FRIDAY NIGHT LIVE - Msodoki asema bado ana beef na Young Dee
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Mbali na marapa hawa wawili kukutanishwa kwenye #FNL ili wamalize tofauti zao Msodoki ameonyesha bado kutotaka kumsamehe Young Dee kwamadai kuwa alivyo mtukana hajapenda.
Kuhusu kufunikwa siwaz ila kuhusu janjaro na young dee mm ndo mkubwa wao wa kazi
Shikamooo msodoki
hip hop iz nt only rap even talking skill....jaman youngkiller ni noumaaa sana....gonga like basiiii
Killer moto wa kuotea mbali ukisikiliza ngoma zake unaweza kuunguza chakula kwa utamu wa mistari yake shikamooo msodoki.
Mikeh Jackson wwwwww ninomaa killer
Mtoto wa kihuni 😅😅😅 || Killer hatari sanaaaa
Young Dee aache mamb ya kununa kama demu... Young Killer ndo baba yao hanaga mamb ya kishamba.. DEE Hutaki kufananishwa au huna cha kufananishwa na madogo, Huna Tuzo, Battle huwez unaogopa, Mtonyo huna, Demu mkal huna, hata kujitupia huwez famba we... YOUNG KILLER & DOGO JANJA MOTO WA KUOTEA MBALI.
Hahhhhaaa
@@boazmasinde2764 hahaha hatari man kamchana kinomaaa
gonga like apa kama unamkubali hendsom boy asiyekuwa na matunzo. young dee anasema hataki kifananishwa sasa anaulizwa kwa kipi alichonacho hana kitu chochoteee tena amshkr sana mr t.touuch angekua yuko mtaani hana llt huyo young killer mpambanaji bhana alf anaga skendo za kijinga kama unamkubali young killer gonga like.
sana young dee
Msodokiiiii
msodoki noma sana
Killer 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
#youngkiller ndio habari ya mjini
Dee hamuwezi msodoki. Akubali tuu alishindwa kutumia muda vzr
WOTE WAKALI KWA NAMNA YAO..! MSODOKI MKALI KWENYE LYRICS..
Killer bad man
Young dee leo kapatikana
*Kama unamkubali young killer msodoki gonga like*
Aaaaah young d ucpanic young killer habar nyingine uwe mpole ww
Young dee huyu dogo mshamba sana, aiseeee
Ila interview imeharibika sam umeshindwa kuwa control kam host
we killer unakoelekea n kuua ukwel ukwel ao watoto kweny michano n machoko tu
Solalegah Info young de kashindwa kuchana kwaiyo kapata aibu
Young killer Uko perfect
Wazi killer babalao
Freestyle is a special talent, not every rapper knows to do so .
Young killer kanirudisha tena huku🔥🔥🔥
Youngkiller the perfect one 👌❤
killer is killer hawezi kufananishwa na hyo mla ngada,wap na wap young dee na young killer wawe sawa!,au kisa sinaga swaga na bongo bahati mbaya!😠😠😠😠😠hahaha hahahaaaaaaaaaa young killer unatisha mbaya big up sana kaka,achana na hyo mla sembe😅😅😅😅😅😅
🔥🔥🔥msodoki ni Moto wakuoteambali we kipusa nipitiembali yamusa mpe Musa hayamuhusu kaisali.😊😆😂🤣.wanangue young killer saluti kwake au mnasemaje? Kama2kopamoja gonna like ok.big up Sana kwake
Killer till i die.....🔥🔥🔥🔥
On point
Msodoki The sun 🌞
sam acha uboya kwan we ujui kama killer mkali au
msodoki mkali mkali achaneni na mla unga uyo
+Ester Mmbaga usipende kuhukumu
Uyu jamaa yup wap
Amber Lulu hapa alikua mtamu balaa. ❤️ Siku hizi kanenepa sana sijui amekuaje dooh!
Jaman ya killer level zingine
KILA MTU ANA UKALI WAKE DEE YE MKALI WA KUIGA SWAGGA ZA MBELE NDO MANA YUKO BONGO BAHATI MBAYA...KILLER MKALI WA LYRICS....JANJARO MKALI WA MAVAZI
udaku tanzania killer nomqqq
Ndiwoooooooo
Hna 6 not 60 v
4rly
% €*£9;
0v . Y p o
c 08 c uuki nn0898nlvp 9 87
Mmependeza sana 🤘🤘🤘
Tena young dee hajakosea hataki kushindanishwa coz hana cha kushindanishwa na msodoki killer anatuzo yeye hana so anaona aibu anaishia kutukana kama wew rappa unakataaje kupiga bato
hapo kweli haina kushindanishwa muziki yao ni tofauti young dee ana chana kiswaga swaga ndomaana anajiita bongo Bahati mbaya young killer ana chana hip hop ngumu ni sawa na kumshindanisha joh makini na fid q
🙏🙏🙏🙏
kuhusu kufunikwa me siwez kuhusu janjaro na young dee me ndo mkubwa wao wa kazi killer
young killer hatareeee young deee unakosea tuu na matusi yko
young killer msodoki jamani aaaaachiwe best handsome boy alkosa matunzo halafu mtanashirt genius kwenye ubongo tallent miusation rappes
oyoooooo msodoki umetisha
killer anajuwa sna
Killer mtoto wa lock city salut kwako
hahahhaahha.dee kapanic brother😂😂😂
young d kapatikana hahahahahhaha chezea killer
Killer noma
Msodoki big up
Sam acha kumkuza young dee wakati hana lolote, young killer ni zaidi ya ma young wote bongo
Killer
Sam unaboa unajua nan mkali watu
Woyooooo kelele kwa killer akee🤗🤗🤗
Hanaga swagger kabisa. Killer killing the lyrics
Young killer ndo kichwa cha habar hao wengine habari tu mzee baba killer is always kill it
Young dee kajinunisha et 😀😀
Young dee nugu
Young Daresalama kavurugwa mpeleken sober
Imetisha
Ngosha. 👊
dee umebwela chalii
yan nyambu kabisa uyu d
msodoki nomaaaa
killer msodokiiiiiii 🔥
Huu niujinga unajuwa wote wana ma beef alafu unawaleta pamoja chapili sasa ule uzembe wakuto kujuwa nani mkali sasa unajuwa sasa umefaidi nini
Sijapenda watakuja kuwatia hasara maana chupa zinatosha kumaliza vita una hakili sam
Young D akubalii tu kuwa young killer ni mkubwa wake wa kazi yaishe.
Young Dee hovyo kabisa yaan huyu, Unga umemuharibu mbwa koko huyu
mabo
Killer babalao
Young killer umetisha big up sana
Kutangulia kwenye game haimaanishi wewe ndo mkali unaweza ukaanza zamani wakaja wengine nyuma wakakufunika.. Killer ni zaidi ya dee na janjaro.. Kwanza hajisikii na kutukana Kama dee..
hiyo ni tabia ya MTU halafu kiubora young killer ana chana sawa kuwazidi ila muziki wake ni wabongo hapa hapa kama kina stamina mistari mingi muziki wao unaishia bongo young dee na dogo janja wana muziki ambayo unaweza vuka mipaka ya nje kama joh makin darasa yaani mistari michache nyimbo inachezeka
True lakini hata killer vilevile asha anza kutoboa
hahaha! Mla unga huyo analopoka nn this is a time to workup salute kwa young killer msodooooookiiii
Noma sanaa
Young killer hatareee
Nyuma mm nafila wao mbele wana Nike,, hahahhahahaha. Ila young killer kwa michano ni mkali bt kwa battle kuna watu wake wa kubattle na wamuheshimu young d kama braza wao kwenye game! Issue ya kumdharau kisa sembe siyo mpango
Mick Skills TV fala ww
Dee kapanic tiyar
Hakuna wa kumfunika Young D
Yangu kilaaaaa noma
Young killer umetisha
Killer achan na Huyo kina
m nampenda young kiler Atari..Mungu amlinde milele
Kila huyo mla sembe achana nawe mmalize kwa mic tu
Youngdeee ndo mkali bana ilanawakubali wote kipaji kimoja kwa ukali msifananishe Nama young wengine 🙏🙏🙏🤙💪🏿
Young killer ndio kusema Kwani iko nene
Daaaaa wote mabumunda2 wanazingua aooo wshikaji
young killer dam dam nakukubali miaka buku
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nime iona mwaka 2020
Nakuubali sana young d, ww ni zaid ya rappers
young d sembe ina msumbua
Nakubali Killer unajiamini ki Noma mukubwa wg
killer we muuaji😂😂🔥🔥
killer......🔥🔥🔥
#KILLER ndo fund mzey babaa
Pambana na hali yako 😂😂😂😂
sasa young D We Unao Mziki Gani Mpka Ujione Upo Juu
Yang kilanoma sana
Hakuna zaidi ya mxodock
team young killer forever
young dee toka mwanzo ashaxema diss afanyi saiv so sixhangai pesa ndo kila ktu.....
King Zed latoszhal
Lylu
Mucheki jiva ana ngoma kali sana
Nakubali msodoki kamuaaaaaa
AF acheni hzo bhana killer hapo mnamuonea tu D nmdogo sana
Yankira
Young dee boya saaana.. mwanangu waweza saaana killer
Young killer nindoto yangu najifunza sana kuluka miondoko uyu fundii
Presenter is on point.Best of the best.Whats his name guys?
always young killer ts a young 4 future nd never make a judge 2 dat
young killer big up:!!
Yougkiller msodoki ni nomaaaaa msodoki the son
msodock ninomaa
young killer nakukubal sana ila kilchonichosha kukataa beat ya ma Broh joh makn kwan bdo MNA tatzo
Vip
Hakuna k2 nitakuja nifrahi sana kama kukutana na young kellar daaah sitoamini penda sana huyo kijana please call me 0713354647
Msodoooo ni muotoo 🔥🔥🔥🔥
Msodooookkiiiiiii 🙌🙌🙌✌
killer MTU mbaya jamani
Young dee umepaniki brooh