🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 чер 2024
  • 🔴#Live: MBOWE na LEMA WAMLIPUA VIBAYA PETER MSIGWA - WAMWITA MSALITI - WAFICHUA ALICHOKIFUATA CCM...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 123

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Місяць тому +13

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn Місяць тому +11

    Mbowe SI mama imara baba sisi na mungu tunaijua kazi yako acha makapi yaendelee kutoka ndani ya chama

  • @SedekiaIsrael
    @SedekiaIsrael 13 днів тому

    Asante sana makamanda

  • @emmanuelmndeme9740
    @emmanuelmndeme9740 Місяць тому +1

    Safi sana kamanda

  • @saidomary8796
    @saidomary8796 Місяць тому +1

    Kwa maneno upo vizuri

  • @ronaldmandari3084
    @ronaldmandari3084 25 днів тому +1

    Somo analotoa Mbowe ni wachache watalielewa hapo. Watanzania wengi washazoea kwenda kwenye mikutano kusikiliza ahadi za uongo. Hawaelewi katiba mbovu inawaathiri vipi au matumizi mabovu ya fedha za umma yana madhara gani kwenye maisha yao.

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg Місяць тому +6

    Wananchi hata Mbowe hawamjui, halafu etc wafanye maamuzi, hawa chenga

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 Місяць тому +2

    Msishangae hii ndio democrasia na ndio uhuru wakweri naomba mjue hivyo msi mraum msigwa yupo sahihhi kwa mtazamo wake

  • @frimatuslupimo2031
    @frimatuslupimo2031 Місяць тому +1

    Eti Magufuli ampe Hela lema

  • @abdalamfinanga6434
    @abdalamfinanga6434 Місяць тому

    Kama hili ni kweli hebu viongozi tumrudie mwenyezi mungu cheo ni mungu amekupa kwa kukupima haifai kuwafanyia watu dhuluma je kama umefanikiwa kuwazulum watu unaishi kama mfalume na familia yako je nafsi yako ina amani?hii ni hatari sana malipo ya machozi ya watu na dhalili ya mungu hapa hapa duniani utahimili tumoogope mwenyezi mungu

  • @BahatiAlfayoLaizer
    @BahatiAlfayoLaizer 13 днів тому

    Hakuna hiya hapo

  • @JoshuaSalimu
    @JoshuaSalimu Місяць тому

    Kwa tanzania bora mama auze nchi tuu, na kuiba wananchi wamelala

  • @StevenMtambo
    @StevenMtambo Місяць тому +6

    Msigwa ni kama pombe ya chupa hata aibu Hana kisa kushindwa uwenyekiti ,, kumbe lisu alimjua kuwa ni chawa

  • @MasanjaMkama-bd9rc
    @MasanjaMkama-bd9rc 16 днів тому

    ukisema UKWELI ni kwamba"Leo hii ukifanyika uchaguzi wa vyama vyte bila jeshi la polis Wala usalama kutumika na ccm nataka nikuhakikishie ccm icngepata kura hata 1 sema tyu huwa wanatumia nguvu ya jeshi la polis na usalama" Dadeq zao

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 Місяць тому

    Hehehe, wananchi wanatia story zao tu

  • @ephraimmakaranga1795
    @ephraimmakaranga1795 Місяць тому

    Ukimaema Magufuli ndo mnazidi kupote kabsa Mzee baba ana wafuasi wengi sana hapa nchini acha kabsa kumema magufuri ongei masuala ya nchi tu

  • @BahatiAlfayoLaizer
    @BahatiAlfayoLaizer 13 днів тому

    Uzuri wa kiongozi ni kutafakari ni kwa namna gani atawaletea wananchi maendeleo na sio kuwaambia maneno ya ubaguzi wa vyama, nasema Chadema wamepotea njia, wameishiwa hoja

  • @petroalfred5108
    @petroalfred5108 Місяць тому

    Global mna shida gani? Video zenu zote lazima zikwamekwame

  • @nyanjachannel5517
    @nyanjachannel5517 Місяць тому

    Wapi lissuau naye kaunga ya msiba😢

  • @alphoncejmrema7912
    @alphoncejmrema7912 Місяць тому

    Hahaha Hahaha eti aende Mirembe

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Місяць тому +1

    Natamani Msigwa awe ametumwa kama walivyotumwa akina Halima ili kunusuru chama hichi. Mbowe na Lissu sio watu kama ninyi wale ni watu na zaidi

  • @MasanjaMkama-bd9rc
    @MasanjaMkama-bd9rc 16 днів тому

    Kuelewa hutuba za viongoz wa chadema inahitajka elimu kubwa ukiwa na elimu ndogo utaona kama wanapiga kelele au walopokaji

  • @madenge731
    @madenge731 Місяць тому

    Yaani Tanga wanachojuaga ni mspenzi tu, wapo usingizini miaka nenda rudi 😓😓😓

  • @allywaziri3938
    @allywaziri3938 Місяць тому +2

    Kumbe unatuma kabuku waandamane wakati wakwako wapo nje ya nchi

    • @JoshuaSalimu
      @JoshuaSalimu Місяць тому

      Hovyo kbs

    • @JoshuaSalimu
      @JoshuaSalimu Місяць тому

      Tanga hovyo kbs ni ccm tupu,lkn ni masikini kuliko kawaida

    • @magaigwa4204
      @magaigwa4204 Місяць тому

      Hawa wanoitwa people's hawajasikia mwenzao anasema watoto wake wako nje ya nchi, watoto wa nani waandamane sasa!!!

  • @user-id6xo9td6k
    @user-id6xo9td6k Місяць тому +1

    Watu wanataka sana mabadiliko,lakini aina za hutuba zenu za kuzoza na marehemu kila siku,inapunguza sana ungwaji mkono,watu wa buldoza ni wengi mulijuwe hilo, jitahidini kuliteka kundi hilo

    • @SeverinMagwaya
      @SeverinMagwaya Місяць тому

      wewe muongo, watu tunazidi kuwaelewa chadema! ulishawahi kuona komenti yoyote kutoka kwangu? ila wewe unakomenti mara kumi hata ishirini kila siku na nakufuatilia pakubwa tu.
      Aidha, marehemu kuongelewa ni kawaida, madikteta wote duniani akiwemo magufuli wanaongelewa kwa mabaya yao. Anaongelewa Mobutu, Hitler, Stalin, Bokasa nk. Kwa Nini magu asitajwe Kwa mabaya yake?
      Ni kweli kuna mema machache ameyafanya pia mabaya yake yapo.

    • @Aminmwansile-we8vn
      @Aminmwansile-we8vn 10 днів тому

      Hata idiamini ni marrehemu lakn Hadi Leo anazungumziwa

  • @samwelmachaka936
    @samwelmachaka936 Місяць тому

    Hamjielewi

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Місяць тому

    Haisaidii kitu ameshaondoka ccm kaeni na chama chenu cha kikabila

  • @JeremiaMnanka
    @JeremiaMnanka Місяць тому

    Msigwa alisema akija ccm achomewe nyumba na magari ya keyote jemnakumbuka kamamna kumbuka jueni hata mboe, lema, risu, woteni ccm wenyeshida ni chadema hawawachini kama vire wiraya tawi kata ndowanachama wachadematu taifaniuongo mura

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Місяць тому

    Hawa Chadema Mungu kama huwaoni basi Duniani hakuna Mungu na Mungu ni wewe kiumbe hai pambania hali yako kwa akili yako inavyokutuma. Chadema ni chama kinachoishi kwa akili kila kitu wameporwa lkn wananchi sisi tupo tupo tu hakuna hata mtu anajitokeza kama Kenya alafu wakija hapo mnawang'onga mnasubiria kanga na hongo za gongo na sadaka au zaka mnakaa kimya. Jitoeni muone kama hamjaonekana watu kati ya watu.

  • @evelina9621
    @evelina9621 16 днів тому

    Chadema.nani.mgo.mbea.urais
    Tajeni.watu.watkakujua.mbowe.unasmje
    Lisu.au.mbwe

  • @jamesjahasa3348
    @jamesjahasa3348 Місяць тому +2

    Chadema nanyinyi wanunueni wana ccm

  • @augustinemainde
    @augustinemainde 26 днів тому

    Kila mtu yupo huru kujiunga na Chama anachotaka,kuongea anachotaka hata nyinyi tunawakaribisha CCM matusi ya Nini toeni sera

  • @FedrickNgonyani
    @FedrickNgonyani Місяць тому

    We lema fala sana,toa sera za chama chako,acha kudandia hoja

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 Місяць тому +1

    Lema wadanganye hawoawo wewe watoto wako umewaficha kanada alafu unasema tuache uwoga fala wewe sisi ndiyo wanaume atukimbii na atujutii Mama mitano tena

    • @StevenGendo-vx9jo
      @StevenGendo-vx9jo Місяць тому

      We mbwa kweli Kati ya wanaume naww ni mwanaume? Puuumbavu wanaume wako kenya

  • @sanganyamsanu8009
    @sanganyamsanu8009 13 днів тому

    Yani hawa, kuanzia muonekano, wanayoyatamka ni dhahiri ni watu matapeli kabisa. Chadema ni mkisanyiko wa vijana kadhaa wa kihuni

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 26 днів тому

    Mnasagika mioyoni Msigwa kawaacha hoiiii, wasaliti wakubwa mlipokea hongo ya Lowasa.uzeni ndizi na ninyi mnunue watu kutoka CCM.mmekwishaaaa!!!!

  • @allywaziri3938
    @allywaziri3938 Місяць тому

    Hana kero huyu

  • @allywaziri3938
    @allywaziri3938 Місяць тому

    Lema unataka waaandamane kwenda wapi

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 Місяць тому

    Chdema hawana tofauti na muniki

  • @michaelmazoya9244
    @michaelmazoya9244 Місяць тому +6

    Ushauri wangu mngeachana na kumsema marehem Magufuli na kuongelea mapungufu yaliyopo na kueleza wanannchi mtayamaliza vipi. Magufuli ana wafuasi wengi mno nchi hii. Kumsema magufuli ni kupoteza mamilioni ya kura

    • @eliassumila8173
      @eliassumila8173 Місяць тому +1

      Safi sana.umeshauri vyema sana.Viongozi zingatieni ushauri huu wa Busara.maana Waliopo tunawasema vibaya,na aliyetoka mmemung'ang'ania kumsema vibaya.Acheni,badilisheni gea angani.Magu ni wa kila mnyonge.

    • @KazunguMathias
      @KazunguMathias Місяць тому

      Fact

    • @martinamassawe7921
      @martinamassawe7921 Місяць тому

      Sure

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 Місяць тому

      @@martinamassawe7921 Acha wajichimbie kaburi😁😁

  • @pancrasluoga4584
    @pancrasluoga4584 Місяць тому +1

    Msigwa ndo nani

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 Місяць тому

      😂😂😂😂 eti leo Msigwa ni nani si mlikua mnamita kamanda poleni na bado wapo wengi tu wataunga mkono juhudi nye ni watoa Tarifa tu hakuna cha maana

  • @BahatiAlfayoLaizer
    @BahatiAlfayoLaizer 13 днів тому

    Hakuna jipya hapo chadema

  • @zacharianjanga
    @zacharianjanga Місяць тому

    kenge! Msigwa katumia haki yake ya kuamua wapi sahihi kwenye siasa, tukumbuke kuhama chama pia ni sehemu demockorasia;kumbe ulikuwa na deni sasa umeshalipa kweli!

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 Місяць тому

    Sakosi katika ubola wake

  • @yahyawatuta3902
    @yahyawatuta3902 29 днів тому

    unajua mnakua kero kwa wananchi kwani hamna agenda yenu?. nikuitukana ccm na Serkali yake kila wakati mtaongozaje nchi hii bila ya kuwa na sera zenu ambazo hamzitangazi? Ona mnavyo zidi kumegeka. muda si mrefu tutamkaribisha lema CCM.

  • @jomba6514
    @jomba6514 Місяць тому

    Muacheni msigwa kafanya maamuzi ya maana sana

  • @user-dy5fn6qj1q
    @user-dy5fn6qj1q Місяць тому

    Wewe lema ;mbower; tulizeni booli mwiba hutokea ulipoingilia acheni kujadili mtuu mmoja mmoja tunachahitaji ni siaasaa safiii isyo kwa ya matusii unafiki tuelezeni mtakachofanyia watanzania wekeni mpira uwanjani mupimwe CCM&Chadema''' wazalendo& CAF fainali tuta amua seye wapiga kuraaaaa Apo vipi acheni kujadili mtuu mmoja mmoja ;matusi ya Nini

  • @anastazialushika
    @anastazialushika Місяць тому

    Kwer hiki ni chama cha watoa taarifa

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 Місяць тому +1

    KAONA CHADEMA N CHAMA CHA SACOS KAONA HAMNA KITU

  • @magaigwa4204
    @magaigwa4204 Місяць тому

    Ulikimbia deni Acha kumsingizia Magufuli. Hizi siasa rahisi rahisi hazina tija kwa taifa. Leteni sera zenu maandamano yataongeza maiti zingine hiyo siyo issue.

    • @fwc5552
      @fwc5552 Місяць тому

      Deni la nini shida yako bado upo ndotoni ukabila unakusumbua

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Місяць тому

    Chama cha domokrasia na maokoto

  • @jumakiduka4625
    @jumakiduka4625 Місяць тому

    MBONA WATU NI WAWILI TU NDIO MKUTANO HUO

  • @yossobenayunkn8942
    @yossobenayunkn8942 Місяць тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿. BG UP MSIGWA ,,umechagua NA BADO ,,chadema 😁😁😁

  • @mamuuchany6386
    @mamuuchany6386 Місяць тому

    O😊jamani Muacheni magufuli wetu ongeeni ya kwenuuu msituvuruge kumsema Jembe la watanzania, tena mkome

  • @youssefsanje8743
    @youssefsanje8743 Місяць тому

    Imekula upande hiyo bado zamu yako kuunga juhudi

  • @alisalimo2861
    @alisalimo2861 Місяць тому

    chama cha kikanda hicho kinaeleweka ww nani uliemuona

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Місяць тому +2

    Sakosi ya mbowe. Mbona kama imepanic. Ngoja msigwa amwage mboga ndio mtajua hamjui.

  • @NATACIARAPHAEL-iz8kr
    @NATACIARAPHAEL-iz8kr 27 днів тому

    Siasa za bongo

  • @salummagawa8802
    @salummagawa8802 Місяць тому

    We mwenyewe madaraka unayapenda jiuzuru uwenyekiti wa chama kwanza

    • @cosmaswilliam3805
      @cosmaswilliam3805 21 день тому

      Mbowe anatufaa leo na kesho na katiba haijavunjwa ya chadema.

  • @HOTGOSPELSONGS-gy9ug
    @HOTGOSPELSONGS-gy9ug Місяць тому

    kuna haja ya kujitathimini lazima kunakitu hakijakaa sawa humo ndani msilete blaa blaa, me mwenyewe nimeumia sana Msigwa kuhamaaa

    • @SeverinMagwaya
      @SeverinMagwaya Місяць тому

      Ahame tu! kwani hujamsikia msukuma? tafuta clip ya msukuma akimwongelea msigwa kwamba alikuwa anapokea pesa kutoka ccm na ikifika mwaka 2024 kabla ya uchaguzi wa mitaa atabeba gitaa begani?

    • @ThomasEkama
      @ThomasEkama Місяць тому

      kaka ugomvi huwa upo TU hata ccm yule msigwa ni mjinga

  • @jumakiduka4625
    @jumakiduka4625 Місяць тому

    mtoa kero kesha lewa pombe ya mnazi

  • @madilisakumi8262
    @madilisakumi8262 Місяць тому

    Chadema kama sakosi

  • @frimatuslupimo2031
    @frimatuslupimo2031 Місяць тому

    Pumbavu zenu, Magufuli hayupo mnafiwa na chama chenu

  • @khalidibrahim4579
    @khalidibrahim4579 Місяць тому

    Kabla sijasahau israel wamevunja makanisa jerusalem kanisa kongwe duniani na pia bethlehem ma Palastians ndio wakristo hakuna maYahudi kristo leo tanzania wanaunga mkono israel elimu ni muhimu sana biblical jews sio hawa europeans hawamuamini jesus ambapo waislamu wanamuamini kwa kila kitu

  • @allywaziri3938
    @allywaziri3938 Місяць тому

    Sasa lema huyo msemaji kakudanganya watu wanauwawa na wewe umepata hotuba huo ni ujinga halafu unatuzarau tanga kwakuwa tuna nyumba za miti

  • @samochristopherroche9953
    @samochristopherroche9953 Місяць тому

    Lema magufuri akupe hela ili iweje...yule alikwa hana huo ujinga...nyie hakuna kitu

    • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
      @SmilingFlowerBouquet-hs2hv Місяць тому

      CCM NI SEHEMU YA MABEBELU NDIO MAANA TAIFA LINATUMBUKIA SHIMON BADO HUJUI WWE NI KUBWA JINGA

  • @meshasjaguar6136
    @meshasjaguar6136 Місяць тому

    Mbowe ndio Tajiri. chadema akifatiwa na lema Alafu wanaopiga kelele hapo Wote ni. Watanzaia. Achana na chama cha Kanda mbowe kafanya kazi. Na Rais mkapa adi Rais Samia. Mbona zito kaachi. Uwenye Kiti.

    • @fwc5552
      @fwc5552 Місяць тому

      Zitto ndo kitu gani yuda yule

  • @matakamataka9438
    @matakamataka9438 Місяць тому

    Halafu mm sasa naelewa kua chadema ndo watekaji ili wafanye siasa lkn ni ujinga uliopitiliza yaan siasa za tzanzania ni zakitoto sana

    • @kurwanjonge4586
      @kurwanjonge4586 Місяць тому

      We fala sana wakati huo serikali Iko wapi sasa

    • @modestusndunguru7183
      @modestusndunguru7183 Місяць тому

      Toa ushaidi achaekula matangopori ...nyi saccos ya kichaga hiyo​@@kurwanjonge4586

  • @khamismohammed7500
    @khamismohammed7500 Місяць тому

    Tatizo hawana mamlaka

  • @jumakiduka4625
    @jumakiduka4625 Місяць тому

    MNAWAPANGA WATU WASEME KERO

  • @user-xs3ko8pg2g
    @user-xs3ko8pg2g Місяць тому

    Lema jembe, ila mbowe kapitwa na wakati hana ushawishi, mwacheni tu msigwa aende, umri alionao sio rafiki akapate pesa za kujikimu uzeeni, kweli alikuwa akiipenda chadema, lakini cheo hana ataishije!

  • @khamismohammed7500
    @khamismohammed7500 Місяць тому

    Wewe.upewe pesa ya nn mpumbavu mmoja wewe

  • @hilaliusjohn8386
    @hilaliusjohn8386 Місяць тому

    Tatizo nyie mmejaa roho ya ukanda ndio maana hamuwezi kupewa nchi.
    Magufuli akupe pesa wewe? Ua ni mwanaCCM alikuwa anamtongoja mke wako.

  • @abras3479
    @abras3479 Місяць тому

    Global Acha uchonganishi, wapi wamemsema msigwa? naku-unsubscribe now

  • @user-qz2cs5wm5u
    @user-qz2cs5wm5u Місяць тому +2

    CCM waliwanunua Kina mdee nasali NK lakini mbaka sasa bado wanapumulia gezi kwamziki wachadema uyomsigwa nifala tu

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 Місяць тому

      CCM imeja viongozi wakutosha kuanzia chipukizi mpaka juu sasa wanunue watu wenu wa nini? Tatizo lenu ni kwamba hamna sera nye ni watoa Tarifa mkisikia leo imetokea jambo mitandaoni nye kesho mnaamka nalo sasa watu wamesha wachoka ndo maana wanahama

    • @ThomasEkama
      @ThomasEkama Місяць тому

      uko saw ndugu

  • @user-jl9sz6we9j
    @user-jl9sz6we9j Місяць тому

    2:11 Lema unawadanganya hao wana KABUKU huna msaada wewe madaraka yoyote utawasaidiaje watu.hapo ni kumbi na kumbinga..kitabu cha zamani kilinasibu..tatua kero tukuone ..unawaita boya ..

    • @MasanjaMkama-bd9rc
      @MasanjaMkama-bd9rc 16 днів тому

      Kuelewa hotuba za upinzan kunahitaji elimu kubwa ukiwa na elimu ndogo huwez kuelewa mtu anatatuajekero wakati aliporwa ubunge wake kibabe na mwenda zake(Magu)

  • @user-tu8tl2lg4b
    @user-tu8tl2lg4b Місяць тому

    Salami kwanza

  • @allywaziri3938
    @allywaziri3938 Місяць тому

    Msituingize kwenye machafuko mbweha nyie

  • @saidmajeba9791
    @saidmajeba9791 Місяць тому

    Yaani hili baba lenye jicho moja la kondoo🚮🚮

  • @khalidibrahim4579
    @khalidibrahim4579 Місяць тому

    Huyu lema anapenda Israel yeye ni mkristo wa yahudi hawamuamini jesus wala ukristo
    Bible jews sio hawa wazungu ni watoto wa jacob
    Toa mfano UAE jangwa wanaotesha fruits na vegetable
    Huko rasalkheima Fujeira Sharjah Alein dubai Hatta wacha kasumba za israel moha mbili israel wanuwa watoto vizee na wanawake South Africa imewashitaki ICU nyie mumelala na kasumba ya chukdren if israel basi sio hawa wazungu wake up

  • @simonyohana8995
    @simonyohana8995 Місяць тому

    Ccm wajinga wewe mwelevu uliye na hakili zisizo na akili utabaki kung'ang'ana na malehem pole yako

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 Місяць тому +1

    Msigwa kashtukia deal maana mwenyekiti tangu sijazaliwa😅😅😅😅😅😅😅😅😅 jamaa atatoleawa kama Kotapini

    • @abubakarimussa9131
      @abubakarimussa9131 Місяць тому

      Wengi wao niwasaliti siku tukipata mtu sahihi kabisa mbowe ataachia Profesa j kama sio kuugua alitakiwa yeyeachukue kiti

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri Місяць тому +2

    KIKWAZO KIKUBWA WENGI WATAONDOKA CHADEMA KUTOKANA MBOWE NA LEMA NA LISSU UKABILA UDINI

    • @erickmsigala138
      @erickmsigala138 Місяць тому

      Utakuwa na govi, maana hiyo akili niya peke yako karne hii

    • @msabahaali758
      @msabahaali758 Місяць тому

      ni propagabda za ccm tu

  • @EliaMarco
    @EliaMarco Місяць тому +1

    Ivi mlilipwaga sh ngapi kumsema magufulii

  • @jumakiduka4625
    @jumakiduka4625 Місяць тому

    Kabuku ni Nguzo ya CCM, MKUTANO UMEOZA

  • @amedeustesha5947
    @amedeustesha5947 Місяць тому

    Watoto wako Mr lema hawako Tanzania kikinuka hapa unakimbilia kanada then unatuambia tuandamane Shame on you

  • @frankmwinuka3413
    @frankmwinuka3413 Місяць тому

    Wanachama wengi wamehama CHADEMA. Doctor Slaa, Zitto kabwa, Halima Mdee, Edward lwaasa, Fredrick Sumaye na wengine wengi. Tuacha kumlaumu Msigwa, tujitathimini wapi tunakosea.

  • @AdenAdrion
    @AdenAdrion Місяць тому

    Toka nipo la saba mbowe ni mwenyekiti chama Cha wahuni hiki

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 Місяць тому

    😂😂😂 YAN HAWA N KELELE TU MDA SIO MLEFU UTASMIA NA WENYEW WAME HAMIA CCM😂😂 NJAA MBAYA 😅 HATA MSIGWA ALIKUWA ANAONGEA HIVYO HIVYO KWA UCHUNGU 😂😂 KUMBE NJAA ILIKUWA HAIJAMKOLEA😂 NJAA IKIKOLEA MBONA UTAHAMA TU 😂😂😂