Anaye jua sheria za King'ora atanielewa hakika Ally mwenyezi Mungu akulinde na akukinge na wenye husda niheshima kubwa sana kwako na kwa taifa kiujumla wenye roho chafu washindwe kwa jina la Yesu kristu
MUNGU ni mwema safari njema MWENYEZI MUNGU awe Nanyi nyote awadangulie awapikanie awashindie awaweseshe vyema kwa kila Jambo kila la nyote kazi njema barikiwa Sana nyote shalom
kwa kweli raha hz watanzania tusiwasahau mashujaa wetu mwalimu nyerere mwinyi mkapa kikwete magufuli na sasa samia haikua rahisi tanzania kufika hapa ukijaribu kufikiri ni MUNGU tu wana yanga MUNGU tunaomba azidi kutujalia amani tanzania isije kutokea mashafuko na vita tuulinde muungano kwa hali na mali God bless TANZANI AFRINA NA DUNIA NZIMA AMENI SAFARI NJEMA SEMAJI LA CAF KIMATAIFA ALLY KWAMWE GUSA ACHI TWENDE CAF TUKAWASEE
Uliposema ww ni mwenyekiti wa wasemaji sikua na,shaka hata kidogo na kauli yako na leo umedhihirisha kwa vitendo big up bro.. Mungu akujalie kila la kher katka maisha yako ya hapa duniani na milele kesho Akhera
Safari njema kwak semaj la wananchi tunakupenda san na tunakuamin ally shamanic kamwe mungu ambarik mzee shamanic kamwe kwa kutuzalia semaji lenye akili na ujuzi wa kutosha I love you yanga 💛💛💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚
Lazima wajue Semaji anapita, kitaalam inaitwa pita kwao twende Morocco Safi Sana Kamwe💚💚
Et pita kwao twende Morocco 😂😂😂😂
😂😂😂sina mbavu mie
Mwenyezi MUNGU akutangulie Katika safari yako,yy ndo akawe mtetezi na mlinzi wako,akakufikishe salama Amina
Amiin Amiin
Aaaamyn
Amina🙏🙏
Ally Kamwe wewe raha tu, nakupenda sana yanga bingwa ❤ wenye wivu wajinyonge
Anaye jua sheria za King'ora atanielewa hakika Ally mwenyezi Mungu akulinde na akukinge na wenye husda niheshima kubwa sana kwako na kwa taifa kiujumla wenye roho chafu washindwe kwa jina la Yesu kristu
Amina
Da nimeipenda hii Safi sana walipe yanga bingwa
MUNGU ni mwema safari njema MWENYEZI MUNGU awe Nanyi nyote awadangulie awapikanie awashindie awaweseshe vyema kwa kila Jambo kila la nyote kazi njema barikiwa Sana nyote shalom
Yani Semaji letu kwakweli ata ukikasirika ukiangalia Clip zake utacheka tu!!! 😂😂😂😂Allah akufanyie wepesi safari yako💛💚💛💚🤲🤲🙏
Ally anavituko sn😂😂😂
Mwenyez Mungu akutangulie semaji,,,daima mbele nyuma mwiko
Wakina nan wanateseka semaji heshima yako 🙌🙌
Hongera sana semaji letu ALLAH akufanyie wepesi INSHA ALLAH
Nomaaah saana aisee #SEMAJI
Hongera semaji letu mungu akulinde fika salama ❤❤❤
kwa kweli raha hz watanzania tusiwasahau mashujaa wetu mwalimu nyerere mwinyi mkapa kikwete magufuli na sasa samia haikua rahisi tanzania kufika hapa ukijaribu kufikiri ni MUNGU tu wana yanga MUNGU tunaomba azidi kutujalia amani tanzania isije kutokea mashafuko na vita tuulinde muungano kwa hali na mali God bless TANZANI AFRINA NA DUNIA NZIMA AMENI SAFARI NJEMA SEMAJI LA CAF KIMATAIFA ALLY KWAMWE GUSA ACHI TWENDE CAF TUKAWASEE
Uliposema ww ni mwenyekiti wa wasemaji sikua na,shaka hata kidogo na kauli yako na leo umedhihirisha kwa vitendo big up bro.. Mungu akujalie kila la kher katka maisha yako ya hapa duniani na milele kesho Akhera
Hii ofaCaf walitoa kwa wasemaji wote ila uwe na medali ya CAF apo ndipo maji na mafuta yakatenganaa😅😂💚💚💚
Mmmh
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mungu akutangulie Kila hatua ally kamwe semaji letu
Hongera sana semaji letu safar njema
Ila Jamani, nimekosa la kusema😂
Ata raisi wa CAF hajaenda hivi
Umetisha kaka hakika wastahili pongezi mwenyekiti wa wasemaji ❤😂😂😂
Mungu akulinde ufike salama
Jamani yaani najikuta nacheka tu huyu msemaji ni wakiwango Cha juu hakuna wakufananisha naye kila lakheri Mzee wa keroo tunakupenda sana❤
Umependeza semaji letu🎉🎉
Ally kamwe weeee umeweza umeweza tena daaah unanipa raha weye umenikosha na maumivu yote shwaaaaa yameisha😂😂😂😂😂
Za wachache hizi ogopa❤❤
Eeh mungu mjalie safar njema
Eti gari ,boda ,zote kaa pemben Ali kamwe anapita hhhhh😂😂😂😂 umeweza broo
Mmmmmmh,!!!!
Safari njema kwak semaj la wananchi tunakupenda san na tunakuamin ally shamanic kamwe mungu ambarik mzee shamanic kamwe kwa kutuzalia semaji lenye akili na ujuzi wa kutosha I love you yanga 💛💛💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚
Msemaji mwenyewe akili nyingi 💚💛🇹🇿
Nimejikuta nasikia Raha sijui kwann2 but all in all I love you Yanga and Alikamwe kiboko ya makolo wote.
Mie nacheka tu 😂😂😂💛💚👋👋
Wow Kamwe💛💛💚💚
Ila aliy anawatesa sana wa🎉🎉🎉🎉🎉🎉r🎉🎉🎉r
Hongera sana msemaji
Bonge la soundtrack
Masha Allah Allah akutangulie uludi salama boss
Duwa njema kwako msemaji wetu🎉🎉🎉🎉
Mwenyezi mungu amtangulie huko aendako ❤.
Ila Ally jamani unavitukoo umenifurahisha sana leo
Nakutakia safari njema semaji letu la Caf uwende salama urud salama inshaallah kher 🤲🙏💛🟢🔰🔰🔰
Kumbe ulikuwa unamaanisha jambo zito kama hili, salama bila Shaka yoyote mkuu Chini ya askari KAZI ALLY KAMWE kanyaga kanyaga twende kwao
Semaji la DUNIA
Daaah! Ally Kamwe bhana😂😂😂 semeji letu hilooo
Semaji una baya ❤❤
Safi sana Semajinla CAF 💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💚💛💚💛💚💛💚🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪💪
Pita kwao twende Morocco 🎉🎉😂😂
Hila ww mwanangu Hatari Sana Uku mtaan kuna Mama Anakuchukia
Haya wanawake sasa munasema hampendi wanaume weupe, wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hahahaaaa nimekipenda hii dadeki
In shaallah safr njema
Hizi ni zawachache Ogopa
Allah akulindebna husda
Kira la kheri semaji la medali ya caf 💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛
😂😂😂😂Yanga oyeeee no stress.
Sanaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mashaallah Babaa Kilalakheir Inshaallah
Kuna watu wanateseka sana
Nimeangaliaaa halafu ikabidi tu nicheke😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂Ally anavimba nawarembo pemben hahhhh anavituko 😂😂😂
Yan nimefurahi mpk nimesahau kutolewa klabu bingwa semaji🎉🎉🎉🎉
Semaji la Africa!!!! Kenya tunakutambua😂😂😂😂❤❤❤❤
Nakutakia safari njema ally kamwe
❤❤❤ semaji hapoi wala huboi
Tanzania yangu naipenda japo ya hovyo
Mpaka waseme
👍👍👍🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿💚💛💚mungu akutanguliye semaji la dunia 😂😂😂😂😂😂😂👍👍👍👍👍
Nakubal
Mie nataka zawadi ukirudi nakuombea kwa Allah ufike salama na urudi salama
😂😂😂😂 nimecheka kama mweu sijui alizaliwa sangapi msumbufu huyo kijana dar
Kila ha2a dua
Semaji La Duniaa❤❤
WANANCHIIIIIIII UWAGA HATUFELIGI NEVER
Aliy anakera😅😅 NAHAO mademu
Alhamdulillah
Daah Ila Ally😂😂
umetuheshimisha kaka yanga mbele
Kera watu baba Yan mpaka waseme hawa madunduka fc
Safari njema mwkt wa wasemaji Africa! Mungu awe pamoja nawe.
Ka tusingetoka makundi ingependeza sana na hii ..
Jamani hadi kongola tena
💛💚💛💚🙌🙌
🎉🎉
Ila Ali kamwe anajua kuwakela sema basi duh na tungefuvu alafu ukapata mwaliko huo duh sijui
Hasa anamkera nani😂😂😂 em msituchekeshe sisi hapa
@@judithkisavanga7244hiyo ndio inaitwa kumpigia mbuz kita
Ila kamwe🎉🎉😅😅
Kila la kheri msemaji wetu
Hiyo ni kwa wachache sana
Alikamwe anajua sana kukela
Mpaka wasemeeee
Hii nayo wataiga tu😂
Semaji😅😅😅😅😅😅😅
🎉🎉🎉
KUBABABAKEEEE...🔥🔥🔥🔥
Ahaaahhah mpaka waseme ali kamwe baba
😂😂😂 ila Ally Kamwe!!
Haya ni matumizi mabaya ya rasilimali kaa
😂😂😂😂 ila Kamwe, kaenda kupita pale pale msimbazi na king'ora chake
😂😂😂semaji linajua kukera😂😂
😂😂 ili mrad tu awakere makolo
Ally kamwe na Hersi ndio watu wanaoongoza kwa kuchukiwa na makolo
Hii week watamkoma 😂😂
Mbna kafunga mlango mwenyew wagar anafoce vtu havijui
Brother kaongee nao turudie ile game na MC 🇩🇿 mkude alikua hajacheza 😂
😂😂
Huyu jamaa anasifanyie 😅😅😅😅
unatisha kaka
Hawa warembo anaenda nap?
Kama Mack Dagascos🎉🎉
Chawa wa mama hahahah
Ndio maana Harisi ya semaji la cuf