Kristen and Daniel... Swedish couples owners ni Babkubwa tunaomba tenaa research iloshiba mkuu kanye au kajambe jela..kwanza hotel kwa Mama Samia area vip nayoo...Ycon bro tembea kwanza thanks
Itaje thanda island iliopo mafia ambayo kulala usiku mmoja tu itakugalimu dolla elfu 10 ambayo sawa sawa na milion 22 za kitanzania na ushee wake uko unataja taka taka mzee vp thanda ipo mafia shungi mbili ni tanzania unalopoka lopoka tu kenge ww
Presentation nzuri lkn ulitakiwa reserch vizuri zaidi uje na atleast top 5/10 ukiwa na deails nzuri zaidi ikiwemo picha zenye uhalisia
Congratulations
Tanzania Darussalam mzuri Sana kwali 💖
Na Mbeya ipo mtaa wa Ilolo inaitwa Matombolilo Hotel😊😊.
Njooo kwenye madina al baharin iyo mpy kk yani iyo nyoko na Verde hotel ipo mtoni Zanzibar umeingia au unasema tu
Amesahau pia kuitaja shungi mbili mafia
Kristen and Daniel... Swedish couples owners ni Babkubwa tunaomba tenaa research iloshiba mkuu kanye au kajambe jela..kwanza hotel kwa Mama Samia area vip nayoo...Ycon bro tembea kwanza thanks
Yaan hyo hotel haisogelea hata grand malia iliyopo arusha mjin. Achana na za huko nje ya mji na porin
GranMelia unaijua kijana wangu....
Itaje thanda island iliopo mafia ambayo kulala usiku mmoja tu itakugalimu dolla elfu 10 ambayo sawa sawa na milion 22 za kitanzania na ushee wake uko unataja taka taka mzee vp thanda ipo mafia shungi mbili ni tanzania unalopoka lopoka tu kenge ww
Umeiacha Johari Lantana na Grand Malia!
Johari Rotana, Lantana
Yaan reporter haujui chchote bora mm nlieko kijijn nazifaham kuliko kelele zako, c ajabu hata V.i.p hauifaham
UMuhim wa hotel
Tafuta Thanda hotel mafia,utakua mapungufu yako,usipost kabla hujamaliza uchunguzi