RC MAKONDA AULIZWA SWALI GUMU Helikopta AMEPATA WAPI? RAIS SAMIA AMPIGIA SIMU MAKONDA AKITOA MSAADA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 13

  • @AllyHamisi-c7j
    @AllyHamisi-c7j 3 місяці тому +2

    Utu wa mtu haupo kwa ajili ya uprofasa ,utu wa mtu nizawadi anayopewa mtu kutoka kwa mungu, utu wako makonda nizawadi uliopewa na mungu utumikie ndugu yangu malipo yako mungu kakuandalia bila shaka

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 3 місяці тому +1

    Duu afrika Tanzania mungu atuliwnde kwa upendo❤❤

  • @maruhe1958
    @maruhe1958 3 місяці тому

    Mheshimiwa mkuu wa mkoa popote ulipo mimi nakusindikiza kwa maombi kwa maombi ndiyo silaha itakayokufanikisha kukulinda dhidi ya wabaya wako wote.
    ISAYA 41:10-16

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 3 місяці тому +1

    Mh hapo mungu akulinde na mawe ya wenye husuda

  • @emilianchibinda82
    @emilianchibinda82 3 місяці тому

    Uungwana ni vitendo!! Kiongozi ni uthubutu na kujiongeza.Wengine wanasubiri maagizo na maelekezo kutoka juu.Umepewa mkoa una wataalamu hadi wilayani kwanini usifanikishe jambo kama hili? Wakuu wengine hata baadhi ya wilaya za kwenye mikoa yao hawajawahi kuzitembelea

  • @RevPaulMeela
    @RevPaulMeela 3 місяці тому

    Hongera sana Mheshimiwa Makonda. Mungu aendelee kukupa nguvu na mafunuo ya kuwatumikia watu wa Mungu.

  • @prophetjohnmasso186
    @prophetjohnmasso186 3 місяці тому

    Amen amen amen 🙏

  • @SamweliMapuga
    @SamweliMapuga 3 місяці тому +1

    Watanzania wasio mwelewa makonda basi hata mungu hawatamwelewa chapa kazi komredi makonda watumikie watanzania kiongozi, wengine waige siyo wanao ponda kazi safi kama hizi niwachawi wa maendeleo ya taifa letu hongera sana kwako Raisi wataifa kwa kutom poteza makonda sikumoja umlete DODOMA uyukiumbe adim sana, Arusha safiiiiiiiii nyuma ya makonda

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 3 місяці тому

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 3 місяці тому

    Acheni.maigizo.ccm.tangazeni.matibabu.bure.watanzania.wana.shida.kubwa.

  • @mbondelotv8380
    @mbondelotv8380 3 місяці тому

    Hivi mikoa mingine ina wakuu wa mikoa mbali na Dar es salam........

  • @nixonpaul550
    @nixonpaul550 3 місяці тому

    Kampeni