MWENYEKITI ATUHUMIWA KULA PESA ya VIKOBA - MAKONDA AAGIZA ASAKWE AKAMATWE ATUPWE NDANI HARAKA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 тра 2024
  • MWENYEKITI ATUHUMIWA KULA PESA ya VIKOBA - MAKONDA AAGIZA ASAKWE AKAMATWE ATUPWE NDANI HARAKA...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 69

  • @Nguzofurniture
    @Nguzofurniture 28 днів тому +52

    Wanaomkubali makonda gonga like twende wote💪

  • @lilylema5292
    @lilylema5292 29 днів тому +18

    Vipi hapa mashirika ya haki za wanawake . I love makonda

    • @ezekielialen7395
      @ezekielialen7395 28 днів тому +3

      Wanajua kutetea vigogo wenzao Ila hawawez kutetea masikini

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 29 днів тому +16

    Makonda Ubarikiwe sana Mdogo wangu

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 29 днів тому +11

    Hapo sawa kaka makonda kula vichwa vya wahuni wote weka ndani

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 29 днів тому +10

    Team Makonda Ukombozi, kazi ni moja kutetea wanyonge, hongereni sana, vilio kila kona,
    Mungu azidi kuwatangulia

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 29 днів тому +11

    Haya maisha tunayoishi ni kwaajili ya wala rushwa mbwa hawa.

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 27 днів тому +5

    Huyo mama anavyo mpiga jicho hyo mama aliye thulumiwa baada ya hapo sijui itakuwaje 😔

  • @binseif2216
    @binseif2216 28 днів тому +10

    Watumishi wa serikali wahovyo sana kwanza ukiwakuta ofisin wanaringa kukuhudumia wakat mshahara wanaolipwa unatokana na kodi ya mwananchi

  • @jalinachilala8465
    @jalinachilala8465 28 днів тому +2

    Haki nasinzia hadi nadondosha simu,,,,,ila Mheshmiwa Paul makonda Mungu akulinde Kila la Kher
    ...

  • @user-ry8xf1no2s
    @user-ry8xf1no2s 28 днів тому +3

    Mueshimiwa makonda mmoja
    Chadema waje miatano awampati
    Kwa uongozi wake na ekimazake
    Alha akujalie afya Yako mueshimiwa makonda

  • @johnmunguawepeujasirikejo3853
    @johnmunguawepeujasirikejo3853 28 днів тому +3

    Makonda 🔥

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 29 днів тому +6

    UKIWA RAIS WA TANZANIA 🇹🇿 MAKONDA MPAKA UCHUMI WETU UTAPANDA NA WANANCHI WATAISHI MAISHA BORA KUPITA ATA ULAYA NAKUOMBEA MUNGU MAKUFULI JUNIOR ❤❤❤

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 29 днів тому

      Urais wa tanzania sio pipi kila mtu apewe, na kuna vigezo

    • @DaudiHamisi-un2uu
      @DaudiHamisi-un2uu 28 днів тому

      Atauliwa maana mifumo inatungwa uraya na mabeberu

  • @rehemakimungu6494
    @rehemakimungu6494 29 днів тому +4

    Halafu chatanda anaongea pumba hembu ona huyo mama miaka 10 hajapewa pesa yake ,tuachie makonda wetu sisi wanyonge,We kula maisha

  • @RajabuZakaria
    @RajabuZakaria 28 днів тому +4

    Muacheni MH makonda aifanye kazi yake inayo itajika afanye kama MH raisi JOHN POMBE MAGUFURI

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 16 днів тому

    Asantee Mungu.

  • @super815
    @super815 29 днів тому +3

    Makonda anapigya kazi sana jamaaa

  • @FloraIloko
    @FloraIloko 25 днів тому

    God reedem my country aisee kila kona dhuluma

  • @user-wd2xf4xs5u
    @user-wd2xf4xs5u 28 днів тому +2

    Makonda safi sana

  • @jamesgustav196
    @jamesgustav196 28 днів тому +4

    Kuna yeyote alieona kipande cha dakika 2:17 jinsi huyo mtumishi alivyomuangalia huyo mama wa kimasai

  • @emmanuelbirindwahabamungu5715
    @emmanuelbirindwahabamungu5715 20 годин тому

    Hee Mungu yukowapi makonda wetu wa Congo drc?

  • @mariakabonga2
    @mariakabonga2 25 днів тому

    barikiwa sana mtumishi mungu akukumbuke na uzao wako

  • @paulocharles4258
    @paulocharles4258 25 днів тому

    Ni kweri makonda Fanya kazi kaka

  • @emmanuelmmbaga5209
    @emmanuelmmbaga5209 28 днів тому

    Daaah Inauma sana

  • @isayaolemauna
    @isayaolemauna 27 днів тому

    you right

  • @starjay3052
    @starjay3052 29 днів тому +1

    ✅🙏🙏

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 26 днів тому +1

    😂😂😂 Kwajinsi navomfaham Makonda hapo Kazi Masaa 24 watakoma watendaji Wavivu yani ningekua namimi nimtendaji mapema naachia ngazi naenda Kulima Malinyi 😂😂😂😂

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 29 днів тому +2

    HALAFU UTAKUTA HUYO MTUMISHI NI MLOKOLE ,LAKINI HANA HATA HURUMA.

  • @OscarAsukenie
    @OscarAsukenie 29 днів тому +2

    Daah kuna wakati ukiwa kiongozi unatamani kucheka kesi za watu weer😂😂😂😂 ila rohoo inakukataza.

  • @leonardobedi4779
    @leonardobedi4779 29 днів тому +2

    alaf wanakuja watu wanasema tumia lugha nzuri.. natamani makonda apewe kichwa cha yule jamaa wa kenya😂

  • @marthaswai1185
    @marthaswai1185 28 днів тому +2

    Hivi hii njia tutamaliza kero ???Watendaji huku chini mbona kazi hazifanyiki ???Tumefeli wapi???Makonda hataweza kufanya pekee yake

  • @ashakijaji5869
    @ashakijaji5869 28 днів тому

    Mbona huko Arusha wanafaidi sana,matatizo Yana fanyiwa kazi

  • @TitoNgomuo
    @TitoNgomuo 28 днів тому

    Hakika huu ndio utawala Bora tunaouhitaji

  • @COMPASSIONMEDIA
    @COMPASSIONMEDIA 28 днів тому

    Huku mkoa wa simiyu pia uje utetee wananchi Makonda

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 28 днів тому

    Huyu mama atumbuliwe,.

  • @charles5633
    @charles5633 27 днів тому

    Kichwa Sana jamaa huyu anajua kaziyake

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 16 днів тому

    Na nyie mkome kujiunga kwa kikundi vya mashetani,yaani mbwa anakusanya hela linarusha wanyonge,afilicwe hill mbwa jixi.

  • @MagrethEmmanuel-qn4ud
    @MagrethEmmanuel-qn4ud 13 днів тому

    Vumilia baba kiswahili Chetu ndo hivyo tuokoe baba

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 28 днів тому

    Fikoba
    Ngasi

  • @ushindidaycare234
    @ushindidaycare234 27 днів тому

    Huyo ndomakonda bwana

  • @skilindaissa5441
    @skilindaissa5441 28 днів тому

    Haki za wanawake mko wpi.mnatetea vigogo vp masikini mbna hamtetee.

  • @AkilinyingiTaifa
    @AkilinyingiTaifa 28 днів тому

    Mingu kamludidha magufuli

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 29 днів тому +4

    😂😂😂 haki ya nani unaweza ukajiuliza hawa hawapo dunia hii maana wanayoyafanyia hawana huruma na binaadamu wenzao duuh

  • @MossesMollel-yv7uz
    @MossesMollel-yv7uz 22 дні тому

    Baba wewe nikiboko Yao ata wewe ni rais wa wanyonge 😂😂

  • @SelijusiMalambo-rh6sf
    @SelijusiMalambo-rh6sf 28 днів тому

    Piga kazi makinda

  • @abubakarsaid7303
    @abubakarsaid7303 28 днів тому

    Hawakawii kusema wana nyanyaswa kijinsia😂😂😂

  • @EnikoSanga
    @EnikoSanga 26 днів тому

    Wakuu wa mikoa wengine hawaoni hata kujaribu kufuata nyayo za huyu kamanda wamelala yooh

    • @user-kz7ys5qw2h
      @user-kz7ys5qw2h 25 днів тому

      Hasa Manyara hovyoooo

    • @EnikoSanga
      @EnikoSanga 25 днів тому

      @@user-kz7ys5qw2h ni hakuna kitu kabisaa vitambi tu

  • @praygodmawalla7884
    @praygodmawalla7884 28 днів тому +1

    Hakuna tena kufanya kazi ni mikutano tu ya hadharani. Hii sidhani ndio njia sahihi kutawala. Kangaroo court will never work in TZ.