КОМЕНТАРІ •

  • @GaudanceSillo-vg3xz
    @GaudanceSillo-vg3xz Рік тому +6

    Kama umeskia sauti ya mr t touchz gonga likes apa 2023

  • @shafiimilonge6582
    @shafiimilonge6582 7 років тому +9

    MISITAKI KUZOEANA Coz Kujuana Sana Ndio Kuaribiana CV Na Usinijue Sana Kama Hauna PLAN BE.

  • @yusufjuma264
    @yusufjuma264 7 років тому +45

    Kila mtu afe kivyake ndo maisha ya mjini kuzoweazoea watu mwisho utaozea majini 😂
    Sitaki mazoea

  • @benwillys5888
    @benwillys5888 7 років тому +30

    Mimi Mkenya lakini Mwana FA nampenda sana. Mistari zake huniuwa..'' Kila mtu hafa kivyake ndo maisha mjini, kuzoeazoea watu mwisho utazoea majini!! miastari mizito sana.

    • @georgeanton2541
      @georgeanton2541 7 років тому +2

      Ben Willys thanks for being honest
      sauti sol wako poa pia

    • @benwillys5888
      @benwillys5888 7 років тому +1

      The only serious Music group in Kenya right now

  • @ramadhaanmathey5065
    @ramadhaanmathey5065 7 років тому +11

    Hii nyama ni Hatari Dah Bill Nas umekuja na hasira sijui nani kazichochea

  • @Abdalla.Said_01
    @Abdalla.Said_01 7 років тому +2

    #Maana_Kujuana_sana_ndo_kuharibiana_CV me sitaki mazoea #big_up @Billnass

  • @MrFrank1121000
    @MrFrank1121000 7 років тому +49

    Big up bongo... mnatumliza huku Kenya...
    Mko top top 👌🤛

    • @johnmwinami6605
      @johnmwinami6605 7 років тому +1

      Medalia Leon huko kwenu wanamzaa hawaandki vzur wanaweza sautsol na,v kman na akothee na wote hao wametengeneza mahusiano mazur na tanzania ata,avril pia

    • @ShaibRSudi
      @ShaibRSudi 7 років тому +1

      Medalia Leon Bongo fleva ni habari nyingine asee

    • @yujinxhing3766
      @yujinxhing3766 7 років тому +2

      Medalia Leon pamoja sana 254

    • @porojenuswilliam2645
      @porojenuswilliam2645 7 років тому +1

      familia

    • @georgeanton2541
      @georgeanton2541 7 років тому +1

      Medalia Leon asante kwa honest opinion
      kenya used to be higher

  • @patrickedward8026
    @patrickedward8026 7 років тому +1

    Mzaoe peleka shambani mjini kila mtu kivyake

  • @juniorlyatuu710
    @juniorlyatuu710 7 років тому +2

    Mwanzoni hatuelewagi ngoja niipitie kila wakati ila naamini hujatuangusha mkali tena uko na mkali wao

  • @scarteljara5580
    @scarteljara5580 7 років тому +9

    KENYA IMEKUBALIKA
    🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @nelsonnmwaipaja6980
    @nelsonnmwaipaja6980 5 років тому +1

    Pole kwa marapa fek mnaoraprap katuni gem ishachenj kkkkkkkkkk yote hayo ni mazoea mabaya upo upstairs xana bill 26/7/2019

  • @emmanuelrobertlayi7926
    @emmanuelrobertlayi7926 7 років тому +7

    muandiko mzuri cio lazima.. jua kuandika 2 mengine tutaona....

  • @richardelias3952
    @richardelias3952 7 років тому +2

    mwandiko mzuri sio lazima sana we jua kuandika tu.kila kitu n biashara hata jeneza n sanda yako.this puch heavy weight. respect

  • @richzagallo3249
    @richzagallo3249 7 років тому

    kilamtu Afe Kivyake ndo Maisha ya Mjini Kuzoeazoea watu Mwisho Utazoe Majini

  • @nassoroburiani7383
    @nassoroburiani7383 7 років тому +4

    Hii nyimbo mbona tamu au tu earphone zang kwa kua zina base sana

    • @abigailkighombe1960
      @abigailkighombe1960 7 років тому

      Nassoro Buriani 😂😂😂😂

    • @josephinemay932
      @josephinemay932 7 років тому

      miss you Coco Baby... ntakuja kuziibaa #NasB

    • @nassoroburiani7383
      @nassoroburiani7383 7 років тому

      Josephine May
      Salma ww shakujua

    • @ShallzBaro
      @ShallzBaro 7 років тому

      Nassoro Buriani 😅😅😅😅😅😂😂😂 chezea ttouch wewe

  • @emmanuelmashauri7525
    @emmanuelmashauri7525 7 років тому +4

    Usipende amani wakati wa vita saruti #billnas na #mwanafa mazoea si mazuri

  • @jumamichael4083
    @jumamichael4083 7 років тому +22

    Ngoma bado naisikiliza nitatoa maoni yangu baadae

  • @kelvin_papaa_ya_warembo8313
    @kelvin_papaa_ya_warembo8313 7 років тому +12

    najivunia kuwa mTanzania,,ngoma kali za Africa asaiv zinatoka nchin kwetu

  • @madawahassan6678
    @madawahassan6678 7 років тому +1

    👌👌😘😘😘💕💕kujuana huko vpeeee akuuu ctaki mazowea na mtu✋✋

  • @princessjessy5993
    @princessjessy5993 7 років тому +5

    dah kuzoea zoea watu utakuja zoea majini mwana fa unajua mpaka balaaaa big up

  • @fadhilikangusi
    @fadhilikangusi 7 років тому

    wakishangaa waambie wataliwa tako

  • @elvistheawesome4864
    @elvistheawesome4864 5 років тому +1

    Kila kitu ni biashara hata jeneza na sanda yako

  • @saidabdallah3193
    @saidabdallah3193 7 років тому +12

    Best sound in Africa!

  • @maxzitatu1617
    @maxzitatu1617 7 років тому +6

    wakishangaa waambie wataliwa Jicho

  • @bensonfrank9578
    @bensonfrank9578 7 років тому +4

    WAMBIEE SITAKI MAZOEA TUSIZOEANE KABISAA 😎😎😎

  • @alexislugha443
    @alexislugha443 7 років тому

    Wanazoeyana sana na team za usenge, wakina tandale za ujanja janja mwaka huu watakuna pumbu.....

  • @khamisally4799
    @khamisally4799 4 роки тому

    Hapa hili Goma angekuwa MwanaFA na akamchukua Maua Sama kwenye chorus lingetisha sana.

  • @salminmhando1316
    @salminmhando1316 5 років тому +17

    Siyo miaka iliyopita tu. Ht mwaka
    Huu 2019 hatutaki MAZOEA..!!

  • @fsfgjddhjdsaghjdesentertai5769
    @fsfgjddhjdsaghjdesentertai5769 5 років тому

    Bado watu mnaangalia mazoea

  • @shabanidilunga8843
    @shabanidilunga8843 7 років тому

    BILL ZAMANI NILIKUWA SIKUELEWI LIKINI KUMBE UNAJUA HATARI SINA SWALI KK UNAWEZA

  • @marcojonline7847
    @marcojonline7847 6 років тому +2

    Nipo ukraine lkn hizi ngoma zinanifanya nisikilize bongofleva kila siku big up Tanzania my Nation

  • @christianluvanga2673
    @christianluvanga2673 7 років тому +3

    Sitaki mazoea...!! Kma una plan B'

  • @chiddymozart7383
    @chiddymozart7383 7 років тому

    huu mji mkubwa una vituko,
    wakishangaa waambie wataliwa tigo...

  • @daudimartin
    @daudimartin Рік тому +1

    2 0 2 3

  • @jjboy5157
    @jjboy5157 5 років тому

    Dah video hii ndo ikasababisha nimujue billnass

  • @faridaltamimi7454
    @faridaltamimi7454 2 роки тому

    Makali wao mwamba wa hiphop 🌶🌶🌶🌶🌶watie pilipili Billnas wambie wasituzee wasituzee kabisa .

  • @binamubinamu1151
    @binamubinamu1151 3 роки тому

    Nengaaa na kukubali hapa upo na mwanagu mtoto wa muhenzaa mwana FA namkubali balaaa

  • @khitabhilaamulikehamis5557
    @khitabhilaamulikehamis5557 7 років тому

    napenda mashairi ynye akili yanafanya watamani kusikiliza zaid utazoea majin daaa kaliiiii

  • @marcymbegab9066
    @marcymbegab9066 6 років тому +4

    BillNass mwanaFA mume tisha sana ngoma Kali Sana 🔥 🔥 🔥from +254

  • @goodluckymartin334
    @goodluckymartin334 7 років тому +1

    Raha ligi ndogo chafupozi now mazoeaaaaa duuuu aiseeee noumahhhh cnz zotee kali xnaaaaaaaaaaaaaaaa @billnengaaaa ww ni hatariiiii cnaaaaaaaaaaaa

  • @jescamichael9140
    @jescamichael9140 7 років тому +1

    staki mazoea kabisa

  • @kassimally4243
    @kassimally4243 5 років тому

    Billnass haiwezi tokea ukachana nyimbo kama hii

  • @amunikanju4342
    @amunikanju4342 7 років тому

    Hikikichupa kimesimama Vzr mmetisha ilembaya

  • @rosulakamugisha355
    @rosulakamugisha355 7 років тому +1

    apana mazoea mwisho utazoe majin😀👏👏👏👏👏

  • @buruanisaidi2411
    @buruanisaidi2411 7 років тому +1

    Hitsong jamaa hakosei kabisa tena waambie wasikuzoee kabisa

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 7 років тому +1

    kuzoea watu, ni baya itafika umuzoeane na majini

  • @khitabhilaamulikehamis5557
    @khitabhilaamulikehamis5557 7 років тому +2

    mwndiko mzuri so lazma jua kuandika mengine yutayaona

  • @ramadhanileonardngaharo1353
    @ramadhanileonardngaharo1353 7 років тому +14

    me no fear no one, me fear no man, I can battle any one

  • @khamissalim3934
    @khamissalim3934 7 років тому +6

    dis song alove it ago with it ....kuishi kihood dats malyf fear nobody only Allah na mazoea cpendi

  • @barakalema4358
    @barakalema4358 6 років тому +1

    Maaaaaaazoea kuzoeanaaaa nengaaaaa

  • @arizinamussa6006
    @arizinamussa6006 5 років тому +2

    Usipende amani wakati wa vita utakufa mapema, I got u falsafa!

  • @jumasaad4882
    @jumasaad4882 7 років тому

    wakishangaa wataliwa tako

  • @goodluckymartin334
    @goodluckymartin334 7 років тому +11

    Ngomaaa Kali nimeipendaaaaa cnaaaa keep it up@billnass napendaaa unachofanyaaaa

  • @bornmazungu9325
    @bornmazungu9325 5 років тому

    Nicholas william lyimo umefanya mbaya humu ndan

  • @ismailseiphuy8554
    @ismailseiphuy8554 6 років тому

    usipende amani wakati wa vita utakufa mapema #F.A namba zako ninaz nitakupigia....

  • @abigailkighombe1960
    @abigailkighombe1960 7 років тому

    ila huyu Bill Nass hu Rap kaa Godzila
    kwani wats common bout them

    • @nellxoxoxo9966
      @nellxoxoxo9966 7 років тому +1

      ABIGAIL KIGHOMBE wamesoma chuo kimoja CBE walipishana mwaka mmoja if ama not wrong

    • @abigailkighombe1960
      @abigailkighombe1960 7 років тому

      Nellxo xoxo ooh okay...Thats rait
      thanks Alot kwa kunifahamisha

    • @gulwetv8801
      @gulwetv8801 7 років тому

      ABIGAIL KIGHOMBE n🏠🔰🐭🐱😊😂😁

  • @michaellimu2332
    @michaellimu2332 4 роки тому

    Tusizoeane kabisa.

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 7 років тому +5

    "Unafata yasiyo yako, kaungane na akinamama"
    #Hatutaki_Mazoea.. me na murder...big up

  • @ndeleimanasayumwe670
    @ndeleimanasayumwe670 7 років тому +1

    kila kitu ni biashara hata jeneza na sanda yako...
    appreciated

  • @jumaraida543
    @jumaraida543 6 років тому

    Huu mji una vituko ukizubaa utaliwa.....du so mchezo

  • @gloryelias8694
    @gloryelias8694 7 років тому +5

    mazoea😘😘😘😘😘

  • @kiulajuma3989
    @kiulajuma3989 7 років тому

    usipende aman wakat wa vita utakufa mapema oooyyy Fa tisha sanaa

  • @kasangamrisho3405
    @kasangamrisho3405 5 років тому

    Mwandiko mzuri sio lazima mwana jua kwandika2

  • @linusmpenda4030
    @linusmpenda4030 7 років тому +1

    dar nishida kaza kiukweri km tumefunga mwaka hii nayo imefungua mwaka

  • @tumpiliksye
    @tumpiliksye 7 років тому

    waambie wasituzoe kabisa, mazoea kuzoeana....

  • @tangindayishimiye2672
    @tangindayishimiye2672 7 років тому

    umemufuni nay kwa hiyi ngoma

  • @clianikamwaya8704
    @clianikamwaya8704 7 років тому

    safeeeee apa bill nas pale FA kudadeki bonge moja la ngoma sitaki mazoea

  • @wilondjalooci7828
    @wilondjalooci7828 5 місяців тому +7

    Who else is listening to this song until 2024?

  • @alikomwamundela3622
    @alikomwamundela3622 7 років тому +4

    Mbona kama SHILAWADU nawaona kwenye huu wimbo

  • @sayosmartboy272
    @sayosmartboy272 7 років тому

    ahaahhahahahaa Atutaaaki mazooooeeeeeeeeee bablaaaaiiiii mazoeee mwikoòooo Tutahalibiaana mdiiii😅😅😅😅 Daahhh mwalimmmmmm utaniuaaaaaaa mwalimmmmmmm Tishaaaaaaaa sanaaaa Team kazi kazii no kulembaaaaaaaa mbele kwambleeeee kama serkli ya mh. Magufuri hahahhaa shikamoooo karama na karatasi.

  • @Kantimorro
    @Kantimorro 7 років тому +28

    huu mji mkubwa una vituko/ ukishangaa sana utaliwa **** hahahaha Fa namba zako ninazo

  • @dominiqitta
    @dominiqitta 7 років тому +14

    Bongo beats.Dope as always.big ups

  • @newbalozidoma2555
    @newbalozidoma2555 7 років тому

    iko poa sanangu wa faiiiiida

  • @mgabejames6365
    @mgabejames6365 6 років тому

    Kilakitu nibiashara ata aridhi na binadamu

  • @nelsonnmwaipaja6980
    @nelsonnmwaipaja6980 5 років тому +1

    hata tarehe ya leo 21.8.2019 mm sihitaji kabisaaaa mazoea 'mazoea,kuzoeana

  • @NzeyimanaKayingi
    @NzeyimanaKayingi 7 років тому

    mwandiko mzuri co lazima bwana,jua kuandka tu!!!chafuuuu sukuma

  • @hamisiseiph2233
    @hamisiseiph2233 7 років тому +3

    Safiii tuuu km Safii nyenginee

  • @banabanu5210
    @banabanu5210 7 років тому

    wakishangaa wataliwa ta....!!!

  • @Felixmesa254
    @Felixmesa254 7 років тому

    usipende amani wakati wa vita maana utakufa mapema...noma sana

  • @aminielmshahara6492
    @aminielmshahara6492 7 років тому

    ipo poa sana yakawaida

  • @georgentabajana6112
    @georgentabajana6112 7 років тому +11

    Chupa kali na ngoma ni bonge la mfuniko. Hongereni!.

  • @pendoyahaya1292
    @pendoyahaya1292 7 років тому

    hii nyimbo sichoki kusikiliza

  • @jaymash3321
    @jaymash3321 7 років тому +3

    Daah my hands up 🙌🙌. ni balaa.... na una-murder kwel kwel

  • @shuwehaomar6658
    @shuwehaomar6658 7 років тому

    kweli mazoea mabaya

  • @deusdongwe2190
    @deusdongwe2190 7 років тому

    Dongo La young killer 😀😀😀😀

  • @ruttachriat7863
    @ruttachriat7863 7 років тому

    umetisha sana

  • @Dee_76
    @Dee_76 7 років тому +1

    mwana fa kaonyesha ukongwe..safii

  • @habibutowo7527
    @habibutowo7527 7 років тому

    f.a umetishaa nc kichupaa hd safii

  • @andrewmalekela3577
    @andrewmalekela3577 7 років тому +6

    .....track kali yoh --------straight frm UK watchin......bongo u up

  • @mosesmwakalundwa2748
    @mosesmwakalundwa2748 7 років тому +4

    Nzuriii

  • @sadikitihami5628
    @sadikitihami5628 7 років тому

    cnc umeilunch iko dope plus video audio zote moto koz ngoma haitaki mazoea km yale ya linah binamu kwli umefanya kazi kuntu bigggggggggggggggguuuuuuuuuuuuppp

  • @PiusFulgenceKahimbaza
    @PiusFulgenceKahimbaza 4 місяці тому

    Amabao tupo Hapa 2024 tujuane

  • @beatricesebakunzi3987
    @beatricesebakunzi3987 Рік тому +1

    Hatutak mazoea 2023

  • @allymakongo3616
    @allymakongo3616 7 років тому

    Asante Billnass

  • @abbalaay7287
    @abbalaay7287 7 років тому

    Mwandiko mzuri sio lazima mwanaa......

  • @chachamasese2622
    @chachamasese2622 7 років тому

    jamaa nakukubali sana nisiwe mnafiki

  • @johnsonaugustine1307
    @johnsonaugustine1307 8 місяців тому

    Unyamwezi ni mwingi sanaaa, tbt Ngoma Kali sanaaa

  • @barakaharoun7306
    @barakaharoun7306 7 років тому +1

    Big up bro maana kujuana xana n kuharibiana siviii htr

  • @goodluckymartin334
    @goodluckymartin334 7 років тому +3

    Lf g representttttt living fast living good

  • @monicatemba3328
    @monicatemba3328 7 років тому

    F. A ntakupigiaaaa namba zako ninazo hhha