🅻🅸🆅🅴 : MBOWE ANATOA TAMKO MUDA HUU..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 33

  • @musa-v3f
    @musa-v3f Місяць тому +5

    watanzania tusipojiami ndugu zangu mama Samia atatumaliza mmoja mmoja hakuna aliye salama Samia must go...

  • @Bernardmedia6
    @Bernardmedia6 Місяць тому +5

    SAMIA MUST GO‼️‼️‼️‼️‼️

    • @BoBo-kg1me
      @BoBo-kg1me Місяць тому +1

      That witch must go

  • @PiusThomas-c2c
    @PiusThomas-c2c Місяць тому +2

    Pamoja sana

  • @serafineslaa1082
    @serafineslaa1082 Місяць тому

    Muunde kikosi cha kupambana na hawa wasiojulikana, majambazi.
    Wafuasi wengi wa chadema kwa mtazamo wangu wa sasa mnaunga mkono chadema kwa sababu ya maonevu na shida za serikali hii. Shida huwaunganisha watu. Nawasihini sana siku mkipata vyeo vurugu zisianze. Maana ndani ya chadema yapo mazuri na mabaya.

  • @MussaNondo-t6n
    @MussaNondo-t6n Місяць тому

    Mwenyekiti mbowe hapo sio2 wakwanza hapo ni Samia must go nae ajiuzuru bila kupepesa maneno, inauma sana Enough is Enough is to Emotional haya mambo yanavyo endelea Tangayika yetu.

  • @fadhilimatumla7891
    @fadhilimatumla7891 Місяць тому +3

    Tubadiliken wananch jamn katika uchaguz 😭😭😭😭😭

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Місяць тому +1

    Huo ni usemi wa kumtishia nyau mtu mzima mwenye wakati wameamua kubaki palepale na tamisemi yao,wala sheria rafiki kwa raia zimegoma,hazikubadilishwa mpaka sasa na mtu mwenye nguvu anatumia vyombo vyake vya dola kushinda! Moto ukiwaka kila mtu atakimbia kuokoa maisha yake tu! Ombeni Mungu atafanya kwa niaba yetu, acheni midadi ya kujiamini!

    • @musa-v3f
      @musa-v3f Місяць тому

      watanzania tusipojiami ndugu zangu mama Samia atatumaliza mmoja mmoja hakuna aliye salama Samia must go...

  • @VicentJastine
    @VicentJastine Місяць тому

    Kinachofanyika ni dharau kwa watnzania! Kwa nature watanzania ni watu wapole na wastaarabu tusiadhibiwe ama kulipwa kwa ajili hiyo. Tunapoteza hadhi na haki ya kujiita nchi ya AMANI. Yote haya yatapita. Elimu ya ukombozi wa fikra inahitajika kwa kila mmoja wetu.

  • @akonaayako7185
    @akonaayako7185 Місяць тому

    Lakini Chadema bado ni Mass Party. Haina Ajenda.

  • @MargaretManyanda
    @MargaretManyanda Місяць тому

    Uchochezi unahusu kweli.

  • @williammashine3405
    @williammashine3405 Місяць тому

    Peopleees

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 Місяць тому +1

    SCOTLAND YARD IFANYE UCHUNGUZI PERIOD

  • @akonaayako7185
    @akonaayako7185 Місяць тому

    CCM Huenda itakufa. Kama KANU. Kwa sababu muda wake umefika.

  • @akonaayako7185
    @akonaayako7185 Місяць тому

    CCM. is becoming a Moribund Pilitical Party

  • @nizigiyimanaibrahim2329
    @nizigiyimanaibrahim2329 Місяць тому

    Hakika wtz tumechoka hatamie nilishatekwa nayajua wanayoypitia ndg zetu Alina soka

  • @B23-i8p
    @B23-i8p Місяць тому

    Dada aliyevaa miwani nimemuelewa sana kaomgea kwa uchungu

  • @veromollely6602
    @veromollely6602 Місяць тому

    watu watatekwa mpk lin jmn serikali mbn aichukui atua

  • @edwardmassawe5116
    @edwardmassawe5116 Місяць тому

    Watu wamekata tamaa mno .laiti tungeponya haya mapema

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman Місяць тому

    Mnataka kuharibu mlikuwa pazuri mujuwe ccm natumai watakuwa wapo tayari kujiuzulu masauni IGP DCI nakila mwenye dhamana lkn natumai patakuwa pagumu kujiuzulu samia

  • @NelsoniJamily
    @NelsoniJamily Місяць тому

    Pamoja makamanda sisi mbeya tuko pamoja

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman Місяць тому +2

    Awadhi alifanya mengi mabaya znz ndio akapewa cheyo kupewa mkoa mkubwa ili afanye mambo ambayo hayastahili kwa binadamu wenzake

  • @nizigiyimanaibrahim2329
    @nizigiyimanaibrahim2329 Місяць тому

    Kikubwa chadema tuungane najua ipo Siku tutashinda

  • @lothanathanael2286
    @lothanathanael2286 Місяць тому +4

    MBOWE ANAFAA KUWA RAIS QA TANZANIA

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 Місяць тому

    WASITEGEMEE WAKIWATEKA. WAKIWAUA WAKIWATESA NDO WATAACHA NA KUOGOPA KUMBE NDO TUNAHAMASIKAZAIDI KUIDAI HAKI ZETU

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 Місяць тому

    Mchengerwa na mama mkwe dadeki

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 Місяць тому

    KATIBA MPYA NI SASA

  • @RobertMshiko
    @RobertMshiko Місяць тому

    Mzee nimekuelewa cdm

  • @JosephLadisilaus
    @JosephLadisilaus Місяць тому +1

    Sasa mnaweleta waingereza wakat wamewaua babu zetu na kuwatesa tupambane wenyew nd tnajua machungu yetu.

  • @petroalfred5108
    @petroalfred5108 Місяць тому

    Wakati mwingine maandamano yatangazwe kwa kushtukiza, hii ya kupanga tarehe inawapa nguvu serikali ya watekaji kutoa vitisho, kukamata viongozi nk kama ilivyofanya kule mbeya..Huyo mama aliyesema ingekua vuema baada ya hapo likatoka azimio kuwa maandamano yanaanza muda huohuo yuko sahihi sana