MwanaFA - Asanteni kwa Kuja (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 5 вер 2024
- #MwanaFA #AsanteniKwaKuja #SlideDigital
(c) Slide Digital
SMS [Skiza 8091925] to 811
MWANA FA SONGS ARE AVAILABLE WORLDWIDE ON ALL DIGITAL PLATFORMS
ffm.bio/ao7drgr
Follow Mwana FA on;
/ mwanafa
www.facebook.c...
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz
Kama una mkubali mwana f gonga like
Still a banger in 2k23 Mob love from the +254🇰🇪
Ukishamaliza kunyandua ngeus unamchezea hii song. "Thanks for coming" . Good stuff MwanaFA
hehehe Kelly
🤣🤣🤣🤣🤣
Hebu hit translate on the comment uone ukicheka...
😂😂
😂😂😂😂
Ambapo 2024 tupo kwa asanteni kwa kujq gongq like apo😢😂
Thanks for coming 🔥🔥.how many are here @2023
back again in 2022 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asanteni kwa kuja huku tena 2023🔥🔥🔥
Buuuda umeweza Nairobi Tunakubali!! hii inafaa sana collabo na Big Pin wa kenya....you wont regret it.
Itakuwa one the best ever❤❤
Moto kaa la moto
Mistari matunda afya
Chorus Ina Aura ya Flexing 100000000% Beat ina Worship 🔥🔥
Ahsanten kwa kuja kuisikiliza tena hii song 2024
Dep minister for culture Arts and sports Tz🇹🇿
I have played this song a million times since I heard it because I love Mwana F.A. I also love it because it was my theme song going to work as a flight attendant dreaming of the day I'd make it to the f/deck. I can't wait to play it in my car Dec next year going to work in my black and white uniform.
That is good to know
Siku Nyingine
Hela Nyingine
Sio Kicheche Mwingine
Gud Music
asanteni qwakuja dhex for coming
Wapi makofi ya mheshimiwa Mwana FA
Just liked and subscribed to Mwana FA, HOW COMES THIS TRACK HAINA HATA 1 MILLION VIEWS? We are here even in 2020!!
Haijalishi yeye kashapat show zakutosha nyimbo ni talk of the town views sio kipimo chochote kinachoashiria huu ni ngoma kali ❤️
Thanks for coming gotha🔥
mwimbaji wa nyimbo za video za utpu sasa ni naibu waziri..mmh..kazi iendelee
ubunifu na kipaji chake mwana fa ndio kinaniongoza kufuatilia nyimbo zako keep it up bro
Who's still here?? ❤️
Arabs Contractors Karibuni sana
Tatizo ni maadili tu.
In 2024 Coming back to this Banger 🔥🔥
Wewe still hit 2024 my favourite sons
vijana angalien dunia mapito
Asanteni kwa kuja🙏
Can watch this all day💥💯
Kwaya Master 2023 bado ina bang kwa maskio
Wabongo bhana tuna matatizo xana jamaa katoa kikali tunasema hamna maadli mazuri rmbr this is new generation # big up bro fa
Asilimia Mia Kwa Hamisi The Choir Master aka MwanaFA - Mziki Mnene Hii 100/100
Nairobi, KENYA
Asanteni kwa kuja,,,tanx for coming coming,,,, bonge moja la ngoma nakukubali sana mkali FA big up men,1 lov pa 1 nn.....,,,,sarute.
Video kali mwana Fa bado upo
mwana fa kila kitu kwako kiko poa toka nimeanza kusikiliza mziki wako, nadhan tunaojua mziki wewe ni msanii mmoja kati ya wale wawili bora kabisa katika watoa kauli mbiu kwa nyimbo zenu, kila title za nyimbo zako zinabaki kupendezesha mabango ya magari,
nakuamini sana kila mtu na mtu wake.
amimia choir master tuimbishe aiseee
Fan wako mkubwa tokea Mombasa @2021 September
Life yangu movie na mi ndio director
Hii video chafu sana haikufungiwa
Kali saana ❤❤❤❤❤
Mwana Falsafa🔥🔥🔥🔥
Mwana FA,nisiwe mnafik,huwa nayakubal sana mashair yenye kubeba ujumbe unayotoa na nilianza kukubal tangu primary nasoma Upanga primary,ukiwa east coast,ila leo video imeungana na zile zenye kuvunja maadili,kinachoimbwa na kinachonekana si simba si yanga,comments za kukusifia zitakuwepo na utazifurahia na moyo wako utapata tranquility,kwa kuwa ulifanya jitihada sana ki pesa n ki muda,BUT ushaur wa bure,kwako na wasanii wengne ,Ukiwa wewe ni Muislam na ukaamin kuna maisha baada ya dunia,je utakuwa tayar kukutana na Mungu wako ukiwa umeacha athar ya nyimbo za uchi dunian na vizaz viendelee kuangalia?hujachelewa Mungu huwapenda wanaotubia,I love you my brother!!
Word
hiyo kwel wanapotea kwel hawa
+john alex this is youtube kaka sio lundinga ya king'amuzi mpaka unafikia kuangalia video huku.ungeshauli iwe rate 16 or 18+
Jaman ndo industry inapoelekea maadili yemevunjwa wapi waswazi bwana
+john alex mia
Hii Ngoma nikali keep it darasa
Mwana Fa bado uko sawa
2019 Mupo wapi💥
Asante 2024
nice one.. watching in UK - England
Now this is what choir master does...saluty falsafa
lines za kufukuza watu bila wao kujua...party ikiisha unaplay this song
hehe yea the perfect send off song
eeh joh
Daisy Otieno
Watu Wa uchi na wanakobeana
ma adier haha lol
Nzuri binam ila maadili unayakeuka ......badilika ww ni muislam......
taarabu nying mwanafalsafa yu are not who we used to hear back in days
Come on people this video deserves more views..
Liked
Choir Master!!!
Madeni lazima yalipwe hata kama mdaiwa asipotaka.Much respect to Mwana FA.
Hiii ngoma bhan boya yyte akiniuz lazma nsikilize hii kitu #💪💪💪💪
Aaaaaaah mwana falsafa umesapot ndoa ya jinsia moja kaka hao wadada walishare pipi imezingua hapo tyu ila iko njema
*Kali sana...Big up yourself Mwana FA..Asante kwa hicho kibao, kipaji chako naikubali sana*
*Madeni lazima zilipwe*
Lyrical Don, El Gaddafi aka binamu, muite mwanafalsafa, nakukubali sana unavyoflow, Kuna mistari ulisema, "mi ndo chief leewalee mpiga deki bahari"
bad man ting
Bonge la video!!!!another hit kwenye african chart ya mtvbase🔓🔓🔓🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟
bado mshabiki mkubwa wa kazi ya Mungu, Ila kama nakuweza simngoji nakupa ukubwa wangu😄
feri inangoja hata beberu anipati
We no noumaa
Sijui aya maneno unatoga wapi wewe Mwana f a
uyo mzee wa madongo kexha mpiga mtu dongo apo mmmm cjui nani
Safiiiii
Mungu akitaka kukupa hakwadikii barua...maisha yangu movie....
chupa kali mzazi
kiukweli nakuku bali sana tu mwana
ngoma kal balaa haishoshi
Asanteni kwa kuja
Kali
nyimbo ipo juuu
Still watching May 2021
mimi si tii neno Hakuna zaidi kama wewe kwanza na kuku Bali sana haurudii maneno nikweli milele haufiki mwisho
broo najuwa kunawatu awakubali rakini kwamzigo huu watakoma
hatariiiiiiiii
Ilikua freshi tu ilikua shega tu.mungu akitaka kukupa wala hakuandikii barua noma hyo.2020 watching
Can't believe hii ngoma ilitoka 2016 😮it feels like yesterday
Another day another dalla
bado kaliii
Safi sana wakwetu kulekule tanga
john usichukulie maisha serious hivo mweeh....watu wapo kazini hapo acha kujipanikisha bila sbbu....chup za nje mwaangalia za ndani dhambi...kwan chupi si.chupi tu.....shikamoo FA
Efwa..... F to the A. noma sana... "merci becoup, njoo uongee na cousin yako..." mistari imewnda shule. mziki ume graduate full uspime yaani. Mwana F.A pewa Yoooooooooooo. Mkazuzu full.
Ni shidah
legendary him self, keeping the good music alive.
Wewe hukosei baba
Kali io kaka naikubali toka Kenya asante kwa kuja ...
endelea kujua hvyo hvyo mpaka mungu ayakapoichukua pumzi yake .
Nipo Tena hapa 2021
another day another $$
aaha mi mchaga mwengine
siku nyengine Hela nyengine
SIO KICHECHE MWENGINE
+jamal muye AF YOU KILLED HAPA!!!!
2019????? Hii ngoma kali bwana.
daah Africa wame cha ficka mbali sasa duuh nomaa
kwa mapigo ya muziki huyu jamaa jamani hajawahi let down sis mafans tangu jadi
Bonge la hit..
Umeniahibisha Sana Farsafa Nyimbo yako Amnaujumbe labda kukaa Uchi 2
P1 sana bro
Kubwa
Thanks for coming
Ogopa xana bnam
Mh mbunge tunaomba upitie hii video
mother am still the best...........................big love from kenya
Nimepnda apa.. Ata ukinielekzaa sio kitu inakua extra .. Asantenii kwa kujaa
Makin sn
thax mgosi kwakuiwakilisha vyema mtindiro,muheza,tanga na tanzania kwa ujumla