#TheBarTender ... Episode Number 08 🍹🍸 . . @mkudesimbaoriginal Yupo Ndani ya #TheBarTender 🍹 na BabaAko @jonijooo . . Big Shout Out To ..... @rhapsodys.dar 🏙
Namkubali mzee wa maneno ya kuambiwa acha nikupe mistari kidogo ya kitale!...asante sana afande nimefurahi kuniweka jela mana kula nure kulala bure dah Asante 😁😁😁😁
Safi sana kuona Millard unapata time ya kupitia channels nyingine za wenzako kuona wanafanya nini. Nachukulia hii ni kama nafasi ya kujikuza kikazi kwa kupata mapya na kuchubgulia mapungufu ili uteleze nayo. Safi sana Millard. Keep it Up !
Bwakila mkude Simba tuna kukubar sana zaid ya sana kwanza nikat ya mkaka unae jitambua naunaheshim ndoayako PIA KAZI UNAZOZIFANYA NINZUR TUNAOMKUBAR GONGA LIKE.
@@sideboy1299 thank you so much my darling I didn't know that this is wahow like for really. Shukrani kwaku ni fubuwa nilikuwa na mtafuta mta mnaye mfaam Lol
Uhalisia wa inje ya camera juice grac kama zote kudadeq nimekubali
Jaman nime enjoy sana interview ya mkunde Simba mlo enjoy interview ya mkunde Simba weka like yako hapa.
kitale yan nakuaminia maneno yakua mkuambiwa vzr sana hongera kk ila weka kila siku maana duu niuhondo
Yupo poasana
1:Young Killer
2:Giggy Money
3:Country Boy
4:Lulu Diva
5:Dude
6:Master Jay
7:Romy Jones
8:Mkude Simba
The best show in Town tuko pa1 show ya kibabe
Duh uko vzr ktk ufuatiliaj
Master j umemsahau
@@salma_6j975 rudia usome liste
Master jay
Shodris tv TV uyo apo no.6
Hiyo juice hata ningekuwa mimi ningeinywa hivoo hivoo ujakosea😂😂😂
*Kama unaangalia huku ukisoma comments tujuane gonga like twende sawa*
nielekeze mkuu naandikaj hayo maandishi aisee
Nice kk pammoj
kaka nelekeze bhx
Mkude anajielewa sana anaakili ya kufkilia jambo jema namkubal sana
Sana
icho kimwendo Cha mkude simba nimekikubali kama naw unakiona sw gonga like hapa
Kytet Mackam m
Matege flan nn😂😂😂😂😂😂
Kumbe we pia umekiona
@@zuusaidibushiri5556 ndio ndiio umenikumbusha mbaliii
Noma sana wasaf Tv joni jooo na kitale ndan ya nyumba
Jonijooo leo utakiona ametembea juani alafu ucku piga tarumbeta baba😆😆🔥
Yaani kiuujumla mkude simba kwa maneno ya kuambiwa umeecheza vizuri sana na kwa mtazamo ule wa maneno ya kuambiwa uko vizuri
Namkubali mzee wa maneno ya kuambiwa acha nikupe mistari kidogo ya kitale!...asante sana afande nimefurahi kuniweka jela mana kula nure kulala bure dah Asante 😁😁😁😁
Khadija Njama wajina hii nilichekaga mpaka mbavu zinauma😂😂
Me namkubali sana mkude🙌 kama unamkubali mkunde kama mim gonga like
One of the best kati ya zote zilizopita yani mkude katishaa sanaa BABA AKO
Kama una futilia maneno ya kuambiwa ngoga like hapa
Tupo sawa sasa episode 26
Baba ako uyu jamaa anakunyw kama me na me siwezi kunywa taratibu
AFRICAN NOLLYWOOD MOVIE TV kitale
That ninja is real G mob love from 254
Yani Nakupenda zaidi ya sana kitale😍
Lookng good mashaallah
Do you really mean?.
.
Nice
*kita kitale lufufu lufufu bwakila bwakila kama una mkubali kitale gonga like*
Namkubali sana
Mkude uko poa sana yan mm nakupendaga sana Broo haswa kwenye maneno ya kuambiwa, mungu akulinde na akupe nguvu afya njema wewe na familia yako Amina
😁😁😁😁 Nipigie tena juice kumbe choo kipo hapo
Millard Ayo kaka yangu sorry mi natafuta kazi aina yoyote ile naomba msaada wako
Iwe Duka au kaunta fresh tu but nahitaji msaada wako
Safi sana kuona Millard unapata time ya kupitia channels nyingine za wenzako kuona wanafanya nini. Nachukulia hii ni kama nafasi ya kujikuza kikazi kwa kupata mapya na kuchubgulia mapungufu ili uteleze nayo. Safi sana Millard. Keep it Up !
Millard ayo nakutafuta sana nikupateje
Millard ayo Kaka nakupayeje
Dah uyu jamaa kitale ni balaa sana juice itaisha kabisa
Alimasi king. je suis au congo (DRC) à kinshasa. j'aime beaucoup kitale. il fait bien son boulot. je l'adore. il est beaugar
Wangapi wamewaona wadada kulee wanahangaika kumuangalia kitale
U
Tunawajua ndioooooo... Walimu wapyaaa "Kwa sauti ya Mstalini"🤣🤣🤣
mkude simba much love from kenya jonijoo 🔥🔥🔥🔥bigup babakooo
Daaah hizi juice leo zimemtambua yeye ni nan!?
😂😂😂😂
Hatbt Alveson 9
Wasafi tv nooma sana sana yaani.show la kibabe ...#Babako
Always huwa sina manenoooooooooo napitaaaaaaaa😅😅😅😅😅 #big up kitale # big up wasafi✌✌
Siku nyingine huitwi Tena the bar tender😄😄 unamaliza juice
Huyo mshikaji dairy ye pepsi tu hahahahaha
Daaah leo mswahiri kavAMIA KAMBI
Yes hongera sana kabisa kwa Movie ile ya MANENO YA KUAMBIWA 🔥👏
Ile ni tamthilia sio movie
Umetisha sana bro kital 😂😂😂
I love you Mkude a.k.a Lufufuu 😂😂😂😂
Mhhhhhh 0719975406
Asee hii ya mkude nimeikubali sn!! @Bartender,
Nmependa unavyo fanya maambulizi ya hio juice bro
Mike Sonko
Nimemkubali kbs bwana Mkude Simba, Kitale kama umemkubali na ww gonga like 👍👍
Shoo la kibabe jonijo + kitale #Bartender #Wasafi 👊👊 like kama hubanduki wasafi
Kizazi sana
Uko poa sana kitale
#mkudeeeee🍷🍷🍷✔
Like kama jamaa umemuelewa
Kizazi sana
Daaaah kitale huvungi me mwenyewe na juice si vungi yani
Hongera xana kake yngu katika iman kwa kua hautumi kilevi i salute u blazer kitale from saudi Arabia
😂😂😂😂😂Juice imempata mnywaji
Kupatwa kwa juisi
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
Eee bwana mkunaji limemkuta pele
minho kid 😂😂😂😂 Hakika
Kitale is real....maswali yako jonijoo hunifurahisha
Majizo kabisa anafanya kazi mzuri sana tena kwaki siri ❤️🥰❤️🥰🥰🔥🔥🔥🔥
Julienne Heart naomba namba yko
Ali Ali did you know Majizo was helping them?? Tell me where you heard that I can go watch it too🙄🙄
Paul Reuben ThT not a problem but this is public comment come in my inbox on Instagram @julienneheart
@@Buterajmjohnlifestyle hi naomba nikutafute
Jonijo na kubari sana burundi oyoooooo tunafatiria kipindi cako hongera sana show kari ya kizazi kabisa
Kupatwaa kwa juicee 😂😂😂😂😂😂😂
Kitale nouma babaako
Yani kitale kumbe wewe mzuri hivo ayise nakupenda sana kwa maneno ya kuambiwa umeshuti vizuri sana
Dope.....pindi la kijanja always #hallaaah
Nakukubaliiii my brooooooooo
Baba aako, kizazi sana. Keep it up brother 🔥
Baba akooo
Ata kojoa Sasa haaahaaa yani ana chekesha sanaaa
Kafanya mambo kiualisia kbs nimekukubali babaake
Nobody like jonijo you are the best man
Bwakila mkude Simba tuna kukubar sana zaid ya sana kwanza nikat ya mkaka unae jitambua naunaheshim ndoayako PIA KAZI UNAZOZIFANYA NINZUR TUNAOMKUBAR GONGA LIKE.
da jamn huyu jamaa namkubali xan wangap tuko pamoj
MKUDE SIMBA kamaliza show KINYAMWEZI
Yaan huyuu jamaa amekaaga kishari em ona ata anavooingia apoo 😂😂😂
Hahahaa
Jamaaa anajua sana..... na yupo siriasi na jambo lake.
Mhh juice nne🤔🤔
Watakuwa hawakuiti kwenye shoo za kula😂😂
Nani anaamin kama mm, yakuwa Kitàle haalikwi TNA maana c kwa juix hzo gonga like kama tu pmj
Napenda sana mtu ambae hatumii pombe asante sana kaka
Kwani xi anlipia
Kitare nakushukuru sana kutureteam maneno yakuambiwa nimeifatiria toka mwanzo mpaka sasaivi hongera sana kitare wangu munyezimungu abariki kazi zako
Naomba namba yako
Nakubali Jonijo namkubali sana jamaa yupo active harafu maswali anajibu kama inavyotakiwa hapindishi, pamoja sana
Kitale tale,back from prison
Hiyo ya walimu wapya imenivunja mbavu hahaha kama na wewe imekuchekesha gonga like
😂😂😂Dhu!? Leo nimecheka sana kitare we noma kwamba juis iko nying
Kama umeziona Glass Tano za juicy alizopiga mkude gonga. Like twende sawa
Juice ipo nyingi hhhhhhhhh
Jamn tatu sio tano alafu kuna watu wanakunywa zaid y hapo mmemuona huyo tu
namkubali sanaa
M
Nomaaaa sanaa ndo namalizia bongo dar natembelea tena huku....
wanao mkubali mkude gonga like tujuane
baba akooo nmeisubil kwa hamu aisee
Bora Hata nisi kushangaze baba gonga like Twende sawa
Ther bartender jonijooo
Wasaf tv
Ndiyooooo walimu wapyaaaaa hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaa kweli wewe mkude simba
Naangalia huku nafuraha na hela ya kubet
Aisee #mkude nimekukubali sio poa kwenye matunda juis
Nakupenda sana my frendy ,Mungu akupe maisha marefuu
Double shot ya ram AMA ni vodka mix with juice?
Hongera
Bwakila leo kanywa juis utalipa mze baba hhhhh
The
#Bartender
Baba akoo
Wauni siwatu wazuri
Kamahunamkubali #kitale weka like hapo ilitujuane bas
Kama unatoka morogoro like yako muhimu apa tujuane mapema
Bonyeza picha kushoto uone magonjwa ya figo Subscribe like komenti
Penda sana kaziyake ila punguze kunywa juisi
Aliy Mapenzi imepit hy
Kitale bhana eti ''hii juice ipo nyingi ?'' 😂😂
Bartender kipind chang bora kabisaaa
Bbbabakooooo
Ahahah mkude ataki uzungu juice mapigo yafasta😂😂😂
Hichi kipnd napenda mkichelewa kupost cn raha
jamaa yko making na kzi
Tunao ipend maneno yakuambiwa ya kitare nipen like zake hape twend saw
Mwanaume kamili ana kunywa Juice kama mkude simba 🔥
Nakupenda bure kitale watching from Saudis Arab
Ety nilijua msaga sumu eeh!! Vitu vizuri kavijulia wapiiii?
Duh- huyumshkaji namkubali pia anavpaj 4 vyakuigiza
mkude simba nimemkubali anishi maisha ya ualisia wake
Kula tu GB zangu sina neno juu yako kaka #wahunisiowatuwazuri #babakooooo
Kama umeona 1:33 Joni joo kachapia gonga like
Ivi jaman inamaana bwakira ndo huyu huyu mkude Simba mwenye kujua ukweli jaman.
Mkude simba mtu mbay nakubali broo
kitale handsome sanaa
wangapi tulio kimisi hiki kipindi tujuane kwa like👍👍🔥🔥
Ehe kumbe uyu do bwakela 🤔🤔🤔🤔
Ndo bwakila ndo kitale ndo mkude Simba ndo lufufu
@@sideboy1299 thank you so much my darling I didn't know that this is wahow like for really.
Shukrani kwaku ni fubuwa nilikuwa na mtafuta mta mnaye mfaam
Lol
Daaahhh n noumaaa sana hkii kipindiii
mkude simba umetisha blaza
2:14 eti nikampiga za mbali tu.. babaaako... hahahahahah... hlf mkude we ni hbr nyngn umepiga Glass 5.. salute baba
Dah Wasafi tv mko poa sana,kitale ameniuwa sana kabisa nimecheka sana
daaaaahh jonijoo nakufuatilia sana tang unaanza na ulipo fikia we noma idea ulio Fanya kweny #THEBARTENDER NI ATARII BIG UP SANAA
Duuuh kapiga vikombe vi 5 vya juice nimekukubali mzee baba
Kama kawa mzeee baba nakbalina na wewe unacho fanya wauni sio watu baba ako wanakbali uswailini by PEACEBABU
Hiki kipindi ni hatariii bigup sanaa jonijoo