Kweli saido mi nilipenda utendaji wake aliipenda kazi yake kwa moyo mmoja sema kwa vile cjuw ni matakwa ya mwalimu aidha uongozi nimtakie tu mwanzo mzuri huko aendapo 🦁💪🏿1⃣ulakoze chane❤
Nje ya muda kivipi? Punguza mihemko ya wasiojua Mpira. Simba sc ni klabu ya Mpira wacha Semaji lijidai. Simba sc haiigi ujinga Bali huanzisha Jambo na waigaji huiga
@mwikamwika4851 umesahau ya mwaka janaa team inatakiwa kufanya preseason week 6 huo ndoo utaratibu kamaa ulikua hujui,sasa wewe unafanya week mbili halafu inaanza team haina muunganiko,fanya tafiti kabla hujaropoka
Saidoo Tz tunakupenda sana saidoo nakuombea MUNGU akuzidishie taqwa maana umejua kutuheshimisha na kazi Yako uliifanya kiuchamungu hukutaka ushirikina kama wale waliokuondoa kwenye timu Yao ALLAH akupe afya njema
Jaman viongoz wa simba tafadhal. Naomba msiache kuwasajili wachezaji hawa wawili keneth semakula na pedro pesoa miguel timu itachukua makombe yote . amini nachokuambieni .
Tatizo la Simba ni kuaga wachezaji kisha wenye watawarudiliya wanakuwa wabovu kushinda wenye wameagwa tafuteni kwanza bongo mbele ya kwenda kutafuta ao wa mtandaoni kisha mwende inchi jirani Burundi Rwanda Uganda Kenya Congo 2 pamoja na Zambia wachezaji wenye ata mashabiki wanaweza kuwajuwa uzuri wao
Napendekeza pia Kennedy iwe thank you Lameck lawi kutoka Coastal achukue nafasi. Thank you nyingine ziwe kwa Jobe ,Kapombe, Hussen Kaze,Kramo,. Lakini uongozi jitahidini iwe mvua au jua goIikipa Ayoub Rakred asiondoke ni golikipa bora.
Mchezaji ambae alikua kikos cha Kwanza mnatudanganya et ubora haupo kwake.. mnazingua Kwan hakua kikos cha kwanza bure alifanya kitu jamani tuleteeni vimeo vyenu muone kama tutawaelewa
Nitakuwa mtu wa Mwisho kusema neno lolote ovu kuhusu SAIDOO, ki ukweli ameitendea haki SSC ASANTE SANA SAIDOO NTIBAZONKIZA ""URAKOZE CANE CANE SAIDOO""
Nashauri kama ikiwapendeza thank you ziwe japo mbili kwa siku. Yaani saa 7 mchana na 2 usiku. Ikiwapendeza please
😂😂😂😂
Kabisa
Safi sana semaji la kafu Kwa ubunifi huo 👏👏👏
Ila huyu baba ni ana roho nzuri sana yaani hata kama kuna shida mwamba huwa anaongea in positive way big up broo
Nakuunga mkono wazo lako kaka
Wachezaji wajao sasa wawe wazur sio mtoe wazur waje wabaya.... Tuna washukuru sana kwa mabadiliko........... .............
Kweli saido mi nilipenda utendaji wake aliipenda kazi yake kwa moyo mmoja sema kwa vile cjuw ni matakwa ya mwalimu aidha uongozi nimtakie tu mwanzo mzuri huko aendapo 🦁💪🏿1⃣ulakoze chane❤
Roho😢😢 imeniuma sana kwa saido ila tunakupenda sana wana simba umefanya makubwa❤❤❤kila lenye heri liwe juu yako
Kila la kheri said huko uendako tutabaki kukumbuka mazuli yako thanks a lot Simba Kwa kumuaga Kwa heshima.
Ningeshauri pia mmpe mangungu thank you...sisi mashabiki mnatuumiza sana tunapoona Simba yetu Haina umoja
😂😂😂😂
All the best God Father wa bujumbura
Mungu amtangulie huko aendako nilikupenda sana saido ila ndio hivyo hakuna jinsi kila sehemu ni kambi ❤❤❤❤❤
Saido tunakupenda nenda Allah akubarik kwa uadilifu ahssante
MNATUMIA MDA MWINGI KUWAPAA THANK YOU WACHEZAJI WAKATI TUPO NJE YA MDAA,FANYENI CHAPU TEAM IENDE MAPEMA PRE SEASON, TUSIJE KUANZA KULAUMIANA BADAE
Nje ya muda kivipi? Punguza mihemko ya wasiojua Mpira. Simba sc ni klabu ya Mpira wacha Semaji lijidai.
Simba sc haiigi ujinga Bali huanzisha Jambo na waigaji huiga
@mwikamwika4851 umesahau ya mwaka janaa team inatakiwa kufanya preseason week 6 huo ndoo utaratibu kamaa ulikua hujui,sasa wewe unafanya week mbili halafu inaanza team haina muunganiko,fanya tafiti kabla hujaropoka
Usifikiri kuachana na mchezaji ni kama kupiga bao😂😂😂
🙏saidoo,kila la kheli uko uendako,tutakukumbuka sana ❤
Saido mimi nampenda sana sasa olewenu muwalete kina jobe wengine
urakozee chane hahahaahaaha penda sanaa simbaa till i die..❤❤❤❤❤
Kazi kubwa umeifanya father wa bujumbula safari njema father mungu akutangulie uendako
Ahsante sana brother saido ntibazonkiza
Asantee semaji
Safi sana semaji letu kwa ubunifu huo 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏
Mungu akubariki sana SAIDO, TUTAKUKUMBUKA DAIMA .
Tutakkumbk sana saidoo bdo tnakupnda na tungetman ungeendelea kubakia ila mda ndo hauruhusu
URAKOZE CANE SAIDOO
GODFATHER WA BUNJU MBURA👋🙏
Jamani mzee said hapo alipo leo atasherekea akiona saido amepewa thankyou tena kasema saido akiachwa tu atachinja kuku
Uko vizuri semaj letu
Kila la kher saidoo.. 💪💪
Saido,mzamiru na Hussein nawapenda sana ni wachezaji wenye spirit sana
Burundi 🇧🇮 🇧🇮 juu juu Sana tunakwenda World cup Burundi kama Burundi 🇧🇮
Nampenda San said munge muacha munge mutoa magugu namupenda said
Pamoja sana wa msimbazi❤❤❤
Thank u
Jobe, onana,
Nenda Saido ulikuwa bado mchezaji mzuri sana, ila umri ndio umekukwamisha.
nenda salama papaa saido mungu awe nawe ila nitakumiss sana kwakupiga penalty
Tunaitaji wachezaji walio imara siomnatuletea wachezaji wakuja kupewa muda wakujitafuta fanyeni kweli simba nguvu moja
Kilaa kherii godfather of bujumbula❤
Usajili bila mapendekezo ya kocha au huo usajili unafanyika kwa mapendekezo ya kocha yupi
Kwan mgunda ni nan golikipa
Ntibazonkiza kaifanyie makubwa simba
uko sahihi sana Hamdi Ali 😊😮
Jamani simba ijayo hatutaki wachezaji wa malibio tunataka akitoka mtu kinaingia chuma kweli tunahamu nao sana hao juma mwiko wajiandae
Saidooo
Simba itakudataaa
Saidoo Tz tunakupenda sana saidoo nakuombea MUNGU akuzidishie taqwa maana umejua kutuheshimisha na kazi Yako uliifanya kiuchamungu hukutaka ushirikina kama wale waliokuondoa kwenye timu Yao ALLAH akupe afya njema
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ kwa saifo
❤❤
Well done godfather wa bujumbura
Mungu akutangulie huko uendako
Urakozee Chane😂😂😂😂 kila la kheri Saido,,,, ,,, 🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 waje watu wa maana bhan
Kaka maneno hua unayapanga vizuri sana ila tafuta dawa2 mambo yataenda vzr make una maadui
Simba 🦁 ngufu moja
Tutamkumbuka sanaaa saido sababu alikua anapigana Kwa jasho jingi sanaaa alikua anajitolea kweli akiwa kiwanjani Hana ubishoo hata kidogo
Mngeanza na lile paar na mkafatia saidoo ningefurahi sana
Tunahitaji Thank ziongezwe kwa siku 2 hadi 3 itapendeza
Lakini voo🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁
Mzee saidi lazima atimize ahadi yake ya kumchinja kuku,akale na chagamba
Msisahau kumpa Thank you Kennedy Juma
Kweli kabisa
😂😂😂😂😂😂😂
Upo sahihi kabisaa
Kennedy, kapombe
Iwe heri kwake huko aendako😊
asiachwe saido alafu alafu mkatuletea wakina jobe wengine ...
Heshima kwako saidoo natutaendelea kukuheshim.
🎉🎉🎉
Msijee mkaacha wachezaji wazr mkaleta vituko
Mpeni mangungu thank you aende zake.
Semàji na wewe usituzihaki kwa kutufurahisha halafu yanakuja magarasa matupu
Jaman viongoz wa simba tafadhal. Naomba msiache kuwasajili wachezaji hawa wawili keneth semakula na pedro pesoa miguel timu itachukua makombe yote . amini nachokuambieni .
Tatizo la Simba ni kuaga wachezaji kisha wenye watawarudiliya wanakuwa wabovu kushinda wenye wameagwa tafuteni kwanza bongo mbele ya kwenda kutafuta ao wa mtandaoni kisha mwende inchi jirani Burundi Rwanda Uganda Kenya Congo 2 pamoja na Zambia wachezaji wenye ata mashabiki wanaweza kuwajuwa uzuri wao
👏👏👏👏👏👏👏👏👏🦁❤️💪
Mm nimefrah kweli jaman
Urakoze chane tena chane imana ikulinde
Ndiyooooo
Mmoja mmoja unatosha
Burundi 🇧🇮 Burundi 🇧🇮 Burundi 🇧🇮
Toa INONGA,KENEDY,JOBE,CHAMA,KAPOMBE,ONANA,ABDALLAH HAMISI,MANULA,DUCHU nk😂😂😂#SIMBA nguvu moja
Sifa Huwa zipo tu kwaajiri ya marehemu😢😢
Napendekeza pia Kennedy iwe thank you Lameck lawi kutoka Coastal achukue nafasi. Thank you nyingine ziwe kwa Jobe ,Kapombe, Hussen Kaze,Kramo,. Lakini uongozi jitahidini iwe mvua au jua goIikipa Ayoub Rakred asiondoke ni golikipa bora.
Kramo watuachie
NINGESHAURI SAIDO AWE KMA BOCCO NI HAZINA TUSIMUACHE HASA KWENYE UPANDE WA LUGHA
Nikweli hujaongea uongo ni mchezaji mzuri sana ninamuombea Mungu amlinde aendako jamani saido, Mungu amtunze SAIDO
@@Lusindehalima-si3ej kwa kweli
Kama mumempa thank you Saido,basi naamini Muna malengo makubwa mno,sitegemei kuona munasajiri wachezaji wa kawaida kama kina Jobe
Maneno mengi alafu hakunakitu mnatushangaza sana
Akajifunze ukocha ili aendelee professional/ kazi yake .
Nimeumia sana kumuacha miquison
Kama ingekuwa ni kwa rai yangu Saidoo ningempa tena msimu mmoja
Kernedy pia tumuaqe
Kila la kheri father bujumbura😂😂
yani apo mzee said amefraahi
Kennedy juma afatie
Saidoo akisajiliwa na team baadhi hapa Tanzania atatufunga sana na tutaanza kulalama sisi kwa sisi mwamba anaweza
Babacar, ngoma na kanuti. Mmojawapo apewe thanku. Ila babakar binafsi namuelewa
Babakali mzito sana
KANUTI ABAKI
Siku mkimuaga KIBU lugha mtayo tumia itakuwa hiyohiyo “Urakoze Chane “
Kila la kheri father bujumbura
Acha wivu c kweli magoli yote ni ya penati hata hivyo goli ni goli tu ili mradi linatengeneza point tatu
Saidoo umuli umeenda xafi
Msisahau kumpa pia thank u mikson,Kenedy juma,
Mchezaji ambae alikua kikos cha Kwanza mnatudanganya et ubora haupo kwake.. mnazingua Kwan hakua kikos cha kwanza bure alifanya kitu jamani tuleteeni vimeo vyenu muone kama tutawaelewa
Saido nilimpenda sana nilitamani ata kukutana naye
pia kwa heshima na ubora wa Saido angeongezwa hata mwaka mmoja ....
Mtamkumbuka saidoo😂😂😂
Usiwasifie semaji uto wanawaroga sana
Fuledi na jobe hatuwa taki
Thank you pekee itakayo turizisha mashabiki ni ya mangungu 2 basi
TUTACHINJA NG'OMBE KWA FURAHA
ISIJE IKAWAA KAMAA UNATOA PHIRI NA BALEKE UNALETA JOBE ,FREDY NA BABACAR SAR
Hakikisheni mnaowaleta wawe zaidi ya mliowatoa msijejuta baadae
Tutamkumbuka kwa mipira ya penat na free Kik mweee
Ishukru yanga ndiyo iliyomleta Saido ......... Hajajileta huyo na pengine msingemjua
Nitakuwa mtu wa Mwisho kusema neno lolote ovu kuhusu SAIDOO, ki ukweli ameitendea haki SSC
ASANTE SANA SAIDOO NTIBAZONKIZA ""URAKOZE CANE CANE SAIDOO""
Jobe anasubiri Nini Atoke
Hilo neno "kitimbi gani" litakukosti huko mbele ...18/06/2024..
Bado jobeeeeeeeeeeeeeeeeee...
ALIKUWA HAKAI BENCHI, SAWA, ONGEENI HIVO, HAFU KESHO MLETE BENCHI LA KUKAA KILA IFIKAPO MDA WA MECHI.
ONGEENI KWA KUFIKILIA MSIJE MKAJISAHAU.