KWA DK BASHIRU TUPATE FUNZO. MADARAKA HUIBUA TABIA HALISI YA MTU.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 241

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 9 місяців тому +2

    Hongera SK media kwa udadavuzi wako makini kuhusu wasomi wa Tanzania , ni tatizo kubwa hasa ikiitwa Dr, Professor ndani ya chama wanapoteza maana kuwa wasomi, Mungu Tusaidie Tanzania.

  • @barnabasshemelelwa5730
    @barnabasshemelelwa5730 Рік тому +6

    Thank you brother, simple but clear message, you do not go around the bush - the problem with us Tanzanians is that we do FORGET quickly !

  • @NDEWARA
    @NDEWARA Рік тому +4

    Very good analysis. Bashiru wa kweli ni yule wa Magu😭

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 Рік тому +7

    Huna la maana ww umejaza mavi kichwani! Bashiru alisema ukweli mwenye dola hutumia dola kubaki madarakani Kwan uongo? Bashiru ni yule yule Ila ww ni mlevi wa kusaka vyeo kwa Sasa pombe ikikutoka utamjua Bashiru ni yule yule!

  • @samsonmjanja9117
    @samsonmjanja9117 Рік тому +5

    Dr bashiru nimemuelewa sana

  • @mwaisa4769
    @mwaisa4769 Рік тому +7

    Yupo sawa kabisa pia ni kiongozi mzuriii sana bashiru.

  • @jacksongabriel4693
    @jacksongabriel4693 Рік тому +2

    Kweli kabisa

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 Рік тому +1

    Dr Bashir na Dr JPM ndiyo walikirudisha hathi ya chama mfano Mali za Chama mlizo pora , karudisha ccm kwenye heshima yake , kwangu Mimi Dr Bashir is seriously man , sema mnajaribu kuangamiza team Magufuli kwa nguvu zote, kwa maisha haya muda si mrefu mijezi yenu mtaanza zomewa ..

  • @ephraimdaudi3904
    @ephraimdaudi3904 Рік тому +4

    Ninashukuru nimekuelewa sana Mr. Ngurumo.

  • @shabanadam4476
    @shabanadam4476 Рік тому +4

    Oh well bro thanks for analysing God bless 🙌

  • @edsonsilumbe758
    @edsonsilumbe758 Рік тому +7

    A very informed,impartial analysis,Bashiru is a hypocrite!!

  • @rehemashabhay8946
    @rehemashabhay8946 Рік тому +1

    Mungu ndie muweza wa kila jambo.kila jambo na wakati wake

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 Рік тому +6

    Dr.bashilu tunakukubali sanaa, kasema ukweli kabisa, humu ndani acheni utopolo.

  • @lazaroyohanes7121
    @lazaroyohanes7121 Рік тому +7

    Huo ndio ukweli.

  • @rajabuchumbi6098
    @rajabuchumbi6098 Рік тому +1

    Wewe umetumwa na wale wazee wa kupiga dili acha iyo habari kila anayeongea ukweli ni adui wacha hizo we mzee vua hiyo kofia kwanza ndiyo useme

  • @edwardmunanilaedward8280
    @edwardmunanilaedward8280 Рік тому +19

    Msaka tonge ni yule anayekaa kimya kulinda masrahi yake. Polepole na Bashiru ndio wazalendo wa kweli.

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 Рік тому

      Amina

    • @ramakazina170
      @ramakazina170 Рік тому +4

      Anauzalendo gani huyu mjinga haya aliwahi kuyasema miaaka ya nyuma lkn alipo pewa madalaka akawa buzi sasa katolewa leo ndio anakuja na yale yale akipewa tena analudi kule kule wasomi wa Afrika ninamashaka nao sana.

    • @demicratia4071
      @demicratia4071 Рік тому

      @@ramakazina170 wasomi gani wewe shuleni wanawaza tozo tuuu

    • @froma3732
      @froma3732 Рік тому

      Uzalendo wakiwa hapo kwenye system hawa ndio mbwa mwitu wanovaa ngozi ya kondooo

    • @mathayomkumbuchile1569
      @mathayomkumbuchile1569 Рік тому +2

      Umezaliwa lini? Haujuwi upuuzi wa Bashiru na Polepole wakati wa Magufuli?

  • @yohanamoikan7709
    @yohanamoikan7709 Рік тому

    Truth

  • @edsonfanuel5092
    @edsonfanuel5092 Рік тому +1

    Uchambuzi wako hauna maana kwa wenye akili na uwezo wa kufikiri,wewe si wa mlengo wa ujamaa sasa unapaka rangi hisia.

  • @lugomemtamayaye9508
    @lugomemtamayaye9508 Рік тому +2

    Hamna alipokosea dr.bashiru ktk kauli yake ,ila wee unatumika vibaya.

  • @tycoon9540
    @tycoon9540 Рік тому +1

    Dr Bashiru yupo sahihi sana, isipokuwa Ngurumo unapotosha kwa chuki zako tu
    Kazi ya kusema Mamá anaupiga mwingi tuwaachie wateule wake, ila sisi wananchi wa kawaida (wafanyabiashara, wakulima, wafugaji wafanyakazi, wanafunzi) jukumu letu ni kuwakumbusha na kuwahoji watendaji Serikalini kutimiza wajibu uliowaweka madarakani na hiki ndicho Dr Bashiru amemaanisha

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 3 місяці тому

      Huna aibu na kichwa chako ni shida kìdogo

  • @abrahamkibona7038
    @abrahamkibona7038 Рік тому +4

    Hata wewe ni mjinga tu mbona unamchafua Bashiru

  • @issasimbira2001
    @issasimbira2001 Рік тому +7

    Bwege alisema mkiwamaliza wapinzani mtasodowana wenyewe kwa wenyewe

  • @frankndendu2570
    @frankndendu2570 Рік тому +1

    Ni mtu pekee anayeogopwa na ccm. Ukiona mwanaccm anaogopwa na ccm wenzake huyo ni shujaa.

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 Рік тому +3

    Huo ndo ukweli wenyewe. PERIOD

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 Рік тому +7

    Kukaa Kimya nayo ni moja ya njia Nzuri Sana ya Kuishi

  • @mwanaamanismail5244
    @mwanaamanismail5244 Рік тому +1

    Narudia tena uchaguzi hautegemei maneno tu watu huangalia matendo ya kiongozi hii itabaki hivyo.

  • @sangosamora4165
    @sangosamora4165 Рік тому

    Kweli mzee

  • @lusajoholland7072
    @lusajoholland7072 Рік тому +10

    Nakuelewa sana Mr.Ngurumo,huwa najiuliza yeye mwenyewe huwa hajisikilizi?na kama huwa anajisikiliza na hiyo Phd yake huwa anajifanyia "analysis"yoyote?...huyu mtu ni tatizo!

  • @mejamiela7436
    @mejamiela7436 Рік тому

    Jmn bashiri kwann msiungane wazalendo tulikomboe taifa?

  • @kenedrocky5964
    @kenedrocky5964 Рік тому +4

    Nikweli kabisa Kaka yangu. Huyu ni msaka tonge mnafiki tu. Mlevi na mwenye uchu wa madaraka. Mwenyezi Mungu anawaona 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @geralditambu2418
    @geralditambu2418 Рік тому +1

    Kumwelewa mpaka
    Uwe na ajili timamu

  • @Salum85
    @Salum85 Рік тому

    Tunamkubali tuu na tutamuunga mkono ✊🏼

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 Рік тому +4

    Kwelikabisa mh kwauchambuzi wakina mungu akongezee busara nahekima zaidi na zaidi milele,

  • @josephgamba8389
    @josephgamba8389 Рік тому +1

    Acha kuptosha mlevi ni ww nchi kila mtu anahaki ya kusema km mambo haendi sawa acha uchawa ww kujipendekeza kwenye serikal

  • @limoghasia321
    @limoghasia321 Рік тому

    Nimekuelewa sana

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 Рік тому +1

    DR BASHIRU ALLY AMEONGEA UKWELI NA HAWA AKINA MSUKUMA NA KIBAJAJ WANATAKIWA WAJUE HII NCHI ILA WATU WENYE SHIDA WATU WANAHITAJI HAKI,,WATU WANAHITAJI MAISHA YAWE CHINI,,

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 Рік тому +3

    Bashuru mwache sio level uako Ngurumo

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  Рік тому +1

      Ni kweli, si level yangu!

    • @calabash4221
      @calabash4221 Рік тому +1

      @@AnsbertNgurumo kumbe huwa unakasirika....naamini hata wewe ungekuwa mbunge ungekuwa unaongea tofauti...umekuwa mtu wa kulaumu kila siku..na kila kitu...

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  Рік тому

      @@calabash4221 Hapo umeona lawama? Dk ya ngapi kuna "lawama?" Tusaidie.

    • @calabash4221
      @calabash4221 Рік тому

      @@AnsbertNgurumo Ansbert nilikuwa nakufuatilia sana makala zako...una akili sana ya kufanya analysis...lakini kwa sasa unaingia kwenye mtego wa kulaumu kila kitu bila kuleta solution...

  • @erastuskajuna812
    @erastuskajuna812 Рік тому +3

    Wanssiasa wote wako hivyo. Hata ngirumo akipata atafanya hayohayo

    • @charlesjuma5698
      @charlesjuma5698 Рік тому +1

      Umenena vizuri kaka huyu jamaa (Ngirumo) nae anainterest zake tuwenaye makini.

    • @margarethsolomon9823
      @margarethsolomon9823 Рік тому +1

      Exactly ✔️✔️✔️💯

  • @mathiasulaiti5665
    @mathiasulaiti5665 Рік тому

    alichokifanya Bashiru ni sawa. coz ni Mwanasiasa na mwanasiasa huzaliwa upya katika kila msimu. mwanasiasa anayebaki kuwa wa jana bado hajitambui. coz mambo yanabadilika.

  • @alexanderkapinga700
    @alexanderkapinga700 Рік тому

    Comment nyingi lakini binafsi hata Ngurumo mwenyewe simwamini pia so hana tofauti na anayemsema kuwa haaminiki. Nyani huwa haoni............Lake.

  • @johnmligo6966
    @johnmligo6966 Рік тому +5

    SASA WEWE NI NANI UNAYETULAZIMISHA KUWA BASHIRU HALISI NI HUYU AU YULE. UNA CHUKI DHIDI YA MAGUFULI CHANGE UR ATTITUDE.

  • @jamesrobare522
    @jamesrobare522 Рік тому +3

    Nimekuelewa sn kamanda that is naked truth.

  • @leopoldwilliam2128
    @leopoldwilliam2128 Рік тому +1

    Kunakitu sio bure hawa wanao hanza kujilipuwa...

  • @godwinkasaizi882
    @godwinkasaizi882 Рік тому +5

    Reference zako hazihusiani na content iliyopo mezani usitupotoshe Ngurumo

  • @jmonlinetv4932
    @jmonlinetv4932 Рік тому +1

    Hicho Ngurumo unachoongelea ndio tabia ya mwafrika kama tunavyowpa nafasi wanaenda kutuuza kwa kisingizio cha kuvutia wawekezaji, hata wewe ukipewa nafasi utakuwa hivyo hivyo wafrika wengi NI wanafiki na vigeu vigeu maana mwenye njaa haaminiki.

  • @soloartist_ivanvespalusind1609

    Hata hueleweki, fafanua maneno aliyoyaongea tuone uongo au ubaya wake tukuelewe.

  • @ramadhanimtambo6755
    @ramadhanimtambo6755 Рік тому +3

    Safi sana Mzee ngurumo huyo bashiru amekwama tu lakini halisi ni yule wa awamu ya Tano hana jipya. hakika ngurumo hatuwezi sahau awamu iliyopita sisi watumishi wa umma.

    • @godsonwillium3721
      @godsonwillium3721 Рік тому

      Hebu angalia maslai mapana ya taifa.We unaangalia kimshahara chako unachagia kama mlevi humu.Hebu nikuache unaonekana haujawahi kulima na kama ulilima basi maharage

    • @nochaangetile7540
      @nochaangetile7540 Рік тому

      Sema mimi mtumishi wa uma

  • @vladiminlenin8883
    @vladiminlenin8883 Рік тому

    We nmwabdishi ni fara tu rohi mbaya imekujaaaa

  • @samwelhassan2236
    @samwelhassan2236 Рік тому

    Anaposema utumie dora kubaki madarakani,anamaanisha tumia dora vizuri ili uweze kuaminika na waliokupa dora,na waendelee kukuamini kukupa dora.

  • @rashidiwilliam8469
    @rashidiwilliam8469 Рік тому

    Kwahio we ngurumo unaona mambo yanaendaje?

  • @simonmadiba2053
    @simonmadiba2053 Рік тому +1

    Dr hajakosea wala hajamkosea mh rais

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Рік тому +1

    Mhuuuu makubwa haya mungu ibariki Tanzania tunaomba amani tu

    • @salumntulo1589
      @salumntulo1589 Рік тому

      Ili amani iendelee kudumu lazima tuendelee kunyonywa na tusidai haki

  • @saidamilonge58
    @saidamilonge58 Рік тому

    Bashiru ni msema kweli anaetumia nyakati na mazingira

  • @anthonynsojo7169
    @anthonynsojo7169 Рік тому +2

    Tunapoteza muda kujadili mtu badala ya hoja.

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 Рік тому +3

    Mbuzi huyo

  • @Jal210
    @Jal210 Рік тому

    Wewe mjinga mmoja sana

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 Рік тому

    Huenda anataka apokelewe vyama pinzani ili apeperushe bendera kama mgombea urais

  • @athumanlikomile
    @athumanlikomile Рік тому

    Bashiru kasema Jambo la Msingi

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 Рік тому

    Msituchanganye Dr bashiru yupo sahihi mama samia na viongozi wake wa ccm wanyonyaji

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  Рік тому

      Mnasahau haraka wabongo, na mnadanganywa kirahisi kwa sababu hamkulelewa katika kutafakari. Mnapenda kukariri.

  • @kevinmmbine6146
    @kevinmmbine6146 Рік тому +2

    Kuwa mpuuzi Kuna sifa zake.

  • @samwelhassan2236
    @samwelhassan2236 Рік тому

    REMY ONGALA"aliimba"waligewa madaraka wakayatumia vibaya"tembo wanateketea"alimaanisha ya kwamba ukipewa madaraka au dora utumie ayo madaraka vizuri,ili,uwendelee kuaminika.

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  Рік тому

      Halafu yeye, Magufuli na Polepole waliyatumiaje? Jiongeze. Facts zipo wazi.

  • @kimaroamon9008
    @kimaroamon9008 Рік тому

    Mimi namini anasubuliwa na pepo mleteni kwangu nimuombee

  • @kibabumlelwa71
    @kibabumlelwa71 Рік тому +1

    Ahsante Ngurumo wewe ni senior analyst. Ccm ni walevi na waongo bashiru alikuwepo wakati makonda anavuruga mji

  • @geralditambu2418
    @geralditambu2418 Рік тому

    Anawatoa tongongo
    Lakini hamuelewi

  • @sebastianmwantuge5597
    @sebastianmwantuge5597 Рік тому +1

    Huyu Bashiru siyo mjinga,anajua anachokifanya,kwa ufupi ni mkakati.
    Niliwahi kusikia mahali wanaojiita wapinzani wanakutana usiku na watawala kesho unamsikia mahali anawatukana aliokuwa nao usiku.
    Dhambi hiyo itawatafuna siku moja.

  • @huseinmwandwani1909
    @huseinmwandwani1909 Рік тому

    Haya yote yametengenezwa na makada sioni kosa kwa Dr

  • @johnbuya1003
    @johnbuya1003 Рік тому +3

    Kama amesema unwell shida Nini

  • @erastokahema7087
    @erastokahema7087 Рік тому

    Bashiru anakuzidi kila kitu....maana anazungunza vitu kulingana na eneo husika.......ngurumo hujui chochote.........

  • @abrahambalamba6679
    @abrahambalamba6679 Рік тому

    Huyu ni msaka tonge kama wasaka tonge wengine tu.

  • @saidipara4134
    @saidipara4134 Рік тому +2

    Sasa wewe ngurumbe.mbona hauludi nyumbani.nyinyi ndio munaotuchongea ss watz wa kawaida.alafu munakimbilia ulaya Kwa wafadhiri wenu huku ss tunateseka.wasenge nyinyi

  • @ramdanmbara8500
    @ramdanmbara8500 Рік тому

    Waafrika na Afika bado tunasafari ndefu kufikia kujitawala. Yanapo kuwepo majitu miongoni mwetu yanakimbilia Ulaya, Marekani na Canada, yanajidhalisha kwa wazungu kuzisaliti nchi zao ili yagange njaa zao, hili ni janga kubwa linalo ikabili Afrika.

    • @kisangageorgethomasi2830
      @kisangageorgethomasi2830 Рік тому

      Akuna mtu anaekimbia bila sababu wenda ww ni miongoni mwa wale wanaojigeuza Mungu mtu kwa kujiona wapo sahihi awataki kuambiwa ukweli

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 Рік тому +1

    Nakubaliana nawe Mr ngurumo👍

  • @geraldpetro7895
    @geraldpetro7895 Рік тому

    Sijaona alipokosea BASHIRU anachofanya ni kuelimisha anatoa elimu ya URAIA.

  • @Mabotz
    @Mabotz Рік тому

    Dkt. Bashiru ni kiongozi mzurii Sanaa , hayoo mengine na wewe pia unatafuta popularity kwa vituu ambavyo havihusianii
    Poor analysis of issues kabisa

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam 7 місяців тому

    Bashiru ni mganga njaa kama wanganga wengine tu!

  • @haroublato6319
    @haroublato6319 Рік тому +1

    Nimekuelewa sana before nilikua upende wa Bashiru ila saiv nimemuelewa kua mnafiki na msaka madaraka Mungu atailinda amani ya nchi 🇹🇿yetu isifarakanishwe na hili genge la wanafiki.🙏

  • @fredyemmanuel4303
    @fredyemmanuel4303 Рік тому

    Mim nilikuwa nimekuelewa bashiru Ila kwakukusikiliza wewe nimechanganyikiwa hata sielewi tena bola nikae kimya tu

  • @crispinakimaro3821
    @crispinakimaro3821 Рік тому

    Ni Bashiru amepigwa njaa

  • @hashimabdallah673
    @hashimabdallah673 Рік тому

    Wewe nifalla unayesema bashiru ni mlevi

  • @saidjoka1282
    @saidjoka1282 Рік тому

    AKILI hazijarudi sisi tunamuita mchumia mavi

  • @raymondkim190
    @raymondkim190 Рік тому

    Mwanasiasa yeyote ni msaka tonge! Sio huyu tu, !!! Nini maana yake mvuta kamba upande wake!! Hata wale wanaosema chama kina wenyewe, ni umimi tu!! Mkulima mie ntagombea NEC ntapata? Connection tu sio kingine, !!! Wajumbe bwana!!! Wajua hii kauli? Siasa inakupa utajir bwana, NDIO MAANA YAKE MSAKA TONGE

  • @musangirila8128
    @musangirila8128 Рік тому

    Wewe na bashiru Ni ndege wale wale tu

  • @haroublato6319
    @haroublato6319 Рік тому

    Tukubaliane tu kua wanachofanya ni unafiki na yte sabab ya madaraka MSAKA TONGE wakat wake umekwisha wenye wakat wamekua wabaya🤣😃😄

    • @haroublato6319
      @haroublato6319 Рік тому

      Ndugu yngu nimekuelewa sana before nilikua upende wke ila umenikumbusha mengi kuhusu huyu jamaa huko nyuma anachofanya saiv ni unafiki tu ila Mungu atatujaalia aman ya milele ya nchi 🇹🇿yetu bila kufarakanishwa na hili genge la wanafik🙏

  • @michaelmeshaki9931
    @michaelmeshaki9931 Рік тому

    BASHIRU YUPO SAHIHI ILAWEWE NDO UNALENGO LA KUPOTOSHA

  • @yohanasport5929
    @yohanasport5929 Рік тому

    We mavi nipishie kaongea point bashiru

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 Рік тому

    msomi mwanasiasa ambaye ni kinyonga! Ni ukweli lakini anaaminika?

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 Рік тому

    Tatizo nchi hi ukiwa na msimamo wahaki ccm wanatafuta namna ya kukutoa kwenye leli mungu yupo atadiri nao wanaosababisha ongezeko la mteso na umaskin na zuruma , wao had vizaz vyao haijalish wamesoma ili kuzurum au la,!!! Chama cha ccm kinalum na kufilis mawazo mema ya viongoz kwa shelia za chama na kutumia dola, Hali mbaya mtaan hata kibiashala ,

  • @malongoisack5811
    @malongoisack5811 Рік тому

    Huyu jamaa ni nani?

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 8 місяців тому

    What call mature politician is bashiru on ccm use his education drive peaple saycology on sense of feel the res massage caming from educate pasonol not makonda far distance from makonda has capacity of research underground and trigger lmotion of tanzanian population sense

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk Рік тому +3

    Bashiru ni Mtu wa ovyo, mchumia tumbo

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Рік тому +4

    HAKUNA MTU MNAFIKI KAMA HUYU!!

  • @ramrashid7859
    @ramrashid7859 Рік тому

    mjinga tuu wewe dk Bashiru yupo sawa kwa mazingira stahiki na wakati sahihi

  • @zakeyoasapia8764
    @zakeyoasapia8764 Рік тому

    Yupo sahihi mbona

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 Рік тому +3

    Sawa hafai kabisa kuwa kiongozi ndiyo maana tundu lisu alisema magufuli huwezi kunipatia kazi uwapege hawohawo unawo wakoteza majalalani mwanaume tundu lisu dume mungu ana makusudi na dume

    • @johnsinyinza7450
      @johnsinyinza7450 Рік тому

      Hivi hawoni aibu katibu mkuu wa wa ccm.ama kweli endelea kuwanika. Nawengine waliyo baki

  • @nuhubamanya3346
    @nuhubamanya3346 Рік тому

    Haujitambui

  • @feintmwashikumbulu8097
    @feintmwashikumbulu8097 Рік тому

    Msitudanganye maana ya kutumia Dola aliomaanisha Ni kutenda mazuri kwa wananchi kupitia Dola

    • @calabash4221
      @calabash4221 Рік тому

      Una akili kubwa Sana...nilifikiri akili kama hizi hazipo tena

  • @musangossi9308
    @musangossi9308 Рік тому

    Nikimuona mwanasiasa nikama ni memuona simba muonevu mulawenzake na kuonea wanyama wadogowadogo

  • @munyeradeogratias9342
    @munyeradeogratias9342 Рік тому

    Sio suala la kuaminika ujumbe je

  • @muhamedjumaa6867
    @muhamedjumaa6867 Рік тому +1

    Anae mkubalibashiru kuakiongozi mzalendo weka laiki hapa

  • @bakarimwanjano730
    @bakarimwanjano730 Рік тому +1

    Tatizo unafiki na ukabila, hivi sio yy aliekuwa akimsifu magu? Leo hatak mwingine asifiwe mmh Acha tuona.