Christina Shusho Aamua kuachana na Mumewe Chanzo na Sababu Zote Hizi hapa.kutoka kenya.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 67

  • @fridahmasoi6693
    @fridahmasoi6693 Рік тому +4

    Huyo sio Mungu bali ni mizimu ya ukoo wake anahitaji ukombozi hakuna Mungu atakayekwambia uache ndoa ukamtumikie never

  • @raphaelenock8676
    @raphaelenock8676 Рік тому +3

    Mungu anajua na atahukumu kwa haki yake

  • @SamsonLemanya
    @SamsonLemanya 11 місяців тому +2

    Yeye si wa kwanza wa naoacha nyumba zao kuh utumishi hautakua wa Mungu Tena

  • @ancillarymushi8847
    @ancillarymushi8847 Рік тому +4

    Do! Kazi kweli! Ila dunia inapita na tamaa zake.

  • @nguzoyetugirlscentre6270
    @nguzoyetugirlscentre6270 9 місяців тому +2

    Kwa jinsi nilivyopata taarifa zingine mtandaoni hiyo taarifa nina mashaka nayo. Kwanza mbona hajawa na ujasiri wa kumhoji, mnaosikiliza muwe makini saana. Tafuteni ukweli wa taarifa hiyo. Mungu awasaidie.

  • @sabibiraphael1622
    @sabibiraphael1622 11 місяців тому +1

    Kuna mungu wengi, aliyemuita kuanzisha huduma na kuvunja ndoa ni mungu pia.

  • @sarahwangari8461
    @sarahwangari8461 Рік тому +1

    hicho kizungu chako jamani nimecheka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @EsperanceKinyata
    @EsperanceKinyata 8 місяців тому +1

    Yeye amesikia utamu wa dunia aachane n'a nyimbo za injili

  • @adelinematabaro3943
    @adelinematabaro3943 2 роки тому +3

    ole wako cristina shushu umedanganyika sana kabisa tena sana ona vema uyu inaweza kuwa mwisho wako yakuaibika yule ambaye amakudangana ni ibilisi kabisa ole ole sana umeshangaza wengi usmusemehe mungu wambinguni bongo kwa kujieleza sababu ya tamaa yako tubu tibu mungu ni mwema sana ni musikilizaji congo? pole rudi dada huzuni kabisa.

  • @jamesnkii4539
    @jamesnkii4539 9 місяців тому +1

    Kapendeza saiv anaona mme wake sio type yake maana mume anaonekana mzeee hivi afu yeye anaonekana mdada mrembo😅😅😅

  • @luciamutongore799
    @luciamutongore799 4 роки тому +5

    Hicho kiingereza unavyokisomaa daaah! Naomba tu uachane nachooo🤣🤣😂😂😂

    • @camerayamwandishitv5905
      @camerayamwandishitv5905  4 роки тому +1

      Hahahaha, Lucia mutongore wazungu wanatuharibiaga kiswahili chetu xo hapo ngoma bila bila mzee au wewe unaonaje🤣🤣🤣🤣🤣

    • @evefluffy5177
      @evefluffy5177 4 роки тому

      😂😂😂

  • @johnmndeme1050
    @johnmndeme1050 8 місяців тому

    Kama una Mambo yako, fanya kwa Siri. Acha kutuharibia watoto. Muogope Mungu

  • @dicksonmethusella2693
    @dicksonmethusella2693 2 роки тому +2

    jaman acha kuchafua watumishi wa mungu

  • @EuniceDaniel-l8f
    @EuniceDaniel-l8f Рік тому +3

    Kutumika ni mpaka uachane na mume wako? Hayuko Sawa mtumishi shetani amejificha hapo lakoni yupo mzima mzima. Utatumika bila kuhangaika, nawe bado Una nguvu?, Mtumishi mume wako kuwa mchungaji kwa namna yoyote nawe ni mtumishi, ulipashwa kutulia ktk utumishi na mume wako. Nje ya hapo unachanja mbuga. Ukidhani uko sahihi. TUMIKA NA MUME WAKO INAPENDEZA MBELE ZA MUNGU

    • @EuniceDaniel-l8f
      @EuniceDaniel-l8f Рік тому +1

      Aiunfi mkono kuachana na mume wako. Si kweli utakuwa msafi utajichafua shetani Yuko kazini, huoni shetani anakutafuta?. Mzee wa watu unamwacha ili atumikaje

  • @gracenziavake2957
    @gracenziavake2957 4 роки тому +5

    Mpaka pale hatuelewi. Wale watumishi wa Mungu ni ma dada zetu wakubwazetu lakini wanaacha ndoa zao Sisi kama wadogo zao tumeogopa!!!

  • @eliaminimmbaga5782
    @eliaminimmbaga5782 Рік тому

    MUNGU aingilie kati,Kuna shida kwa waimbaji wakike,wa nyimbo za injili

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 4 роки тому +2

    Has she opened assignment church?

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 2 роки тому

    Congo

  • @pastorowenkemoli7975
    @pastorowenkemoli7975 8 місяців тому +2

    Mungu amesema kwamba yeyote atakaye kufanya kazi ya Mungu sharti ajue kuisimamia nyumba yake mwenyewe kwanza, uyu mama kanisa analolifungua ataubiria nini wamama,?
    If she can not submit to her husband what makes her think she will be able to preach to women's,?
    That's demonic act of worship,
    She sacrificed her marriage to her own self interest
    That is love of money,
    She is not a christian, but areble to the body of christ

  • @micmichema7440
    @micmichema7440 2 роки тому +3

    God can not pe party to sins

  • @gloriagontako1586
    @gloriagontako1586 4 роки тому +4

    Ni kwamba Kanisa lipo ktk siku za mwisho kabisaa.....na roho ya upotevu inatenda kazi Kwa namna ya kutisha Sana. Hakuna Mungu ktk hili.

  • @hangiroetincelle8167
    @hangiroetincelle8167 Місяць тому

    Wana wake ndivyo walivyo

  • @valentineevarist
    @valentineevarist 8 місяців тому

    HUYO MAMA ASEME NI TAMAA TUU SI LOLOTE

  • @MercyKangethe-fz7zo
    @MercyKangethe-fz7zo 9 місяців тому

    It amazes me the hypocrisy that's goes round. Christina has refused to die in a marriage that does not serve her spiritual interest. What's wrong with that.? If the shoe was on the other feet, we would not have this laugh able outcry. If the marriage is not working, it is not working. It is her marriage not the Churches marriage. She is separating from her husband and not from God. She is brave. She should be supported and not condemned. Christina go and sing. God will make away where there is no way. From, 🇰🇪 with ❤.

  • @elodiengalima3465
    @elodiengalima3465 Рік тому

    Yaaaa pepo uyo

  • @maikoandrew58
    @maikoandrew58 2 роки тому +1

    Umalaya ni roho mbaya sana, roho hiyo inasumbua Watu wengi sana, hawa malaya wanaitesa sana Dunia,

  • @danielernest8418
    @danielernest8418 4 роки тому +2

    pepo tu hufanya kazi ndani ya mtu.zaburi 1.1.5

  • @renathagozberth1536
    @renathagozberth1536 2 роки тому +2

    Siku za mwisho

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 2 роки тому

    HEKIMA YA KIMUNGU , Na Sio Ya KIBINADAMU,,,,,, Na Kuifuatisha Namna ya Dunia Hiiii........

  • @shagyjjjilasa9275
    @shagyjjjilasa9275 4 роки тому +2

    Duhh dangroud

  • @zuberyvijeru3636
    @zuberyvijeru3636 2 роки тому +1

    Huyu kashaota mapembe mwacheni jeuli ya pesa

  • @CalebTheHR
    @CalebTheHR 4 роки тому +2

    Assignment gani nkt

  • @Linda-lr1lu
    @Linda-lr1lu Рік тому

    Hii sio habari ya zamani kweli nyie mnataka kiki tu sasa hebu acheni

  • @rebecashumbi3450
    @rebecashumbi3450 Рік тому +1

    Mbingu sio yako MUNGU ni mtakatifu hatishwi na kanisa

  • @boazibungamuzi9991
    @boazibungamuzi9991 2 роки тому +1

    Haya yote ni chanzo ya kupenda feza

  • @reginachile265
    @reginachile265 Рік тому

    Makanisa siku hizi pia ni biashara

  • @daimondmwapelele7316
    @daimondmwapelele7316 Рік тому

    Kibur cha shetan na mapepo y a Umalaya

  • @mellenondieki6329
    @mellenondieki6329 2 роки тому +1

    Oh my God is she Christina ? Do you go back to your advice giving wanawake,?wasiachane with their family,,how she decided to leave,her husband now,shetani,hiko,shenanigans,, Christina shush ,fundisha,watu MANZURI Christina nawewe,ukae na mume wako,vile ulitanganza hapa UTUBE, l wish you are with your husband now,vile ulisema,hapa,NO divorce.,l wish this l see is the past,yakutengana,na muzee wako,be what you talk,as achristian., l wish you are with your family. By now 2022,,l will hear from you,good Family....SORRY to see this news,,rudiana kabisa ,vile ulisema ...l I n 🇺🇸 USA

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 2 роки тому

    Aliolewa na babu

  • @Linda-lr1lu
    @Linda-lr1lu Рік тому

    Ndugu zangu msiwe wepesi kuhukumu hamjui ukweli wowote hawa ni biashara wanafanya kuuza habari zao muacheni kila mtu ana mambo yake halafu na wewe mtangazaji acha ujinga sio lazima usome english unaaibisha

  • @gloriagontako1586
    @gloriagontako1586 4 роки тому +2

    Mungu aliesema alichokiunganisha mwanadamu asikitenganishe.....maana yake hata yeye mwenyewe " Mungu" hawezi kukitenganisha kabisa.....hawa wametengana Kwa AGIZO la SHETANI. Na Mungu atusaidie Sana Sana ndg.zangu.

    • @samsonayubu2129
      @samsonayubu2129 4 роки тому

      Acheni ujinga wenu hajaacha na mumuwe bhana

    • @eliamjengi1592
      @eliamjengi1592 4 роки тому

      Pole Dada naomba umrudie mungu

    • @robertmalyane3068
      @robertmalyane3068 3 роки тому

      Shusho mmrudie mungu,mungu hajawahi kutenganisha ndoa!!

    • @aroundtheworld4173
      @aroundtheworld4173 3 роки тому

      @@samsonayubu2129 huoni kama wewe ndio mjinga?

    • @jablesinzitunga6199
      @jablesinzitunga6199 2 роки тому

      Mimi ni mrundi kazi ni masikitiko kwa watu wasiku za mwisho wa mama zetu wamepitiya mengi mpaka watatwambiye njo kujenga huko namungu kama hakurinda ndowa zetu sisi hatuwezi kurinda ili tuwe namwisho mzuri

  • @floramwanja7860
    @floramwanja7860 2 роки тому +1

    Waimbaji huwa wanaolewa?,malaya sn waimbaji

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 3 роки тому

    Mbona English yako haipo kabisaa??

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 Рік тому

    AMEJIKUTA ZUENA MTUPU

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 3 роки тому

    Labda uongo tu

  • @elizajackson7979
    @elizajackson7979 2 роки тому

    Kwanini mnapenda kutudanganya? Kama kweli mngemuacha shusho aongee mwenyewe