CAG Mstaafu Prof. Assad Aingilia Kati Uwekezaji wa Bandari Atoa Maneno Mazito, Mwabukusi na Wenzak..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • CAG Mstaafu Prof. Assad Aingilia Kati Uwekezaji wa Bandari Atoa Maneno Mazito, Mwabukusi na Wenzak..
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    #cagmstaafu #profmussaassad #uwekezajiwabandari #wakilimwabukusi #mwabukusi #bandari

КОМЕНТАРІ • 100

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc Рік тому +4

    Prof Akumbuke Nchi yetu imesumbuka sana na masuala ya mikataba mpaka Sasa inatugharimu sana

  • @aminajuma717
    @aminajuma717 Рік тому +3

    Mungu ibriki Tanzania

  • @BeatriceKalembwane
    @BeatriceKalembwane Рік тому +4

    Dahhh

  • @emanuelmbaga6848
    @emanuelmbaga6848 Рік тому +4

    Naombeni like zangu nimewahi

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 Рік тому +6

    Kweli baba tozo na ushuru mwingi haukuzi uchumi kwa hili nakuunga mkono

  • @BenardSambilo
    @BenardSambilo Рік тому +5

    Hatuutaki huo mkataba halafu usiwaulize wazanzibar kuhusu mkataba wa bandali

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc Рік тому +3

    Hayo aliyo SEMA hayawezi kurekebishika yangekuwa mapema Msingi wa mikataba inayokuja ni huo ulio sainiwa

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc Рік тому +3

    Ushauri huo ulitakiwa kabla ya mkataba kusainiwa huyu prof Ana uwezo mkubwa,

  • @funnycomedyvines1467
    @funnycomedyvines1467 Рік тому +5

    Tiki Tv naona na bandari mmeamua tusipitwe, mtuletee na Lissu saaa

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 Рік тому

    Huyo CAG mustaafu ni pumbavu sana,anaingiza udini kwa kazi ya serkali.Basiaendelee kuwa muislamu mujinga..

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 Рік тому

      Kama issue ni pale bandari Dar es Salaam, kwa nini watwae bandari zoooteeee za nchi hii?
      Kwa nini huo mkataba hauna ukomo?
      Kwa nini bandari za Zanzibar hazimo kwenye hilo gulio?
      Sikubali uzuzu ugawe mali za Taifa hili

    • @SarahAdam-c4m
      @SarahAdam-c4m 25 днів тому

      Wewe ndio mjinga

  • @RaphaelMachinda-ih5we
    @RaphaelMachinda-ih5we Рік тому +3

    Mitajihiya hutolewa kwaubaguzi ukijulikana ww wachadema hupewi

  • @MikidadiMahumbi
    @MikidadiMahumbi Рік тому +1

    Darasa zuri sana

  • @mariamnyange199
    @mariamnyange199 Рік тому +4

    Kwani ni lazima tuwape bandari hao warabu sisi kama watanzania hatutaki tutawapa bandari wawekezaji wengine sio lazima warabu

    • @abdallahrashid169
      @abdallahrashid169 Рік тому +3

      Hapo sasa

    • @rebeccamsami4580
      @rebeccamsami4580 Рік тому +3

      Waarabu .hapana

    • @mariamnyange199
      @mariamnyange199 Рік тому

      ​@@mkudeww ndo wamekutuma uje ujibu comment zetu pumbavu ww Sasa bandari hatuna haja ya kumpa mzungu Wala hao wasenge warabu tutabaki nazo wenyewe watanganyika mzungu mwarabu wote sawa tu coz wako kimaslahi yao na si ya watanzania tunasemajee tumechoka upumbavu wenu

    • @mariamnyange199
      @mariamnyange199 Рік тому

      ​@@mkudeww ndo ungekunywa hiyo sumu ufe dakika hii ingewezekana unyongwe kabisa kenge ww

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Рік тому

      Mahakama ishawapiga chini tayari na Mwarabu anakuja kupiga kazi

  • @emanuelmbaga6848
    @emanuelmbaga6848 Рік тому +6

    Mzee kama huna Cha kuongea heri unyamaze watanzania wa Sasa sio wale wa zamani

  • @BeatriceKalembwane
    @BeatriceKalembwane Рік тому +3

    Kwahiyo tunaandaliwa kisaikolojia ehh

  • @majidukalokola7253
    @majidukalokola7253 Рік тому +5

    Msiishie kwa huyo Professerial bali mlete na Tundu Lissu hapa ili kibalance equation.

    • @saturinimushi4746
      @saturinimushi4746 Рік тому +4

      Upo Sahihi.
      Tatizo ni kwamba DPWorld Wameahidi kwamba Watajenga Msikiti Mbeya Mjini na Pia Zanzibar.
      Sasa kama Ni Faida itayotokana na Mapato ya Bahari na Bandari Wange balance Kwa kujenga Makanisa Pia.
      Shida ni kwamba Ukiwa Na Ulevi wa Dini Haki ikitolewa kwako ni Sawa lakini Haki hiyo hiyo akipewa asije wa Dini yako Unaona Siyo Sawa Wakati Rasilimali ni Zetu Sote kama Taifa..
      Heri Wangeahidi Kujenga Shule, Hospital, Barabara na Madaraja Vitu vinavyotumiwa na Watu Wote.

    • @mariamnyange199
      @mariamnyange199 Рік тому

      ​@@saturinimushi4746kwani hivyo vitu vyote tunashimdwa kujenga sisi wenyewe mbona tunakila kitu tunahaja gani yakusubiri kuja kujengewa na hao warabu?

    • @mediasocialite
      @mediasocialite Рік тому

      Hata hivyo prof. ni mchumi siyo mwanasheria. Hivyo amechangia kama mchumi, tatizo amebeza utaalam wa wanasheria. I think Kwa kubeza wanasheria ktk mambo ambayo hata serikali imeshaona kuwa kweli Yana kasoro, inampunguzia credit.

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Рік тому

      @@saturinimushi4746 mpumbavu sana wewe mbona hujazungumzia Mou ya serikali na makanisa,,,,mjinga sana

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Рік тому

      @@mediasocialite Hilo suala Lina mitazamo yote,,,,ujinga wenu mnaliangalia katika mtizamo mmoja (legal perspective, economic perspective, political perspective)

  • @AkiliNdefu
    @AkiliNdefu Рік тому +4

    Hivi huyu CAG alistaafu au alitenguliwa?😢😢

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Рік тому +2

      Alitenguliwa kama nijuavyo

    • @DR.SAIFILLAH.5363
      @DR.SAIFILLAH.5363 Рік тому +2

      Kisheria huitwa mstaafu

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Рік тому

      Huyo alitolewa na mamlaka Kwa chuki tu baada ya kuwaambia ukweli kuwa Bunge ni dhaifu katika kuisimamia serikali kuhusu ripoti zinazotolewa na CAG kuhusu wizi na ufisadi wa Fedha na Mali ya umma, alipoitwa na Bunge kwenda na kutakiwa kufuta kauli yake alikataa na kuendelea kusimamia kile alichoamini kuhusu udhaifu wa Bunge ndio wakamfanyia figisu tena Kwa kuvunja Katiba wakamtoa, hakuna asiyelijua Hilo,,,,,

  • @RaphaelMachinda-ih5we
    @RaphaelMachinda-ih5we Рік тому +3

    Ameyumba

  • @MAFUNDISHO1
    @MAFUNDISHO1 Рік тому +1

    Proffesor ameongea vizuri! Kuwa na KPI mikataba ya chini, lakini pia nakubaliana na proffesor kwa sababu ya hofu ya huko nyuma ni vizuri wakaweka uko kama ville miaka 20, 15 nk

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Рік тому +4

    Professor anaweza kuwa mawazo yake. Lakini mimi nasema kama mtanganyika nakataaDP WORLD kwa sababu DP WORLD pamoja nayo yote DP WORLD hana makesi mengi sana. Anakesi na Jibuti, Somalia, Kenya na sehemu nyingi. Kwani hso hawataki mapato hayo mazuri, kwa sababu hiyo mama unataka kutuletea kesi na DP WORLD. Kwanza hatuwataki toka mwanzo. Ndiyo sababu amewafanya msiweze kusoma huyo Mkataba ili mkaukubali kimbumbu ili aje apate mapato kutokana na makesi

    • @mariamnyange199
      @mariamnyange199 Рік тому

      ​@@DR.SAIFILLAH.5363kumbe kunatahira lingine hapa lisilo ona tatizo juu ya mkataba😂😂

    • @swahiliqueen9920
      @swahiliqueen9920 Рік тому

      ​@@DR.SAIFILLAH.5363kwa hiyo kwako ww bandari inauzwa kwa waarabu nisawa?aliekuroga kafa😅

    • @sabinamushi1003
      @sabinamushi1003 Рік тому +2

      Naunga mkono🤝

    • @jitukorofi9517
      @jitukorofi9517 Рік тому

      Kenya na Somali dp world kuna kesi gani muongo wewe

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Рік тому

      Wewe mtanganyika huwataki DP, Sisi watanzania tunawataka,,

  • @brendangabriel1643
    @brendangabriel1643 Рік тому +5

    Prof. bado hujajibu maswali tata khsu mkataba. Mkataba wa DPW hautoi mwanya kwa mwekezaj mwingine, wanapewa zoote za Tanganyk, kwa nin za Znzb no? Muda wa mkataba hakuna, mikataba midogo ni siri, hapo vipi tunaelewa nn?
    Ni kweli Prof Shivji, mhadhiri university 47yrs hajui mkataba mbovu au wenye faida?
    Jambo hili liitishiwe mdahalo wa wazi kati ya manguli wa sheria na mikataba vs wanasheria wa uwekezaji ili tupate uhalisia kamili.
    Prof Assad vs Prof Shivji na team zao, waje uwanjani.

  • @hermanhhaaly9685
    @hermanhhaaly9685 Рік тому +3

    Haujausoma mkataba na wanaleta Mambo ya udini

    • @swahiliqueen9920
      @swahiliqueen9920 Рік тому +3

      Warabu wenyewe hawawapendi kama nn wako kimaslahi yao tu

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Рік тому

      @@mediasocialite wewe ndio mjinga, Hilo suala Lina mitazamo yote,,,, legal perspective, economic perspective, political perspective

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Рік тому

      Wewe na wapumbavu wenzako ndio mnaoleta udini, DP world ni wawekezaji tu

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 Рік тому

      Kama issue ni pale bandari Dar es Salaam, kwa nini watwae bandari zoooteeee za nchi hii?
      Kwa nini huo mkataba hauna ukomo?
      Kwa nini bandari za Zanzibar hazimo kwenye hilo gulio?
      Sikubali uzuzu ugawe mali za Taifa hili

  • @MikidadiMahumbi
    @MikidadiMahumbi Рік тому +1

    Duu nimekuelewa

  • @mfirimassawe9023
    @mfirimassawe9023 Рік тому

    Pro Asad,naamini unaweza kuwa mshaur no moja was ikulu laki kwa serikali hii watakunyima mbingu bure

  • @makameali2133
    @makameali2133 Рік тому +1

    Wape somo kina lisu

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 Рік тому

      Kama issue ni pale bandari Dar es Salaam, kwa nini watwae bandari zoooteeee za nchi hii?
      Kwa nini huo mkataba hauna ukomo?
      Kwa nini bandari za Zanzibar hazimo kwenye hilo gulio?
      Sikubali uzuzu ugawe mali za Taifa hili

  • @Eizyme
    @Eizyme Рік тому

    pro, musa assadi kichele

  • @jomba6514
    @jomba6514 Рік тому +2

    😂

  • @christosiadanieli6512
    @christosiadanieli6512 Місяць тому

    ni kweli kwa watumishi wa serikali wengi hawafanyi kazi kwa tija

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 Рік тому

    Kama issue ni pale bandari Dar es Salaam, kwa nini watwae bandari zoooteeee za nchi hii?
    Kwa nini huo mkataba hauna ukomo?
    Kwa nini bandari za Zanzibar hazimo kwenye hilo gulio?
    Sikubali uzuzu ugawe mali za Taifa hili

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 Рік тому

    Huyu Prof.mbona simuelewi?Samia ameuza bandari zote za Tanzania/Tanganyika kwa DPW,hata bandari za Ziwa Victoria,Tanganyika,Nyasa.Sijui mukataba wa Afrika Mashariki unakubalia inchi binafsi kuuza bandari zake za Ziwa Victoria bila kufahamisha Inchi zingine.

  • @ruwaichijoseph5946
    @ruwaichijoseph5946 Рік тому

    Kama mmeshindwa kuongoza nchi mpaka mmezeeka matumbo hamna jipya

  • @JustinMphuru
    @JustinMphuru Рік тому

    Miaka yote Nilikua sijamuelewa, hivi Sasa nimemuelewa vizuri.Kumbe ndio sababu Hayati Magufuli aliielewa Nia iliyokuwepo Moyoni mwake.

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Рік тому

      Usisahau kuwa Magu aliiielewa pia Nia ya Lissu iliyokuwa Moyoni kwake,,,

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 5 місяців тому

    Assadi huna akili kwahiyo kusomana wanaweza hao waarabu tu sisi hatuwezi kufanya jibu kwanini imesainiwa kabla ya kupita bungeni na Kwa wananchi

  • @kitutujuma9602
    @kitutujuma9602 Рік тому +2

    Huyu c ndio yule wakati wa magu katolewa.
    Sasa ni mstaafu eti?

    • @alexanderjustine1523
      @alexanderjustine1523 Рік тому +2

      Tulia usiyempenda kaja

    • @DR.SAIFILLAH.5363
      @DR.SAIFILLAH.5363 Рік тому

      Kisheria ni mstaafu
      Pia mahakama imetoa tamko kwamba Hayati Magufuli alimtengua kimakosa

    • @mariamnyange199
      @mariamnyange199 Рік тому +2

      ​@@alexanderjustine1523ndo mmemtuma awasafishe madudu yenu😂😂

    • @sabinamushi1003
      @sabinamushi1003 Рік тому +2

      ​@@mariamnyange199🤝👏👏

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 Рік тому +2

    Kuna watu wanapitisha mizigo yao bure pale bandarini wanaogopa wawekezaji wakija hakuna bure Tena

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 Рік тому

      Kama issue ni pale bandari Dar es Salaam, kwa nini watwae bandari zoooteeee za nchi hii?
      Kwa nini huo mkataba hauna ukomo?
      Kwa nini bandari za Zanzibar hazimo kwenye hullo gulio?
      Kina fulani, mtu wenu kaingia choo cha kiume, mistetee uzuzu.
      Sikubali uzuzu ugawe mali za Taifa hili

  • @mfirimassawe9023
    @mfirimassawe9023 Рік тому

    Kwanini watu Kama nyinyi mmewekwa mbali na raisi

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Рік тому

      Si mwendazake alimfanyia figisu na kumtoa CAG baada ya kuliambia Bunge ni dhaifu katika kuisimamia serikali kuhusu wizi na ufisadi wa Fedha na Mali za umma

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Рік тому +2

    Vichwa kama hivi ni adimu sana sasa hivi,,,,pokea maua yako prof.

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 Рік тому

      Kama issue ni pale bandari Dar es Salaam, kwa nini watwae bandari zoooteeee za nchi hii?
      Kwa nini huo mkataba hauna ukomo?
      Kwa nini bandari za Zanzibar hazimo kwenye hilo gulio?
      Sikubali uzuzu ugawe mali za Taifa hili

  • @mohammedamour4930
    @mohammedamour4930 Рік тому

    Hivi vichwa ndio vya kusikilizwa sio źe comed siasa

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 Рік тому

      Kama issue ni pale bandari Dar es Salaam, kwa nini watwae bandari zoooteeee za nchi hii?
      Kwa nini huo mkataba hauna ukomo?
      Kwa nini bandari za Zanzibar hazimo kwenye hilo gulio?
      Sikubali uzuzu ugawe mali za Taifa hili

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 Рік тому +1

    Bandari lazima tuwape wawekezaji mana wanaopinga wanaogopa maslah yao yatakufa

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 Рік тому

      Kama issue ni pale bandari Dar es Salaam, kwa nini watwae bandari zoooteeee za nchi hii?
      Kwa nini huo mkataba hauna ukomo?
      Kwa nini bandari za Zanzibar hazimo kwenye hilo gulio?
      Sikubali uzuzu ugawe mali za Taifa hili

  • @danielachayoAchayo
    @danielachayoAchayo Рік тому

    Hata wewe cag hufai kabisa ,mkataba gani hauna ukomo?kama sio kuuza

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Рік тому

      Umemsikiliza vizuri au ujinga wako unakuelekeza vinginevyo?

  • @mfirimassawe9023
    @mfirimassawe9023 Рік тому

    Baba fikiria hata kugombea urais