MSIKITI WA SARE WAHITAJI KUKAMILISHWA, INSHA'ALLAH TUCHANGENI KWA AJILI YA ALLAH.
Вставка
- Опубліковано 6 січ 2025
- Msikiti wa Sare ulioko katika County ya Homa Bay ni mojawapo wa misikiti iliyoyengwa na wahisani wema wenye kufuatilia harakati za Dawah za Straight Path Association. @StraightPathDawah tunajitahidi kufikisha ujumbe wa Uislamu hadi mashinani. Wasiliana nasi kupitia +254722600533 au WhatsApp +254777600777
Mashaallah ramadhan
Mtu wa watu
MashaAllaah masjeed nour ❤
MashaAllah, MashaAllah Ustad.
MashaAllah Team
BarikAllah Feekum.
Allah bariqalih inshallah sheikh Ramadan
Mash ALLAH masijid noor
Masha allah allah atupe taufiq soote in Sha allah
Mash ALLAH masijid noo
Mashaallah
MASHA ALLAH
Masha Allah Tabaraka Allah
Maashallah brother
Masha Allah masjid iko karbu kuisha
W w yeye ndio alosilimu lakini wazazi walomoa kiwanja hawajasilimu kaka in Sha allah litilie mkazo in Sha allah
Asalamu aleikum kaka nakukumbusha kuhusu yule dada alokuzungumziya kiwanja cha mskiti huko taita nakukumbusha najuwa una shuhuli nyingi ndio nikakukumbusha in Sha allah
Chukua camera kidgo shee ramadhan na rafiki zetu
Assalamu alaikum
Tutajitahidi kadri tuwezavyo kuchangia lakin na kujizui dhidi ya sherehe za kikafiri
Jina litakuja Nani nimeiona number hapo juu shukran
Ramadhan Kuria Kaguo
@@StraightPathDawah shukran in shaa Allah