Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Broo mansur nakufatilia sn na siku zote mm ni wakwanza naomb like yk na cment yk 1 t
😂🏆🏆
Kazii zako nzurii brother piga kazi🔥🔥
Itakuwa kuwa bora zaid kwako
big up kwako kak mo napenda san kazi yako❤❤❤✊✊
Hahahahhaha et anakosa nn lbd midinyano chenga😂😂😂
Upo vizur monsur
Kazi kazi 🎉🎉
Uko poa brother nakukubali sana
Duh haki ya Mungu unatoka nje ya ndoa kabisa kweli siku ya kufa nyani miti huteleza😂😂
Kaz endelea brother
Sisis ambao hatujaoa na tunafatilia vitu kama hivi sijui kama tutaowa hakii 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂Amin kak
😂😂😂kwa io xixi atatuoa Nan...
Nakuna mimi hapa nataka kuolewa😂😂😂
Hello Rahma mambo
Nakubal kaz unayo fanya bro
Waaaah,noma sana
boss upo vizuri kinoma
Hata hawa watoto tunaozaa nao hawa hatuamini km wetu mamae
yaan umeomba ushauri alafu unasema huwezi kusikiliza ushauvi😅😅😅😅
Mpaka nimetetemeka😂😂😂
toba mtaani kwangu😅😅😅😅
Pole brother mm shemeji yangu alishanitongoza na ananiambia mambo kibao ila mashemeji wapuuuzi
Nakubalii
Monsor Naomba uwe na nazali kwakweli au na mtu tunakupenda sana mbwana na uwe makini sana
Napenda san kz yak mo
Duu hatar yani tunao itaji ndoa wala atuzipati wanaozipata wanazichezea😢😢
Umeona ee 😢
Weeee acha tu niko single mwaka wa 6😢😢
@@AshaJuma-dz6hqnatamani majukumu nimuwekee mtoto wa mtu 😂😂😂
@SheilaOmar2007 pole sana
@SheilaOmar2007 sema tulia tuu tutampata tuu walosahihi inshaallah
😅😅hiyo kali😂😂😂
Gesti yenyewe sasa
Wanawake bana 😂😂😂😂 sijui waliumbwa na udogo gan
Wa kichuguu😂😂😂😂
Nimecheka sana we kaka 😂😂😂😂
Changalawe
Mansour anajiamini manshallah Allah bless you ❤
Hilo malaya,fukuxia mbali.
Hapa unaweza uwa mtu wallah,...daah wanawake mwatakaje lakin
monsur hatuwezi ishi bila weee😂😂😂😂
Sema jama yuko poa sana
Shida maiki yako unaishika inaonekana sana kila mnapopita watu wanawashangaa
Cjui wanawake tunataka nini daah mtihani wallah wabillah
Oya mm mtoto wa kike naumia san asee kuona mtoto wa kike unafanya mamb kam hayo daaa inauma san😭😭😭
Nihatari kbs duniani 😢😢😢 tupe 2
Dah ais atali
Aiseee
Mimi kilasiku namuomba mungu kama mkewangu anatabia hizi anionyeshe ili nifanye maamudhi
Mansur❤❤
Mtihani
Siku za mwizi arobain,Bado Kuna wengne mwanmke kamjengea bwana wke bodaboda kwa Hera za mumewe mjeshi na mtt kaza na bodaboda mjeshi anahudumia,na ana kauli kwa mkewe,tubadilike wanawake mbiguni tutafika upande mmja Allah atuepushe na hili janga
Nitaua Mimi mtu, haya.
Mbn miaka kaongopa
Wewe jamaa Upajui Tandika Unamuuliza omari mpo wapi??😂sasa kama mtu wanawajua mke na mume sianampigia simu pilikapilika iyo😂😂😂
wah.! hata kama ni kucheat...gaiiii ni guest gani hii yakupeleka mke wa mtu. basi wasema wampenda muoneshe kitu tofauti na mumewe 😅
Fighter man
Muendelezo waii
Wewe jamaa Upajui Tandika Unamuuliza omari mpo wapi??😂
Mmmmh
Huyu dogo namjua
Mnawafanya wanaume wawachikie wazazi wenu wakijua ndo vyanzo vya ndoa kuvunjika kmbe hakuna daaah wanawake mtulie
Ma bint wasiku hizi hamuogopi
Lete pt 2 masolul
Pg demu usikubali mke anauma
Apo ndo yale mambo unakuta m2 kauwa m2...arooh...mnaanza Sema ooh sjui anaaakili amekulupuka..oyaa awa viumbe sjui wanakwaza kudadeki Unawj jikuta unafanya mamuzi magumu mbk watu watashangaaa
Jmn mbon bodaboda ndy wanapigwa matukio san 😢😢
❤❤❤
Atakiletea ukimwi hakun lolote hapo piga talak huyo umalay akaufanye lwao
Hio nzuri sana kama movie ❤❤
Nnzur kam ijakukuta iyoo
Ayo majina ni nuks
Aaaaaaa we kaka wewe
Mbna miaka kaongopa hy 27 kafik lini
Inatia Uluma wanangu😭
Mke wa mtu unaenda kutoa utu wako kwa mtu mwingne looh!
Mbona Kama inatengenezwa
Seems. Ya pili
Tatizo ilo jina nalo
Fanya utupe episode 2 boss
Mambo wap like jp3
Duh hatar
Wapi part 2 bro
Nomaaa😢
Oi tuwekee basi iyo part 2
Broo HD zero
😢😢😢😢aisee
Broo unachelewesha content tuhurumie na sis wa magari makubw mda wte on root , tukipta mda kdg tuone mzg wte
Mbona hutuletei part 2
Part 2 pls
Part 2 jamn mansur
Iv watu uwawanawezaje kuoa aroooh mbona km stoweza😢
Oya
Part 2 Iko wapi
Broo unachere wesh content post zte mr
Bro naomba no yako na issue natak ni share naww
Part 2 jamn
Dah bro alafu mshakji watu wakiua mnasema oo
Mngemuacha aingie kwenye chumba chanupasuwaj nyie ni wajinga tuy mngetulia
Wanawake wajinga san wallah
𝐖𝐚𝐧𝐚𝐰𝐚𝐤𝐞 𝐰𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐧𝐲𝐢𝐞 𝐦𝐧𝐚𝐤𝐮𝐚𝐠𝐚 𝐧𝐚 𝐯𝐢𝐥𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐮𝐦𝐞𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐮𝐦𝐞 𝐚𝐧𝐚𝐤𝐮𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐥𝐚𝐤𝐢𝐧 𝐛𝐚𝐝𝐨 𝐮𝐧𝐚𝐭𝐚𝐤𝐚 𝐮𝐛𝐚𝐥𝐮𝐳𝐞 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐬𝐡𝐞𝐦𝐞𝐣𝐢 𝐧𝐠𝐨𝐣𝐚 𝐮𝐲𝐨 𝐚𝐤𝐮𝐬𝐡𝐞𝐧𝐲𝐞𝐭𝐞 𝐚𝐤𝐢𝐬𝐡𝐚𝐤𝐮𝐜𝐡𝐨𝐤𝐚 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐮𝐭𝐚𝐨𝐧𝐚 𝐣𝐨𝐭𝐨 𝐲𝐚 𝐣𝐮𝐚 𝐢𝐤𝐨𝐣𝐞
Unamjua kwan

Apo ndo yale mambo unakuta m2 kauwa m2...arooh...mnaanza Sema ooh sjui anaaakili amekulupuka..oyaa awa viumbe sjui wanakwaza kudadeki
Unawj jikuta unafanya mamuzi magumu mbk watu watashangaaa