🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 33

  • @SalimAl-mahrooqi
    @SalimAl-mahrooqi Місяць тому +1

    Kweli haja mwacha aongee

  • @dicksonbenard1741
    @dicksonbenard1741 2 місяці тому +2

    Kwanza mchezaji hana hata raha

  • @kamazimamuganyizi6932
    @kamazimamuganyizi6932 2 місяці тому +1

    Sio kweli mchezaji mwenyewe ana raha kabisa mmemwaribia mchezaji maisha yake

  • @SalimAl-mahrooqi
    @SalimAl-mahrooqi Місяць тому +1

    Kama mchezaji anataka kuhama timu mwacheni ende kuangalie maisha yake

  • @sakinayahya78
    @sakinayahya78 2 місяці тому +1

    Mwache Lawi aongee mwenyew unamsemea Kwan yy mtt mdogo maana Lawi hana raha kabisa

  • @DenisMusa-g5z
    @DenisMusa-g5z Місяць тому

    Wamwache lameck aongee mwenyewe msimnyime mchezaji Raha yake

  • @saidabdul832
    @saidabdul832 Місяць тому

    Wewe mpotoshe kijana ukae ukijua unapigana na jitu kuuuubwa linalokuzid kila kitu

  • @SalimAl-mahrooqi
    @SalimAl-mahrooqi Місяць тому

    Basi wamwache acheze nao kiwango chake kitachuka

  • @MbogoMbogombogo
    @MbogoMbogombogo Місяць тому

    Izo nitamaa broo bc muache aonge japo kidogo

  • @saidseleman2973
    @saidseleman2973 2 місяці тому

    Mmefeli,kwa nini anamzuia kusema

  • @kamazimamuganyizi6932
    @kamazimamuganyizi6932 2 місяці тому

    Tamaa zitawaponza

  • @JosephJordani-ef3eb
    @JosephJordani-ef3eb 2 місяці тому

    Mbona hana furaha

  • @dicksonbenard1741
    @dicksonbenard1741 2 місяці тому +1

    Achen tamaa huyo nmchezaji msifanye kwa masilahi yenu

  • @MashakaAthumaniAthumanimashaka
    @MashakaAthumaniAthumanimashaka 2 місяці тому

    Hayo
    Y
    Manenonimepesi
    Sana
    Lakini
    Yatakukuta
    Yakisheria

  • @ezzepuritykamwene2121
    @ezzepuritykamwene2121 2 місяці тому

    Mmemnyimq fursa,,hana furaha mtt wa watu.. atawanyoosha kimya kimya, af dirisha dogo huyooo

  • @AmePandu
    @AmePandu 2 місяці тому

    Mwenyewe ata hajapenda muache udikteta huo ni ushamba

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 2 місяці тому

    Nyie ni washamba mnamlazimisha mchezaj kubaki coast anaonyesha tu hana furaha mchezaji anaenda na kuchuja msione mmeshinda wachezaji wako wengi co yy tu

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 2 місяці тому

    Mbona Hana furaha lakini?

  • @alphoncelushinge1120
    @alphoncelushinge1120 Місяць тому

    kijana unaona hana amani ya moyo kabisa

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 2 місяці тому

    Mchezaji mwenyew hana furaha ngojen awasaliti ndio mtajua

  • @rajabumrope8732
    @rajabumrope8732 2 місяці тому

    WANAFIKIRI UJANJA WAKATI WANAMUHARIBIA MAISHA

  • @geraldbagole4494
    @geraldbagole4494 2 місяці тому

    Angekuwa striker wa mabao Sawa,lakini Beki.Bongo wapo wengi tu.Tena kwa timu kubwa kama Simba hakuna wcwc😂😂😂😂

  • @salamSalehhhhh
    @salamSalehhhhh 2 місяці тому

    Mnamfosi lawi kubaki hapo😭🙄😁hana ata furaha bakini nae Kwan ye nan bila yeye tutatoboa tu yeye sio Mungu

  • @JosephJordani-ef3eb
    @JosephJordani-ef3eb 2 місяці тому

    Ebu mwacheni toto akatafute maesha yake mbele,maana anyone kana hana furaha,hata name unajua ndio maana unamzuiakuongea

  • @AmePandu
    @AmePandu 2 місяці тому

    Washambasana hawa jamaa duh

  • @user-yu2hh7kh8o
    @user-yu2hh7kh8o 2 місяці тому

    unatombwa we

  • @SophiaMhina
    @SophiaMhina 2 місяці тому

    mbn anatak kuondok aje simba unamzuia?😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @user-ok6yb7pk1w
    @user-ok6yb7pk1w 2 місяці тому

    Ulitaka awe na masilahi Yako kwani ni mchezaji wako

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 2 місяці тому

    Hao Simba ni wasanii pia Kwa Awesu Awesu ndivyo hivyo hivyo halafu eti wanamtaka Aziz I ki tutamfilisi yanga sio wafanya biashara kwamba wanapata hasara

    • @abdallahmzee4335
      @abdallahmzee4335 Місяць тому

      Simba na Yanga nani ana madeni mpaka Fifa wanajua ?

  • @user-vb8ki3jo9t
    @user-vb8ki3jo9t 2 місяці тому

    Dawa yao rawi wamekubania wewe cheza chini ya kiwango kuwakomesha hawo

    • @kolosii4351
      @kolosii4351 2 місяці тому

      Hiyo ni ajira yake. Akicheza chini ya kiwango anajiharibis mwenyewe.

    • @neemamwijage
      @neemamwijage 2 місяці тому

      ​@@kolosii4351chama mbona alikuwa anacheza chini ya kiwango na ameenda timu nyingine