ANGEL NYIGU "SIPO sawa na ZUCHU kama Zamani/Wana CHUKI na MIMI/Bila Hela Sichezi wimbo'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 чер 2024
  • Dansa Angel Nyigu amepiga stori na Rick Media kuhusu kazi yake na kufunguka mambo mengi, kama kuanza kufanya kazi na Harmonize, uhusiano wake ulivyo na ZUCHU n.k
    _________________________________________________________________________________
    Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe UA-cam channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
    _________________________________________________________________________________
    Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
    #AngelNyigu #Zuchu
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 42

  • @Husseinfashion
    @Husseinfashion 14 днів тому +17

    Nimekuwa wakwanza kukomenti apa naombeni like ❤❤

  • @dizzomontana7219
    @dizzomontana7219 13 днів тому +9

    Dada endelea ivo ivo huez fanya kaz bure iyo ni ngumu no money no sevice

  • @auntiemylee3157
    @auntiemylee3157 14 днів тому +14

    Hapo kwa kutotaka kufanya kazi tena akidai wanawake wakipanda kidogo tu zarau...uyu n mrs energy kwa mtazamo wangu😂

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 5 днів тому

    Nampenda sana angle ❤

  • @fatumasaidi2592
    @fatumasaidi2592 10 днів тому +1

    Hyu z hataki kuona mwanamke kwenye wcb

  • @paulmuyanga3445
    @paulmuyanga3445 14 днів тому +7

    Sema Zuchu alidhani mnamchukua Simba 😂

  • @veronicajustus4507
    @veronicajustus4507 14 днів тому +2

    wapili

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 13 днів тому

    Mwandishi ana force bifu kuwa lazima liwepo

  • @lazaromwambene4516
    @lazaromwambene4516 14 днів тому +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @msomsongera1150
    @msomsongera1150 14 днів тому +4

    𝘏𝘰𝘯𝘨𝘦𝘳𝘢 𝘣𝘪 𝘥𝘢𝘥𝘢

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 14 днів тому

    Hawa Watu 😂😂😂

  • @VexMaizoOfficial
    @VexMaizoOfficial 14 днів тому +2

    🧭🤳 Nimkuwa wa kumi10 from Msumbiji Mozambiki 🇲🇿 PEMBA CariaCo❤❤❤ namkubali Angel N.

    • @nellymtambo8432
      @nellymtambo8432 14 днів тому +2

      Si Mozambiki ni Mozambique na si cariaCo ni Kariakoo hovyoooo😏

    • @user-bc3lh5ss6c
      @user-bc3lh5ss6c 13 днів тому

      😂😂😂😂😂😂​@@nellymtambo8432

  • @user-ni2kv3yf6e
    @user-ni2kv3yf6e 12 днів тому

    Ila wadau mnachapia sms zenu😅😅😅

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 13 днів тому +4

    Lazima chuki iwepo wewe no mzuri zaidi yake halafu unakia lucheza zaidi hunategemea NIMI NA wewe imezidi mpaaka ijanja

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 14 днів тому +6

    UYO DEM AACHE UCHINGA KAZI ZIFOSIWA MJINI,,UKISUBIRI UTAUZA LAKINI UTACHELEWA...WE SEMA TU UNA BIFU NA ZUHURA...NA HUNA MUDA WA KUMTETEMEKEA UELEWEKE.

  • @JechaMakameIssa-gs2bl
    @JechaMakameIssa-gs2bl 5 днів тому

    dada kajipata sasa

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 13 днів тому +3

    Mkiwaga. Nashida mnakuwa wapole. Mkipata mnakuwa na menu jujuu

  • @michaelramadhan9466
    @michaelramadhan9466 14 днів тому +2

    3

  • @amosihokororo9702
    @amosihokororo9702 13 днів тому +1

    Mimi MTU WA 26 kucomment

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 14 днів тому +8

    We watu wamekuthaminisha umejipata alafu unawadindia kweli binadamu konyo

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 14 днів тому +5

      mfano wewe mtu akufikishe sehemu fulani af atumie iyo kama advantage ya kukumistreat utamchukuliaje uyo mtu et

    • @mwajumabinwa604
      @mwajumabinwa604 14 днів тому +7

      zuchu kamkuta anafanya kazi na Vanessa mdee kusema kwamba wamemthaminisha apo niuwongo 😁😁😁

    • @malkavoice2570
      @malkavoice2570 13 днів тому +3

      @@mwajumabinwa604 huyo Vanessa alimuachaje? Sisi tume.jua akiwa wasafi na Zuchu alikuwa akiwapeleka nje lkn anamtaja pekeake kama dencer wake hamjui kama hapo alimthamini na lengo la zuchu alikuwa amfikishe alipo lkn Sijasikia zuchu akimuongelea kwa lo lote lile ila yy akiulizwa anaanza kubwabwaja badala ya kutoa heshima tu kwa Zuchu na Wcb anajikuta kafanikiwa kuliko wcb hapo alipo yani

    • @svt3
      @svt3 13 днів тому +2

      ​@@malkavoice2570Angela kaisha enda inchi nyingi kucheza kuliko zuchu, Norway, Russia, Belgium..... zuchu ahajafika huko kote wewe America alienda na unajuwa kulibuma

    • @yusternyirenda7231
      @yusternyirenda7231 12 днів тому

      ​@@mwajumabinwa604hilo jambo angel mwenyewe ndio aliyesema kwenye interview alisema zuchu ndio alifanya aonekane sana na mtu aliyefanya kwenda nje ya nchi

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 14 днів тому +1

    Wewe bado umefugwa miguu sijawai kuona unacheza nyimbo za konde naona bado unaogopa

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 14 днів тому +1

      Ni kama ufatilii vida zake zote...anacheza hadi za anjella

    • @mwajumabinwa604
      @mwajumabinwa604 14 днів тому +1

      anafanya kazi kwaku lipwa nasio eti nyimbo imetredi mdo afanye apana

    • @kibibisafi3331
      @kibibisafi3331 11 днів тому

      Konde halipi😅uyu anacheza kwa kulipwa😅