WANANCHI ARUSHA BADO WANAULIZA ALIPO MAKONDA, OFISI YAWAJIBU "ALIANDIKA BARUA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 169

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 2 місяці тому +34

    Team Makonda Ukombozi,
    Hii timu ilisaidia sana wafanyakazi ktk ofisi za ardhi kuamka, walipata haki zao,wengi tuliokua tumekata tamaa, tumedhulumiwa ardhi zetu tuliamka na kuanza kujua haki zetu😢
    Makonda ni zaidi ya mtumishi wa umma!!

  • @Nunshumutwafa
    @Nunshumutwafa 2 місяці тому +3

    I love you MAKONDA❤❤❤ tokea KAGERA KYERWA.

  • @kristenongo7094
    @kristenongo7094 2 місяці тому +17

    Tunamoenda sana makonda MUNGU tunaomba amlinde makonda

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 2 місяці тому +7

    sio kweli likizo asingeacha hata kupost vitu muhimu kwenye pg zake huu ni uongo kunakitu wamemfanyia 😢😢😢😢

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 2 місяці тому +9

    Mungu amponye TUNAMPENDA MNOO MAKONDA

  • @StellaMalando
    @StellaMalando 2 місяці тому +6

    Ni kweli tuambieni yuko wapi??😢

  • @AGNESSJOHN-v2g
    @AGNESSJOHN-v2g 2 місяці тому +13

    Siyo arusha tu hata mwanza watu wanazulimiwa haki zao yaani mungu ashushe moto kabisa waangamie hao walioyomufanyia makonda

  • @baruaninombo291
    @baruaninombo291 2 місяці тому +16

    Hautakufa baba bali utaishi baba tunakuombea ulipo waaibike naurudi nyumbani baba😢😢😢😢

  • @SKYMACKTANZANIA
    @SKYMACKTANZANIA 2 місяці тому

    Mama samia , tunakuomba , utusaidie kwa hili , sisi ni wananchi wako , tunaomba ufanye juu chini utusaidie makonda wetu , arudi kazini katika mkoa wetu wa arusha.

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 2 місяці тому +23

    CCM ni waongo Sana wanafiki yasiwe yale ya Magufuli

    • @JosephKaka-nh3co
      @JosephKaka-nh3co 2 місяці тому +2

      Ykiwa kama ya magu aki ya mungu sipi tena kura

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 2 місяці тому +7

    Tz. Ni nchi kubwa sana kwanini msitenge ikawa nchimbili tofauti. Mana matatizo yanazidi kutojua viongozi wanaelekea wapi

    • @hamisimwinzagu6624
      @hamisimwinzagu6624 2 місяці тому +1

      Ilo NI la maana Sana hii nchi igawanywe Tu iwe nchi mbili nakuunga mkono

  • @MirajiMbolile
    @MirajiMbolile 2 місяці тому +18

    Hii ndio Tanzania , na tanzania inaendeshwa na kagenge kadogo tu na hako ndo kamewalazimisha watanzania milioni sitini na zaidi kuonekana kichwani hatuna kitu ... tuonekana kama watoto wadogo .

    • @mandelaerick
      @mandelaerick 2 місяці тому +2

      nitafute asee braza una akili Sana ndugu yangu

    • @JosephKaka-nh3co
      @JosephKaka-nh3co 2 місяці тому

      Hii mtu kupewa sumu na asiyejulikana
      Au kutekwa na asiye julikana
      Ccm tutai eka chini nchi iende ata bila chama

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому +6

    Makonda kabadilika sana ,inavyoonekana katubu na kuomba toba kwa mwenyenzi Mungu.

  • @elishamkasu5191
    @elishamkasu5191 2 місяці тому +17

    Tumuulize Mwamposa mala ya mwisho siwalikua wote kwenye hayo mashindano..

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 2 місяці тому +2

    Allsh ni mjuzi waw juzi hujua tusiyo yajua oooh allsh tupe amwni yarab

  • @EmmanuelLupoja
    @EmmanuelLupoja 2 місяці тому +6

    Tunaka majibu kwa serikali mimi niko mwanza mtuambie ameenda likizo ya wapi ambako hakuna watanzania

    • @onelovetz7935
      @onelovetz7935 2 місяці тому

      Kibondo kigoma nakupata hata sisi tunauliza kipenzi Cha TAIFA

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 2 місяці тому +20

    Hii ndio Africa. Anaewatumikia wananchi ipasavyo ndie asietakiwa.

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 2 місяці тому +2

      Kweli 😕

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 2 місяці тому

      @@IddiKhamis-u6c Inauma mno mno mno .

  • @mrimaniyamtu
    @mrimaniyamtu 2 місяці тому +1

    Mungu yupo

  • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
    @MaryMichaelMaryMichael-i7o 2 місяці тому

    Makonda wetu tumemiss Arushaa jamn YESU KRISTO mtetee uy shujaa wetu

  • @ElizabethThomasi
    @ElizabethThomasi 2 місяці тому

    mungu musaidie muja wako tunakuombea makonda 3:49 3:51

  • @joycepeter5110
    @joycepeter5110 2 місяці тому +7

    Mimi nashangaa kwani kama anaumwa si waseme tumuombeee!!!!kwanini wanamsemea na kwanini asiongee na wananchi?

    • @NEEMAJOHN-r7j
      @NEEMAJOHN-r7j 2 місяці тому

      na hata kumchangia tupo tayari mm nakaa kahama

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 2 місяці тому

    Tunamupenda sana makonda ateuliwe zanzibar kama hamtataki sisi tunamtaka uku zanzibar awe japo wazir

  • @estherkibajiro3480
    @estherkibajiro3480 2 місяці тому

    Wao wamfiche lakini sisi watanzania tunachohitaji ni uzima wa makonda shujaa wetu

  • @SarafinaMagembe-ct6hs
    @SarafinaMagembe-ct6hs 2 місяці тому

    E mungu mlinde makonda wetu

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 2 місяці тому +3

    Kazi.mnayo.kwakweli.polen kwa yote mapumziko ya kawaida na cm atumii

  • @annahilonga3550
    @annahilonga3550 2 місяці тому

    God heal this man we love him indeed

  • @hamzaally2283
    @hamzaally2283 2 місяці тому +14

    Kaka Ayo naamini unamawasiliano nae. Ukimpigia sim anapatikana??

    • @PeninaRoger-me4vo
      @PeninaRoger-me4vo 2 місяці тому +4

      Tunaomba makonda apigiwe simu tumalize mzizi wa fitina tunamuomba mkuu wa mkoa arudi

    • @AMINAJUMA-l4z
      @AMINAJUMA-l4z 2 місяці тому

      Ni.kweli afanye ivyo

  • @NgassaThomas
    @NgassaThomas 2 місяці тому

    Je pazia
    Liko 0:00 vibaya sana mtu ambaye anatetea mali ya watanzania anakufa haraka kwnn

  • @mohdkhalifa8828
    @mohdkhalifa8828 2 місяці тому +1

    Mtihani sana kwa mtu mkubwa km.uyo kukumbatia watu sana sio wote wema

  • @steveprosper4084
    @steveprosper4084 2 місяці тому

    Kweli binadamu anaweza muona binadamu mwenzie mungu ndiyo ujinga wenyewe huu pimbi mtu kumsifia mwenzio mwenyewe no sasa siujinga

  • @AidaBamja
    @AidaBamja 2 місяці тому

    Mkuu makonda ludi jamani huko ulipo tupate kutulia ce watu wako, binafs napenda uwajibikaji wako wa kazi nakukubali haswaaaaaaa

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 2 місяці тому

    Nadhani ni busara kutoa tamko kumuhusu kuliko kukaa kimya au kutoa taarifa zinazozua gumzo na taharuki.
    Ni vizuri wananchi kupata taarifa kuhusu viongozi wao.
    #MunguIbarikiTanzania

  • @FatumaMombo
    @FatumaMombo 2 місяці тому +1

    Milard Ayo hebu mpigie simu bwana tunaimani unanamba zake

  • @AngelMazola
    @AngelMazola 2 місяці тому

    Tunaumia sana bas tu hatuna jinsi WATANZANIA

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 2 місяці тому +7

    Kwanini mulize je mmefika nyumbani kwake

    • @joowlyngiga5386
      @joowlyngiga5386 2 місяці тому +8

      Makonda asipo onekana kwenye 30 mnaotwambia sisi kama watanzania tutaandamana mpaka serikali iseme mahal alipo

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r 2 місяці тому

      ​@@joowlyngiga5386utaweza ndugu

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 2 місяці тому

    Mwenyewe roho yaniuma juu ya huyu makonda jaman anatetea watu

  • @DelphineBanza-i3b
    @DelphineBanza-i3b 2 місяці тому

    Watu wazuri wana pikwa navita Khali, kamavile yesu.

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому +4

    Makonda yupo mzima kabisa tena wa afya njema kabisa.

  • @kitwanabugatti
    @kitwanabugatti 2 місяці тому

    Hii nchi bora tuendelee kupanda juu ya meza tu mambo ya siasa tuwaachie wanyew

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 2 місяці тому +7

    kiongozi nae anashida na trending😊,kajificha kusudi tu,,hii mbaya sana....magufuli walimficha wakamtoa maiti...ivo ivo

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 2 місяці тому +1

      Huna akili, huyu ni muajiliwa sio Diamond

    • @morjanoman5181
      @morjanoman5181 2 місяці тому +1

      Kwakweri. hii ni shida WA tz tumezoea zuluma ndio maana awamtaki mtetezi WA wanyonge.

    • @HASSANBAKARI-q9c
      @HASSANBAKARI-q9c 2 місяці тому +1

      @@muksinimbaruku1233 sasa waliokuajiri kina nani??

    • @morjanoman5181
      @morjanoman5181 2 місяці тому +1

      Baba yetu. Maguful alifichua madudu wenye vyeti feki atimayake nini ayupo dunia atumuonitena sasa kaletwa makonda inajiludia shida nini. Tz badilikeni tuishi kwa upendo

  • @GomwoMisago
    @GomwoMisago 2 місяці тому

    Ushauri wangu kwa wananchi wa Mkoa wa Arusha ni kwamba kama Mheshimiwa Paul Makonda yuko likizo alipo siyo ahera wa nje ya nchi ningeomba wenye pesa zao wamuulize Rasi yuko wapi kusudi baadhi ya watu waende kuhakikisha kama kweli yupo mapumziko hayo ndiyo maneno

  • @SwalehOthman
    @SwalehOthman 2 місяці тому +1

    Iwe ni kweli ni likizo kama sivyo kitamramba alosema Yuko likizo

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 2 місяці тому +1

    Wakuu wa mikoa wote wanafanya kazi nzuri
    kila mtu ana aina yake ya uongoz
    kuna ambae haongei na anafanya vizuri
    kuna ambae anaongea na anafanya vizuri

  • @SaraMwaiti-kr6gq
    @SaraMwaiti-kr6gq 2 місяці тому

    Jaman wanadam ni wabaya kama kwel walimpa sumu makonda kwan huyo yy ataenda wap?

  • @AshirafuRajabu-uz4bt
    @AshirafuRajabu-uz4bt 2 місяці тому +1

    Waseme TU kweli maanahatuelewi

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 2 місяці тому

    Nakumbuka mwisho alikua na mwambosaaaaa kwan yy anasemaje

  • @HOOFCLANMEDIA
    @HOOFCLANMEDIA 2 місяці тому +3

    Am from Kenya but if u loose makonda u loose everything in tanzania

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 2 місяці тому +4

    Familia yake ndiyo inajibu kamili na mkuu wake wa kazi. Ila akiwa nje ya kazi ni mkimya sana. Week ya mwisho ya likizo ya umma.

  • @dechardavid2555
    @dechardavid2555 2 місяці тому

    Sukumaaa ndani

  • @musichealsTz
    @musichealsTz 2 місяці тому +1

    Kila mtu mzuri akiibuka, basi yaani

  • @Rahima-kv6mn
    @Rahima-kv6mn 2 місяці тому +2

    Tanzania yetu ukiwa Kiongozi Bora Yaan wanakutoa Roho kweupe. Jua linawaka mana wao washazoa zurma sie wanyonge tushazoea maisha yetu ya kusukumwa sukumwa inauma sana lakini atuna wakututetea Eeeh Mungu simama kwa hili 🙏🙏😭😭😭

    • @hamidamussa-sy4fm
      @hamidamussa-sy4fm 2 місяці тому

      Kama ndio ivo mimi siwqpi kula tena

    • @Rahima-kv6mn
      @Rahima-kv6mn 2 місяці тому

      @@hamidamussa-sy4fm Usipo wapa Kula yako wao wanaiba tu hao wezi wa kila idara 🤣🤣🤣😭

  • @NELLYMBELLA
    @NELLYMBELLA 2 місяці тому

    Mungu mwenye rehema naomba murehemu makonda mlinde baba pia wewe ndiye uliye muumba mzingile na damu Yako iliyomwagika msalabani

  • @BukinduShilingi-g5z
    @BukinduShilingi-g5z 2 місяці тому

    Mh!!! 😮😮

  • @Danny-d9m
    @Danny-d9m 2 місяці тому

    mrudishen makond wet

  • @elizalutiga6287
    @elizalutiga6287 2 місяці тому

    Daaaaaaaaah

  • @AsiaKauya-wh3ty
    @AsiaKauya-wh3ty 2 місяці тому

    Kama makonda yupo likizo kwanini asiongee chochote wananchi wakasikia ili kupata faraja ni likizo gani hiyo jamanyyy. Ila hii nchi hapana

  • @DicksonJaphet-fq7ov
    @DicksonJaphet-fq7ov 2 місяці тому

    Tunaomba serikali isipuuze hili jambo 😮

  • @SethJohn-x9f
    @SethJohn-x9f 2 місяці тому

    Semeni ukweli bana alipo Makonda acheni mambo mengi

  • @salmaalimusa6809
    @salmaalimusa6809 2 місяці тому +1

    Tunamtaka Makonda wetu

  • @irenejoh1242
    @irenejoh1242 2 місяці тому +4

    Walimrudisha kwenye uongozi ili wammalize vizuri,,,😢 mbna wapo kimya sasa😮

  • @EmmanuelLupoja
    @EmmanuelLupoja 2 місяці тому +1

    Ifike hatua wabongo tuache uoga mana tunaonewa tu na tunakaa kimya hii ni zalau

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 2 місяці тому

    Makonda anajua kua ukiabudu Mzungu (Yesu) watakufanya chochote. Alianza kujitapa kwamba walijatibu kila ayina wakashindwa. Kumbe walikua wanamsoma wajanja Ili wamjanjue kama vile kwa Magufuli. Ndani ya dini ndo masikini wengi hupatikana, waginjwa wengi ndani ya makanisa,.... Watu turudi kwenye asili zetu tuangalie kama wataweza

    • @mamita336
      @mamita336 2 місяці тому

      Yesu sio mzungu ndugu Israel ni Asia asili ya waebrania ndugu ya waarabu watoto wa baba mkubwa na mdogo Yani Ismael na isaka

  • @oswiitvonline6514
    @oswiitvonline6514 2 місяці тому

    Kwani Milard nyie hamuwez kwenda nyumbani kwake 😅😢

  • @gohimtv2504
    @gohimtv2504 2 місяці тому

    Mmmh ni mgeni kuona mkuu wa mkoa fulani anakaimu nafasi ya mkuu wa mkoa mwingine.. Eti yupo likizo, kweliiiiiii

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 2 місяці тому +1

    Arusha na Dar es salaam

  • @nicholausmahenge8247
    @nicholausmahenge8247 2 місяці тому

    Mtu anaejua makonda alipo ni
    Mama ake na mke wake na serikali
    Wengine ni kuwachosha kuuliza
    Ishu ni moja
    Mama
    Mke
    Rais full stop wanajua aliko

  • @ZenaUsangi
    @ZenaUsangi 2 місяці тому

    SAFI SANA KK KUWEKA PICHA YA MAKONDA KWENYE GARI YAKO MAKONDA ANATUPA FARAJA KWA UTENDANI WAKE WA KAZI UNAONA NINAMNAGANI JPM AMEMPIKA AKAIVA.TUNAKUPENDA SANAAA MAKONDA

  • @sharoshine9984
    @sharoshine9984 2 місяці тому

    Toka 85 mpk leo bd unarnsha taxi

  • @lucasmassawe4992
    @lucasmassawe4992 2 місяці тому

    Mbona sijaelewa hii habari

  • @evalema470
    @evalema470 2 місяці тому

    Hapa tuhesabu siku 28 walizosema.

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 2 місяці тому +2

    Watasema tu

  • @RehemaMmary
    @RehemaMmary 2 місяці тому

    Binadamu hawana wema ata ufanye nini hawaridhiki.

  • @zitojosempakama8918
    @zitojosempakama8918 2 місяці тому

    Sasa nyinyi wanaarusha mbona amuandamani na mukaenda kundai kiongozi wenu? Nyinyi ni waoga sana

  • @ezrakaturitsaofficialtz7873
    @ezrakaturitsaofficialtz7873 2 місяці тому

    Wananchi endeleeni kupiga kelele tuujue ukweli

  • @SaidiPala
    @SaidiPala 2 місяці тому

    Tatizo watu wengi Mirad unaowahoji.wahoga wa kuongea njoo kwangu nitaongea Kwa msisitizo zaid.mpka wamludishe.

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 2 місяці тому +1

    Si waandamane ili alipo wamuachilie kama wanampenda sio kujiuliza tu

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r 2 місяці тому

      Hawana ubavu huo watapigwa vibaya mno Tanzania yangu siyo ya kutenda haki mda mwingine

  • @mohamedmacha
    @mohamedmacha 2 місяці тому

    Au katekwa?

  • @IgnacioAndrew-rj8pd
    @IgnacioAndrew-rj8pd 2 місяці тому

    Sasa mara anaumwa mara anatibiwa tushike lip?

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 2 місяці тому

    Naomba kuuliza, hivi rais anaendaga likizo? Au baadhi ya vyeo?

  • @ezrakaturitsaofficialtz7873
    @ezrakaturitsaofficialtz7873 2 місяці тому

    Hajamaliza mwaka inakuaje awe na likizo

  • @storytownTv
    @storytownTv 2 місяці тому

    R.I.P Makonda , me sitak kusubir mambo yawashinde waanze kutusumbua saa 6 usiku kutupa taarifa za majonz kama walivyomfanyia legend UNCLE MAGU kunamtu ataona sina akili haya shaur yetu Watanzania

  • @NgassaThomas
    @NgassaThomas 2 місяці тому

    Makonda jasili sana kama Magufuli ushauri wangu tumpe kura ya urais kwanza agombee urais tuko bega kwa bega Paul Makonda tuongoze sana ww unafaa ili tumalize na madeni yamezidi sijui kwa nini ambapo yaliisha tunakuomba fanya hivyo ma

  • @jofreyjoshua7672
    @jofreyjoshua7672 2 місяці тому

    daah no one like makonda

  • @NgassaThomas
    @NgassaThomas 2 місяці тому

    Ss tunamtaka Makonda wetu kula sumu mbona limekuwa jambo rahisi sana watanzania tuchunguze kuanzia kwa Magufuli na huyu uongozi kuna nini hapo

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 2 місяці тому

    Si ajitokeze tu kwan lazima wamsemee et mapumzk si unaandik twitter au unaingia live jaman

  • @ezrakaturitsaofficialtz7873
    @ezrakaturitsaofficialtz7873 2 місяці тому

    Hakuna mapumziko hapo tunapigwa na chuma kizito

  • @ezrakaturitsaofficialtz7873
    @ezrakaturitsaofficialtz7873 2 місяці тому

    Kuna siri nyuma ya pazia

  • @oswiitvonline6514
    @oswiitvonline6514 2 місяці тому

    Au hao wananchi wanaoandamana hawawezi kwenda nyumbani kwa mkuu wa mkoa wao mbona ni waoga hivyo jamn tz bhana acheni unafik bhana

  • @beatusmajumbi7125
    @beatusmajumbi7125 2 місяці тому

    Kwa mujibu wa Dr slaa hata kifo cha magufuli tulidanganywa tarehe hizo ndo hekima za bongo kuficha visivyofichika

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 2 місяці тому

    Kwani mkisema yupo jamani watu wanamtafta

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 2 місяці тому

    Malaika huwapenda zaidi tuwapendao Sana: They say.
    Na kama malaika wamempenda zaidi atakuwa amekilisha mission yake !!!

  • @healingclinic698
    @healingclinic698 2 місяці тому

    Tutajua tu rikizo ya mtumishi wa serikali si ni mwezi mmoja tutajua tu mtatwambia baada ya mwezi ameongezewa rikizo au laaaah!!!!

  • @PatrickLugonya
    @PatrickLugonya 2 місяці тому

    Serikali Kwan hamjui mtu huyu Yuko wap

  • @georgethomas1478b
    @georgethomas1478b 2 місяці тому

    😢😢😢

  • @StevenNyanguye
    @StevenNyanguye 2 місяці тому

    Mbona mwamposa anaweza kututafuti kwa nn asitusaidie

    • @NgassaThomas
      @NgassaThomas 2 місяці тому

      Kama mwamposa alikuwa naye amletee Makonda wetu ss bado tunamuhitaji sana

  • @paskalsulley
    @paskalsulley 2 місяці тому

    Tunamtaka makonda wetu jamani

  • @Joh-p9f
    @Joh-p9f 2 місяці тому

    Kwani wakisema ukweli kuna shida.?

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 2 місяці тому

    Ndo maana ya kuwa mkuu bora mbona wamikoa mingine hawatafutwi

  • @RahelPetro-ro3yn
    @RahelPetro-ro3yn 2 місяці тому

    Serikali ya ccm iseme Yuko wapi makonda maana 202i ilituacha mdomo wazi kusema raisi anatusalimia kumbe hayupo sasa watanzania wamesha ogopa sana Kwa mtindo huo

  • @MandoliiMoshi
    @MandoliiMoshi 2 місяці тому

    aseee acheni ufala makonda ndo nn asee waarusha mnanifelisha mnakuwa kama wa bongonyoo asee yan mtu amekuja kuwafuka mota hapa alafu mnamnyenyekea aseee cc ndo wachaga huwa hatufungwagi mota kiivyo et