JEZI MPYA ZA KIMATAIFA ZINAZINDULIWA LINI?/HII IMEMPAGAWISHA SEMAJI AHMED ALLY/"KALI VIBAYA MNO"
6:04
#LIVE: YANGA YAJILIPUA YAMTANGAZA MOALIN/STARS KUITUNGUA GUINEA KESHO?SIMBA YAPIGA TIZI LA NGUVU CAF
A-Z AHMED ALLY AZUNGUMZIA SAKATA LA LAMECK LAWI/"NI MCHEZAJI WETU/MSIMU UJAO WATU WATANENEPA"
Вставка
- Опубліковано 17 лис 2024
Wooyooooooooo simba nguvu moja, sana cemaji letoo,
Simba nguvu 1
Hakika Ahmed ALLY Afisa Habari Simba ana uwezo mkubwa wa kunadi Brand ya Simba Ni Mtaalamu kwenye hicho kitengo Hongera Simba Nguvu moja
Simba nguvu moja kma unampenda semaji la cuf naomba like zen ap
Semaji la muungano😂
😊
ongela Simba usajiri mzuri, werokam mozambique
Simba kweli tunamsemaji 🎉🎉
CRESCENTUS MAGORI endelea kufuata nyayo za comrade HANSPOPE💪💪💪#SIMBA nguvu moja
Simba nguvu moja ❤❤❤🎉
Karibu unyamani lameck lawi simba nguvu moja
Semaji la CUF yuko vizuri. Chapa kazi Kaka. SIMBA 💪
Kalibu unyamani lamecki lawi Simba nguvu moja
❤❤❤❤❤❤
Ongelea suala lenu, usajili wa Mwamnyeto Yanga hauhusiani kwa namna yoyote na suala Lawi. Malizaneni na Coastal Union kuingwana badala kutoa mifano ya miaka minne iliyopita. After all mngelipa ndani ya deadline hizi kelele tusingezisikia
Big yes
Mungu abaliki Jembe letu jipya
Good sign🎉
Hongera sana semaji
Bashiru singano kutoka Tanga, Mimi nauliza kuhusu kocha wetu juma mgunda bado tutaendeleanae msimu ujao au ataachwa, hili swali naomba ajibu msemaji wetu Ahmed ally
Simba Nguvu ni Mo.
Nguvu Ni Moja💪
Nakubali semaji
Asante sanaa kakaa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Law karibu sana simbaaaa
Lameck karibu sana Unyamani, Huku hakuna Kukopana Kama kule kwingine.
❤❤❤❤🎉🎉
Mchezaji mzuri lameck lawi
Mmefeli ndiyo maana mnaleta tension kwa jamii na kujiteyea
Kama mzamiru anabaki simba Basi yanga bingwa
😂😂duduka tunza vizuri hii interview tutakumbusha soon
Kweli mchezaji wetu
Yes Lameck ni Mali tumekubali basi fanye kweli kwa kutuletea foward mkali
Wao siyo wagonjwa hawajamuuza Lawi fanyeni mengine
👏👏👏👏👏👏👏👏❤️🦁💪
Simba nguvu moja
Haki yao coastal union ni kumleta LAMECK LAWI SIMBA SPORTS CLUB😂😂😂😂😂#SIMBA nguvu moja
Yaani ukimsikiliza semaji la muungano unawaona mikia wakibeba kombe la dunia...njoo kwenye uhalisia sasa next season nafasi ya 5 kama sio 8
Shida iliopo wachezaji wetu wa tanzania awapi nafasi ya kutosha tunasamin wa kigeni mue mnawapa nafasi wazawa wapo vzuri na wanajituma sana
NguvuMoja
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉semaj
Uyu mwamba anajua kuongea point bila kuumauma maneno
semeji la cuf nguvu moja 😊😮😮
Huyu semaji ni mwamba haji manara Hana upeo huo
Ongela simba
Usiseme sana tunataka ukweli
Siokweli mzeee
We haya
Leteni na forward wakali. Tunenepe
Tunaitaji kiungo mkabaji tupate raha jamani.
Kwa kupamba wachezaj t semaji unajua lkn ujinga mnaotuleteaga baadae hatuwaelewag kbx
Ukuta wa Simba sasa umepigwa plaster 😂utakuwa ni imara zaidi 🙌🔥🙌
Wapi huyo Ahmed ni mwongo tu😂😂❤
Leteni beki wa maana huyo lameck hewezi kuziba pengo lainonga atakidogo
Coastal union wamuache dogo ale maisha na acheze mpira#SIMBA nguvu moja
Welcome lawi 22 Simba SC......
Kisema kweli hii simba yetu inaelekea itauzwa sio kwa usajili huu wa njaa
Eti usajili wa njaa jiangalie ww
Inunue ww ndo unataka kuinunua,watu hatuishiwi maneno,
😢
Kashaanzisha kifurush cha jaza ni kujaze dah😊😊
Ndo Wanga Mnahaza Hivyo Bado Cocha Ajasajiliwa Ndo Tim Himeshatoka Kujihandaa Ndo Munaleta Cocha. Alafu Vipigo Ndo Vinahaza.
Mlikuwa mnamkalisha mickson kwenye bechi alafu mmemtoa mmenikera sana haki ya mungu kumtoa mickson
Mchukuwe
@@godfreymkelemi9663 kamlete mimi nimchukue
Usajili wa Lamrck lawi una walakini tu hata kuwahi kutangazwa kabla thank you hazijaisha kuna maswali ya kujiuliza
Vyote vinaenda kwa pamoja inaruhusiwa.
Welcome lawi, unyamani
❤
Sawa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤nguvu moja
Maneno yawe yaukweli
Kabisa yaani isiwe blaa blaa tu
sajili ya kwanza bola tuna kwenda vizuli anae fata nguvu moja
Kumbe mnatoaga kidogo kidogo mh mtapata wachezaji wazuli kweli
Hata ulaya hivyo vitu vipo acha ushamba ww
Na hapo ni wachezaji wa ndani wa nje je
Yes
Maneno mengi hakuna mafanikio
Semaji la CAF utatuua kwa raha😂😂😂#SIMBA nguvu moja
Raha gani nyie mwakarobo
MKIWASAJILI WACHEZAJI MSIWAWEKE BENCHI
Una akili kwl wew? Wap uliona wachezaj wanaanza uwanjan 30? Lazma waanze 11 wengne wataanzia bench
Semàji mpaka hapo asiye kuelewa asubiri parapanda la mwisho😂
😂😂😂😂kabisa kabisa
hahahaha kabisaaaa😂😂
awajakaa kmy nyiendo mlikengeuka sai ety yeyeyyeyeyeyey yeyeyyeyeye toa ujinga hapa lawi sio mchezaji wenu mbona amjamtambulisha mmemtambulisha tu mnyama tu na bakari yanakuhusu nini mkomeni yanga ongeeni yakwenu
Kuna mjinga kutoka timu moja tena mtu wa nje anataka kuleta uhasama kwenye timu zetu na kuondoa dhana ya utani wa jadi. Tff wawe makini kusimamia sheria ndio walioruhusu sheria zikavunjwa kwa huyu bwana na watu wakeb kufadhili timu zaidi ya 6 ambazo zinacheza ligi moja. Hili ni kinyume na sheria ujinga huu upo nchini kwetu tu.
imekwisha iyoo😢😮😮
Yani mnakosa kuchukua wachezaji wazuri mnabana hela mnachukua wenye njaa
Tatzo hauamin wachezaji wazawa kua wanaweza
Gonga Like Kamaa Unawakubali Makolo😂😂😂
Semaji punguza kidogo hata jobe ulimsifia sana
Ngoma wa nini tena kwenye simba mpya
Acha upumbav ww kaz anayoifnya ngoma ww huion au macho huna
Niache upumbavu mimi au wewe ngoma kaanza kuchez mpira hata wewe mnyewe huna ari vuzur saiv huyo ngoma ni veteran
Binafsi Mimi ukiambia kati ya Ngoma na babakar sari. Ntaondoka na Sari kuliko Ngoma. Uwezo mdogo wa kukaba na Pasi zake hazina macho
Wote hawafai katika team inayo taka mafanikio
😂😂😂 hatarii semaji la cuf
Kwani kuna mchezaji alikUja simba bila kumhitaj?
Alafu mwisho wa siku anakaa benchi tu
Kanute wanini tena kwenye simba mpya😢
Bado anamkataba na Simba
Bado unazungumzia mzamiru Yasin kubaki na kapombe?Basi mtabaki hapo hapo nafas ya 3
Msemaji wetu nishida maneno meengi mushowasiku tunalia
Sasa Leo ndo nimepata majibu kwanini coastal Union tulifungwa Na Simba mabao mepesi😂kumbe walkuwa Na mpango nae
Kalibu lameki unyaman
Yani simba sijuhi wakoje jamani mbona mnaendelea kutudanganya kule wanapinga nyie mnasema mmesajili tumuelewe nani?
Coastal wanazingua.
Tunaomba ushindi msimu huu.
Msemaji tunae...anafanya brand ya wachezaj hasa...tuwe na team.
Iyo nikazi kama Kaz nyingine tumpe hongela yake kwakutimiza majukum yake kama SEMAJI
Yanga hao wakonyumayao
Kweli hii ni mashine yakuongea😂😂😂😂😂
Vijana wengi hupotea hapo Simba, sijui kwanini? Orodha ni kubwa sana
Nani kasema cmba haina makombe angalia nyuma ya semaji caf
Mnajichanganya sana ninyi Lawi wa nini hamna striker? Mjaze ujinga najua mwakan mnamuacha huyo
Ww acha ufar
semaji anasema Che Malone, means Inonga anaondoka
Huyo Hana tofauti na walioondoka
Ngoma hatumtaki bhana😎😎😎
Acha wehu ng'ombe wew kwo unatak ngoma aachwe? We fala nn? Hujui mpira nenda kwnye siasa kajalb bahat yako
We unatombwa kweli mbwa wewe mtu kachoka yule anapiga back pass sana halafu fupi anachosha mabeki Wala Hana speed
🐸🐸🐸🐸wapo umu wakati sio sehemu yao
2000 miaka 18?😢