MAKRISTO WA UONGO NA MANABII WA UONGO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Вставка
- Опубліковано 3 жов 2024
- Kwa maana watatokea Makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, ikiwezekana, hata walio wateule.
Mathayo 24:24
MUNGU atusaidie macho ya Rohoni ya muhimu Sana. Ubarikiwe Sana Pastor 🙏🙏
nimelewa kabisa Mungu akubariki
Barikiwa sana mtumishi hakika nabarikiwa nikiwa kenya 🇰🇪 neno Zurich sana Mungu atusaidie tuwenze kulisikilinza na kulielewa
Amina, Asante Sana
Very nice teachings
Very powerful
Powerful
🙌🏿🙌🏿
🙏🙏🙏
DODOMA MPO WAPI MTUMISHI?