BMG TV: Twenzetu Isamilo Grand Hotel Mwanza

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 14

  • @MadilishaSimon-sb9kk
    @MadilishaSimon-sb9kk 9 місяців тому +2

    Mwanza ❤❤❤

  • @NuriyyatIslamic
    @NuriyyatIslamic 9 місяців тому +2

    Kazi nzuri nipo dar

  • @MadilishaSimon-sb9kk
    @MadilishaSimon-sb9kk 9 місяців тому +2

    Bro unanifurahisha sana nipo Bagamoyo pwani ila kwetu ni huko mwanza nimepamisi sana huku sipaelewi elewi nakuombea ufike mbali

  • @VictorDominick
    @VictorDominick 9 місяців тому +2

    MPANDA KATAVI

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  9 місяців тому

      Ishaallah nitafika siku moja

  • @mossijuma1083
    @mossijuma1083 8 місяців тому +2

    Nipo zanzibar isamilo hotel room kwa 1 night shilling ngapi

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  7 місяців тому

      Pamoja sana, karibu mdau

  • @RulexJoseph
    @RulexJoseph Місяць тому

    Kiingilio ni shingap,, na mimi nipo Mwanza kwa sasa

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Місяць тому

      Hakuna kiingilio, unalipia tu labda chakula, kulala au kuogelea

    • @RulexJoseph
      @RulexJoseph Місяць тому +1

      @BMGOnlineTV vp kuhusu hotel nyingine nzuri ambazo nawez nikaenjoy na marafik zangu

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  24 дні тому

      @RulexJoseph zipo nyingi sana kwa Mwanza kulingana na bajeti yako