"NILIMUONYA" - MAMA ZUCHU (KHADIJA KOPA) Afunguka Baada ya MWANAE KUFUNGIWA ZANZIBAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • "NILIMUONYA" - MAMA ZUCHU (KHADIJA KOPA) Afunguka Baada ya MWANAE KUFUNGIWA ZANZIBAR
    Mama Mzazi wa Msanii Zuchu, Khadija Kopa, Kupitia Mashamsham ya Wasafi Fm amekiri kuwa alimuonya Zuchu kuhusu tukio alilolifanya visiwani Zanzibar lililopelekea Baraza la Sanaa Visiwani humo kumfungia Zuchu Kwa Miezi 6
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 75

  • @kajikaone
    @kajikaone 6 місяців тому +14

    Nampenda sana Bi Kopa, mimi Kama mkenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @hanifaally4694
    @hanifaally4694 6 місяців тому +4

    Nampenda huyu mama 😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @user-yg8yo3ul8h
    @user-yg8yo3ul8h 6 місяців тому +13

    Weweeeee tujuane ambao hatuna tress ya wanaume 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @fatimasalim9387
    @fatimasalim9387 6 місяців тому +6

    Aamiin mama Alhamdulillah Alhamdulillah

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 6 місяців тому +6

    ❤❤❤❤❤❤leo umengea vizuri mama👏

  • @user-cl9dz6kk7u
    @user-cl9dz6kk7u 6 місяців тому +2

    Nikweli yataisha ajali kazini mungu atamsaidia ❤

  • @Smokeylucas
    @Smokeylucas 6 місяців тому +3

    Mama wetu huyo❤❤❤

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 6 місяців тому +2

    Jamani semeni Mashaallah

  • @keyla3641
    @keyla3641 6 місяців тому +2

    Nampenda sana huyu mama

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 6 місяців тому +2

    Wanakudanganya hao mama, kiukweli umezeeeka!!!

  • @mohamedali7544
    @mohamedali7544 6 місяців тому +3

    Sema kweli bahati mbaya na kutangaza Umalaya na uxinifu. Muogopeni mungu dunia mapito

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 6 місяців тому +2

    Kazeeka bhana msimfariji mwenzenu

  • @kiri5807
    @kiri5807 6 місяців тому +1

    Mimi nampenda khadija kopa hajikorogi .

  • @user-gs7tf2lz4b
    @user-gs7tf2lz4b 6 місяців тому +1

    Amin

  • @abdusultan79
    @abdusultan79 5 місяців тому +1

    Huyu mama was ajabu sana mwanao alipokuwa kwenye uesharati live bila chenga ukasema we hujui Sasa ooh nilimuonya hakusikia .Kama unabusara hupaswi kukasirika bali ufurahie mahusiano ya kiuesharat yamekwisha

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js 6 місяців тому

    Safi sana mama

  • @Mshuta
    @Mshuta 6 місяців тому +1

    Uko vizur mama

  • @mwadawaibrahimmohamed6089
    @mwadawaibrahimmohamed6089 5 місяців тому

    Upo sawa mama anajishusha sana kisa mapenzi alikuwa anaenda vizuri ile hii amezalilika kila mtu kamwona chooo laaah jamani TUSI KAMA HILO JAMANI AIBU KWA JAMII

  • @hamedsuleiman3544
    @hamedsuleiman3544 6 місяців тому +4

    maa

  • @annayambayamba8614
    @annayambayamba8614 6 місяців тому +1

    Amen 🙏

  • @mesaidikazungu4299
    @mesaidikazungu4299 6 місяців тому

    Kopa huyo ❤❤❤

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv 6 місяців тому

    Muongo Fisadi Mtu Mzima ovyo kushazeeka si mdogo kujiheshimu ni jambo zuri huna stara nywele nje ati ni Muislam ogopa Allah ati aomba M.Mungu ampe mwisho mwema mpaka leo hujatubia miaka sitini na Moja tubia

    • @TatuHusseni-hs7mu
      @TatuHusseni-hs7mu 6 місяців тому

      We une ongea hivo unatubia kwa Allah 🙏🙏 au unaongea to

  • @user-hu1ev9pt8q
    @user-hu1ev9pt8q 6 місяців тому +1

    Nicheki inbox❤❤

  • @hamedsuleiman3544
    @hamedsuleiman3544 6 місяців тому +4

    maa zuuh

  • @amina2044amin-zv2gh
    @amina2044amin-zv2gh 5 місяців тому

    Mamatlepa en want hierdie 💥💙💙💙🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 6 місяців тому +15

    Yataisha hajaua 😢kila mtu ana mapungufu yke

  • @charleshotay8229
    @charleshotay8229 5 місяців тому

    Mejifunza jambo hapa

  • @modestkissima6771
    @modestkissima6771 6 місяців тому +6

    Hapo anasemwa mondi, ila waliosoma cuba tu ndo wataelewa

  • @user-sp2hu8lb1c
    @user-sp2hu8lb1c 6 місяців тому

    😂😂😂😂😂 uyu Mama Nima sana❤

  • @user-bc3lh5ss6c
    @user-bc3lh5ss6c 6 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂haloooo stresss za wanaume tunatupa kule mama umenisemea hasa😂😂😂😂❤❤❤

  • @Neema-qm9kk
    @Neema-qm9kk 6 місяців тому +2

    Mama anachangia kumuharibu mtoto wake kwa sababu mara kadhaa amekuwa akimtetea mtoto wake kuwa anachofanya ni sanaa,mpaka inasababisha zuchu anafanya sanaa ya kujidharirisha.Mtoto siku zote hakui kwa mzazi hata ukiolewa mzazi ananafasi kubwa ya kumueleza mtoto pale anapokosea.kuna usemi unasema asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu.

  • @user-db1uy6hv9q
    @user-db1uy6hv9q 6 місяців тому +4

    Dida mipombe😁😁😁😁

  • @aminashayo9263
    @aminashayo9263 6 місяців тому +1

    Heeee waniniiii wa kazi ganiiii duuuuuu jamani Bi Hadija anastahili kupewa kipindi japo cha dakika kumi na tano tu atoe darasa

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 6 місяців тому +1

    B.k.H anajibu vyema

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 6 місяців тому +1

    Napita sina mudi leo🏃🏃🏃🏃

  • @halimashaban3858
    @halimashaban3858 6 місяців тому +2

    Dida anapenda umbey😅😅😅

  • @estheroscar6520
    @estheroscar6520 6 місяців тому +1

    Mimi nilijua mwanamke wa kiisilamu anafunika kichwa

  • @bongo39
    @bongo39 6 місяців тому +1

    Mnamdanganya hazeeki nini ushazeeka mama wanakusanif tuu rudi kwa mola wako sasa tafuta msada uende ukahiji mama umei ushaenda

  • @omarndege811
    @omarndege811 6 місяців тому +4

    😂😂😂😂😂wambie. Malikia. Kopan khadja. Kiboko yao. Hamna. Kama. Wewe. Malikia😂❤

  • @Yness-vh4yy
    @Yness-vh4yy 6 місяців тому +8

    Sasa na mwanao Zuchu anayajuwa hayo?

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 6 місяців тому +1

      Anayajuwa vizuri…Zuchu halewi wala havuti sigara. Lakini watoto wote siku hizi hawasikii. Tuombe stara kwa watoto wote.

    • @Octavinaelisa-fn6js
      @Octavinaelisa-fn6js 6 місяців тому

      Hapo wote tuko darasani siyo kwamba anamwambia zuchu

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 6 місяців тому

    Mambo ya kawaida kutukana matusi ya nguoni hadharani?

  • @user-xd4lu1xl6c
    @user-xd4lu1xl6c 6 місяців тому

    Didactic unasikia?

  • @sidikassim6759
    @sidikassim6759 6 місяців тому

    kubwa anapata maokoto kwa mwanae kwahio lazima amtetee tu .mwisho mwema mtto wko utajibu nni kw mungu wko .Kila ukikaa unaswali huku mtto wko ypo show

  • @sidikassim6759
    @sidikassim6759 6 місяців тому

    Wwe mma kiukwli unamtetea mwanao snaa tuongee ukweli we SEMA kateleza

  • @chawahirelmymashlalltaabar4949
    @chawahirelmymashlalltaabar4949 6 місяців тому

    Why you not telling your daughter

  • @pengefeza2563
    @pengefeza2563 6 місяців тому

    Waache kumuathiri Zuchu kisaikologia tafadhali.

  • @mwadawaibrahimmohamed6089
    @mwadawaibrahimmohamed6089 5 місяців тому

    Huku kopesha umechana makavu

  • @user-ok6ir7zc6z
    @user-ok6ir7zc6z 5 місяців тому

    Zuchu amefanyanini jm

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 6 місяців тому +1

    Kwakweli hazeeki.

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 6 місяців тому

      Msimpe moyo mwenzenu, kiukweli amezeeka!!

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 6 місяців тому

      @@jumakapilima7295 hujaelewa.ndio amezeeka .sasa ndo analingana watu wa lika lake kwa muonekano na nguvu?.kila mtu na neema yake

  • @Bmsecret
    @Bmsecret 6 місяців тому

    HADIJA KOPA HAKUNA MUME ATAKAE KUOWA WW HUNA ADABU WW

  • @user-vk4zb8fo9u
    @user-vk4zb8fo9u 6 місяців тому

    Dongo la zuchu iro😂😂😂😂😂 mama kampa dongo mwanae naona kamwambia ndania ajasikia kaja kumpa mafumbo sasa mimi mwelevu nimeelewa kamwambia zuchu sababu king'ang'a nizi kwa mondi kula chuma icho zuhu😂😂😂😂

  • @mozasuliman3959
    @mozasuliman3959 6 місяців тому

    Kwani zuchu muslim muislam anafanya vile mavazi uchi kuzini vpi utaishi na mwanamme bila kuolewa huo siyo uislam acheza na dini wako waislam wana imba na wana jihishim waimbaji wakubwa wameslim na vichwa ssa wanafunika ssa ivi Ramadhan zuchu atafunga hijabu wapi sali kabla hujasaliwa

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 6 місяців тому

    Mbona ma jack nini,mama Zuu bhana😂😂😂😂

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 6 місяців тому +3

    Huyu mamamwenye akili imepinda akili 😂😂😂 na mawigi yautuzima

    • @elizabethchabluma-zw5qz
      @elizabethchabluma-zw5qz 6 місяців тому +1

      Yani wewe mwehu kweli kwani mawigi Yana umri tafuta pesa acha makasiliko

    • @Jafreez
      @Jafreez 6 місяців тому +2

      Heshim mama wawenziyo na mama yako aheshimiwe,...

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 6 місяців тому +4

      @@elizabethchabluma-zw5qz Sio mila ya Kiislam, izo ni mila za watu wengine wasiorizika walivyoumbwa na MwenyeziMungu.

    • @agnesswai7174
      @agnesswai7174 6 місяців тому +2

      Umenena My mom Khadija kopa❤Haina haja ya kujipa stress kisa eti mwanaume,,Apite hivi👉👉👉👉👉

    • @agnesswai7174
      @agnesswai7174 6 місяців тому

      Umenena My mom Khadija kopa❤Haina haja ya kujipa stress kisa eti mwanaume,,Apite hivi👉👉👉👉👉

  • @ConstantineCoscardrov-wb6ih
    @ConstantineCoscardrov-wb6ih 6 місяців тому

    Kwani mama kopa wewe ulishatafuna dungudungu ngapi?

  • @user-fu5yr4fn8e
    @user-fu5yr4fn8e 5 місяців тому

    Huyu nilimchukia kua sku ulisema ati yy ndo ameza wengi wamekunya 😢mjinga sana