrey3926
    @godfrey3926 5 років тому +7

    This guy has to be the top chart in Tanzania..I hear he is genius and most of his music isn't even out yet..🙏🙏

    • @nidjacassper95
      @nidjacassper95 5 років тому

      I like you harmonize you are my favourite artist much love for you🙏💞💕💕❣️💖💗🙏💞💕❣️💖💗🙏💞💕❣️💖💗

  • @keemateebrownkaithe4916
    @keemateebrownkaithe4916 5 років тому

    Mmmm Harmo una manenooo......uzuri wa NYUMBA ni CHOO. Noma sana.....ni kweli kabisaaa

  • @kabughoangella610
    @kabughoangella610 5 років тому +52

    Higher level harmonize
    Love in the building
    African leading higher
    Music for life❤️

  • @jastinekatunzi923
    @jastinekatunzi923 5 років тому +62

    Gonga like Kama unawaona basata wanavyo rudia rudia kuitazama hii ngoma 😂

  • @nhlanhlakalisto365
    @nhlanhlakalisto365 4 роки тому +36

    If you're reading this...are you proud being an African like me🇿🇦😍😍😍😍😍✊

    • @mypanexogamouslineage965
      @mypanexogamouslineage965 Рік тому

      Yes! my Brazil has has always been home to millions of African people whose African roots have hardly changed. I'm talking droves after droves of Africans coming over from 1500s to 2023.

  • @mnyamamkalyidrissa7108
    @mnyamamkalyidrissa7108 3 роки тому +1

    Muhimbie briana wimbo kama huu bro

  • @mchandsometz2644
    @mchandsometz2644 5 років тому +14

    Hii njemba nyoko kisenge inaweza mpaka inaboa +254 gongen like apa

  • @denisaunga524
    @denisaunga524 5 років тому +77

    This guy is truly working hard, let's support his music💪💪💪.

  • @ommyostazz1822
    @ommyostazz1822 5 років тому +14

    Oops! 2in one 🔥🔥🔥🔥🔥
    nyegezi ➕tetema ♒️ NITEKE hahaha genius gonga like Kama tuko pamoja....... 🕺💃🤞🤞🤞🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MaryGadi-o2w
    @MaryGadi-o2w Рік тому +1

    Hongera kaka tz namba 1

  • @meckjosephat6929
    @meckjosephat6929 5 років тому +255

    Jamani mdogo wangu anaomba Like tano tu,, hajawahi kupata 👍👍

  • @Ali-ue5pd
    @Ali-ue5pd 5 років тому +15

    Harmonize uko juuu bro... Nipeni like ya konde boy🔥🔥🔥 #KenyaGang

  • @khadijambaruku2491
    @khadijambaruku2491 5 років тому +104

    Uzuri wa nyumba choo, good song big up broo kondeee BOY

  • @keziaodongo3555
    @keziaodongo3555 5 років тому

    wimbo tamu lkini huyu mwarabu yko stone face sana learn to smile sweetheart tulikuona konde boy alipoenda chitoholi

  • @subeir3498
    @subeir3498 5 років тому +303

    African songs have been devoloped when this guy and diamond Platnzum come to sing!❤🇸🇴

  • @emilymiloyo1111
    @emilymiloyo1111 5 років тому +112

    From 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪with love❤❤❤❤naomba likes zenyu😉😉😉😉😉🤣

  • @danodhiambo7540
    @danodhiambo7540 4 роки тому +7

    Harmonize we as your funs we have to support you and your family.. I can say you did good separating with diamond ...I personally I love you, your family and your songs and even your studio...KONDE GENG
    KONDE BOY.. JESHI
    Wasichezeee jembe litawalima....I really like this point

  • @queenmwende7009
    @queenmwende7009 5 років тому

    Mmmmmh!!!! Harmonize uyu mwanamke anakaaaa xhizi,,,,,ugexhagua tu jackiee,,,,goga like if she lukes like vashta ile xhizi ya maisha magic

  • @MudaneChango
    @MudaneChango 5 років тому +90

    What a hit song Niteke Congratulations #Harmonize you have Golden voice!!🇸🇴

  • @shukrimusa528
    @shukrimusa528 5 років тому +7

    Diamond trained this guy properly..

  • @spikechimpanda7604
    @spikechimpanda7604 5 років тому +15

    +265 🇲🇼🇲🇼has approved it ...the concept is amazing!!!

  • @delavageworldwide1775
    @delavageworldwide1775 5 років тому

    HUYO ANAYE JIWEKA MWANAMKE... SIYO MWANA MKE... AHANA MKUNDU.... NI MWANAHUME... ALIYE JIGEHUZA...

  • @zakariaahmed4225
    @zakariaahmed4225 5 років тому +21

    I'm from 252 Somalia we love our neighbours Kenyans 😍😍😍

  • @razakjuma9140
    @razakjuma9140 5 років тому +7

    For the first time naikubali nyimbo kutoka WCB! The boy has nailed it!!

  • @happyphaniah4968
    @happyphaniah4968 5 років тому +6

    🤣🤣🤣🤣niiko tyu hapa namwangalia sara mapensiii kumbe anafaa kua video qeen!! Yuko vizur🤗🤗🤗🤗😍

    • @fatmaissa6681
      @fatmaissa6681 5 років тому +1

      Happy Phaniah tatz Sara hachekiiii

    • @happyphaniah4968
      @happyphaniah4968 5 років тому

      @@fatmaissa6681 😂😂🤣🤣🤣 kwel,yuko siliazi sana sujui anawaza mapensiiii ya harmo wake

  • @francisshake8016
    @francisshake8016 5 років тому

    Utamu wa nyumba choooo kweli watanzania mko sawa kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @naomiwhite3832
    @naomiwhite3832 4 роки тому +6

    Ngoma tamu kweli can't get enough of it guy's ya killed it here ya never disappoint dude wish ya happy marriage life

  • @ashasinaidah9994
    @ashasinaidah9994 2 роки тому +5

    I don't know how many times I will keep on watching this feeling loved

  • @cawilcabdi8392
    @cawilcabdi8392 5 років тому +16

    First view from Somaliland
    team harmonize💙🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @GiftWinnertv66
    @GiftWinnertv66 5 років тому +1

    Goma nayikubari kabisa big up sana

  • @ramadhanminani314
    @ramadhanminani314 5 років тому +17

    Video nzuri umeitendeya Hali,sarah kacinja kinoma.big up bro

  • @Francis-Armah
    @Francis-Armah 5 років тому +73

    Love you from Ghana 🇬🇭.... ur voice is peaceful 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @OrecyOwden
      @OrecyOwden 5 років тому

      New artists brilliant brand

  • @saudyaziz336
    @saudyaziz336 5 років тому +5

    Harmonize you and Sarah rocked it! Your a cut above the rest!! Dont worry about the 1000 haters look at the 17,000 likes. Thats why you thrive. Sarah is a queen, a woman of few words on media but her stunning looks make an absolute statement!!!!!

  • @rajabumayowa7521
    @rajabumayowa7521 5 років тому

    Umetisha mzee nyie ndio mnaofany mziki wa bongo kufika mbali hakika wcb mfano wa kuigwa

  • @pazzobizzy
    @pazzobizzy 5 років тому +15

    Kama umemuona Sara humo piga like ako twende sambamba🔥🔥🔥🔥😂😂

  • @xeddiem9096
    @xeddiem9096 5 років тому +11

    Nothing comes better than this!!! Big up my main man Harmonize.

  • @ekleinzy7576
    @ekleinzy7576 4 роки тому +48

    Am a Nigerian I love this music very much. I never skipped a day without playing this awesome track and all his songs are dupe! Keep winning. LG

  • @nikomaskani
    @nikomaskani 5 років тому

    Kinda boy nakuaminia ukizuru kenya naomba ukipata mda tukutane unanifunza mengi mzito kaka moja akuzidishie.

  • @Mohamed-oj3sl
    @Mohamed-oj3sl 5 років тому +96

    Likes za EAST AFRICAN Citizens 🇰🇪 🇺🇬 🇹🇿 🇸🇴 🇸🇩
    #001