Wimbo huu tunatembea pole pole kwaya kuu Bethlehem kwangu ni wimbo Bora kuliko nyimbo zote za mfumo huu, maana unanibariki sana silali bila kuusikiliza ndipo nalala, Mungu awabariki ninyi nyote watumishi wa ush. wa Bethlehem
Uchala abhasaje, mmeimba vizuri mkimsifu Mungu wa mbingu na nchi. (Mawazo yangu, mwanzoni mwa wimbo, ameonekana kama malaika (Rangi ya Mzungu), kama inaweza kuwa edited hapo sijaelewa imemaaniasha nini).
Kama una sikiliza hii nyimbo juma pili ya leo 22/12/2024 gonga like hapa
Wimbo huu tunatembea pole pole kwaya kuu Bethlehem kwangu ni wimbo Bora kuliko nyimbo zote za mfumo huu, maana unanibariki sana silali bila kuusikiliza ndipo nalala, Mungu awabariki ninyi nyote watumishi wa ush. wa Bethlehem
Wimbo niupendao jmn,na hayo mapigo Huwa yananibarik sana,nataman npae nirud mbeya niwaone bibi zangu wakipg mapgo🥰🥰🥰
Huyo anae piga gitaa solo nihatari
Amani I've juyenu wazeewangu
Huu wimbo hua unanifanya nalia sanaaa sijui kwasababu Kwa mara ya kwanza niliusikia msibani
Kyala abhasajege
Mbarikiw kw kwel mkubwa hashindwiii
Uchala abhasaje, mmeimba vizuri mkimsifu Mungu wa mbingu na nchi. (Mawazo yangu, mwanzoni mwa wimbo, ameonekana kama malaika (Rangi ya Mzungu), kama inaweza kuwa edited hapo sijaelewa imemaaniasha nini).
Wimbo mzuri sana. Hilo pigo nimelipenda na watumishi wa Mungu wanalipiga kwa ustadi mkubwa. Mbarikiwe sana.
Hongereni wazee mungu awa
bariki sana
Mungu awabariki sana,ujumbe mzuri AMINA sana
Barikiwa sana
Huu ni mmoja kati ya nyimbo za dini ninazozipeda sana. Mbarikiwe.
Kicheko kicheko tukishafika mbinguni
Daaaaah nawapenda mpka natamani kama tungeonana mbinguni pamoja
Mbalikiweee
Nyimbo za kwaya kanisa moleviani Tanzania
Ndagha muimbile bhandu bha kyala
HONGEREN NA MUBARIKIWE
Hakika ni kufumba na kufumbua, tuwe tayari, tutengeneze njia zetu na Bwana. Wimbo mzuri.
Kwaya kuu zote ni vizuri kuiga pigo kama hili la wimbo huu Toka kanisa la Moravian ushirika wa Bethlehem
Vicheko vicheko vicheko tukishafika, Vicheko vicheko ahaaaaaaa
Mungu awabalik sanaaa,,, by Deborah ndile,, kutok mlow
Finally, nimeipata hii kwaya kwa kweli mbarikiwe mnaimb vzr sana
Sijui ni mimi tu nabarikiwa zaidi na hapo mwishoni tutapongezana naona pamekua pafupi sanaaa nyelaaaaa
Hakika MUNGU atukuzwe na lika zote🙏🙏🙏🙏🙏
Ndagha fijo olwembo lonunu fijo kyala awatole bha Mwa nongi na Mwe wakananongi. Nsajigwe fijo no lwembo holo.
Great
Safi sana. Ni wimbo mzuri sana
Ghaiiiii tam sana hongereeeeni
I mss you kanisani kwetu
1990 au sina uhakika vizuri lakini kazi yenu ilikuwa njema na bado inaubora wa kiwango cha juu.
Safi sana! Mungu awabariki❤☑️✍️
Moraviani ni dheheb7 zuri sana
Wimbo mzur sana... Mungu Awabaliki sana.. Kyala Abhatule....
Wimbo mzuri, Umeimbwa kwa ustadi mkubwa..Mungu awabariki.
❤❤ hongeleni Kwa huduma nzuri ya uinjilshaji.
3:38
Amina fadhili
Mbalikiwe Sana watumishi
Mulakoze thanks
Namisi sana mbeya kwetu jaman kuimba nikusali mara mbili huku niliko sielewi chochote cjui ndo mazoea
nakuunga mkono Moraviani halisi Mbeya kwingine chenga nyingi
Wimbo mzuri mungu awabariki
Wimbo mzuri,ujumbe mzuri
Hongereni watumishi wabwana
mungu awabalik nyimbo nzr sana daaaaaaa😊
Wawoooo Moravian mwenyezi mungu awabariki sana
MUNGU awafunike Kwa MOTO..WAKE
Ndaga fijo
Asante sana kwa kuimba kuzuri wazazi mmniko zambialakini nifuraishwakuimba kwenu
Asanteee sana kutufuatilia,,,,tusaidie kushare hii huduma huko ili wote tuendelee kubarikiwa
Iko vzt
hii imeenda
I love this song
Bwana yesu asifiwe
gooood
Nabalikiwa sana karibu ushilika wa tunduma
Tunduma Moravian?
Mbona audio haupooo
Amen
Fb
Ploud Moravian
Asanteee Lulu ubarikiwe