Angel Nyigu afunguka namna alivyoweza kwenda Urusi kufundisha kucheza, balaa alilofanya UK n.k

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 23

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc 5 місяців тому +5

    Duh usharud mdada juz tu ulikuw 🇬🇭 kaz nzur num 1 dancer in 🇹🇿 🇹🇿

  • @JoJoJolly-yb5qp
    @JoJoJolly-yb5qp 3 місяці тому

    Nampenda uyu dad❤ anaishi kwenye ndoto zake ata mmi natamani ni around the world❤

  • @olympiamtenga8761
    @olympiamtenga8761 5 місяців тому +2

    Angel Keep the 🔥 burning ,you're amazing,hardworking,determined and passionate ❤❤❤❤❤

  • @LovelyCoastline-il1lr
    @LovelyCoastline-il1lr 5 місяців тому +1

    Ukimsikiliza vizur utajua kabisa kama Anausingizi

  • @JoJoJolly-yb5qp
    @JoJoJolly-yb5qp 3 місяці тому

    Good job ❤angel

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 5 місяців тому

    Waandishi ndio wanajitafuta na kuandika heading za utata ili wapate views lkn wanasahau kwamba professional yao iko uniq endapo wakifanya bila kuchit wanatoboa tu. Unadhani Angel kaanza kazi na Zuchu mbona kaanza na Simba na hawezi kuwa hajielewi hatakama kakutana na changamoto bado anawaheshimu sn watu waliochangia yy kufika hapo

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 5 місяців тому

    Bongo wasanii wengi wanatumia dancers ni msanii gani katoa dancer kaenda kama huyu alafu from no where mwandishi anajitoa fahamu asimuulize mtu anasemaje kuhusu wakubwa zake angalau awape hope ya kukuuza wengine.

  • @wardanassoro4522
    @wardanassoro4522 5 місяців тому +1

    She is the best❤

  • @thebios2553
    @thebios2553 5 місяців тому

    Namsikia sky anakuza legacy yake

  • @Julieth-cu5yb
    @Julieth-cu5yb 5 місяців тому +2

    Hard worker❤

  • @shanibaniyas6308
    @shanibaniyas6308 5 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤

  • @vickysteven1172
    @vickysteven1172 5 місяців тому

    Safi saaana

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 5 місяців тому

    God girl 🥰🥰🥰

  • @Omahlay-fz8lu
    @Omahlay-fz8lu 5 місяців тому

    Angel unafanya POA sana dadangu

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 5 місяців тому

    Umehenda uraya tayali umesahau kiswahili unachanganya

    • @supertal2943
      @supertal2943 5 місяців тому

      Na WW ulie uswahilini hata kiswahili chenyewe hujui kukiandika!

    • @vickysteven1172
      @vickysteven1172 5 місяців тому

      Ngoja na wewe uwende

    • @MajutoElliasi
      @MajutoElliasi 5 місяців тому

      @@supertal2943 sawa unaejua kiswahiri

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 5 місяців тому +1

    ANAFOSI SANA TUNAMUONA..❤

  • @behindakalenda1144
    @behindakalenda1144 5 місяців тому

    Wacha rashia mie nimeenda hadi syria 😢😢😂😂🤣anyway this is my girl I like how she answer this nigar

  • @BonusNdamcho-gx2mq
    @BonusNdamcho-gx2mq 5 місяців тому

    💯Angel

  • @boubabizo246
    @boubabizo246 5 місяців тому

    English imeharibu interview, NEXT time jirekebishe

  • @merrymwakunje4108
    @merrymwakunje4108 5 місяців тому +2

    Nkupenda sana kipenz changu Engel nyigu