Uwekaji wa Mbolea katika shamba la Mahindi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 12

  • @pasteurmardocheemwale2023
    @pasteurmardocheemwale2023 10 місяців тому

    Asate Niko Congo RDC 🇨🇩❤

  • @lotannaenemchukwu1069
    @lotannaenemchukwu1069 Рік тому +1

    Can u subtitle in English?

  • @samsonkatigiri2344
    @samsonkatigiri2344 Рік тому

    huyu ofsa anaijua kazi yake vizuri,maneno mafupi yanayoeleweka

  • @MrSharckSabinii
    @MrSharckSabinii 10 місяців тому

    🤔🤔

  • @protacekinyunyu7985
    @protacekinyunyu7985 Рік тому

    Asante kwa elimu

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 Рік тому

    maelezo mazuri

  • @Robert-ev5hp
    @Robert-ev5hp Рік тому

    Darasa mujarabu

  • @mwijage348
    @mwijage348 Рік тому

    nenda ukafundishe chuo chochote maana unauwezo mkubwa wa kuelezea mtu

  • @abras3479
    @abras3479 Рік тому +1

    Swali ni je Mkulima atapinda mgongo mara ngapi kuweka hiyo mbolea? Kifuniko kimoja mara idadi ya mimea ni UTUMWA. tafadhali rudi darasani uje na njia mbadala. Hivi mkulima mwenye heka 10 si atatoka KIBYONGO?????

    • @MwajumaHassan-d5l
      @MwajumaHassan-d5l Рік тому

      Hili swali natamani alione

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 9 місяців тому +2

      Sasa ww ni mkulima kweli au maana swali lako Hali muhusu Wala Hali husiani naye hata kidogo Ila kwakifupi ni kwamba mashine zakuweka mbolea zipo na pia hata watu wapo Kama we una mkono mgumu hutaki kuajiri watu ndiyo utapinda mgongo mzeee

    • @abras3479
      @abras3479 9 місяців тому

      Siyo suala la 'mkono mgumu'@@deogratiusyudatadei5658 mahindi kilo 1 ni shs 900 or less sasa utaajiri watu wangapi? unajua heka 1 inakupa kilo ngapi? Kilimo is business bro. Kama machine zipo basi atuelekeze tutumie hizo machine.