KUHUSU USHOGA ASKOFU MKUU RUWA'ICHI AFAFANUA TAMKO LA PAPA FRANCIS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 275

  • @jacksonsimonmulinde857
    @jacksonsimonmulinde857 9 місяців тому +2

    Tamko la Papa msilifafanue tofauti na alivyotamka kuhusu kuwabariki mashoga.Yeye aliruhusu hajazuia kuwabariki.
    Sisi hatujafurahia tamko lake Kama watumishi wa Mungu.

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 7 місяців тому

      Tamko la Papa ulilisoma?

    • @Last403
      @Last403 Місяць тому

      Tamko la papa uliliona wapi mwenzetu

  • @ransonlema3916
    @ransonlema3916 10 місяців тому +5

    Sema hivi, kiongozi wetu ni mpagani tunamsihi Mungu atupatie kiongozi mcha Mungu

    • @severinkinunda5269
      @severinkinunda5269 10 місяців тому

      Tusipende kuhukumu watu. Ktk maisha yangu nikiooa nje ya taratibu za kanisa. Na kipindi hicho nilikuwa kwenye kikundi cha wokovu. Kikundi kiliniondoa kwenye kundi lao wakatutenga mimi ni mkeo. Lakini sisi na udhaifu na dhambi zote tukiwa nje ya kikundi tuliendelea kumnyenyekea Mungu na Mungu yupo nasi mpaka leo tunadumu tukiwa kiroho na kimwili vizuri. Wale waliotuhukumu wengine ndoa zao zilisambaratika, wengine kiroho wamepotea
      Ktk safari ya wokovu nilichojifunza kuwa hakuna aliyeokoka ktk dunia awe ni Padre, Askofu ama mitume na mitume. Hapa duniani tunaongoka. Kuongoka ni harakati za kuachana na dhambi ili kuelekea utakatifu. Hakuna asiye na dhambi. Sisi wote tu wadhambi. Tunamtafuta na kujiweka mikononi mwa Yesu ili kuutafuta utakatifu.
      Hivyo kwa kuwa sisi sote ni wadhambi tusiwe na tabia ya kuhukumu watu. Visasi na hukumu ni juu ya Mungu. Suala la maamuzi ya Papa, anayejua kama Papa yuko sahii au siyo ni Roho Mtakatifu na Yesu Kristu pekee

    • @lucaskashangaki7986
      @lucaskashangaki7986 9 місяців тому +1

      Tafuta Mungu wa kweli acheni kuabudu masanamu

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 10 місяців тому +3

    Mnabariki nini yaani mashoga wabarikiwe ili litokee nini Mungu mwenyewe hawezi kubariki watenda dhambi baraka ya nini kwa wauwaji au makahaba wabarikiwe ili wafanye nini kwa faida ya nani au nini kitokee

  • @febroniamsoma178
    @febroniamsoma178 10 місяців тому

    Uyu Askofu ana hekima sana, kiukweli kama papa angeruhusu uo uchafu io ingekua mwisho wa kanisa hili rasmi, ila kama kweli aliyoyasema ndivyo yalivyo basi sisi ni nani ata ttushikane na uzushi wa watu?? Tuko pamoja kama mmoja
    Amen

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 10 місяців тому +1

    Huyo papa wenu SI mzungu walikoruhusu ushoga anafuata katiba za kwao wafrika wakatoriki mtapinga mtaweza Bora tu mungu wenu awasaidie kuwaepusha naroho hiyo nanyi siku Moja wafrika mpate papa

  • @adamuandrea6658
    @adamuandrea6658 10 місяців тому +2

    Hata msemeje, mwenye kanisa anataka mashoga wabarikiwe

    • @elizabertnyamubi6477
      @elizabertnyamubi6477 10 місяців тому

      kabisa hapa wanafunikafunika tu ni kwamba anataka wabarikiwe na iwe huru ktk dhehebu lao

    • @maryaugustor6983
      @maryaugustor6983 9 місяців тому

      @@elizabertnyamubi6477
      Ukweli kabisa congratulations kwao 😈🔥 shetani Yuko kazini.wamejiingiza kwa siri alafu wanajifanya wao ndio wanajua kusaidia watu MASHETANI mtu afiche watoto wake wapi.

  • @akimu-gl7zp
    @akimu-gl7zp 10 місяців тому +1

    Kwanza usimuite mtakatif. Mtakatif ni mungu tu.

  • @severinkinunda5269
    @severinkinunda5269 10 місяців тому +16

    Kiujumla tunapoomba Baraka za Mungu ni kutafuta mahusiano na Mungu. Pale mtu anapotaka baraka za kimungu, jambo hili linaambatana na toba na kuacha dhambi. Kwa hiyo kama kuna shoga anatafuta baraka za kimungu hii ni njia pekee ya yeye kuhubiriwa habari ya wokovu. Kwa kuhubiriwa toba, shoga ataacha njia mbaya na kuwa na maisha yanayompendeza Mungu.
    Tujifunze kusikiliza na kutafakari. Tusome biblia na kutafakari kwa kina

    • @florapeter6919
      @florapeter6919 10 місяців тому

      Ni kweli kabisa tunapaswa kuwa nao karibu ili eijue kweli wamrudie Mungu,Yesu Anasema msiwalaani watu, wabarikini watu watakieni mema, na ktk baraka hiyo kuna neema ambayo inaondoa yalemapepo ya ushoga,sisi sote tumepungukiwa na ututukufu ndio maana kuna seemu nyingi sana za toba kwenye ibada ya Misa Takatifu, lakini tumekatazwa kushiriki itu vitakatifi Kumpokea Yesu wa Ekarist Takatifu pasipo kamahatustaili. Kwa hiyo niwajibu wetu kuwa mwanga ktk giza Amina

    • @audifansisafari5587
      @audifansisafari5587 10 місяців тому

      Wajue wapi hao Bibilia yenyewe wanakaririshwa mistari

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 8 місяців тому

      Siasa

  • @akimu-gl7zp
    @akimu-gl7zp 10 місяців тому +1

    Hapo ndipomnapomuuz mungu. Kwa kumuabudu papa.

  • @chazy7ya216
    @chazy7ya216 10 місяців тому +1

    Kwaiyo mimi sijui kusoma nakufafanua uku kichwani apatushasokotwa

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 10 місяців тому +1

    Ninachojua mimi baraka za Mungu hazitoki wa maaskofu au papa au padri kwan wenyewe ni wachafu kuliko hata mtu wa kawaida.sasa niambi padri mlawiti kama kimaro wa kipindi kile atakupa baraka gani.?Baraka za Mungu zinaambatana wa watumikiao Mungu kwa uaminifu hazitoki mifukoni mwa padri.ni vizuri kila mtu ajikane mwenyewe kwenye safari ya kuelekea mbinguni kama Yesu alivyosema,kila mtu ajitwike msalaba wake na sio kusikiliza fikra binafsi za maaskofu na mapapa.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 місяців тому

      Wewe huwapi watoto wako baraka? Je yakobu alipewa Nini na baba yake? Je hupewa baraka za esau kwa shinikizo la mamae soma bibilia uielewe vizuri 😁😁😁

  • @issakisalu9237
    @issakisalu9237 6 місяців тому

    Jamaa anazunguka sana kashasema mashoga wabarikiwe na huo ni msimamo wake sio wa kanisa, alafu unasema ukijua mashoga wewe huwezi kuwabariki na yeye kashasema MASHOGA alafu unaleta siasa nyiiiingiiiiiiio

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 10 місяців тому

    SWALI MUHIMU....KWA NINI MAPAPA WOTE WALIOPITA HAWAKUWABARIKI MASHOGA!

    • @mhandomhina5503
      @mhandomhina5503 10 місяців тому

      Huu Ni walaka ambao kanisa uenda lilishindikizwa na hao mabeberu hivyo Ni Papa yupi angeingia Kwenye historia ya hili Jambo? Utakumbuka Papa Benedict 16 aling'atuka sababu afya yake, aliyemfuata naye sababu sintofahamu. Yote na yote ukitumia akili utaona dini haiambatani na haya ila Kuna mgandamizo mkubwa kutoka kwa mashetani waliopenya kanisani ambao wana nguvu kubwa mno

  • @SabinaKibaki
    @SabinaKibaki 10 місяців тому

    Mtu kuomba baraka kukinzana na Mungu kubariki muunganiko wa mume na mume ni mpinga Kristo tamko limetolewa hayo ni mawazo yako

    • @maryaugustor6983
      @maryaugustor6983 10 місяців тому

      ,NAKUULIZA INABARIKI NDOA JINCIA WEWE UNA WADUDU KWA KICHWA YAKO TOA NDUGU ZAKO KWANZA

  • @JacklineJoseph-x8s
    @JacklineJoseph-x8s 10 місяців тому

    Amina baba ubarikiwe

  • @worframtimothy1738
    @worframtimothy1738 10 місяців тому +2

    Lazima ivi vitu vitokee ili roho MT afanye kazi yake ya kuliongoza kanisa kutoka kwenye comfortable zone to new place, Lakini ukienda ata kuungama Padre uwa anaanza kukubariki kwanza kabla ya kuungama dhambi, kanisani Padre utoa baraka kwa wote wadhambi wakiwemo, ivyo MTU akija kuomba baraka ya Mungu, huwez mnyima.

    • @StadiusJustus-ck8xi
      @StadiusJustus-ck8xi 10 місяців тому

      Dini ya kweli ni ile onayoendana na mapenzi ya mungu kweli kweli ila na dini nzuri ni ile inayowasaidia wajane nayatima

  • @edesaron9070
    @edesaron9070 10 місяців тому +15

    Tukitaka baraka za bwana lazima Kwanza tuziache njia zetu mbaya

    • @emmanuelfideliskashumba8802
      @emmanuelfideliskashumba8802 10 місяців тому

      Huyu Bwana Yesu tunayemzungumzia sio huyu aliyekuja kutukomboa angali tu dhambini? Sio huyu aitwaye nuru ya ulimwengu uliopo gizani?

  • @Fredrickrobson01
    @Fredrickrobson01 10 місяців тому

    Wewe askofu Mungu hajawahi wabariki Paulo anaandika wafilaji na walawiti hawataingia mbinguni,acha kudanganya waumini utaulizwa siku ya mwisho

    • @pennymahombo9528
      @pennymahombo9528 10 місяців тому

      Kipofu akimwongoza kipofu wote watatumbukia shimoni

  • @newbornhaule
    @newbornhaule 10 місяців тому +1

    Yesu akasema acheni vipofu waongoze vipofu... HAKUNA jambo baya kama kupenda watu au DINI kuliko Mungu

  • @ampeliusjoachimu7820
    @ampeliusjoachimu7820 10 місяців тому +1

    Acha kutetea uchafu, hii haikubariki, ndoa ni kwaajili ya ke na me si ke kwa ke au me kwa me, vinginevyo ni uchafu warumi 1:25-27 acha kupotosha ukweli, acha ushetani

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 10 місяців тому

    Hinasikitisha mnalitia haibu kanisa

  • @deonjawike4881
    @deonjawike4881 10 місяців тому +5

    Mpinga kristo ni rc ,unabii unatimia😢😢😢

    • @maryaugustor6983
      @maryaugustor6983 10 місяців тому

      Ukweli kabisa

    • @maryaugustor6983
      @maryaugustor6983 10 місяців тому +1

      Ukweli kabisa

    • @majaliwabwitonde6900
      @majaliwabwitonde6900 10 місяців тому +1

      Una shida wewe

    • @maryaugustor6983
      @maryaugustor6983 10 місяців тому

      HAWA WANAONGOZA UPUMBAVU YAO WENYEWE NA MBINGU NI BABA YAO 😈🔥 SHETANI, JE NAULIZA SWALI UKO KAMA YESU MAANA UKIMTAZAMA MWANAMKE USHAZINI NAE,ARE VERGENNE LIKE HIM, NI JIBU HIYO SWALI.

    • @johansenerasto5890
      @johansenerasto5890 10 місяців тому +1

      Unampinga bos wako?

  • @wisdomhalisi......8891
    @wisdomhalisi......8891 10 місяців тому +2

    MNAJIDANGANYA,,,,, SOMA ZAB 11:3 "MISINGI IKIHARIBIKA MWENYEHAKI ATAFANYA NINI......JIBU HILI HAPA 1KOR6:17TOKENI KATI YAO MKATENGWE NAO..... ROMA NI IMANI YA MASANAMU YAANI SHETANI FULU FULU, HAKUNA MUNGU ROMAN MNAJIFARIJI TUU...TOKENI HUMO....

  • @macharosandra9467
    @macharosandra9467 10 місяців тому +5

    Watoto wangu jana waliniuliza kuhusu hili swala,, niliwaambia nendeni kanisani kumtafuta Mungu, Yesu, wala sio kumtafuta papa, wala padre.. ila nafasi imefadhaika sana.. kwani kanisa kutoa tamko kuwa hao watu hatuwatambui kuna shida gani?

    • @yesunimwema4497
      @yesunimwema4497 10 місяців тому +1

      Kweri namimi simfuati papa namfuata mungu baba alie tuumba na yesu aliye tufia msalabani tu, huyo papa matendo yake ataulizwa na mungu,na mimi nitaulizwa matendo yangu.

    • @LodvolaLameck-jl5vs
      @LodvolaLameck-jl5vs 10 місяців тому +1

      ​​@@yesunimwema4497Kama misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini?
      Kiongozi wa vipofu mkiambiwa mfumo mzima wa katoliki uko chini ya freemason mnakataa na Bado mtasikia mengi

    • @audifansisafari5587
      @audifansisafari5587 10 місяців тому

      ​@@LodvolaLameck-jl5vswe ngombe kweli hao freemason madhebu mnaiga Kwa Kanisa KATOLIKI

    • @audifansisafari5587
      @audifansisafari5587 10 місяців тому +1

      Kanisa KATOLIKI la YESU KRISTO mwenyewe kaanzisha nyiye chongeni ila Kanisa ni Moja Takatifu KATOLIKI la mitume

    • @LodvolaLameck-jl5vs
      @LodvolaLameck-jl5vs 10 місяців тому

      @@audifansisafari5587 Mimi ng'ombe wewe mtu lakini iko siku utaelewa jamaa yangu Mungu akupe kuona sawasawa, umewahi kujiuliza kwa nini kauli ya papa kuhusu ndoa za jinsi moja ni sawa na Ile ya Serikali ya Marekani? But Bado mnamwita baba mtakatifu!!!!!!!!!
      "Mtu awaye yote asiwadanganye kwa njia yoyote maana haiji usipokuja kwanza ule ukengeufu akafunuliwa yule mtu wa kuasi mwana wa uharibifu"
      (2Thesalonike 2:3)

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 10 місяців тому +1

    Usibariki ushoga hapa Tanzania tafadhali sana. Shoga ni kuomba au kutubu lakini kusema ati akija kuomba kubarikiwa. Kama nashoga wakija kubarikiwa katika ndoa yao utafanya nini 4:01

  • @willygwaikana
    @willygwaikana 10 місяців тому +1

    Ukiona inzi wanaingia hadi vyumbani, ujue tatizo lipo kabla yaani uchafu. Kauli ya Papa inaashiria uozo liopo kabla ya tamko hili. Lakini Mungu anaruhusu inzi waonekane ili wapenda usafi wajue kuna uchafu ili wachukue hatua ya kusafisha nyumba yote. Waumini waaminifu kwa kanisa badala ya kuwa waaminifu kwa Bwana, hawatachukua hatua, bali kuwakasirikia wale wanaoona uchafu wa kanisa. Lakni waumini walio waaminifu kw Bwana, watachunguza kila fundisho ili kujua nyufa ambazo shetani ameingilia kanisan. Mttini Mungu mpingeni shetani nae atawakimbia - Yakobo 4:7-10. La sivyo tutazidi kuona na kusikia mara hili mara lile yakinadiwa kuingzwa kanisani akama ambavyo mengi ya uongo yamepandikizwa kanisani kupitia mapapa wanaojiita BABA MTAKATIFU!!!!!!. Jina tu ni chikizo ila kama una macho ya kuona. Mtumishi wa kweli wa Mungu hawezi ujikweza kujiita au kuitwa jina hili linalo mhusu Mungu tu BABA MTAKATIFU.

  • @leonardmakwela5551
    @leonardmakwela5551 10 місяців тому +1

    Kanisa Katoliki lina heshima kubwa !
    Mimi si mkatoliki , ila sijawahi kukinzana nao katika imani ,
    Najua tofauti ziko chache na madhehebu/ dhehebu langu !
    Kwa hili la ndoa za JINSIA MOJA ni UJINGA MKUBWA !.
    Hatuhitaji kuupamba kwa namna yoyote ile !
    Ni UPUMBAVU na ninashauri kanisa hili kubwa , lenye heshima kubwa kuingia kwenye mtego huu wa kijinga!!!

  • @godlistenlaban9933
    @godlistenlaban9933 10 місяців тому +1

    Amna kitu kilichotekwa wala nini mafundisho ya Papa amenukuu wapi kwenye vitabu vitakatifu ambapo yalifanyika hayo? Endeleeni kujichanganya na mwishowe mtajikuta mmeruhusu hadi viongozi mashogo. Muombeni Mungu awape Roho wake awasaidie kwenye maamuzi na sio kwa kutumia hisia.

  • @EvandaSalumu
    @EvandaSalumu 10 місяців тому

    Mm nahama katoliki kumbe hili kanisa ni lakishetan ivi bora uislam tu

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 10 місяців тому

    Kanisa catholic linahitaji marekebisho mengi mana lilivamiwa na adui tangu karne nyingi

  • @ChristinaMkyobwe
    @ChristinaMkyobwe 10 місяців тому

    Ivi nini amekisema cha maana si unamuhunga mkono tu mwenzio sijuhi ni wa parokia ngani alikataa kuusu ushoga na akasema Uyo Papa waroma hata aruusu ushoga yeye awezi kubali nahawezi ungana naye😢😢😢

  • @Jackxon_tz1
    @Jackxon_tz1 9 місяців тому

    Axant bb Kwa ufafanuz

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 10 місяців тому +1

    Watu wengi hawaelewi kinachozungumzwa wala mjadala uliopo na maelekezo ya Papa

  • @leonardmakwela5551
    @leonardmakwela5551 10 місяців тому

    Sorry , nashauri kanisa hili lisiingie kwenye mtego huu wa
    kipumbavu !
    Huu ndio UPINGA KRISTO !
    Upinga Kristo ni kwenda kinyume na yale Mungu anayopenda

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 10 місяців тому +1

    MNAMUHITAJI YESU TU SIO PAPA❤

  • @BenjaminMalando
    @BenjaminMalando 10 місяців тому +2

    Mmmh ni Tamko la kiongozi wa wakatoriki 😅😅 kazi kwenu

    • @SeveriniKimweri
      @SeveriniKimweri 5 місяців тому

      Wewe ni mjinga na ndyo mana mme chelewa kupata Elimu

  • @pennymahombo9528
    @pennymahombo9528 10 місяців тому +1

    Isaya 1:18-20

  • @aloycembogo
    @aloycembogo 8 місяців тому

    Mshajifia nyote okokeni..ukipinga utafukuzea ni lazima utetee tu...yesu awape macho..Hosea4...6

  • @WilirkMushy-tk8gw
    @WilirkMushy-tk8gw 7 місяців тому

    😢😢😢 hiii ni siasa mpya. siasa ya zambi

  • @PatriciaNduku-lj9pn
    @PatriciaNduku-lj9pn 10 місяців тому +1

    Huwezi enda kinyume na Papa aliyekuchagua kuwa askofu.kumbalini tu katoliki imekubali ushoga

    • @elizabertnyamubi6477
      @elizabertnyamubi6477 10 місяців тому

      kabisa anapindishapindisha tu kudanganya watu ila katoliki imekubali ushoga ukweli ulio wazi,na mda si mrefu huyuhyu papa ataweka wazi maandiko yatimie na huyu ndiyempinga kristo!

  • @Wiliammgidula
    @Wiliammgidula 10 місяців тому

    Huyo papa siyo mtakatifu itakatifu gani WA kipagani namna hiyo ya ushoga?

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 10 місяців тому +1

    Hapo nimekuelewa na umefanya vizuri sana kutoa ufafanuzi, maana watu wengi tulikuwa tumeelewa tofauti kabisa ukweli halisi wa hoja ya msingi.

  • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
    @RoseKimishabhalemi-oz9bn 10 місяців тому

    Baba ulivyolijibia tunakuelewa. Swala hili siyo kama ulivyojibia u kweli usiyopingia haliko hivyo. Kwa kuwa mimi na wewe ndiyo wahanga liache hivyo hivyo. Papa alikuwa amelenga ndoa za jinsia moja u kweli usiyopingika. Kwa wazungu huko viwanda vya kutengeneza madawa ya Kumtengeneza
    shoga vimejaa wamewatengeneza weeee mpaka wamekuwa wengi sasa wamekuambia wewe baba ukabariki sanamu tu walizoharibu hawana ufahamu wowote hawa baba.mimi nafikiri wakatibiwe labda watapona ni kifo cha kiroho maana hana uwezo wakufikiri kutubu Ee Mungu wangu tumekwisha. Mtu akiambiwa hapa panapesa yuko tayari kwa lolote lile papa angesisitiza viwanda vya madawa ya kuwa shoga vichomwe moto na sisi huku visiingie kwenye manchi yetu. Sijui huyu papa anaruhusu ya nini? Badala ya kuzuia. uharibifu mara achanganye uwislamu na u kristu ye ye atulie na msimamo wa kanisa katoliki wao watakuja na kufuata utaratibu wake hakuna kulekebisha biblia

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 місяців тому

      Ndugu yangu umeelewa vizuri Cha muhimu chunga xn IMANI yako

  • @davidmembedalamethepsalmis2885
    @davidmembedalamethepsalmis2885 10 місяців тому

    Kumbe papa ndiyo baba Mtakatifu Raman roman Catholic mmelogwa na nani?

  • @hamishasan7737
    @hamishasan7737 10 місяців тому

    Kwani una mamlaka gani ya kubariki?

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 10 місяців тому

    Mnavunga na huyu papa alishasema ulawiti si dhambi😮

  • @SAMWELSAMWEL-s4y
    @SAMWELSAMWEL-s4y 10 місяців тому +1

    usipindishe alichosema mkuu wako mmeruhusu ushoga!

    • @elizabertnyamubi6477
      @elizabertnyamubi6477 10 місяців тому

      iko wazi wanawadanganya wajinga,werevu wamejua na ni kwamba litatamkwa wazi mda si mrefu,harafu wajione walivyo wanafiki

  • @majaysjrmtitu5300
    @majaysjrmtitu5300 10 місяців тому +2

    Hapo bado kuna kazi nzito. Kanisa na ushoga wapi na wapi?. Nikama kujaribu kuchanganya maji na mafuta.

  • @Sostere98
    @Sostere98 10 місяців тому +3

    Kimsingi dhambi zipo nying duniani tena zngne kubwa kama mauaji, ushoga n.k. Lakin mtu akija kwa padre personally anaomba baraka, padre atambariki yeye kwasababu ni binadamu na amehitaji baraka ya kimungu, kwahyo kinachobarkiwa ni mtu na sio dhambi zake. Na kupitia baraka hyo ya kimungu huwenda huyo mtu akaacha njia zake mbaya na kumcha Mungu.
    Lakini walaka wa Papa umeeleza ya kwamba watakapokuja watu wawili mshoga wanawake au wanaume wakiomba baraka katika ushoga wao n jambo ambalo halikubaliki na sacramenti hyo haipo katka kanisa katoliki. Walaka upo kichungaji zaidi watu wausome kwa makin sana.
    Chakushangaza hizo tafsiri potofu znaenea lakn hamjawah shuhudia mashoga wakifunga ndoa katka kanisa katoliki, lakn mnasema limeruhusu!!!!!. Soma na utafakari kwa makin walaka wa Papa(Primary source)

    • @lydiawilliam
      @lydiawilliam 8 місяців тому

      Acha kumtetea kimsingi nyie ni wapagani tangu siku nyingi,tangu ulivyowafanya wenzenu wasioe au wasiolewe,mkawaweka kwenye makambi jinsia Moja muda wote Hawa Huwa wanafanya Nini tafakari. Mtumishi😂

    • @Sostere98
      @Sostere98 8 місяців тому +1

      @@lydiawilliam Kweny Biblia imeandikwa kwamba, kama jicho lako litakufanya ukosee ling'oe, na kama ni mkono basi ukate. Ni heri kwenda mbinguni ukiwa kilema. Sas Mapadre kuoa na Masister kuolewa ilionekana kuwa n jambo ambalo litawafanya wasiwe na concentration kubwa kwenye utumishi wao na ufanisi utapungua na kanisa litashindwa kuwa strong. Wakarejea maandiko na kuona kwamba kama kitu ktakufanya kuwa na ufanisi mdogo katika utumishi wako bas unaweza kuachana nacho.

    • @lydiawilliam
      @lydiawilliam 8 місяців тому

      @@Sostere98 huo ufanisi unaousema ndio haupo mtumishi sana sana mnawatendesha dhambi na wao wanafanya Kwa ajiri ya shida tu

    • @Sostere98
      @Sostere98 8 місяців тому +1

      @@lydiawilliam Kama wapo wanaoenda tofauti basi wanatenda dhambi kwani wanaenda tofauti na taratibu za kanisa. Na wanapoingia katika huo utumishi wanakua wanajua utaratibu huo. Pia kingine sis binadamu ni wakosefu kwahyo si ajabu mtumishi wa Mungu akaenda tofauti na utumishi wake, n kama sisi tu binadamu wa kawaida tunavoenda tofauti na matakwa ya Mungu sometimes.
      Pia imani ya mtu au watu fulani si vyema kuijaji kupitia mtu au watu n vyema ukaijaji kupitia wanachokiamin Kwan mtu au watu huweza kwenda tofauti na msingi wa imani yao

  • @IYEGU-p3n
    @IYEGU-p3n 20 днів тому

    Najua nyinyi mmeshapewa mafungu ya pesa kusapoti hayo mambo muache ubabaishaji msilembe maneno

  • @davidmembedalamethepsalmis2885
    @davidmembedalamethepsalmis2885 10 місяців тому

    Baba Mtakatifu mnamjuwa

    • @EvandaSalumu
      @EvandaSalumu 10 місяців тому

      Anajua nini yaani ujinga tu uwo

  • @SelijusMalmbo
    @SelijusMalmbo 10 місяців тому +1

    Ww umechoka huna jipya

  • @TwahaMdoe-jh9uh
    @TwahaMdoe-jh9uh 10 місяців тому

    Namshukuru mungu kuzaliwa nikiwa kwenye uislam

    • @audifansisafari5587
      @audifansisafari5587 10 місяців тому

      Rafiki yangu unafurahi kuwa kwenye moto nabii wa mwisho YESU Muhammad mlimtoa wapi pia uarabuni ndiyo kwenye michezo hiyo Zanzibar ndiyo hivyo hivyo

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 місяців тому

      Achini kujisifuni na dini zenu jisifieni IMANI zenu,dini zinawspeleka wapi, IMANI na MATENDO yenu ndo vitawaokoa,mkifa mtaacha miskiti na makanisa, angalie wenzenu kule gaza wameiva kwa IMANI na MATENDO wote Islamic na christian jifunze kwao,na huu ushwetwani uko kwenye dini zote ila wanajifichaficha, Anglican wapuuzi wale waliweka wazi bila ya aibu kulikuwa na mchungaji shoga tafuteni kwenye mitandao mtae lewa vizuri, inusuru nafsi yangu ee yarab

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel 6 місяців тому

    Africa tuwe na uwongozi wetu na dini zetu hawa jamaa yoka nje wanatulea maada sio

  • @deejayvlctz
    @deejayvlctz 10 місяців тому +1

    Anaebariki ni Mungu.😢

  • @wilsonkamuga
    @wilsonkamuga 6 місяців тому

    toka hapo

  • @lynhwilbardruckachale4205
    @lynhwilbardruckachale4205 10 місяців тому

    Ukisikiliza Vizuri Maneno haya aliyotamka Papa Inaonyesha Wazi Anasaport Ushoga MUNGU Tu Anisamehe, Lkn kwa hakili zangu Ndogo Naona hivyo, Yaan kama ndo Ilivyo " BASI MUNGU AJE AUTWAE TU ULIMWENGU WAKE INATOSHA SASA",.

    • @SisterPeter
      @SisterPeter 10 місяців тому

      Tena ufanye Toba ya kweli.

  • @mohamedkulaga8131
    @mohamedkulaga8131 8 місяців тому

    Maelezo ya ufafanuzi wako unatia nguvu kukuamini ,Lakini watu wale wagumu kukuelewa utawasaidiaje ? Vipi kuhusu mamlaka ya juu kabisa kuaminiwa au tuseme kuwa ndiyoumeisemea ?

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 10 місяців тому

    Katoliki atika hili msipo simama kwisha habali

  • @habibuluyangi2702
    @habibuluyangi2702 10 місяців тому

    Unaposema wakiomba baraka huku hufahamu utabariki askofu hajanyoosha maelezo angesema mashoga hapana kwa namna yoyote ile hakubariani,

  • @SylvesterMbonimpaye-oc9yi
    @SylvesterMbonimpaye-oc9yi 10 місяців тому

    Kwa kweli wakati umefka tuwa na uongoz wa kanisa katoliki usiokuwa na uhusiano na Vatican kwa sababu saiv wazungu wanataka kuendana na wakati na sio maandiko tena.
    Kubariki watu wa jinsia moja ni sawa na kuwafariji waendelee na tabia hiyo na kujiona kuwa wamepiga hatua kuelekea kwenye kuhalalisha ndoa ya jinsia moja .
    In discourage sana katka iman coz kanisa lilikuwa na msimamo imara lakn sasa !!!

  • @Nkonyololuchana
    @Nkonyololuchana 10 місяців тому

    Nyinyi viongozi wetu mmekuwa wanafiki tu

  • @bestman8182
    @bestman8182 10 місяців тому +4

    Viongozi wengi wa dini dhehebu la Catholic kwasasa wana changamoto ya kimaadili. Umadhubuti wa kusimamia maadili na staha. Usimamiaji wa maadili umebaki kwa kiongozi mmoja mmoja, parokia moja inatofautiana na nyingine. Mfano hapa nipo st. Joseph mida hii. Naona anaingia mwanamke wa kizungu akiwa ameambatana na mwanaume wa kiafrika ambaye amesuka nywele kama mwanamke vile. Hakuna anayejali, lkn "couple" hii ikienda parokia zingine hususan kule Moshi hawataruhusiwa kuingia hata getini

  • @LawrenceGingo
    @LawrenceGingo 10 місяців тому +1

    mataka kutuaminisha wislam ndodin hali yamwenyez mungu

    • @willygwaikana
      @willygwaikana 10 місяців тому

      Hakuna dini duniani hata ingekuwa ya shetani kiasi gani ambayo haina mazuri ya kujifichia. Uislamu umetengua Amri zote 10 za Mungu na kuweka Nguzo 5 ambazo hazijawahi kuwepo kwa manabii wa kale. Sheria nyingi zao ni upinzani wa dhahiri dhidi ya Yesu. Hata dini ya wahindu au Atheists au za wachina na wajapani au zingine zote za wapagani hazikubaliani na ushoga. Si ajabu kuona jambazi anatoa msaada hospitali au kwa wazazi wake.

  • @ramadhanhassan3884
    @ramadhanhassan3884 9 місяців тому

    Mtaliwa kweli?

  • @hassankimaro3633
    @hassankimaro3633 10 місяців тому +1

    Tatizo kanisa katoliki linaungana na dunia kuwatambua mashiga na kidogo kidogo ipo siku kanisa litaruhusu na ndoa kabisa tusubirini ipo siku tamko la kuoa pope atatoa 😢

  • @issamnada8210
    @issamnada8210 9 місяців тому

    Kiongozi wa kanisa duniani anatetea ushoga

  • @soiyoikileli8748
    @soiyoikileli8748 10 місяців тому +1

    Ilitakiwa tu viongozi wa Dini mseme tumegoma katika Hili mcha Mungu Yuko wap😢

  • @ChristinaMkyobwe
    @ChristinaMkyobwe 10 місяців тому

    Baba mtakatifu tena jamani😢😢😢😢

  • @isaackLameck
    @isaackLameck 10 місяців тому

    Acha kutafsiri maatamko ya baba yenu

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 10 місяців тому

    Fafanua vizuri usiume maneno msichafue kanisa msimunge nkono huyo mwana halam tunasema mwana halam kwasababu anabaliki usodoma nagomola inatisha kichefuchefu inatapisha hatakusikiliza kanisa mama kukengeuka

  • @abdonvenedeus4860
    @abdonvenedeus4860 10 місяців тому +1

    acha siasa nyingi ushoga ni haukubariki tu

  • @JUNIORFASHIONCOLLECTION
    @JUNIORFASHIONCOLLECTION 2 місяці тому

    Onaogopa kufukuzwa kanisanii na boss wako

  • @athumansaid796
    @athumansaid796 10 місяців тому +1

    Kwa ww nimekuelewa saaana Ila kwa mkubwa wako kaanyosha maelezo mazuli kuhusu ilooo.

  • @ابوذر-د8ك
    @ابوذر-د8ك 10 місяців тому +2

    Ww pamba uovu lakin haki inatambulikana hilo jambo halifai kabisa

  • @jamaa2760
    @jamaa2760 10 місяців тому

    Kama SHOGA atapewa baraka na KASISI, Iweje asiyetoa sadaka, zaka, au kutoshiriki Ibadan,, atengwe bila kumfanyia Ibada wakati wa MAZIKO.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 місяців тому

      Hatariiiii mpinga krsto na kapu lake la mipango

  • @Ms-TV-247
    @Ms-TV-247 10 місяців тому

    Kwera kabisa ..pia Wewe unafinywa 😂😂

  • @kinemorwangisho2168
    @kinemorwangisho2168 10 місяців тому

    Acha kuuma maneno toka hadhalani SEMA hatutaki ushoga kanisani sio tawabariki mara sio kwa malengo ya ushoga dunia iko mwisho sana

  • @JacklineJoseph-x8s
    @JacklineJoseph-x8s 10 місяців тому

    Umeeleza vema kunawatu wananjaa wanatafta waumin wameona wazushe skendo😂😂😂😂mungu awasameh hamjui mtendalo

  • @robertnjeru6539
    @robertnjeru6539 10 місяців тому

    Wacha kuweka maneno kwa mdomo ya Pope. Yeye alisema wazi mashoga wambalikiwe ndoa zao. Huyu papa si mtakatifu tena. Yeye ni mpinga kristo kwa sababu anapinga mafundisho ya kristo kuhusu ndoa takatifu.

  • @elimikasasa643
    @elimikasasa643 10 місяців тому

    Hii kitu haikubaliki jamani! Ushoga haukubaliki Afrika

  • @GIDIONELIYA
    @GIDIONELIYA 10 місяців тому +2

    Nina wasiwasi na huyu askofu anapalilia maneno ya papa

    • @elizabertnyamubi6477
      @elizabertnyamubi6477 10 місяців тому

      Hapalilii anavunga na kujaribu kupindishapindisha tuu ukweri karuhusu ushoga iko wazi,na ipo siku papa huyuhyu ataruhusu waziwazi ili wajione wanafiki tu

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 10 місяців тому

    Yaani mashoga wakiomba baraka ya kuishi vizuri wanabarikiwa au mashoga wanaomba baraka wapate kazi au nyumba zao au mali zao wanabarikiwa

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 місяців тому

      Kwanini MUNGU hakuwapa hiyo baraka kipindi cha luthu na kuangamiza sodoma na gomora jameni papa ni nina yeye?,

  • @shijamasanja
    @shijamasanja 8 місяців тому

    Anakosea kuruhusu ushoga kwani biblia inakataza someni mambo walawi 20:13

  • @TumainiKayombo
    @TumainiKayombo 9 місяців тому

    0:25 0:27

  • @f.a6043
    @f.a6043 9 місяців тому

    Mnafafanua kitu gani muache huyo papa aseme mwenyewe sio kujidai mnatoa ufafanuzi nyinyi kwa huyo papa hana mdomo wa kujisemea yy mwenyewe nyinyi mtakua ni kiherehere tu nyamazeni huyopapa aseme asituletee ushetani baraka za nn kwa hao watu

  • @johnmzuma9631
    @johnmzuma9631 10 місяців тому

    Je mliandia barua Vatican kuhusu wazo lenu mkakaliwa Tena lisingefika kwa waumini ndio utaratibu

  • @benjaminshayo32
    @benjaminshayo32 8 місяців тому

    Hakuna issue hapo...haya mambo bhna tukishaanza kucompromise ndo tunaanza kuliruhusu taratibu...nlitegemea papa angekataa njeeeee....waaaaziii kabisa kwamba this issue haitakiwi kabisa....lakn alkuja na matamko ya kuonyesha kama linafaa vilee🤔🤔, sasa kama kiongozi wa kanisa kama huyo akishaanza kuleta comprimises za kiivo yaani hapo moja kwa moja tumepigwa....
    Mm binafs nmeokoka...kama nngekuwa niko catholic nngehama kwakuwa cwezi ongozwa na mtu ambaye mtazamo wake uko hiv....kwamaana sheria ya kimbingu ni utii...sasa kama tamko kama hili limetoka kwa kiongozi mkuu...na ni kiongozi wa watu wa kiroho, inamaana najiungmanisha nae kuwa niko chini yake na imenipasa kutii...sasa cwezi kutii hii kitu....kibiblia c ndoa kwanza, ni uchafu🔨🔨🔨

  • @ga2revocatus91
    @ga2revocatus91 10 місяців тому

    Africa tuwe na papa wetu jamani:::::::::::?!!!

  • @RehemaSalamba
    @RehemaSalamba 4 місяці тому

    Walishaga oana jinsia moja toķa zamani nimwana mume gani asieoa eti padri au papa wote mashoga tu unaona sasa leo papa anavyosema😂

  • @lynhwilbardruckachale4205
    @lynhwilbardruckachale4205 10 місяців тому

    Mimi nadhan Papa asimame atoe Tamko Kwamba USHOGA HAURUHUSIWI NA NI DHAMBI MBELE ZA MWENYEZI MUNGU BASI, Na si Kuzungukazunguka, Aisee Inatia hadi Hasira 😡😡

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 10 місяців тому

    Nyie mmeshafulia.
    Acha kugeuza geuza. Baraka gani kwa mtu anayefanya mambo kama hayo.
    Acheni kuchanganya watu. Papa angekaa kimya.
    Mmechemsha. Sasa tunahama kanisa.
    Mtabaki huko

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 місяців тому

      Kuhama kanisa sio kutatua tatizo,je huko uendako ni salama? Kanisa litakupeleka mbinguni au dini? Jitafakari simamia nyumba yako IMANI yako ndio mwongozo

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 10 місяців тому +1

    Wamejificha kwenye mavazi ya kondoo mwisho wamechoka wanaanza kuyavua na kuludi kwenye uhalisia mbwa mwitu wakali

  • @Last403
    @Last403 Місяць тому

    Tutajuaje kama alisema ikiwa hakuna clip yoyote inayomuonyesha akizungumza na tukaona wenyewe na kumsikia,isipokuwa tunasikia tu maneno kutoka kwa waandishi wa habar. Ombi langu nawaomba nyie waandishi mtuwekee clip ili tujionee wenyewe na sio kuwasikia nyie pasipo sisi kuthibitosha,uenda mnalichafua tu Dhehebu la Roman Chatholic.

  • @westonkatiti9120
    @westonkatiti9120 10 місяців тому +2

    Hakuna baba mtakatifu duniani tubu haraka

  • @pennymahombo9528
    @pennymahombo9528 10 місяців тому

    Mkristo ni nani?Biblically who is a Christian? Matendo 2:47b

  • @SelijusMalmbo
    @SelijusMalmbo 10 місяців тому +1

    Kila mtu ajitadhimini mwenyewe hapo hakuna chamaana

  • @emmanuelotaig5770
    @emmanuelotaig5770 10 місяців тому +1

    kwa maana hiyo Baraka ziko aina nyingi, na mapadre wanauwezo wa kuzutoa, 😂😂 baba unazunguka hapa. Yesu Hakutoa baraka za kubariki dhambi

    • @csato9415
      @csato9415 10 місяців тому +2

      Yesu akajibu akawaambia, wenye afya hawana haja na tabibu, isipokuwa walio hawawezi... Luka 5:31-32
      Mwanamke mzinifu...Nao walipozidi kumhoji akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenuna awe wa kwanza wa kumtupia jiwe...Yohane 8:7 lakini kwa uelewa zaidi soma Yohane 8:1-11
      Katika jamii zetu tunanyoshea wengine vidole hatuangalii dhambi zetu wenye za UZINZI, WIZI, UFISADI, UONGO, UUAJI, USENGENYAJI, WIVU, KUCHUKIA WENGINE, N.K na bado sisi tuenda kanisani na kupokea hizo baraka bila kunyimwa tukijiona tuko wakamilifu.TUJICHUNGUZE KWANZA SISI.

    • @Prosperkisama
      @Prosperkisama 10 місяців тому

      Ndiyo ila sio kwa kusudi na ndio maana Yesu alikuja ili kuondoa dhambi sio kulea dhambi, ingekuwa ni hivyo Sodoma na Gomora zisingalichomwa kwa kosa la kufirana au ushoga ambao Sasa wanaita kwa lugha ya kistaarabu

    • @emmanuelotaig5770
      @emmanuelotaig5770 10 місяців тому +1

      Tatizo hapa si kuchunguza udhaifu wetu Hilo ni jambo lazima kwa mkristu mkamilifu. Tatizo liko kwenye agenda hii, wapo wengi wakristu ambao wanampokea Kristu lakini maisha yao hayampendezi Mungu, ndio sababu Yesu pia alitangamana na wenye dhambi. Kusema baraka zitolewe kwa wenye ndoa jinsia Moja c kubariki Bali ni kushinikiza na kuchangia muendelezo wa dhambi Katika jamii zetu, wapi kwa bibilia imeandikwa bariki ndoa za jinsia Moja, wapi mafundisha ya mapapa na watakatifu walioko mbinguni waliofundisha kuhusu kubariki ndoa jinsia Moja. Tuambizane ukweli, Ukweli utatuweka huru. Kristu ndie ukweli na tuhubiri ukweli wa Imani Takatifu tulioachiwa Kristu Yesu.

    • @Alphakadege-m2j
      @Alphakadege-m2j 10 місяців тому

      Alafu Rc ni wa hovyo sana

    • @emmanuelotaig5770
      @emmanuelotaig5770 10 місяців тому

      @@Alphakadege-m2j Hapana haya ni matusi sasa, hakuna cha uovyo hapa.

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 10 місяців тому

    Mbona mnauma uma maneno baraka ya nini

  • @jersonmpeka4984
    @jersonmpeka4984 9 місяців тому

    Nimeslikitika sana huyo viongozi wazee akili zinarudi utoton kama amechoka kuliongoza kanisa akae pembeni sio anataka kuruhu huu huuni na uchafu