Flora Mbasha kaolewa tena... Tazama ndoa ilivyofungwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @zuhuraakida5932
    @zuhuraakida5932 7 років тому +7

    the way ur singing i cant stop my tears walah😢😢😢😢 mungu ayafute na machozi yangu Insh'Allah kama alivyofuta yako madam flora🙏🙏🙏 kila jambo na wakati wake tuzidi kumuomba mungu Insh'Allah 😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏

    • @charlesemily205
      @charlesemily205 7 років тому +1

      mbona kwenye harusi watu niwacheche sana

    • @jackliineurio8099
      @jackliineurio8099 7 років тому

      +said machaka watu ni wengi mno hujaangalia vizur tu

  • @abdulazizi375
    @abdulazizi375 7 років тому +2

    Nice Madam Flora. Congratulation kwa kufunga ndoa. Binadamu always wao ni kuongea 2 ila ukwel wa maisha yako anaujua Mungu na wewe mwenyewe. Keep it up na nimebarikiwa sana na nyimbo ulizoimba kwenye harusi yako.

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 7 років тому +11

    hongera sana mungu akusaidie katika ndoa yako . umependeza maisha yako ndo muhimu zaidi kuliko midomo ya watu

  • @furahaema6000
    @furahaema6000 7 років тому +11

    hongera sana Flora mungu akusaidiye iyi ndoa idumu isiwe kama ya zamani na uwe na furaha

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 7 років тому +3

    Saaafi saaana...
    maneno yakitoka yana recordia for the world to retrieve in the future..
    upo smart saana Florance..

    • @johanikwelikwaninihakiyaok7373
      @johanikwelikwaninihakiyaok7373 7 років тому

      me naona kama kajisumbu tu

    • @lamsnshiga892
      @lamsnshiga892 5 років тому

      Eeee

    • @greysondaud4980
      @greysondaud4980 5 років тому

      shameless girl ndoa ya beach ogopa mungu we kafir Subir hukumu yako we tapel

    • @greysondaud4980
      @greysondaud4980 5 років тому

      Utaolewa sana hii laana haita kuacha Salama una roho ya usingiziaji mwanamke Mungu anachukia kuachana ole wako hutafika mbali

  • @felistamarandu8140
    @felistamarandu8140 7 років тому

    wanawake tutapendana lini.walijua wanaishi pamoja hatujui waliishi je huko ndani.hata kama alizaa nje huwezi jua nini kilimsukuma juzaa nje ya ndoa yake.angekua mwanaume hapo anaoa ndoa ya pili ni sawa tuu na kuna wanawake wangeshabikia kibao.gooo madame flora.umepata faraja ya moyo wako.MUNGU akutangulie katika maisha yako mapya.

  • @shedrackphilipo9626
    @shedrackphilipo9626 7 років тому +6

    siyo vizuri sister labda urudi ukasome biblia vzr umeudharirisha ukristo

  • @esterkapinga1336
    @esterkapinga1336 5 років тому

    Hongera sana dada wangap wametoa mimba kabla hawajaolewa itakua wew kuzaa nche ya ndoa kawaida hao wakamilifu waje mbele ambao hawajawai kufanya hayo

  • @jacksonlusagalika
    @jacksonlusagalika 7 років тому +264

    naesoma comments za watu akicheka kama mimi gonga like hapa

    • @mamapekupekupilipilimuwash9016
      @mamapekupekupilipilimuwash9016 7 років тому +1

      Jac XY hahaahahah halloooooooo

    • @nellysingano3029
      @nellysingano3029 7 років тому +5

      Najua hakuna mkamilifu chini ya jua lakini si kwa Inafiki huu..msitudangaye mnayajua maandiko Frola na Pastor wako hata unaimba kwa hisia,,bora ungelaa kimya ukafunga ndoa kimya kimya eti you ar happy!.ww ni mwanamke gani usiejua kuvumilia ni kuitamamia familia yako..Umenishangaza,,umeniaikitisha na unatia aibu..Mbasha alikuomba msamaha mpka akawa analia hovyo ila ukamuona yy gar taka!.na aliomba msamaha kwa kesi uliombambikia..eeh eti Frorance!makubwa

    • @ahmedalshammari9372
      @ahmedalshammari9372 7 років тому

      NELLY SINGANO umesema wewe ndoa n uvumilivu

    • @nellysingano3029
      @nellysingano3029 7 років тому +8

      Ndio ndoa ni uvumilivu..kama hakiweza kuvumilia kwa Mbasha huku kwa Daudi ataweza!?

    • @sultanmm7722
      @sultanmm7722 7 років тому +3

      Jac XY mm apaa hadi mbavu zinaniuma

  • @deborahrehema5819
    @deborahrehema5819 2 роки тому +1

    Jamani nimerudi tena happy 5 years of anniversary ❤ Mungu ni mwema sana

  • @deborahmacha4915
    @deborahmacha4915 7 років тому +12

    hongera flora. nashangaa watu wanaokuukumu kama vil wao ndo watakatifu, kumbuka hata biblia imeandika usimhukum mwenzio ucje kuhukumiwa, kama alitenda dhambi una uhakika gani kama alitub dhambi zake. we nan hadi umuhukumu, kazi ya hukumu mwachien aliemuumba.

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 7 років тому

    pole dada nyimbo yako ina mahana kumbwa moyoni mwako ata kupiti kwa mahana aombae msamaha usamehewa na una jutia moyoni ukweli mnapedana sana wewe na mbayia ila shetani aliamwa kuvurunga doa yoko ya kwaza mungu ata kupa ujasiri na mbayia unaijua siri ya yote mungu die akim wenu amina ila aipedezi machoni mwa mungu atakae kuowa mke alie wachua na kufunga doa basi anazini na atakae oa mke alie wachua ana zini yote wayajua doa yako ni mangungu bele ya mungu bali machoni mwa wanadam ni sawa

  • @klausschmidt9288
    @klausschmidt9288 7 років тому +48

    naona ile sehemu ya kusema " mpaka kifo kitutenganishe " wameiruka
    hahahaha

  • @momylaviel
    @momylaviel 8 місяців тому

    Hongera kipenz wanakuhukumu utafikiri hawana makosa anayehukumu ni Mungu pekee nakupenda

  • @oliviapure428
    @oliviapure428 7 років тому +6

    beautiful voice congratulation Ms Flora Almighty bless your marriage who are we to judge

    • @angelinemutindi5488
      @angelinemutindi5488 5 років тому +1

      Which God habadilishangi neno lake mbinguni haendi ng'o

  • @dorinjonh8055
    @dorinjonh8055 6 років тому

    Hana tofauti na Lucifa kwakuwa ameenda kinyume namaandiko usimuaache mume wa Jana wacko,na amelaaniwa yeye aolewaye na mume mwingine wakati wa kwanza yuhai hii ndoa Ni ya kizinzi maarusi watatumikia tanuli la moto
    Hata wewe uliemuoa utaachwa kama alivo achwa mwenzio usage auaye kwa upaanga naye atakuwa kwa upanga mtumishi gani wa mungu unafanya mambo ya ajabu mnafiki mkubwa unamdhihaki mungu!bora uache utumishi

  • @meronstudioz
    @meronstudioz 7 років тому +88

    Biblia Yangu inanambia mwanamke akiolewa haruhusiw kuolewa tena except mumewe awe amekufa,kwan atakaye muoa huyo mwanamke azini nae...mathayo 5..... Mungu anajua lkn

    • @fyoosekkfyoose3231
      @fyoosekkfyoose3231 7 років тому +1

      octavian hellen amen

    • @keifatuke99
      @keifatuke99 7 років тому +1

      octavian hellen kama uateswa na mume utafanyaje?

    • @meronstudioz
      @meronstudioz 7 років тому +2

      +Keifa Tuke ndoa nn basi,ndoa n makubaliano ya mume na mke ina maana mnapokubaliana kuoana kwamba mnafahamiana vzr, kwa wakristo wanajua ndoa n kifungo cha maisha ndo maana inahitajka busara sana ktk hil maana ukipotea kuoa au kuolewa ndo maisha yk yt... Kuna msemo wanasema kosea vyote ila sio mke au mume

    • @keifatuke99
      @keifatuke99 7 років тому

      octavian hellen kumbuka mwanadam undani wake hautoujua mpaka uishi naye

    • @meronstudioz
      @meronstudioz 7 років тому

      +Keifa Tuke n kweli lkn...kabla yakuoa au kuolewa kuna taratibu zakufuata .... Ni lazma umjue mtu vzr japo huwez kujua yt but kwa machache unaweza ukapata mwanga wakujua n mtu wa aina gan... Kabla ya stage ya uchumba n lazima uanze urafik na katka urafik nadhan hapo ndo pakujuana vzr kulko katka uchumba sababu mnapokuwa marafk sio rahis kufchana siri zenu tofaut na uchumba...km kwel ukiptia stage zote huwez kuona tofaut ya mtu mkiwa katk ndoa

  • @annen3923
    @annen3923 7 років тому

    Mungu aibariki ndoa Yako da Frora. wimbo huo was hapana usiku umeniguza Sana. Asante Sana

  • @evelynematheo3574
    @evelynematheo3574 7 років тому +19

    sawa unafanya utakavyo ili kuilinda amani ya nafsi yako na je kuhusu kuulinda uhusiano wako na Mungu Mungu akusamehe kwakulivunja agano La ndoa yako

  • @naomieliasi6096
    @naomieliasi6096 7 років тому

    hongera my mungu akubariki udumu ktk ndoa yako nakupenda sana,wew ni mwanamke wa mfano wa kuigwa safi sana

  • @ريهامالسريري-ل1ص
    @ريهامالسريري-ل1ص 7 років тому +15

    Wakuache bidada fanya vile ambavyo ww wapenda achan na maneno ya binadamu kwn hawakos ya kusema ni ww uliyeamua kutoka kweny ya kwanz na kuingia kwngne hatuwez jua kwan sir ua mtung aijuae kata mm kam mm nakupa hongera sana kwa kufunga ndoa penda sana madam flora

  • @doopaq804
    @doopaq804 5 років тому

    Wanadamu tuangalie jinsi ya kuishi na kutenda malengo ya mwenyezi mungu sio eti watu wanafurahia , hakika dada ameamua ila kwa mwenyezi mungu haimo tabia hili kabisa tusidanganyane ,kuachana ipo ila bibilia ina sema ingelikua sawa mukirudiana ,Mbasha angali hai kwa hivyo angegoja kwanza ,yakin ni uamuzi wake na mwenye maamuzi wa mwisho ni mola sina mengi ila kwangu ni malimwengu tu

  • @abbasmjatta3102
    @abbasmjatta3102 7 років тому +51

    Hiyo ni ndoa fake, ukristo hauna ndoa mara mbili mpaka mmoja wenu afe. Yesu alisema "amini nawambia mtu hatamwacha mkewe isipokua kwa habari ya uasherati, naye atakayemwoa yule aliyeachwa azini"

    • @jamesmaro4293
      @jamesmaro4293 7 років тому

      mmh

    • @annahpadry1514
      @annahpadry1514 7 років тому

      Sangole Machungi
      amina

    • @janethadam5391
      @janethadam5391 6 років тому +1

      Amekataa kuzini ndio maana kaamua kuolewa mm nampongezatu dd huyo kwa uamuz,

    • @angelinemutindi5488
      @angelinemutindi5488 5 років тому +1

      Yes

    • @richardboaz-mashagospel2346
      @richardboaz-mashagospel2346 3 роки тому +1

      Wewe umejuaje kama hapakua na uzinzi? Na kama hivyo ukimchoka mkeo unazini ili upate kibari cha kumwacha...naongea haya maana najua ndoa za kikristo zimekosa reflection ya hayo unayoyasema.....ni shida na mateso matupu. Naomba niwaambie ukweli kabla na baada ya ndoa kinachokosekana ni knowledge.....understanding juu ya habari ya ndoa. Sasa mkiingia kwenye ndoa mnaanza kuishi maisha imaginary ambayo ndio chanzo cha matatizo.......jifunzeni kwanza kabla ya ndoa.

  • @rechaelelisha6630
    @rechaelelisha6630 6 років тому +1

    Ww cyo mjinga mpk ukamuacha,hongera mwaya wanaume wazinzi tupa kule

  • @mamaerick7050
    @mamaerick7050 7 років тому +8

    Hongera mengine tusijurge mungu ndie ajuae nasi binaadamu

    • @violethwilson1871
      @violethwilson1871 7 років тому +7

      Frolah mungu anakuona

    • @juliethgordon3460
      @juliethgordon3460 7 років тому +1

      Mama Erick ila dunia simama mm nishuke,ckuwez dunia

    • @upendijuma8683
      @upendijuma8683 6 років тому

      mhhhhhhhhh hujafa haujaumbika ebuuuu tumwachieniii mungu ndo mtoa hukumu peke yake sio binadamu

    • @reyirichard8699
      @reyirichard8699 6 років тому

      Mama mshezi we we

  • @hamisimaira8144
    @hamisimaira8144 2 роки тому

    Hongera saaana madame I wish u a happy life

  • @jenikaijage7954
    @jenikaijage7954 7 років тому +3

    Ongera sana frola furahaa ya moyo ndio mambo yote.Kila jambo na wakati wake.Maisha yako yakiwa na rahaa au mateso siku zote yatabaki kuwa ya kwako.mungu akupiganie.

  • @lilianngamba2884
    @lilianngamba2884 6 років тому

    Mungu ndie mtoa hukumu sio ss wanadamu jaman Mungu awatangulie ktk maisha yenu

  • @faithngasoma6733
    @faithngasoma6733 7 років тому +11

    Mm binafsi nakupa hongeraa saanaa wala usimsikilize mtu yeyote Kula honey moon yako kwa raha zako mdogo wangu we we songa mbeleee achana na kelele za madebe kwani hiyo anayekupigia domo siku ungemwomba akuazime mume wake kwa siku moja je angekuwa tayariii au angeona unamtukana Sasa kwa nini uendelee kuishi bila mume ikiwa ndoa imeharibika na hatujuwi yaliyokukuta walitaka ufe kwa streets achana nao mungu Ndio mwenye mamlaka ya kukuhukumuuuu

    • @veronicahshayo315
      @veronicahshayo315 5 років тому

      Faith Ngasoma Mi sisemi kitu maana sijui ulichokua unakipitia kweanye ndoa ya kwanza huenda ilikua madoa au ndoano

  • @agripinafungo2532
    @agripinafungo2532 7 років тому

    frola mbasha acha kumuabisha mungu,, mungu so wa sport sport kama hivyo, na wewe mchungaji , uliyefungisha hii harusi mungu anakuona ujinga wako wote ulioufanya,,

  • @mrshilken9654
    @mrshilken9654 7 років тому +7

    Hongera Flora kwa kukipata cheti chako kipya, chana na awa wengine wenye vyeti Feki Magufuli ameshawachanganya🌚

    • @fatmalusimba523
      @fatmalusimba523 5 років тому

      Huyo mchungaji anayefungisha ndoa ya pili alipaswa abadili dini awe muislam tu

  • @eldajoel3654
    @eldajoel3654 7 років тому

    Guys no one is perfect under the sun!! ila yampasa kuomba toba kwa Mungu maana atawasamehe wasiojua walitendalo ila c wale waijuayo kweli na wakapuuza!! nimesikitika na kuumia.....

  • @nelibaba
    @nelibaba 7 років тому +8

    Watu waweza kumponda Madam Flora lakini Jamhuri(Nchi) itamlinda na Mungu atamlinda vilevile.Nadhani madam Flora sio wa kwanza na hata kuwa wa mwisho kufanya kitendo hiki...Kuna vitu vinafanyika nyuma ya pazia hatuwezi kuona kwa macho ya nyama tunabaki kulalamika na kulaumu..Ikiwa changamoto za ndoa ya Flora "ya kwanza" zilijulikana publically tangu mwanzo ni nani aliyepiga mbio ya imani kwa kuiombea ndoa yake isivunjike? Kuna jambo la kujifunza hapa!!!!! UPENDO!!!!!!

    • @amosichacha5675
      @amosichacha5675 6 років тому +2

      Nelson Kato Haujuwi unachokiongea ww! Jamuhuri haina mbingu ya kumpeleka siku atakapokufa.

    • @kelvinnyonyoma6398
      @kelvinnyonyoma6398 4 роки тому +1

      Nelson Kato tuna angalia maandiko yesu alisema nini nayeye nimkristo anajua vizuri xna kwanini aingie kwenye uzinifu? Duu aibu

    • @nelibaba
      @nelibaba 4 роки тому

      hayo yalikuwa maoni yangu ya awali,Mungu anisamehe pale nilipokosea kimawazo..

  • @davidachimpota773
    @davidachimpota773 7 років тому +7

    Hongera sana.....Mwenyezi Mungu awe pamoja nanyi

  • @leonardchoma1141
    @leonardchoma1141 7 років тому +1

    Flora, Mungu hadhihakiwi kiasi hicho.Umechagua njia isiyo sahihi.Bado Emma mumeo hajafa na Mungu anamtambua yeye kama mume wako.

  • @emanuellyamuya6635
    @emanuellyamuya6635 7 років тому +3

    duuuu!!!! usizungumze maana hata matendo yanazungumza!!!! kula maisha mama!!!

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 7 років тому +2

    flora anajua kuchagua alaf warefu weupe mamaeeh 😘 daaah HONGERA SANA

  • @salomejuma352
    @salomejuma352 7 років тому +3

    kuzaa inje ya ndoa si kupenda kwa mtu msiukum kbl mungu ajaukum ni kweli niani aoni kundule wacha mungu atamuukum

  • @delphinacharles1304
    @delphinacharles1304 7 років тому +10

    Lakini hata kama anasema hasikilizi maneno ya watu, ni dini gan ya kikristo inayoruhusu mtu kufunga ndoa kabla mwenzake hajafanya, Mungu anisamehe kwa kuhukumu ila duh!!!!

    • @safiniasinyangwe2977
      @safiniasinyangwe2977 3 роки тому

      Bola iyo kuliko kuzini sa amsubir nani nandoa ilivunjika sisi wakristo tunasema amina kwa kila jambo

  • @simatokakiha8894
    @simatokakiha8894 7 років тому

    Ni ngumu but ndio imeshakuwa hvyo..pole Mbasha.biblia inasema ndoa inavunjika Kwa habari ya uasherati.Mbacha alifanya uasherati..na Flora alifanya uasherati..hata km wangeendealea..Mungu haoni ndoa yao.anaona uasherati.Mungu awasamehe wote na kuwapa haja za mioyo yao.Ndugu mawazo ya Mungu sii ya mwanadamu.

  • @fredrickswai2566
    @fredrickswai2566 7 років тому +18

    Bwana Kusekwa amenunua matatizo... Mungu atupe uzima tuone kwa nini biblia ilisema mpaka kifo.... Time will tell

    • @elizabethtarmo7176
      @elizabethtarmo7176 6 років тому +1

      fredrick swai using'anie mstari mmoja soma vifungo vilivyotangulia na vilivyofuata

  • @geremanicolibori6230
    @geremanicolibori6230 7 років тому

    Kwa mara ya kwanza ninashuhudia waliostahili kuliinua jina la bwana leo wamelitia aibu kanisa.Ninamshangaa sana huyu mpendwa anayejifanya kuwa mwimbaji wa injili akienda kinyume na kiapo alichoapa mbele ya Mungu na kanisa lakini zaidi ninamshangaa huyo mchungaji ambaye kalitia aibu kanisa kwa kufungisha ndoa mke wa mtu. Mungu anawaona

  • @furahafrancis6915
    @furahafrancis6915 7 років тому +3

    Nimesikia eti bora kuolewa kuliko kuzini inje mwenye hila ana hila tu alishindwa kusameh na badae akazaa inje hata huko alipo enda sioni kizuizi cha kuchepuka kikubwa tumuombee mungu ampe msimamo wa ndoa

    • @habarizauhakika9376
      @habarizauhakika9376 7 років тому +1

      sasa anaolewaje na mume wake hajafa jaman .bora hata waisilam basi walioruhusu.mnatuogopesha jaman kha

  • @salamamohamed9519
    @salamamohamed9519 7 років тому +1

    Mungu awape maisha ya Aman na frah hakuna mkamilifu ktk dunia!!!
    Hatuwezi jua walicho gombania
    kikubwa arudi kwa mungu

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 7 років тому +10

    unajua nini siku Daudi akigombana na flora atasikia hivi usiniletee ujinga nitakuacha kama nilivyo mbasha nanikikuacha tu naolewa tena ,tena najutia kuolewa na wewe pimbi,na huyu naye flora akimzingua utasikia Mimi siyo mbasha nakuchafua sura alafu namwoa mwingine tena nimejua kwanin mmeshindwana na mbasha kwa hyo kukubali kuolewa Mara ya pili ni kuriziki maisha.

  • @nikitumarthinne8909
    @nikitumarthinne8909 7 років тому

    Nimetetemeka jamani Sijawahi kuona ila niliwahi kusikia! Ndowa iliofungwa kikristo ikirudiliwa na wahusika mmoja wao akiwa bado yupo!OOh kipenzi changu Flora.Mimi nimesikitika wala sija furahi.Wachungaji Mnatupeleka wapi jamani?au mimi ni mdogo katka maandiko? Anyway kila la heri.Mbalikiwe.kwani Mungu ndiye anayejuwa zaidi kuhusu ukweli wa maisha yetu.

  • @sondanzingulasondasam4029
    @sondanzingulasondasam4029 7 років тому +7

    Huyu Dada anaroho ngumu noma sana

  • @claraemmanuel4169
    @claraemmanuel4169 7 років тому

    Mh! Ukakusany maviti meng ukijua wakristo watakusapoti na kuja,,,,,,mung hadhihakiw dada pole sana..... 🙏 nikuombe tu ndio ukatulie

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 7 років тому +77

    Yote tisa, lakini hakuna kitu kinaniudhi kama kuona hizi shela zikivaliwa na wazee wenye watoto. Wachieni bikira hizo tuache kumdhihaki Mungu. Mungu hadhihakiwi.

    • @sambatenzi5243
      @sambatenzi5243 7 років тому +5

      Damaris Zuckschwert kwani shera/shela ni utaratibu wa ki Mungu?!

    • @leahsikuzani4923
      @leahsikuzani4923 7 років тому +1

      MUNGU atawauliza kakaangu.

    • @heriethbangi6114
      @heriethbangi6114 7 років тому +1

      Damaris Zuckschwert kweliii kabisaaa asee

    • @heriethbangi6114
      @heriethbangi6114 7 років тому +3

      Sam Batenzi shelaaa ni kwa watakatifuuu Wale ambao hawajawai kutana bro

    • @sambatenzi5243
      @sambatenzi5243 7 років тому +6

      Herieth Bangi kwa uelewa wangu shela zimeanza kutumika mwaka 1840 baasa ya Queen Victoria wa Uingereza kuvaa shela kwa mara ya kwanza kwenye ndoa akiwa ana funga ndoa na Albert of Saxe-Coburg, ndipo sehemu kubwa ya ulimwengu wakaanza ma bibi harusi wakaanza tumia gauni jeupe, kuvaa shela sio taratibu Mungu aliweka ila ni mwanadamu tu, na si kwamba ndoa hazikuwepo zilikuwepo hata kabla ya mwaka 1840...

  • @misscon7592
    @misscon7592 7 років тому

    hufai kabisaaa wewe dada, nlikupenda kama mtumishi wa mungu kumbe muhun, kwa sasa utaachwaa ww mchanaa kweupee

  • @queenq2705
    @queenq2705 5 років тому +6

    Nenepa dada ,pale penye pumziko la moyo wako enjoy usiskilize maneno ya watu ,hakuna mkamilifu

  • @nellysingano3029
    @nellysingano3029 7 років тому

    Dada imetia aibu wanawake woote wameumwa kuvumilia na kuziatamia familia zao ila shost we hujui unajua kubadili kama nguo..sawa basi kama unaona uvumilivu wa ndoa huuwez usiolewe we kua chama la wana tujue Moja kuliko kujidai unamjua Mungu ilhali yoote ulioyafanya hayapo ktk Biblia takatifu..Umekuja na maandiko yako,,muombe Mungu toba na Mbasha maana!wat goes around camz around...Umechefua

  • @rosemarysebastian6846
    @rosemarysebastian6846 7 років тому +13

    jaman nipo naangaika natafuta wapi maandiko yanasema wakristo kufunga ndoa mara mbili tena ya kikristo. kweli mnaipeleka wapi injili? yaani huyo mchngaji cjui kwakweli?

    • @frankkibago9610
      @frankkibago9610 5 років тому

      Mmmh nishidaaa

    • @kagemulontasi204
      @kagemulontasi204 5 років тому

      Hahaha mchungaji kama kakodiwa tu, maana anachoongea, anachouliza, hata havifanani. Hahaha yaani nimecheka mimi japo inasikitisha

  • @princessesther4824
    @princessesther4824 5 років тому

    Wow i like so much Nice my God will be hith you thanks god

  • @fellylove536
    @fellylove536 7 років тому +23

    hongera sana binadamu hawakosi cha kusema usiwasikilize mungu ndo anaejua

    • @joyceabdallah465
      @joyceabdallah465 7 років тому

      Felly love Kweli kabisa watu wanaomsema vibaya hata bible hawajaisoma wanaropoka tu.ukisikiliza wanadamu utachelewesha muujiza wako

    • @fellylove536
      @fellylove536 7 років тому +4

      Joyce Abdallah kweli kbs awaache wazungumze tu watachoka tu

    • @babarebecca304
      @babarebecca304 7 років тому +7

      Tatizo alizaaa aje Njeeeee before ya NDOAAAAAA

    • @mebolinsnjowoka8628
      @mebolinsnjowoka8628 7 років тому +5

      ila Frola watoto wako unawafundisha nn duuuu

    • @johnmhoja6878
      @johnmhoja6878 7 років тому +1

      hahahahahaaaa kila MTU ataubeba mzigo wake mwenyewe mbasha abebewa na Saudi pole

  • @deborahelias943
    @deborahelias943 7 років тому

    Eee M/Mungu tuongoze ktk njia sahihi ili tuweze kufany yakupendezayo ww '' Amen

  • @priscapius7500
    @priscapius7500 7 років тому +8

    ukweli tusimuhukumu flora huwez jua nn kimemfanya akatengana na mbasha ndoa ina siri kubwa

  • @ndayisengasergdine8812
    @ndayisengasergdine8812 6 років тому

    munapendeza sana kbs Mwenyezimungu awabariki

  • @franklawrence9512
    @franklawrence9512 7 років тому +3

    ifike mahara nadhani tujaribu kusahau yaliopita, my frndz u can't change ze past, hongereni maharusi

  • @khadijamalifedha6008
    @khadijamalifedha6008 7 років тому +5

    unajua nimeangalia hii harusi zaidi ya mara 3 nimegundua kuwa huyu dada kuachana na mbasha sio ujinga kwani hakuna mtu anapalilia magugu shamba na kulima kupanda mbegu akatia mbolea na kuhudumia vzr shamba lake eti wakati wa mavuno aseme ataki kuvuna inakuja kweli mm nakuombea maisha mema tu makazi mapya

  • @webpeter3460
    @webpeter3460 7 років тому

    Haa! Yayayayaa kazi ya Mungu imengiliwa

  • @elisantewawa3047
    @elisantewawa3047 7 років тому +23

    olee wake Mchungaji aliefunga hii ndoa mkono WA mungu ukojuu take ole wako

    • @emilymwabwalwa6052
      @emilymwabwalwa6052 7 років тому +7

      eee halo sijui MSUKUMA wapi umetufezehesha sana wasukuma kwa jina yesu usiludie tena nyimbo za dini imba talaab maana wewe changu

    • @emilymwabwalwa6052
      @emilymwabwalwa6052 7 років тому +4

      muongo ktk waongo wizi mtupu

    • @carolineakut6752
      @carolineakut6752 7 років тому +2

      wewe ni nani muwaache

    • @merrydaudi2977
      @merrydaudi2977 7 років тому

      aibu sana, mungu akusamehe ujui ulitendalo, pole sana

    • @emilymwabwalwa6052
      @emilymwabwalwa6052 7 років тому

      Mwachieni mungu anamajibu yake

  • @preciousmoshi3392
    @preciousmoshi3392 7 років тому

    congratulation Frola... hatujui kwann kafikia maamuzi hayo....
    nakutakia furaha

  • @tonnyford8196
    @tonnyford8196 7 років тому +6

    huyu dada asilaumiwe cc hatuwez jua mambo ya ndan huenda jamaaa alikua @/&$@ sasa dada ameshinda.mwili wenyewe huu wa nyama huenda alichoka peke yake asingeweza.

  • @zuhuraakida5932
    @zuhuraakida5932 7 років тому +1

    that's true always do things that's makes you happy and gives you happiness and peace in your heart❤👍

  • @shyneplatnumz2583
    @shyneplatnumz2583 7 років тому +47

    Huyo pia utamtenda tu ww malaya mkubwa ulizaa nje ya ndoa acha kuzuga

    • @abellabv
      @abellabv 7 років тому +6

      Shyne Platnumz. Hatujui, ila yawezekana atakuwa kafanya toba kwa aliowakosea. Tusimhukumu haraka, tuombe Baraka za Mungu.

    • @judyedith6181
      @judyedith6181 7 років тому +2

      acha uongo ulimuona alivyozaa nje ya ndoa ..au una DNA test ya huyo mtoto msiwe mdantia treni kwa mbele ..

    • @desynerzemimi4652
      @desynerzemimi4652 7 років тому +7

      Judy Edith sikia alipoingia kwa ndoa alikuwa na mtoto na alipofunga ndoa akawa na mtoto.....pia why alivyopata ujauzito mumewe alikuwaaa jera

    • @edsonsign9441
      @edsonsign9441 7 років тому +11

      +Judy Edith judi acha kutetea uovu angekuwa amemtenda ni kaka yako ungejisikiaje?

    • @nenetwajmamaa2244
      @nenetwajmamaa2244 7 років тому +2

      Edson Sign

  • @alphoncenestorybishirangon1836
    @alphoncenestorybishirangon1836 7 років тому

    Hii kali kabisa. Kwa Wakristo hii ni mpya.

  • @bmamysaid3317
    @bmamysaid3317 7 років тому +4

    Banaeee muachen florah wa watuu oiii muachen fanyen mambo ya maaana ukwel wa florah anauujua mwenyewe baaaaana eeeeh

  • @atujunarubunga911
    @atujunarubunga911 7 років тому

    naukumbuka wimbo wako wa jipe moyo, hv ulikuwa unaimba kutoka moyoni au? au kuachana na mbasha ndo umeyashinda hivo majaribu? pole Sana Daudi.

  • @mariamhadija7236
    @mariamhadija7236 7 років тому +57

    bora kijana umepata Mam wakukulea😂😂😂😂😂

    • @kelvinwainaina3744
      @kelvinwainaina3744 7 років тому +1

      Mariam Hadija 😂😂😂😂😂

    • @zuusaidibushiri5556
      @zuusaidibushiri5556 7 років тому +4

      Mariam Hadija hahahaaaa umenichekesha

    • @zainabbukari1910
      @zainabbukari1910 7 років тому +10

      Mariam Hadija 😀😀😀sindio zao vijana sikuizi wanataka kukelewa bibi akiwa na vijipesa tu basi akosi serengeti boys

    • @kibasiwakibasi5070
      @kibasiwakibasi5070 7 років тому +3

      Mariam Hadija eee mama nimeamini ulichosema.

    • @marysekuye3821
      @marysekuye3821 6 років тому

      Mariam Hadija 😂😂😂😂😂😂

  • @magmag4648
    @magmag4648 7 років тому +1

    God bless your married flora we love u so much sometimes th wake matusi face your life and leave somebody's life (amen)

  • @berthampenba4696
    @berthampenba4696 7 років тому +5

    Nyie mnasema tu mpaka mtu anaamua kuiacha ndoa yake na kwenda kuolewa kwingine ujue kuna shida. Msiukumu jamani mambo ya ndani ya ndoa anayajua mke mpaka kasema basi ujue kachoka. Mwache aangalie furaha ya moyo wake.

    • @estergodwin9889
      @estergodwin9889 6 років тому

      mwanamke mjinga hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe kwahiyo Dada yetu amevuna alichokipanda

    • @gracerosi6179
      @gracerosi6179 6 років тому

      bertha mpenba kwel kabisa

    • @lizziechris619
      @lizziechris619 6 років тому

      Duu kweli kabisa jamani, watu wasiingilie mambo ya ndani ya ndoa

    • @victorkajiu1578
      @victorkajiu1578 5 років тому

      Kuna ndoa isiyo na shida?

  • @lilylilian8729
    @lilylilian8729 7 років тому

    yaan anatoka Kwa Mme sekunde mbili anafunga ndoa na mwingine Mimi hapa sina hata mpenzi miaka mingi lol!
    Mungu wangu unapozuru wengine usinipite sasa!Amina

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 7 років тому +12

    hongera sanaa flora hakuna ajuayee maumivu yako wanaudhi sanaa hawa viumbe hata umbebe mgongoni atanyoosha kidole kama kabebwa maumivu ya mapenzi nayajua hongera ndoa yenu idumu daima
    kukosea ndio kujifunza

    • @patriciamassawe6496
      @patriciamassawe6496 7 років тому +2

      Zaudat Makula kweli kabisa ss hatujui kilicho nyuma ya pazia

    • @justinewangaelurio4732
      @justinewangaelurio4732 7 років тому

      hakuna anayejua huyu dada kapitia mangapi.mi nampongeza kwa maamuz

    • @zaudatmakula3454
      @zaudatmakula3454 7 років тому

      patricia Massawe hapo kweli japo sisi tunapenda kuhukum kwa kuskia na si kuona

    • @patriciamassawe6496
      @patriciamassawe6496 7 років тому +1

      Siku zote unaambiwa sifa ya mwanamke kifua yani kutunza siri

    • @zaudatmakula3454
      @zaudatmakula3454 7 років тому +1

      Justine Wangael Urio kabisaaa ndugu yangu nampongeza sanaa maana juu ya yote kaolewa tena wengine hata ndoa ya siku moja hatujaigusa

  • @lovenessmwakipasile8888
    @lovenessmwakipasile8888 7 років тому +2

    daah.... but ungevumilia kwä ndoa yako ya kwanza no One perfect

  • @fetilishazomar4799
    @fetilishazomar4799 7 років тому +38

    Nimejikuta nacheka Ila sijui kwa Nini?😜

  • @sophiandumbaro7741
    @sophiandumbaro7741 7 років тому

    mungu anakuona flora,ndoa ni moja tu kwetu ss wakristo, hii ya pili umeitoa wapi?na huyo pastor ni feki wa kwanza,hata kanisa lake siwez ingia,nisije nikatoka na mapepo.

  • @mohammedalfahdi5404
    @mohammedalfahdi5404 7 років тому +9

    daudi kafanana na mbasha ndio mana flora kamchagua

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 7 років тому +1

    kma umevutiwa na SUTIRAPA Ya PASTOR gonga like 😂😂😂😂

  • @abdulsarungi2962
    @abdulsarungi2962 7 років тому +3

    Flora ujui maandiko kama ungejua maandiko ungefunga ndoa tena ndoa ni maramoja tu alafu hata pastor aliyekufungisha ndoa huyo pia ajui maandiko na kama anafanya hivyo amefanya kwa mjibu wa sheria ya nchi siosheria ya MUNGU

  • @happynesssamson4298
    @happynesssamson4298 7 років тому

    Big congratulations to you flora ...may God bring happiness en joy in ur life ,don't listen to what people say but focus in your life coz de only person who can judge you is the Almighty God also he understands you well than anyone .wish you happy beginning of your new marriage😘😘

    • @sarahalusa344
      @sarahalusa344 3 роки тому +1

      God bless you Flota

    • @bushokebulindwi9403
      @bushokebulindwi9403 2 роки тому

      Punguza mbwembwe mungu sio binamu yako ungekua unamchua mungu usinge mudhalilisha unakumbuka alibamu zako acha kuchafua sm zawatu

  • @khamissalim3934
    @khamissalim3934 7 років тому +12

    am a muslim bur wat she did....only God can judge n not wanadamu so hakuna mkamilifu isipokua yy Muumba wa mbingu na ardhi

    • @victorkajiu1578
      @victorkajiu1578 5 років тому +1

      Sasa if you are a Muslim how can you talk of a Christian's faith? Let the bible judge her! No such kind of marriages in Christ!!!

    • @neemamkumbukwa6293
      @neemamkumbukwa6293 5 років тому

      Kabisa

  • @shemv_fnk
    @shemv_fnk 6 років тому +2

    unasema vizuri sana dada vidamu niwatu wahajabu sana

  • @shuwehaharunaomariikwena233
    @shuwehaharunaomariikwena233 7 років тому +3

    upendo popote hongera Flora daud

  • @tumainikyomo7084
    @tumainikyomo7084 7 років тому

    Mungu atusaidie Watumishi wa Kipentecost tutajibu siku ya Mwisho

  • @merychandeka7275
    @merychandeka7275 7 років тому +3

    Umependeza kweli wenye wivu acha wachonge wewe songa mbele wengi wao yao yamewashinda wamekalia kuchukulia ya watu

    • @deoally8417
      @deoally8417 5 років тому

      Hakuna wivu nisawa naoshoga

  • @dorcaswayoga7001
    @dorcaswayoga7001 6 років тому

    Please Release hapana usiku ñausubia balaaa mpaka naumwa

  • @jallygabriel5715
    @jallygabriel5715 7 років тому +9

    imenikumbusha ile filamu ya kanumba inaitwa PENINA

    • @ansyfalesy1457
      @ansyfalesy1457 5 років тому

      😀😀😀😀😀

    • @marthamaganga357
      @marthamaganga357 5 років тому

      jally gabriel

    • @rosejustine1400
      @rosejustine1400 5 років тому

      Hongera dadaangu humu kwenye hizo ndoa wanazo sema watu tumo tu hadi mioyo imepanuka hakuna amani wala upendo ni magonjwa tu hongera dadaaaaa

  • @GraceOtieno-vo3sj
    @GraceOtieno-vo3sj 9 місяців тому

    Wonders shall never end ohh

  • @mzeewangwasuma2612
    @mzeewangwasuma2612 7 років тому +8

    amekumbuka kweli kuvua ile pete ya mbasha?maajabu

    • @mariambb4683
      @mariambb4683 7 років тому +1

      mzeewa ngwasuma haahahaha 😃😀😃😀😃😁

  • @elizabethharson8480
    @elizabethharson8480 6 років тому

    Ni sawa unafanya kulinda amani ya moyo wako je kuhusu amani ya mungu wako na mungu akusameh kwa kuvunja agano la ndoa yako

  • @sophiandumbaro7741
    @sophiandumbaro7741 7 років тому +6

    flora usikubali kiapo cha uongo,mbona kwa mbasha uliapa na leo umemwacha?hukumu ipo.

  • @nataemsuya
    @nataemsuya 7 років тому +1

    Hongera sn Flora 👆🏼, na mungu anakujalia wanaume handsome. Akujalie pia wawe na mapenzi ya dhati. Maana wanaume wengi Ni pretenders hasa ukiwa na dolali watakukiimbiza km nyuki.

    • @charlesemily205
      @charlesemily205 7 років тому +1

      huyu mama nimuuwaji kabisa huyukijana ni mtoto kabisa atamhalibu na ujanawake

    • @jackliineurio8099
      @jackliineurio8099 7 років тому +1

      +said machaka jwani kalazimishwa

  • @samuelmulumba1892
    @samuelmulumba1892 7 років тому +3

    Flora kaoa, au kaolewa?

  • @CallynneJacobs
    @CallynneJacobs 7 років тому +1

    Nobody is perfect. Usi hukumu usije kuhukumiwa! Only God can judge. ☝🏽

  • @mamarama6360
    @mamarama6360 7 років тому +3

    neno la mungu unalijua ndio lilikufanya uzae nje yandoa na kumkataa mumeo mnafik ww

  • @nadiahussein6793
    @nadiahussein6793 7 років тому

    Katika dini yetu ya kiislam hicho ni kitu cha kawaida ongera madame frola ila pole sana mbasha mungu atakupa mke mwema na usiuzunike sana uwezi jua mungu kakuepushia nn mbele yako.

    • @abellabv
      @abellabv 7 років тому +1

      Nadia Hussein. Kwa sisi Wakristo, Ndoa unatakiwa ubaki na mumeo hadi kifo kitakapo watenganisha. Hii ni kwa sababu Ndoa si Mkataba kati ya Mume na Mke. Mkataba unaweza ukaubadilisha au kuuvunja. Ndoa Takatifu ya Kikristo ni Agano kati ya Mume na Mke. Agano halibadilishwi wala kuvunjwa na mwanadamu - hakuna mwanadamu awaye yote mwenye mamlaka ya kuvunja Agano la Ndoa Takatifu iliyofungwa kihalali na kwa baraka zote mbele ya Mungu na mbele ya Kanisa/Wakristo. Kwa maana anayewaunganisha Mume na Mke kwenye Agano la Ndoa Takatifu siyo Afisa wa Serikali wala Mchungaji au Askofu Mkuu, bali ni Mungu mwenyewe. Alichokiunganisha Mungu, mwanadamu hana mamlaka ya kukitenganisha. Ni Mwanandoa aliyefiwa na mwenzi wake tu ndiye anaruhusiwa kufunga ndoa tena kama atataka.

  • @florencekashaija7539
    @florencekashaija7539 5 років тому +4

    Pete zijaze vidole vyote .... Amani ijaye kapu

  • @modestussanga3381
    @modestussanga3381 7 років тому

    lakn haya c maajab haya!!
    lmani yangu kaka mbasha we unabusara kubwa sana huenda kuna moto umekwepeshwa nao na pengne baada ya ktambo kdg hutojutia na furaha itarejea tena

  • @salomejuma352
    @salomejuma352 7 років тому +4

    lkn Yule daud si alimuona tu ni mkubwa na akamkubali anajua kilicho ndani mwa Yule dada