Sheikh Kutoka Burundi Awashushia Nyundo Masheikh Wanaotangaza Pete Za Majini Kuwapotosha Waislam
Вставка
- Опубліковано 5 лип 2024
- QIBLATEIN ONLINE Ni channel ya dini ambayo inajihusisha na kukusanya taarifa za kidini kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani ya Tanzania kila siku kupitia FACEBOOK, INSTAGRAM UA-cam @QiblateinOnlineTv)
🙏🤝Tafadhali🙏Subscribe #qiblateinonlinetv #ili uwe sehemu ya familia hii muhimu.
INSTAGRAM 👉👉 / qiblatein_online_
FACEBOOK👉👉 profile.php?...
TIKTOK 👉👉 www.tiktok.com/creator-center
Barakallahu fiyqih Sheikh shakuru umeongea maneno mazito yenye mazingatio 😊
Allah akuhifadhi shekh akujalie umri mrefu wenye manufaa. Hakika umefikisha
Allah atuongoze ktk njia iliyonyooka na atusamehe makosa yetu yoote
Allahuma amiin thumma amiin
Allahu Akbar, Allah atunusuru inshallah
Sheikh umeongea maneno mazuri sana , ma sha allah
Burudani nchi nambar moja kwa umaskini nambar moja kwa upendo mansha Allah tunarizika nakila Hali ushirikina upo ila hatuuamini hongera sana sheh wetu Abdul shakur imamu mku mskiti 17 nambar 11 buyenzi anatuhelimishaga kweli kweli Allah atujaaliye tuwe wene kuyafwata nakuyatekeleza
Allah akulipe heri sheikh wetu. Kua madha mazuri sana❤❤kaka yangu.Allah atupe muisho muema
Masha'Allah Allah akuhifadh na akujalie mwisho mwema inshaaAllah
Manshaallah tabarakallah sheikh
Uposahihi allah akujaliye umri mrefu
maashaallah shekh kemea wazushi hao wanaozuka kila kukicha
Allah sheikh akulipe kheri nyingi sana umesema ukweli mashekhe njaa na washirikina wanapotosha sana watu Allah atuongoze
Mambo ya pete za majini ni ushirikina Allah atunusuru
Mashallah JazzakAllah kheir sheikh
Allah akulipe kwa elimu hii
MashaAllah MashaAllah shekh
Binafsi nimekuelewa sana Allah atufanyie wepesi sote kwa jumla
Mungu akupe maisha marefu na ufunuo zaidi sheikh
Allaah akujaze kheri Sheikh wetu.
Allah atukinge na shirki na washirikina atufishe kwenye Tauhidi
maashallah sheikh ALLAH atuhifadhi
MashaAllah sheikh wetu,Allah akujalie afya njema na umri wenye kher uweze kutujuza🙏🙏🙏
Swadacta sheh nimekuelewa
Mashaallah❤
Sahihi sheikh
Huyo shékh mshirikina laana za zimshukie ametudhalilisha waislamu
Haifai mtu kumlaani muislamu mwenzake
Jazzakaallah kher
Viizuri sana sheikh
Masha Allah
Safi sana allah atunusuru wote. Kwa mambo ayo
Mungu azirehemu roho ambazo haziwezi kubadilishwa au kuzaliwa mara ya pili
Ee Mungu, wasamehe wale ambao tuliishi nao miaka ya kupendeza zaidi na ambao tulihisi tamaa kwao.
Ee Mungu, tukusanye pamoja nao katika bustani za neema, Ee Mungu, uwasamehe walio wa thamani zaidi waliotoweka machoni pangu sikia sauti yao. Mungu airehemu kila nafsi inayopendwa na moyo wangu chini ya ardhi Nakula kiapo? idhini ya Mola wangu Mlezi, Ametakasika, na ulitukuze jina Lako, Uso wa Mtukufu, Mungu wangu, namaanisha, Ee Mungu, Ee Mungu, Ee Mungu, Ee Mungu, Ewe Uliye hai, Ewe Uliye hai , Ewe Mwenye nguvu, Mwenye nguvu, Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu, Mwenye kurehemu, katika kutimiza na kuamini kwa kiapo na maagano kwa hakika, agano ni la kuwajibika Mwenyezi Mungu mkiiamini, na mkataba wake mnapofanya mkataba nayo, na mmejifaradhishia nafsi zenu kuwa ni haki kwa yule mliyefunga naye mkataba na mkamuamini, wala msivunje viapo baada ya kuvithibitisha. Basi mkavunja viapo vyenu, na mkavivunjia uwongo, na mkavivunja Wallahi, Hakuvunja ahadi, na kiapo, ni wajibu kutoka kwa Mwenyezi Mungu .Enyi mlioamini, kwa nini mnasema msiyo yatenda? Ishara za mnafiki ni tatu: Na anapoahidi huvunja amana yake, na anapoaminiwa humfanyia khiyana walifanya ahadi na Mwenyezi Mungu, kwani miongoni mwao wapo walio kufa, na waliopoteza maisha yao. Hao ndio wanaongoja, na hawakufanya mabadiliko yoyote, ili Mwenyezi Mungu awalipe.
Allah te abençoar shekh
MashaAllah MashaAllah ALLAH HUAKBAR 💯
Naam 😊Allah akuifadh Shkh Shkrn sana Kwa Dawa 👏🏼
Masha Allah, Allah azidi kukupa ujasiri waku kemeya Ayo mambo sheikh 🎉🎉❤
Mashaallah shekhe
Jazakumllahu kheiran
Barakallah fiki
Kabisa 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Masha Allah
Tabaraka Allah
Jazaka Allah hkeir 🤲
Bismillah ❤
Upo sahihi sekhe, ila Kuna wengii watakupinga na kuyadharau maneno yako, hii kwasababu watu wengi hua tunajali nani kasema. Na sio nini kinasemwa, hii ndo shida ya Waislaam wa zama hizi tunajali watu sio maneno yanayotoka kinywan kwa mtuu
Shida imeingia katika uisilam, mashehe wasababisha kwaku sema wau wanagawa utajiri, baraka kuja ufanyewe dua
@@the-homeboyztv2689 🤣 Kama ni hivyo umaskin ingekua hakuna ,lkn ni upotoshaji ulotujaa viumbee, mtu hataki aende motion mwenyewe laazim awe na wafuasi
Watanzania huwa wanaangalia MTU siyo NENO.
Mbona mahubiri. Ya kikristo??? C ubatizwe?
Usiwe na miunnngu mingine iila mimi Kutoka 20:1...
..
NIKWELIIIII KBSAAAAAA
Mansha Allah 🇧🇮
Mtihani wallah Allah atunusuru
Baaraqallahu fiiqa
Shukrani
Alhamdullah wafundishe hap wanao tupotosha
Allah Akulipe Kwa mawaidha mazuri
Allah akuhifadhi❤
Allah akuhifadhi inshaallah na akujazie kwenye mizani yako siku ya hesabu
Alhamdulilah rab
Sheikh umenigusa sana alhamdu li LLAH Rabil Ghalamiiyn
Shukran
Maashallah❤😂😂😂 Tabaraqallah imeenda iyoo😂
Jazzakaallahu kheri 😂❤
Allah atulinde na mitihani hiyo
Sera moja tuu mashekhe wote akuna mabadiriko
Shekhe mola akuafu Kwa kutoa daawa nzuri
Allah hatie kherry kwenye helimu na kuwaongoza mashekhe kama haw lnshaalla
Allahu Akbar
Hawa wanafiki wameficha kufuru katika miyoo yao ndio mana wanamtangaza sheitwan baada ya kumtangaza allah subhana wataalah
Mansha'Allah Mansha'Allah
Sheikh unasema kweli na hawa masheke wanao jiita waumni wanafiq hawa waupotoa uislam mpaka wasio waislamu wana tukejeli Allah awaongoze hawa wanaojiita mashekh
allah sw akupekher
Sheikh yupo sahihi saana, Allah akuihifadhi in shaa Allah… ila naona sheikh na yeye ana pete zake 2 mikono yote miwili 😊
Jazaaka llahu khaira sheikh, Allah akuhifadhi
Sheikh, nimekuelewa sana, umenifungua vizur kuhusu pete na uislam, kumbe masheikh wengine wanaupotesha uislam na watu wanakaa kimya, mimi ni mkristo ila nimefurahia sana darasa lako leo
Allah akulipe kwakufunguwa watu masho
Allah akulipe
Diwani Mbogo Sulyman mnaaasikia hayaaaaa
Acheni ushirikina someni dini
Allahu Akbar mawaidha mazuri saana.
Dk Sule. Nimushilkina maana Ana Amini sana pete
Allah Akbar ujumbe mzitoooo
Allah akulipe kila laheri
Hio ndio shida kubwa limekumba uisilam kwasasa watu waamin mashehe kuliko Allah, mashehe wagawa utajiri, baraka, huu ni ugojwa wakumbwa uisilam ( tafuteni dawa
Umeongea fact
ALLAH AKBAR
Mimi na shangaa sana mnajua mtu anajinasibisha naushekh hamumuiti na kumnasihi akiendelea kukaidi mnamuwajibisha kwanini mashekhe wetu mnashindwa kumuonya kwani anababaisha mara mhadhir , muomba dua, mganga na kujifakhalisha kwa vijimali kufanya mambo ya lia. tumejifunza kutoka kwa Allah kupitia kwa Mtume wetu Muhammad na wema walio tangulia kumtegemea Allah lakini akuja mtu mpuuzi hana dalili ilio thibit ya kusemea uislam kama ana hati miliki ya kubadilisha uislamu namnamuangalia tu anaeneza ushirikina kwa kuwapaka mafuta wasio elewa tauhid pete haina jambo lingine zaidi ya pambo tu hamna bahati wala ulinzi vyote hivyo vinatoka kwa Allah Subhanallah Wataala tuamke tumtegemee Allah tuache matapeli wanao jinasibisha na dini yakimchongo mchongo. Allah atuongoze ktk dini yake Shekhe nakumshukulu kwa kuliongelea hilo ila naomba muliongezee kulisema zaidi na zaidi kwani wanaleta uenyeji ktk dini na UISLAM ni SUNNA na SUNNA ndio UISLAM
Dr Sule anatutia aibu sana waislam ...... mungu ktk quran anasema tumuombe yeye na tumtegemee yeye , na yeye ndio anatulinda . Lkn Bro Sule anataka tutegemee pete . Quran haijasema tutegemee pete . Fuckin Sule . Mungu amuongoze aongoke .😢😢
Usihukumu kabla ujaukumiwa unaweza kuonyesha mahari ambapo sule amesema tutegemee Pete sio allah
@@malikmasoud3190 mfuatilie.
We na we in Amana ujui au unajizima data, @@malikmasoud3190
❤❤❤❤
Kweli
Soma hiyo
ان الله ابى ان يجري الأمور الا باسبابها
نعم، صحيح أن الله لا يهتم بالمصالح الشخصية
نعم، وما قصدك في ذلك
Kuna watu hawa elewi kabisaa sikilizeni vizuri
Haifaï kumushirikisha Allah nachochote
Harizie hilo
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh
Wambie kbs
Pete km Pete sio haramu wala shiriki ila pete Sasa watu wadanganywa tuu pete haina uwezo wowote
jibuni kama mwaweza
Naam
Hapa duniani kama kuna watu niwanafki sana
Ni kweli, majisifu anawakashifu mashekh wasio na kipato yani daa sio yule wazamini ambae akiingia mskitini itoki saa iz akiingia mskitini watu waondoka aibu sana
Asant Abdl Shakur Wetu Wape vidongi vyao wa TZ😂😂😂😂
Khaswah
Maisha yaharaka matokeo nihayo
Swadaktana. Umesema kweli.
Naaam
SASA WW SHEIKH NA WW PIA UNAYO PETE TUELEZE PETE ULIOVAA NA YANINI
Kwanza nchekee maana sio kwa dongo hilo
Usiyoyajua wachananayo
Sasa Dini aikubali?
Naa mbona ww umevaa pete?
Nitaipataje namba ya sheikh huyu
Ninayo anaitwa Abdul shakur
Kuna mjinga anajiita Dr sule nawala yakuwa si doctor jitu moja jinga liongo pumbavu kafir kabisa ndio linalopotosha waislam na ujinga wake
@@zaydamos874 kumuita kafiri hapo umekosea
@@AmourAmour-ux3nmMshirikina ni mtuuu mbaya kuliko kafiri !
Wewe ni mjinga tu akuna unalolijua soma dini usikulupuke na porojo za kijinga
Sheik pete haina matatizo,na kama inamatatizo? Mbona wewe unavaa? Tena istoshe kama kweeli tupe aya moja tu, Mungu kamkataza nabii suleiman kuvaa, kwa sababu pale ndo palokuwa nguvu fulani na uwezo alowezeshwa na Mungu, sasa kama elimu yako ndogo kaa kimya tu
KUMBE NA HUYU ANA PETE 2 TUELEZE PETE ZAKO HIZO ZA NN