WATANZANIA WANAZIDI KUZIPAMBANIA FURSA WAKIWA CHINA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 вер 2024
  • #YIWUCHINA#FUTIAN#SILENTOCEAN#MILLARDAYO
    Kampuni ya Kitanzania ya SILENT OCEAN inayofanya kazi zake za kusafirisha mizigo kutoka China na Dubai kuja Afrika kiwemo Tanzania inaendelea kuwahudumia Watanzania kwa kuweka matawi kwenye nchi ya China hapa ni mji wa Yiwu sehemu lilipo soko la Futian.

КОМЕНТАРІ • 96

  • @batromeonassoro3273
    @batromeonassoro3273 4 роки тому +20

    Hii safi sana kwa sisi wapambanaji, vipi sasa kuhusu mawasiliano ya huko mkuu maana wengine tunaweza tusifike ila tukawa tunaagiza tu tuweke sawa hapo kaka

  • @upendowakwelinaamani1060
    @upendowakwelinaamani1060 4 роки тому +21

    Kati ya siku ulionipa raha nileo milady ayo yaan umenipa mwanga mkubwa kuhusu mwanzo wa mtaji wa biashara na usafirishaji wa mizigo kupitia hii kampuni yetu ya kitanzania tunajivunia ugenini kua na wenyeji wetu shukran sana.

  • @masachihorticultureunitcol711
    @masachihorticultureunitcol711 4 роки тому +12

    Million 5 mbona mtaji wa kawaida Sana ngoja Mimi nitajitahidi nianze biashara ya kusafirisha mizigo kutoka China kupeleka Tanzania

  • @justdee6086
    @justdee6086 4 роки тому +7

    Meneja anajieleza uzuri huyu,halafu anamtanguliza Mungu kila anachosema " namshukuru Mungu"

  • @esterswai7843
    @esterswai7843 4 роки тому +4

    This is great opportunity

  • @OmarBaabdeTz
    @OmarBaabdeTz 4 роки тому +6

    Karibuni Sanaa China Silent Ocean Yiwu

  • @theophilukapinga2316
    @theophilukapinga2316 4 роки тому +8

    Safi sana,ngoja nika renew passport yangu nije huko

  • @paulmaduhu5855
    @paulmaduhu5855 Рік тому +1

    Namba za simu za silent ocean

  • @boniphaceog1020
    @boniphaceog1020 2 роки тому +1

    Mara ya kwanza kuingia chine niliteseka sana mawasiliano ila hawa jamaa salute kwao

  • @mwambakibucheche735
    @mwambakibucheche735 3 роки тому

    Kaz nzuri sana kijana endelea kutuelimisha sis watanzania wenzako vijana wenzako mi nimmoja kati ya wanaopata elimu yako nakuifanyia kz tupo pamoja kaka asante sana.

  • @hassanjinja
    @hassanjinja 4 роки тому +1

    Ahsante greetings from Uganda

  • @eusebionaungu1585
    @eusebionaungu1585 Рік тому +1

    Naomba namber ya selent ocean🇲🇿

  • @hamonyyusto9907
    @hamonyyusto9907 4 роки тому +5

    uki chukua
    vtu vya milion 5 naul mpka tz bei gani

  • @mohamedjuma1878
    @mohamedjuma1878 4 роки тому +6

    Haya ndio mambo yakutuletea sio mtuletee upumbafu tu

  • @zenombele1798
    @zenombele1798 4 роки тому +1

    safi san kwa hbr hii

  • @gooleserviceyoutubescandar3450
    @gooleserviceyoutubescandar3450 4 роки тому +1

    Good news, Millard ago, Good happy on yes.

  • @jeremiahshipuge8232
    @jeremiahshipuge8232 3 роки тому +2

    Naweza kufanya biashara yakuàgiza mizgo kutoka china mpaka tanzania kwa mfumo wa mawasiliano nikiwa tanzania bira kufka china

  • @fahadalismaily9370
    @fahadalismaily9370 4 роки тому +4

    Contact zao za silent ocean

  • @PeaceFamily-if8lv
    @PeaceFamily-if8lv 8 місяців тому

    Ahsante sana brother, kwa kutujuuza jambo hilii. Lkn mm nahitaji number ya cimu! Au mawasiliano ili tiwasiliane vyema.

  • @omani6006
    @omani6006 4 роки тому

    nimeipenda sana

  • @fedagonline9274
    @fedagonline9274 4 роки тому +1

    I am dealing with stationeries, i would like one day to vist this place and correct items.

    • @fedagonline9274
      @fedagonline9274 4 роки тому +1

      Nimejifunza mengi, nakumbuka mwaka juzi (2018) nimeibiwa kama tsh 10M nilikuwa najaribu kuagiza a4 copy paper from china, sitosahau, iliniumiza kwa namna nilivyokuwa nimeikusanya hiyo hela. Na sikujaribu tena, nahisi nitajaribu tena kupitia hawa silent ocean. Nashukuru millard ayo.

  • @anafisuleimani7083
    @anafisuleimani7083 4 роки тому +5

    Muda mchache insha Allah nitaruka kuja huko

  • @joromimwanga3274
    @joromimwanga3274 4 роки тому +2

    Naweza kuagiza mali (bidhaa) toka China zikafika Tanzania na nikazipata zikiwa salama hebu wahusika nipen jibu sahihi.

  • @dicksonulotu9717
    @dicksonulotu9717 4 роки тому +1

    Good

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 8 місяців тому

    Huyu ni Mwarabu au Mpemba guys?

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 4 роки тому +1

    MILLAND AYO UNA KAZI NZURI ILA NOMBER ZAO NDIO HUWEKI

  • @zenombele1798
    @zenombele1798 4 роки тому +1

    garama ya kwenda na kurudi china nauli sh.ngap

  • @damslandscapeworksadams6793
    @damslandscapeworksadams6793 4 роки тому

    Safi sana

  • @zumicsaid6086
    @zumicsaid6086 4 роки тому

    Naomba Namba Yako boss

  • @clementalu3925
    @clementalu3925 7 місяців тому

    Ume tusaidia sa ila naomba namba za mawasiano

    • @clementalu3925
      @clementalu3925 7 місяців тому

      Naishi musumbiji ila dar aingia Kila mara

  • @franknoni5920
    @franknoni5920 4 роки тому +2

    Leo ndosiku umenipa mwanga uko vizur

  • @zenjionline4087
    @zenjionline4087 3 роки тому

    Zanzibar vipi pia mnatuma mzigo

  • @sudiyahya9276
    @sudiyahya9276 4 роки тому +3

    Du! Sasa nimeelewa aise, ninabiashara hiyo ya hardware,tunapigwa saana, nimeelewa sasa,

  • @kiblamchengule8394
    @kiblamchengule8394 4 роки тому +1

    nenda soko la simu

  • @josephmatonyi1802
    @josephmatonyi1802 4 роки тому +1

    Asante kwa elim brother

  • @shaadenshaduni7755
    @shaadenshaduni7755 3 роки тому

    Millions 5 ! Kumbe nakuja!

  • @thomasbutingo17
    @thomasbutingo17 3 роки тому

    China taifa kubwa Asant xn China kwa kutupigania Africa Leo hii ata wale raia daraja la chini wanaweza kununua simu na nk

  • @abdulabass5808
    @abdulabass5808 4 роки тому +2

    Wewe Millard tuletee mambo km haya babalao

  • @zenjionline4087
    @zenjionline4087 3 роки тому

    Tuwekee namba zao za simu

  • @naimajuma6002
    @naimajuma6002 2 роки тому

    mawasiliano ya sm zao mbona ujaweka

  • @dicksonulotu9717
    @dicksonulotu9717 4 роки тому +3

    Naomba number yako boss

  • @jeremiahshipuge8232
    @jeremiahshipuge8232 3 роки тому

    jaman mm nataka nijue nauli ya kuja na kurud tanznaia to china

  • @taibually2791
    @taibually2791 3 роки тому

    NAONA KAMA CORONA IMEISHA UKO SIONI HATA BARAKOA YA LINI HII

  • @alikadibhar859
    @alikadibhar859 2 роки тому

    are you sure yiwu iko north of china?au huna uhakika

  • @matishomateso9425
    @matishomateso9425 3 роки тому

    Huyo jamaa anaweza patikana kwa nambari gani?

  • @lwagamwakalinga5276
    @lwagamwakalinga5276 4 роки тому +2

    Hii iko poa saaana,Ndugu mtangazaji turushie emails na simu zao tufanye kazi Sasa maana uoga kwisha

  • @hamadndege9016
    @hamadndege9016 4 роки тому

    Millard nisaidienamba za haojamaa

  • @mariammwendakazungu5783
    @mariammwendakazungu5783 4 роки тому +1

    Na kwa mtu binafusi km sio biashara lkn n mizo ya nyumba je mwabeba au

    • @saimonjmai801
      @saimonjmai801 3 роки тому

      Wanabeba silent ocean hata vibox vidogo wanabeba

  • @ramadhaniadammakange3639
    @ramadhaniadammakange3639 4 роки тому

    Kumbe naweza kufanya hiyo.

  • @abdulbonomali6548
    @abdulbonomali6548 4 роки тому

    Naomba mtu yoyote mwenyeuzoefu wa kusafiri huko anicheki mesenja

  • @jamesmoricmsa9003
    @jamesmoricmsa9003 3 роки тому

    Contact please

  • @petershayo2064
    @petershayo2064 4 роки тому +1

    asante sana milady ayo God bless you

    • @maulidissa8192
      @maulidissa8192 4 роки тому

      Asante
      Namba za simu za kampuni unasahau kuzitoa
      Contact

  • @hamadndege9016
    @hamadndege9016 4 роки тому +1

    Nashukuru nambanimeipata kilichobaki sasa masndariz ya kuja

  • @taibually2791
    @taibually2791 3 роки тому

    Mbona sioni hizo barakoa ina maana hii ni ya kipindi hata corona bado?

  • @mohamedjuma1878
    @mohamedjuma1878 4 роки тому +1

    Natamani kufika huko one day

  • @aaaaaah290
    @aaaaaah290 4 роки тому

    Good, Gooder, Goodest 🤣🤣🤣🤣

    • @nusalim3389
      @nusalim3389 4 роки тому

      Pia usisahau goodiest goodiester na goodiestest ! Na kuendelea

    • @davidimarwa8190
      @davidimarwa8190 3 роки тому

      Olingi kwokye santeh kupambania fulusa la china

  • @isayamush3616
    @isayamush3616 4 роки тому

    Nauli shingapi

  • @hamadndege9016
    @hamadndege9016 4 роки тому

    Ninashida nanambazao hao jamaa

  • @omarisaid3734
    @omarisaid3734 4 роки тому

    Mawasiliyano tunayapataje ili tuweze kuwasiliana kabla yakwenda hukoo

  • @hamadndege9016
    @hamadndege9016 4 роки тому

    Naulikiasi gani

  • @paulmaduhu5855
    @paulmaduhu5855 Рік тому

    Namba za simu za silent ocean