MwanaFA Featuring Maua Sama - Hata Sielewi (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 6 гру 2017
- #MwanaFA #HataSielewi #MauaSama #SlideDigital
(c) Slide Digital
SMS [Skiza 8091958] to 811
MWANA FA SONGS ARE AVAILABLE WORLDWIDE ON ALL DIGITAL PLATFORMS
ffm.bio/ao7drgr
Follow Mwana FA on;
/ mwanafa
search/top/?...
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz
This guy still the best 👌 👍 rapper in East Africa much love from Kenya 🇰🇪
F.A ni rapper ambae haja change since day one na bado anaonekana Mtu mpya . nani ameona🖐🖐🖑🖑..wasalimieni rappers wote waliogeuka waimbi😂..
Mzee kwa uandishi ni hatari since enzi hizo mpka leo watoto unawakalisha tu
"Dili za mabilioni na hata tai huzioni"
From Mi na mabinti to Sielewi
BINAMUUUU
Nitakopa au nitaazima wacha ninyoshe Dunia nzima😂😂😂😂😂
Binamu hujawahi niangusha sema maua mungu kamjalia kipaji
Ata sielewi kwann sichok kuitazama hii ngoma
Back at it 2024. One great from two of maestros. Mwana Falsafa and Maua Sama.❤👍
Kama mwana falsafa hajawahi kukuangusha hata siku moja kama ambavyo hajawahi kuniangusha mimi acha kubishana like hapa
L. Xa d.vs d.xzZ.x Szb
Mabq
Aba
.wz
Mwanafa and Maua Sama always brings the Best Collabo together I ❤you Guys wish you were couples
HATA SIELEWI NIKUPE SALUTE NGAPI..... BUT I THINK 900 ITAPENDEZA ZAIDI...💂💪
Msanii pekee tz anayejua anachokifanya ,.....
AY pia
Maua sama ni nyoko !!!🙏🙏🙏 maua una vocal za Jesus , @diamond hebu msaini huyu queen of bongo fleva, vee money tupa kule
Apo umesema kweli
Dah fa balaaa embu fuatilia maneno kwenye ii ngona dah i m deep in love #fa nyoosha baba ft xama
Mwana FA has a midas touch on swahili hiphop.The flow iko on point.
I do love a cool collabo kati ya CMB Prezzo,Mwana Fa, A.Y na King Kaka.
I think their flow will do justice.
From Nairobi,Kenya.
But kiburi would allow my fellow boys to ask for collabo from F.A they rank themselves big😂🇰🇪🙌
Hata sielewi,akili hazifanyi kama zmekufa ganzi. Daah bonge la ngoma lingine hil kwako@mwanafa unajua mpk kero kwa wenzio.
Nice song
hata sielewi natokea wapi najikuta nimepotea ngoma kali inatibu hadi tezi dume
Unatshaaaaaaaaaaaa
Am a big fan
Big up Binamu....Akili haifanyi Kama Imekufa Ganzi
Tumpe support binam afikishe 1M viewers kabla ya siku tatu
fa unatisha kwa uandish unamaliza kama unaanza
FA nakukubali sana legendary hata sielewi, Sama you have such a killer voice hata sielewi
Hakika nikisikia hii ngoma najikuta poa sanaaaaaa
Ata sielwe nini lakufanya ❤❤
Mbunge wetu..Muheza stand up!!!BONDE BOY
Bonge moja la ngoma.
Kali mno kaka na dada Maua Sama
ASANTENI KWA KUJA THANKS FOR????piga like ya kaka yetu FA afahamu tuko pamoja
Jose brown bongo goma kali
pamoja
Umetisha kwa kwel
Nc
Bonge la mtoto ...bonge la zigo....#Stamina overtaking the airwaves bro...big up
Respect kwako mwana fa
Not a day passes without me playing this a couple of times. Maua Sama kanipagawisha.
nakubali binamu mziki wa bongo bado unaishi na malegend mnakimbiza watoto sawaa tu
Hata sielew kwanini naipenda San hii nyimbo nakubali sana maua na mwana falsfa
wanangu begani utanipenda buu.wananitaga master maind.mipango kwangu inachipuka haina enzi. ni anko af. af skubaba usilete uchimvi navua glavs ila bado naupenda ugomvi. dah mm ndo shabiki wako namba1. sana hujawah kukosea
Noma sana sielew enz hizo nikiwa na mtoto rahma
Mad chemistry between these two. Maua Sama izo vocals. Noma. Big up FA.
Bonge la ngoma binamu...Haujawai niangusha shabiki yako...I feel proud to be Mwana Fa fan
👏👏👏👏👏Kazi Yako Yapili Kuielewa Baada Ya Unanijua Unaniskia😯😯😯😯😯😯😯. Sema Hermy B Kwa Mabiti✌✌✌✌💪💪💪💪💪💪💪
Umeisha kinoma mzee baba.
King of swahili hip hop
Maua sauti
nakuelewa snaa mwanafalisafa upo juu bro
Binamu safiiiiiiii hata sielewiiiiiii
Mwamba umetelekeza mashabiki wako bana
Nakukubali fa big up ila kunanjia flani umepita wanikumbusha inspector haroun babu
na amini sioti coz naipenda hii ndoto😍🙋😹😹
mwna falsafa@ hata sielew bonge la ngoma ilo mzeia
Ugua pole ndugu yangu falsafa...
Hip hop inaishi wallahi.. Always new!
Nakukubali Sana ❤️❤️🌍🇹🇿
hata sielewi hii ngoma imetoka jana niniii!!?? binamu yetu,muandishi bora ambaye hatokaa atokee tz asante kwa kutuletea maua nae anatupa burudani tunayotaka
Team 254 .hongera mwanafa. Ngoma kali hii
Hii Ngoma kali mpaka kesho...
ata mm sielewi👏👏
Noma sana vijana APA wanasubiri
Tanzanian hiphops ziko juu.... I just wish kiswahili was international like english
Niko area kabla views thao dadeki mscheeeeeeeew #choirmaster
Hahahaha hata sielewi...Haujawahi niangusha Binamu
Bhitz mnajuliana sana
Nipeleke unapotaka nitarudi cku utakayotaka.......
hata sielew nin cha kucoment 😍😍😍 fireeee
unajaribu. Darasa ange rapp hapo ingekua kali zaidi
"Una nitega? aaa mbona miguu iko wazi?''
"Una nipenda? aaa mbona kifua kiko wazi?''
Mkwaju una vibe kama za hio ngoma...
mwana fa nakuelew san kaz zko daah! wee ni legendary bhn kimya kimya lkn kaz nzur bila maneno maneno 😂😂😂
Congratulation Mwana F.A hata cielew
Hata sielew Maua sama umemeza nn CIO kwa kujua uko
hata sielewi naona nyota mama
Kwa hiii song umenimaliza
Hermy B anakujulia sana bro
unatisha mbaya mzee baba!
Bonge la msanii... Bonge la wimbo.... bonge la video !!!!! Sielewi sielewi sielewi eeeehh!
Balaa jingine la mjini🔥🔥🔥🔥
Mzee unazeeka vizuri #Hata sielewi n'kucfiajeee ila mie sieliwi..... unanyoshaaa mji mzima
Nimekuja huku baada ya kusikiliza sii kwa ubaya remix 😀😃👌🤏✌
Hata sielewi!kwann sichoki kusikiliza na kuangalia nyimbo hii...Hata sielewiii...!!!Big up FA na Maua.
Acha moyo unibebe unipeleke unapotaka, nitarudi siku ukitaka,
"kwaya masta" hata sielewi kwa nini nakuelewa elewa since day one
HIT like kwa mwana fa na mrembo maua
Dah mwana fa anajua jamaa duh BONGE moja la video na Audio ni Kali sana unenitisha mzee baba Team mziki mzuri like comment twende mbele na tu watch again ,,,let's go guys
Talented cnAa huyuuu mtuu hajawahii kukoseaaa aseeeehhhhhhhhhhh mwanaa faaa
Umeimba sana bro FA
sijui n ngoma kaliii au tuuite bonge la ngomaa yaan hata sielewii
Hatar HAMIS MWIN,JUMA hushindani na m2 ila nyimbo zako zinashinda zenyew
We ni wayaaaaaaaaa
Daaah weee boya kiboko asee.
Hata sielewi big up,
Kweli sielewi nice song gd....
Ukioa na mm naolewa aiseee
Unajuwa Amna mdudu wowote anae weza levo yk.big gapu
mtoto haelewi LA kufanya
ata sielewi na mim ujawai kukosea aseee
Tokea zamani nakukubali
Talented Maua
FA sawa na kisu cha butcher kinaisha na makali yake....
Aleni Daudi
Waleteee.......mwanafalsafa! Sielewi Sielewi Sielewi !!!!!
Bwana Bwana!!!!! Falsafa fire,mauafire,director fire,producerfire fire,fire,fire,fire,fire mpaka hata me #SIELEWI
binamuuu upo juu xn
I don't know if u see urself as a Legend?.....ur a Legend FA....how many u started with n they didnt make this far??? and for this talent u deserve to own ur own bank......sama kaua vibaya.
Tunakukubali mwamba
FA ht me sielewi ..hii ngoma ni ya kikurugenzi
I love this song...nairudia rudia errday...sama is the baddest
The true master # # hujawahi kufeli mwana f.a
Nakupendea hilo tu.huzeeki mzee.tangu demu wangu wa Kwanza mpaka sasa.....
nomaa nimeikubalii hii ngomaa kama ngomaa zako nyinginee tuu tishaa sanaa