Big Up Wasafi kwa show LA aina yake! Guys mpo so cool mmezungumza vitu very sensitive na hii ni Huge support to both Kenyan na Hapa Tanzanian Artists #Tuko vizuri mazee...Tujaliane Sisi ni Wamoja#
In order to reach the world you have to blend, the reason why this bulshit crap nonsense of the year called gengetone not going beyond the ghettos of Kenya is no one understands that crap sheng outside Kenya.
Do not take rap music to America take something not there like mugithi, Otile brown should collabo with kamba artists alafu ajiitee KATILE MWANA WAKATILE MWANA AU WAKANESA KATILE
Thank you Ommy and Wasafi Media for taking Kenyan Music far.... Femi One/King Kaka/Kaka Empire #Utawezana, lazima kieleweke Tz. Strong sana.
ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html Kaka Femi
WAKENYA TUKO HUKU HEBU NIPE LIKE MAJAMAA
Amazing video. Uhusiano maalum na nchi Jirani. Big up King Kaka na Femi kwa kutuwakilisha 🇰🇪
Kama umegundua Tanzania na Kenya tunawezana Gonga Like yako kuuuubwa
🇹🇿🇰🇪 🔥🔥🔥🔥
Tz to Kenya ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html
Tz na kenya wanavurugwa na wanasiasa tu...ila kiukweli wananchi wanapendana
Very true
Kusema kweli Kenya na Tz ni marafiki wakubwa sana! ndani ya east Africa pamoja sana......
ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html TZ TO KENYA
We Oooliskilia wapi??😂😂
Hatuna urafiki wowote..Acha unafiki..
Mm n mkenya n kweli n marafiki
Ni chuki za kijinga tu wabongo mko nazo kwetu na sielewi za tokea wapi Sisi ni mashemeji jamani tuishi kwa umoja
King kaka love his replies so mature n cool.
Yani uko wasafi na uko na courage ya kusema Ali Kiba ndyo namba moja daaaa
😂😂😂😂😂😂 umeupigaje hapo
Akusema. Yeye. Alinukuu. Kwa. Mbongo kwenye mtandao
Femi katoka kula zege, noma sana.
Karibu Tz, Kenya ndugu zetu wa damu.
Tz to Kenya ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html
Salute sana kwa Femi1
From mza, TZ 🇹🇿🇰🇪
Tz to Kenya ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html
Wow thanks wasafi for promoting our people meeeeen much blessing
Tz to Kenya ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html
Alikiba ni number moja
This is not promoting is interview
TZ wanapenda venye Kenya wana ongea Ed Kenya tunapenda venye Tz wanaongea 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍😍🤔🤔🤔
Yaani hivo 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kumbe na wew umegundua hilo eee 😅😅😅😅
@@abdulazizi3219 nimeona, 😂👍👍👍👍👍
Ni kweli kabisa
ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html Kaka Femi
Big Up Wasafi kwa show LA aina yake! Guys mpo so cool mmezungumza vitu very sensitive na hii ni Huge support to both Kenyan na Hapa Tanzanian Artists #Tuko vizuri mazee...Tujaliane Sisi ni Wamoja#
Dah lil omy ujawai kuniangusha kwenye interview zako. Bonge la interview WCB for life 🇹🇿🇹🇿.
Tz to Kenya ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html
Femi 1 she make Kenyans ladies femous keep it up gal u are our star Kenya tunajivunia
Kenya na Tanzania ni ndugu wa toka nitoke...ijumuishwe iwe nchi moja
Mungu aibariki East Africa
Thanks Tz kwa mapokezi yenu. Sisi mandugu kweli
Huyu kingkaka yupo vzuri sanh, smart sanh huyu jamaaa💪💪💪
King of the...... lilommy kizasi xana namkubali xana king kaka
Kaka Na Femi si wamestruggle na swa..hehehe... Wakilisheni Sheng Manze
Femi hiyo ragi ya nywele na kucha nimependa coz unajuwa kweli hii ni week ya mwananchi kweli ww ni m255
💛💚💛💚💛💚✌️
Our King Kaka and Femi One
Dahh kweli kiswahili cha Kenya amaizing sana an
haha wakenya tunapenda mnavoongea pia
Kiswahili cha tanzania ndo kitamu kabisa..siku moja natamani kuongea kama watz
@@gytaohythirah6285 Unaweza
Femi and Kaka avoiding sheng hadi mishipa zinatokea
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂💯
In order to reach the world you have to blend, the reason why this bulshit crap nonsense of the year called gengetone not going beyond the ghettos of Kenya is no one understands that crap sheng outside Kenya.
@@Moses-Kuria aiii funga mkuuundyu
Much respect to our king kaka empire
Mturudishie femi wetu tafadhali.... Story za femi ni mtanzania mtasahau 💪#tanzania 🇹🇿 #kenya 🇰🇪
Tz to kenya ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html
Kwn cc tunashida nae au tz imfata au yy mwenyewe ndo kashoboka na bong
Gonga like yako kama wee ni mkenya na unapenda mziki wa nyumbani
Stamina wa Kenya hapa nkiwa Nchini Kenya...Ambia Stamina wa Bongo I'm coming...
Utaweza zile punchline za stamina?
Salute mkuu
ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html Femi
Nawapenda sana Wakenya, jaman tupendane😁😍
Tz to Kenya ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html
Wanasiasa ndio hutugawanya. Sisi no one 🇰🇪
We love Tz too , Sisi ni Wandugu.
Femi one dah nampenda huyu dem.
Napendaga sana 👑 Kaka anavyoongeaga,
Tz to Kenya ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html
King Kaka anajua Sana
Peace Love and Unity...#onelove.
Femi one mzuri Sanaa napnda wakenya wanavyoongea
Tz to Kenya ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html
I was the one to support utawezana song in SeaTac
No fuck boys wangapi wameona hii like twende sawa
Kwenye fulana ya @Femi
Hiyo T-shirt Duuuuh
ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html Kaka
Hehehe pia Mimi nko hapa
Wapi likes za lilomy for taking our queen to the world
254 for life
oooh
Nimempenda femi one ghafla hata sijuwi kwanini karibu tz anyway
We love you Femiii and King kaka 👊👊👊
Mwambie diamond platnumz aongezee viti viwili au sofa moja! Watu wanasimama hiyo studio kubwa bro
Sio kazi ya Diamond kuna interior designers na mweka hazina you need to talk to hao watu
Personal bodyguard hao,hawawezi kaa
ua-cam.com/video/NLv5NsleRks/v-deo.html
@@georgegeorge3316 they are human too keep that in mind.
@@kayvivien5486 ushawai kuona bodyguard anakaa
NIMEZAMA GHAFLA KWA FEMI😍😍
Inaonekana tutahamia tz sasa🇰🇪
Femi Uno ,King Kaka ,Kubwaaaaaa Mnakujaga Kenya pia😀 anyway Great interview!
ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html Femi Kaka
Bongo artistes wakija huku wanatry kubonga kama Kenyans kumbe the same affects Kenyans. Be yourself.
Yes... Just be yourself
Tanzania 🇹🇿 inthe house
Tz to Kenya ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html
KAMA MNAIROBI NAWAPENDA NYOTE WATIZEDI WENZANGU. ILA SWAHILI YENU SAFI SANA NAHITAJI SISTER-DO ANIFUNZE LUGHA VIFRESHI. 🇰🇪🇹🇿🔥✨💐
Let me appreciate Ommy.
Man did his research so well on king kaka and kaka empire, good job man.👏👏
Interview iliweza Sana but Femi One next time bonga tu sheng yetu ya kawaida, chorea swa! Achia hao wasee Kiswahili hahaaa
King kakaaaaa... Nikiwa mlolongo nakupata tuuu
Nawapenda King kaka an Femi.
I love the show from kenya
kweli
Napenda xna kixwahili cha wakenya
Asante bro
Sante mwanetu. Pia tunawapenda
Tumeanza kuwacopy was tz
Ni kiswahili cha bara ya Kenya hicho...pwani ya kenya kiswahili chetu kipo safi km vile cha Zanzibar tu
kiswahili sheng na english kenya to the world
King kaka bloody we n msomi
Awoow wat agreat surprice .our own artist
Yani DJ ommy analipenda sana hilo neno la "and stuff like that", kwenye interviews zake zote lazima aseme, sijui kwanini jaman
You already know,Kizazi sana nayo anayapenda sana.....
Yani mpaka anaboa
LilOmmy sio dj Ommy
Support the group Tanzania gonga like
Kenya we shining
Dada umefanana na eve mwanamziki wa America Sana Tena sana
Eve ndiye afanana na femi..original
Tz to Kenya ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html
Wallah hujakosea yan kama yeye duh!!
Sema eve alikua kimbaombao
@@dedankimathi8306 hahaaha
Kenya To the World
Hii Swa yote Femi umetoa wapi...damn....hivyo ndio umeomokea Tz?!!
Thank you Ommy na Yule mzupa kwingine... coming there to do a collaboration with Joti
Tz to Kenya ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html
Next guest otile Brown #dusuma #watoto na pombe new album just in love album ita yeye plzz from +254
Those songs are rubbish here in Tanzania this is the land of love music so otile hafurukuti hapa tz
@@Moses-Kuria acha roho mbaya kwendraas Tanzania we do lv otile brown
@@Moses-Kuria I hope your out of mind bro wee mwenywe kwa familia yenyu akuna msanii ...roho chafu sana
Do not take rap music to America take something not there like mugithi,
Otile brown should collabo with kamba artists alafu ajiitee KATILE MWANA WAKATILE MWANA AU WAKANESA KATILE
@@Moses-Kuria I don't urge immaturity pple like u and stupidity cases like u OK ....
ila wakenya wakiongea kiswahili lazima watie kizungu
Hawajui ata azziad kama mimi😂😂😂😂 "ule wa kucheza tiktok"
TZ TO KENYA ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html
Washo wabonge swa ya Nairobi ... buda !!
Mtawezana ama mtanipa likes
Tz to Kenya ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html
Jaribu mimba Mutawezana 🤣🤣 utani kidogo kazi nzuri 🤞
King kaka anasaut nzur
Wow...like it☀️
Ah femi hapo mwisho ulichoma bana Ni niniiiiii🇰🇪😁
😂😂
😂😂
🤣🤣🤣🤣
interview nzuri sana
We loves you kenyans,
likes zenyu pleaze
Nanikasikiya alikiba number 1
Wasafi huyo Femi, T-shirt yake mngeweka blur kuficha hayo maneno No fc## boys ...
femi uno❤️
Utawezanaa
Half man half amazing au half man half amazingly?
Noma sanaaa 👊 👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
mm nacheka hao mabaunsa wanalinda nini ndani sasa ila wasafi mnajishusha sana mbwembwe zingine zq kitoto sana
King kaka🤴🤴
Wakenya.."Hivi TZ hakuna corona?😀" Mkawaambie wenzenu huko Kenya
ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html TZ to Kenya
😁😁😁😁
Sisi tulishapona pia
Utawezana hit song in tz🔥🔥🔥(tik tok)
Tz to Kenya ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html
Watanzania tunapenda kiswahili chenu lakini mnatukatishia kwa kuweka uzungu mwingi ndani ama mtu asipoongea hivo itakuwaje?
Bt as long as amelelewa Kenya kung'ata ni lazima
Hahaha kweli ridhika na namba yko
Mm ni mkenya....and I love Kenya no matter what
Penda kilicho chako kwanza huwezi penda nchi ingine na wewe sio wa huko
@@noxlosingida2369 daima mm mkenya mwana nchi mzalendo
ua-cam.com/video/p-jovrAc4ak/v-deo.html
Ommy broo nakubar can show zako
Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kaka Mshana kaskia BOLO tu hapo hahahahahah... Kaenda mbaaaaaaali
Lil ommy ni bonge la presenter
Wasafi FM tunawataka Tunein please 🙏
King kaka na stormzy....like to confirm this
Nomaaa sana ommy mnyama
Femi ukona ukikuyu mingi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu femi1akubali kwamba azziad nasenya ndie alifanya hiyo ngoma yake ijulikane bila azziad haungekua hapo..
Ni ngoma ilifanya azziad ajulikane
Kazi nzuri
Nakubali sana
Wow coming there soon
Tz to Kenya ua-cam.com/video/0gpn-0SOXeA/v-deo.html
Kama umeona NO FUCK BOYS nipe like yako
Kingkaka is smart