Ukisema hizi tano ni tim mbovu tutakuuliza na simba ni Tim mbovu??? 😂😂 Maana alikulaga tano na yeye hapo tunakubaliana vipi yanga ni kubwa au inakutaka na vibonde??? 😂😂😂😂😂😂😂😂
Hata kama wewe ni mtoto wa 2000 naamini utaelewa ya kua yanga alikua wa kwanza kula tano au wewe ni zamwanwa huelewi😂😂😂naona unajifariji ila tunajua kua umetolewa haumo ligi za Africa cuf
Simba fanyeni yenu mkumbuke tumewaburuza sana mtaishia hapo kwenye robo yenu mnasema tunacheza n timu mbovu nanyi mmejisahau kwamba mlikuwa wabovu naiyombea dua nyingi yanga yangu tusikate tamaa ❤
Nyiye mmemfunga mwarabu wa kayenze mnajiaifu tutawaona kama mtafika fainali kama Yanga wavunja viti nyiye wachawi Wakubwa madunduka,tunawasubiri tarehe 8 ndo mtajua
@@mazengojohn2090 Dube ana goli nyingi, Dube ni Anaanza kwenye Timu ya Taifa, Ngushi hakuna msimu amefikisha gori 8, lakini dube kila msimu ana gor 8+ ata akiwa majeruh nusu msim
mambo haya mgeyafanya cku ya mc algiers leo tungekuwA mbali lkn cku ile akina dube walikuwa wanajigongagonga tu na kuangukaanguka hovyo inazsikitisha sana mpk leo sina hata mzuka dah
@@moisugar_tzSio nusu jiandae kutunga sentensi nyingine ohhh kombe lenyewe la ruser maan mara hii mtakuja kuipokea Simba Sports club mnyama mkali pale Airport akiwa amejitwisha ndoo ya shirikisho, 🦁💪🏾❤️# UBAYA UBWELA
yanga yetu imeshindwa kujipambanua kama timu kubwa. Hata kama ni matokeo ya mpira ila hakuna mwaka nimeumizwa na yanga kama huu. Yaani nina pacome, aziz ki, chama, dube, aucho, mzinze, musonda, mudathir, baka, jobe, kibwana.... Halafu nashindwa kumtoa mwarabu mchovu yule kweli? Tena kwa Mkapa? Kwa hiyo ndo tubakie kufurahia kumfunga tu simba NBC? kundi lenyewe ndo lilikuwa rahisi kuliko yote, lilikuwa si tu la kifuzu bali kuliongoza kabisa. Sijui kama hii bahati itajirudia tena!😭😭😭
Ilove you yangaaaa💚💚💚💚💚💚💚💚
Mwak huu makolo mtajinyong m2achie yang ye2 eeeeee❤❤❤❤ naipend yang
Yanga tamu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hizi ndio mechi za kumuwwka dube sio CAF
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
timu yangu pendwa 💛💛💛💛💚💚💚
❤❤❤❤❤❤❤❤
Daima mbele nyuma mwiko❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yanga ma bingwa🎉
Maxi panenka
Mwenda🔥
❤❤🎉🎉
Nokauli ya kwani we hauogopi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
Hamkosi ya kusema. Yanga itapeta tu mpende msipende🎉🎉
💚✅
Ukisema hizi tano ni tim mbovu tutakuuliza na simba ni Tim mbovu??? 😂😂 Maana alikulaga tano na yeye hapo tunakubaliana vipi yanga ni kubwa au inakutaka na vibonde??? 😂😂😂😂😂😂😂😂
Hamuishiwagi maneno ya kujifariji
Yanga hawezi kushinda 5 kwa tim nzuri au wanunue mechi km walivyouza akina chama na manula
Yanga ikikutana na timu mbovu inakuwa km buyern . Kmataifa sasa tuwaachie simba mnyama lunyasi
Hata kama wewe ni mtoto wa 2000 naamini utaelewa ya kua yanga alikua wa kwanza kula tano au wewe ni zamwanwa huelewi😂😂😂naona unajifariji ila tunajua kua umetolewa haumo ligi za Africa cuf
@@vincentdaud9954 HAYA MANENO SIYO MAGENI JIJINI 😂😂😂😂😂😂😂😂😂YANGA IS THE BIG TEAM 🚀🚀🚀
Daima mbele nyuma mwiko 💛💛💛💛💚💚💚
Leo kikabage kapiga cross na imefika hii ni maajabu😆😆
❤
Mmejitahidi sana copco
😅😅😅😅 kama mbovu lete na ww team yako tukukamie sheziii ❤❤❤
Naileta MC alger
@@jesuslivesministry9352 leta2 kwani kuna tatizo gani
Yanga Bingwa ✅
Izo tano mungewafunga na waarab kama kwel nyny mahodar
Mwak huu makolo mtajinyong m2achie yang ye2 eeeeee❤❤❤❤ naipend yang 1:14 1:15
Hahahaha,yanga ilooooh
🎉
Wakwanza kwa mara ya kwanz
Hata kama.ha2jaingia robo fainal we huogop mbwa wee ♥ yangaa
Simba fanyeni yenu mkumbuke tumewaburuza sana mtaishia hapo kwenye robo yenu mnasema tunacheza n timu mbovu nanyi mmejisahau kwamba mlikuwa wabovu naiyombea dua nyingi yanga yangu tusikate tamaa ❤
na nyie yanga , fanyenu yenu maana unachokikataza nyie ndio walimu
mna midomo michafu kichizi kwa simba na huu mchezo hauhitaji hasira mf
Washa biki wa yanga wanafurahi
Israh ni mali ✅🔰
Max na mkeo mjamzito tunasubiri mtoto tu😂💚💛💪👏👏👏
Ya kweli
TRA {touch release and attack}
Hiyo ni Kali zaid
Max ni noma apewe ulaia Tanzania by kasato mwasile isyasya
Yanga laha jamn
Mweenda kapaformu San leo🎉
UWEZO HUU TUNGEUPATA SIKU ILE....LAAAAAH
Wanaximb tatiz midom kwan mmexahau kuw 2lixha waibixh tan xifuli kwaiy iyo ni kawaid xix kufung
Simba mbona mnateseka fanyeni yenu🔥🔥
mbn unajistukia
wakt ndio maisha yenu huku, hiiz ndio level zenu
AZAM TV muege mnatuwekea ata dakika 30 tu enjoy sasa dakika 5 tutaona nini sisi tuliopo mbali ya tz hatujabaatika kuona match live
Ndoivyo yanga atali nabadoo
Mnashangilia na tm ya kijiji
Kuwafunga waarabu mfuzu ahhhh😂😂😂
Ila kuwafunga makolo ili muteseke tunaweza😂😂😂😂
Nyiye mmemfunga mwarabu wa kayenze mnajiaifu tutawaona kama mtafika fainali kama Yanga wavunja viti nyiye wachawi Wakubwa madunduka,tunawasubiri tarehe 8 ndo mtajua
@@matrida.lunyilija5196tukiwafunga simba tunaingia robo fainali?
Wanailazimisha furaha lkn moyoni wanamajonzi makubwa sana 😂😂😂😂
Tarehe 8/3/025 majonzi yatajirudia Yanga 5 vs 1 kamdomo fc
Hii ndio yanga sasa nahili ndio kombe lake
😂😂😂😂 gusa achia twende kwao 💚💛
ndio mashindano level ya Yanga
HII NDIO TUMESHINDA LAKINI HATUNA FURAHA 😂😂😂
Huzuni Haiwezi kuisha hata mshinde 1000
Simba mnaumia tunawasubiri ili mjue hii timu ndiyo level yetu na ninyi ni level ya kina nani
Match ijayo nasikia yanga wanacheza na waarabu😂😂
Oh
Hao wanao imba dube dube izo ndio mechi zake
Nitajie Timu ya ligi kuu ambayo Dube hajaifunga😅
@djbestseries5634 dube na ngushi wanatofauti gani dube ni mchezaji mnzuri lkn yanga ni kubwa kuliko dube uwezo wa dube ni kucheza Tim ndogo
@@mazengojohn2090 Dube ana goli nyingi, Dube ni Anaanza kwenye Timu ya Taifa, Ngushi hakuna msimu amefikisha gori 8, lakini dube kila msimu ana gor 8+ ata akiwa majeruh nusu msim
@djbestseries5634 bro dube mbov utaniambia. Mwenyew Kuna jitu linaitwa Jonathan soow lipo back Hilo ndio tunalitaka
Hakuna timu hapo.. mmeshndwa kumtoa mwarab kwa mkapa na kuingia club bingwa sjui bado mnajitambia nini... Ila binadam bana😂😂eti mnajisahaulisha kbsaa
We club bingwa mbona umeshindwa kucheza shida nini
Kwahiyo ilikua tukitolewa klabu bingwa tusicheze tena mpira ama
Hyo ndio saizi ya timu ya wananchi Sio klab bingwa
U/ubwela hapo haujashiriki kuhujumu timu,huo ndio uwezo binafsi wa Yanga na sio ule wa mshindi wa tatu wa ligi....
Achen wivu ngojen muingie uko fainal uko shirikisho ndo mropoke@@Alwattanihaji
MAGOLI YA BAHASHA
Tumeshinda ndyo lkn hatuna furaha🥹
Club aaaaah Ila mchangani ndo
mambo haya mgeyafanya cku ya mc algiers leo tungekuwA mbali lkn cku ile akina dube walikuwa wanajigongagonga tu na kuangukaanguka hovyo inazsikitisha sana mpk leo sina hata mzuka dah
Unyama
Ayo ndo mashindano mnayoweza nyie mbona hamkufunga izo Gori kirabu bingwa
Ulikua chuma tano ko wewe unafananishwa na hao
Haya Fikeni Hata Nusu Ya Shirikisho...
Haya Fikeni Hata Nusu Ya Shirikisho...
@@moisugar_tzSio nusu jiandae kutunga sentensi nyingine ohhh kombe lenyewe la ruser maan mara hii mtakuja kuipokea Simba Sports club mnyama mkali pale Airport akiwa amejitwisha ndoo ya shirikisho, 🦁💪🏾❤️# UBAYA UBWELA
@@issaibrahim8796Labda ndoo ya kunyea wafungwa 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
mashabiki wenyewe mbona nawaona wapo wawilo ty?
Kolo kiswahili hujui siyo wawilo
Kikubwa usindii tu
n hatariiiiiiiiiii
Safi yanga tuwasubir Simba kesho
Kuwafunga waarabu mkafuzu ndo mnashindwa
Tuliza mshono ww
Ausio
Mungu hakupanga iwe hivyo huwezi lazimisha jambo lisilo riziki ulitaka tuwakate na mapanga
We muzima kweli
Goli latano ni Best goal
Haya ndo mashindan ya yang na sahihi kabisa
Kwani ligi kuu siyo mashindano au we kwenu Kuna mashindano ya kukufila
Kaur mbiyu yet tmefurah kutorewa
Uwezo wa yanga tz 2
@@BenjaminiRevocatus-n6g andika vizuri hata kuandika hujui
@@BenjaminiRevocatus-n6g mdada wa 2000 hata kuandika hujui
Kumbe Utopolo wapo vizuri na wana uwezo mkubwa wa kufunga😂
Wee huogopi? Kwani hao wanatofauti gani Makolo? Si mumekula tano vile - unajizima data?
Huyu anesema haya mashindano ya lev ya yanga ss yy hiyo timu yake inacheza wapi
Usibishane na kichaa ww waache watajuta watakapo kutana na gusa achia watakoma
Kilichonifurahisha kiwango cha Israel mwenda ngoja tumuone ligi kuu ila dube huku ndo anakopaweza kwa waarabu aahhhhh a😅😅😅
Wamefungwa 5 bila kama yanga alizofungwa na simba
Mungu ni mwema Kila Leo poleni wale wanao chukia yanga ikishinda
Amna MTU anae chukia apo mmecheza na vibonde wa daraja la pili
simba alikula 5 nae 😂😂
Yanga hajaenda robo😂😂@@ramadhanmohammed5444
😂😂😂😂😂😂👊
Kwan yanga wamefunguriwa usajili au vp
Jamani mtuachie yanga yetu kila mtu acheze mechi zake
Nyerere alkuwa Yanga au Simba? Lazima watoto wamfuate Baba wa Taifa😂
Eeeee Simba yakin chama na saido ilikuwa mbov ndo man ilifungw tan
yanga yetu imeshindwa kujipambanua kama timu kubwa. Hata kama ni matokeo ya mpira ila hakuna mwaka nimeumizwa na yanga kama huu.
Yaani nina pacome, aziz ki, chama, dube, aucho, mzinze, musonda, mudathir, baka, jobe, kibwana.... Halafu nashindwa kumtoa mwarabu mchovu yule kweli? Tena kwa Mkapa?
Kwa hiyo ndo tubakie kufurahia kumfunga tu simba NBC?
kundi lenyewe ndo lilikuwa rahisi kuliko yote, lilikuwa si tu la kifuzu bali kuliongoza kabisa. Sijui kama hii bahati itajirudia tena!😭😭😭
Sasa
Hizi 5 Mngempiga Mc Alger Sasa Hivi Tungekuwa Tunaongea Mengine
Lakini Wapi
Daima nyuma mwiko mbele
GUSA ACHIA TWENDE KWAO
Hawa siku Ile wangeshinda hahahaha
Hizi ndio mechi zenu
Nyie hamta cheza sio
Makelele tuu hapa comment section...timu ingefungwa mngesemaje 😅😅
Na walikuq wanatusubiliq kweliii yani
Tena pole yao wamesubiria embe chini ya mnaziiii
Mlikuwa wapi kumfunga mwarabu mc alger 😂😂😂 ila nao hawa machizi 😂
Kiganja
Kifiro si mwarabu tu atanyie
Hiyo ndio level yenu gusa achia turudie makundi
Wewe ulikandwa ngapi kolo
Kuna wa2 walisema wao hawawezi cheza kombe laluza je leo iyi wako wp wanacheza kombe gani
nyoo
Yanga mnazingua haya magori tulipaswa kuyaona kwa MC ALGER yan mmenikata moli kabisa kutolewa robo daah
Hata mm yani dah sijui naionaje hii timu😢😢😢😢...hata kama ndo mpira jaman....team ina quality player halafu wanafanya upuuzi😢😢😢
Timu mbovuu hataaa usemeejee
Hakuna timu hapo.huwezi tangaza umeshinda
Km Simba tulivyomla 5
Penati ya nzengeli inanikimbusha Fransisco toti wa italy kipindi kile.
Sio Francisco toti ni andrea pirlo
Kipa miyeyushoo 😂 hii match nawswas nayo 💸💸
Miya yusho ya nn
nyie tena kwa wasiwasi
Fofoeo
mm tik yang yanga ila magoli yalofungwa hapa siwez sema nisheherekee maana yanaonesha dhahir kama yakuachiliwa
We nawe uwe shukurani muone hovyo
utakua ume kunya haukunawa ww
Ukapimwe akili kwanza
Nawe tuachie tukikutana
Utopolooo 🐸 ume pga bomu mochwal una anzakelele
Kolo nyani haoni kundule nawewe si uliwekwa Kama hizi unaongea nn?
Safari hii atapigwa kumi ajiandae tu