TUTAFAKARI THAMANI YA MSIGWA, CHEO CHAKE, NA RUFAA YAKE!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • Kuna nini huko kwenye kanda kinachopiganiwa hivyo?

КОМЕНТАРІ • 272

  • @matiredms917
    @matiredms917 4 місяці тому +5

    Ahsante sana Bwana Ngurumo kwa uchambuzi wa kina ambao umeweka suala hili wazi sana. Mchungaji ameonesha dhahiri kuwa ni mbinafsi na barakala la hali ya juu.

  • @wilsonsikahanga1761
    @wilsonsikahanga1761 4 місяці тому +15

    Akina halima na wengine wengi walio ondoka na kuhamia kijanini, walijeruhi mioyo ya wengi, pia kuondoka kwa zito chadema pia kulijeruhi wengi, sasa Mchungaji tafadhali tafakari marambili , pia utulivu na subira ni busara kubwa. Vinginevyo utajikuta unakuwa sawa na wengine, heshima yako chadema ni kubwa sana ungetulia kidogo, pia iringa bado unahitajika.

  • @malinzirutta3391
    @malinzirutta3391 4 місяці тому +8

    Asante Ngurumo kwa ufafanuzi mzuri. Sasa tunafanyaje kukinusuru chama ma Msigwa? Nakuomba uwashauri chadema la kufanya

  • @melch3097
    @melch3097 4 місяці тому +10

    Nlimpenda sana msigwa lkn kumbe ni kichaa. Kwakweli taifa letu, mungu pekee ndie atatusaidia.,

  • @raymondmushi9019
    @raymondmushi9019 4 місяці тому +2

    Mungu akubariki,akulinde, uendelee kutufafanulia. mambo ambayo hattuyajui,tupate kuyajua.wewe ni mtu muhimu. sana kwa nchi yetu.

  • @isaacndashuka5959
    @isaacndashuka5959 4 місяці тому +12

    Msigwa unashangaza sana.unatia aibu.kwa kweli umenifanya nikufute kwenye kundi la watu makini.

  • @felixmsengi1084
    @felixmsengi1084 4 місяці тому +6

    Uko vzr kwa hoja za kisiasa Asante

  • @bishopmosesmagadula7572
    @bishopmosesmagadula7572 3 місяці тому +3

    NIMEKUKUBALI Sana KWA uchambuzi WAKO ILIKUWA busara asimamie HOJA ZAKE za kukubali kushindwa..

  • @paulremigiuspaul3293
    @paulremigiuspaul3293 4 місяці тому +5

    Stay blessed Mkuu Ngurumo

  • @samirsamson3996
    @samirsamson3996 4 місяці тому +2

    Nachompendea Mh Ngurumo anaongea kwa fact anaongea anakupa na clips za anayoyasema atoi maneno mdomoni anayasema wanaoyasema safi sana tunataka uchambuzi wa fact km huu na kuwa na kumbukumbu zote big up bro

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 4 місяці тому +17

    Awali nilidhani Msigwa ni mwadilifu ba mweredi katika siasa na kutafsiri Katiba ya chama chake hata ya nchi kumbe nilikuwa najilia upepo! Anatanguliza maslahi, hana uvumilivu ni mnafiki gataki kushindwa! Watu kama hawa hawafai kuwemo katika uongozi wa nchi yetu, wanatuchelewesha kusonga mbele wanatupeleka shimoni!
    Ni kondoo kwa nje kunbe ndani ni mbwa mwitu

    • @RhodaKibona
      @RhodaKibona 4 місяці тому

      Nasema aseme ,mmbane aseme

    • @josephmabula9658
      @josephmabula9658 4 місяці тому +2

      Shida Nini si amekata rufaa?

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 4 місяці тому

      umo nakusifia sanaaaa kwa ufuatiliaji hapo ujue Viongozi wengi hawapendwi kushindwa na asiyekubali kushindwa si mshindani vyama vingi ni Wasaka tonge gamna kitu hapo

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 4 місяці тому +4

    Hivi Kama Mgombea Unawezaje kujua Nani atakupigia kura kabla kura hazijapigwa?

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  4 місяці тому

      Mi swali gumu sana, maana kura ni siri ya mpiga kura.

  • @justinswati8225
    @justinswati8225 3 місяці тому

    Asanteee mchambuzi uko vzr sana Balikiwaaa sana

  • @rashidissa5887
    @rashidissa5887 4 місяці тому +2

    Irrational analyst. Congrats. I am not a CHADEMA man ,but I like your analysis of political matters

  • @adenmwakalobo760
    @adenmwakalobo760 4 місяці тому +12

    Mch Msigwa kawashangaza watu wengi wapenda ukweli na demokrasia, kwani alikuwa akidhaniwa kuwa ni mtu msimamia kweli na mpenda mabadiliko yanayoifaa nchi, kumbe hafai kabisa!

  • @johnmakundi9877
    @johnmakundi9877 4 місяці тому +17

    nilimwona msigwa n mwana harakati kumbe n CCM mjinga sana tena atakuwa yeye ndiye anavujisha siri za chadema

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 4 місяці тому

      Chadema ina siri gani!!! Ujinga tu..

    • @SarahSwale
      @SarahSwale 4 місяці тому

      Bila shaka unatatizo. Leo ndio unaweza kusema hii pumba yako na alipokuwa kiongozi wako hukusema kuwa ni CCM mjinga.

    • @HappyKitindi
      @HappyKitindi 3 місяці тому

      Kama ulimwona msigwa anafaa na Sasa unaona hafai, maana yake hata waliobaki kama unawaamini wanafaa hawafai......😊😊😊😊😊

    • @jitulakaleboymastr6477
      @jitulakaleboymastr6477 3 місяці тому

      Ivi uyo anaitwa msigw au alima

  • @RobertMaffa
    @RobertMaffa 4 місяці тому +6

    Hongera ngurumwa, kaza kamba kwa hao vipandikizi vya ccm ndani ya chadema, nafarijikaga kwa uchambuzi wako wa kila siku.

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 4 місяці тому

      Leo hii ndio mnasema haya kweli kila anaegeuka basi amepandikizwa na CCM zito kabwe na alipotoka si alilalamika hivyohivyo mbona hakwenda CCM acheni upumbavu hiki chama watu wanatamaa sana na majungu mengi.

  • @samuelmakara1475
    @samuelmakara1475 4 місяці тому +9

    Hongera mchambuzi

    • @SarahSwale
      @SarahSwale 4 місяці тому

      Hongera ipi kwa mchanbuzi huyu? kama ni ya kuchambua kwa interest ya chama chake sawa lakini je vipi Haki ya Wanachama wake?

  • @sammykateregga6238
    @sammykateregga6238 4 місяці тому +5

    Ndg Ngurumo nimekuekewa sana kupita kiasi. Nilikuwa najiuluza sana juu ya kauli hizi. Nilishauri sana baada ya uchaguzi kujwnga umoha zaidi na kuunganisha wanavhama lakini Mhe Mch Msigwa naona amekuja na agenda ya kubomia chama. Tutafakari kungali mapema, naona kuna kakipindi ka giza tunaweza kukapitia kabla au wakati wa uchaguzi mkuu ujaao. Mch amejichanganya au amewekwa makusudi kuchanganya mambo.

  • @ZablonLameck
    @ZablonLameck 3 місяці тому +1

    Mchambuzi uko vizuri, hongera

  • @lustonjana5980
    @lustonjana5980 4 місяці тому +9

    Mchambuzi unastahili pongezi

  • @RhodaKibona
    @RhodaKibona 4 місяці тому +3

    Ameharibu sanaa, amejishushia hadhiiiii

  • @samirsamson3996
    @samirsamson3996 4 місяці тому

    SK MEDIA is so brighter Media so fact more than Fact i do apriciate on you bro upo vizur xana sijaona mchambuzi makini km ww bravo to you bro

  • @josephmantago2837
    @josephmantago2837 4 місяці тому +7

    Mchungaji Msigwa amechepuka baado chadema ni bora kuliko akina Msigwa mia mbili hakuna kusujudu kwa binadamu anae kufa wakati wowote chadema mpango wa Mungu

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 4 місяці тому +1

    Hongera Msigwa kwa kutufungua macho Kumbe ndani kuna uchafu

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 4 місяці тому +1

    Nakubaliana na Wewe 10,000,000,000%

  • @EvaKiswaga-j2o
    @EvaKiswaga-j2o 3 місяці тому

    Nimekuelewa ngurumo. Uko vizuri Sana. Nilitumia lkn umenifariji Sana.

  • @melch3097
    @melch3097 4 місяці тому +7

    Msigwa umenifanya mpaka natoa machozi, jitafakari

  • @daudimaembe3360
    @daudimaembe3360 4 місяці тому +4

    Alipongezwa na watu wengi sana siku ile ya mwanzo.Lakini alipobadili mtazamo,watu walimshangaa sana.Kunusuru hilo imebidi aitwe na Tundu Lissu Singida

  • @LuganoPondo-km8ub
    @LuganoPondo-km8ub 4 місяці тому +15

    Asbert Ngurumo,wewe ni jasusi wa haya mambo

  • @emmasonanjawe9042
    @emmasonanjawe9042 4 місяці тому +3

    Msigwa umetia aibu sana sana mchungaji muongo kuwahitokea

  • @frankphiri9132
    @frankphiri9132 4 місяці тому +3

    Msigwaaaa nenda tena nani kakutuma na hao wapambe wako goooo go go go uko hovyoooooo thamani ilikuwepo kwa cheo sasa tumekujua

  • @eunho9529
    @eunho9529 4 місяці тому +3

    Nimeshangaa sana kwa mtu kama Msigwa kuyasema hayo cha msingi hizo ni tuhuma nzito hivyo ni vyema chama kitoke na litolea ufafanuzi kuhusu hizo tuhuma. na msigwa apewe nafasi ya kuthibitisha tuhuma hizo hata ikiwezekana kiwe kikao cha dharura, akithibitisha hatua kali zichukuliwe na hakishindwa pia hatua kali zichukuliwe kwani ni utovu wa nidhamu kwa mtu aliyekuwa kiongozi na mwenye maamuzi ndani ya chama kuyasema hayo ya Msigwa.

  • @daniell.damian4974
    @daniell.damian4974 3 місяці тому

    Wasioelewa leo, wataelewa kesho!
    Prophetic!!!

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 4 місяці тому

    Ngurumo wewe ni lulu ya taifa letu unaumuhimu sana kwenye uchambuzi wa mambo, hongera sana kaka kwa kuweza kutuelimisha kiasi kikubwa.

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 4 місяці тому +4

    Msigwa, Msigwa, Msigwa rejea mazungumzo ya awali, hata kama hukuyaona hayo mwanzo, wewe ni mtu mzima amini Cha mwanzo kilikuwa kinainua chama sasa unataka kubomoa. Heri ungeondoka peke yako ungeheshimika. Kwa hili CHADEMA itabaki hai, hutathubutu kukiua. Kumbuka ulihusika kukijenga kikawa imara. Kwa hili tu hutaweza kututweza ili tuaangamie.

  • @emmanuelsulle911
    @emmanuelsulle911 4 місяці тому +6

    Ngurumwa nakukubali Mno Mchambuzi Wangu, Hongeraaa sana napenda Mno Kazi na chanel Yako....

  • @sharifamakuka4832
    @sharifamakuka4832 4 місяці тому +3

    Asiye kubari kushindwa si mshindani,kubari kushindwa msigwa.

  • @mgungulem3187
    @mgungulem3187 4 місяці тому +3

    Awali alitudanganya kukubali matokeo!
    Makosa yakifanyika, chukua mapungufu na ushahidi mukayajenge, Acha mambo mengine yaendelee bado ananafasi na KAZI kubwa ya ukombozi

  • @LaizerSangau
    @LaizerSangau 4 місяці тому +3

    Hakika ngurumo umetupa darasa kamili🎉🎉🎉🎉

  • @melch3097
    @melch3097 4 місяці тому +3

    Chadema ilikuwepo, na itaendelea kuwepo. Hatafanikiwa chochote

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 4 місяці тому +4

    Changamoto kubwa sana

  • @eunho9529
    @eunho9529 4 місяці тому +3

    tena ikitokea hakashindwa kuthibitisha AFUKUZWE UANACHAMA.

  • @RhodaKibona
    @RhodaKibona 4 місяці тому +3

    Msigwa umejulikana,watu hatushangai

  • @cyprianboniphace-oz5lw
    @cyprianboniphace-oz5lw 4 місяці тому +1

    mh.umefafanua vizuri sana ambaye hajakuelewa ni mchawi.

  • @thomasbrotherscotractorslt1299
    @thomasbrotherscotractorslt1299 4 місяці тому +5

    Msigwa mmmmmmm

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 4 місяці тому +5

    Hafai iwe kafanyiwa ama la,ni sawa na kutoka Siri za mwenza wako Kwa kuwa tu ameukataa, ni aibu sana kwake na huenda anahama chama ndo tafsiri halisi, liko jambo huyu nadhani hawafai chadema , wameruhusu aende huko anakolenga, jeni mchungaji kweli?😮

  • @louisnyaki1936
    @louisnyaki1936 4 місяці тому +7

    Naiona Chadema ikiingia katika mtego wa CCM. Kumbukeni huyu mtu aliwahi kutajwa kwenye kuunga juhudi mkono kisha akakimbia . Jini Hilo halijamtoka . Take my word Ngurumo

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  4 місяці тому +3

      Imeshaingia lakini itavuka salama

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 4 місяці тому

      ​@@AnsbertNgurumokweli kabisa kiongozi, short reply but smart and critical, CHADEMA haitaweza kufa mpaka mpango wa Mungu kuivusha Tanganyika na Tanzania kwenda nchi yabahadi yatimie, anayeona maslahi yake CHADEMA ni muhimu kuliko ya taasisi but atadhirika yeye na si vinginevyo.
      VIVA CHADEMA VIVA MPANGO WA MWENYEZI MUNGU

    • @JoshuaStanley-qu3im
      @JoshuaStanley-qu3im 4 місяці тому

      Huyo haifai kabisa maana hata kuongeza anakuwa na hasira

    • @Filbert-pe2xm
      @Filbert-pe2xm 4 місяці тому

      😂😂 na tumwombee litoke aendelee kubaki chadema​@@AnsbertNgurumo

  • @SHIJADAVIS
    @SHIJADAVIS 3 місяці тому +1

    Wewe ni Mwandishi mwandamizi, ambaye unaweza kusaidia nchi kwa uchambuzi mzuri.

  • @mcongomakete1664
    @mcongomakete1664 4 місяці тому +4

    Msigwa amehusika kutoa rushwa aliwapafedha kwnye sim nakuchukua sim za wajume nawajumbe ndio walio lalamika nakudai kua msigwa kachukua sim zetu kwakua ametuingizia hela ili tumchague.
    Chadema wampe nafasi ya uwenyekiti wa tawi.

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 4 місяці тому +1

    Msigwa keshaona jimboni pagumu jesca yupo vizuri mfungeni kamba huyo atatoroka😅😅😅😅😅

  • @frimatuslupimo2031
    @frimatuslupimo2031 4 місяці тому +2

    Acha kutetea chama kwa kila kitu

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  4 місяці тому

      Najadili hoja iliyo mbele yetu. Leta hoja yako. Kila kiu? Kipi, kipi, na kipi?

  • @usajemwambene
    @usajemwambene 3 місяці тому +2

    Lakini Mchungaji Msigwa si Mchungaji . Huyu ni Shetani anayejificha kwa kivuli cha jina la uchungaji.Hafai alitoka CCM akaenda NCCR mageuzi Chadema na sasa tena CCM hafai huyo anatafuta Cheo tu.Atakapo nyimwa cheo ataomba kurudi tena CHADEMA.

  • @amrankanda4291
    @amrankanda4291 4 місяці тому +2

    Umechemka MSIGWA ni heri ungeunga juhudi kipindi cha Mwendazake kama walivyofanya Wenzio.!

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 4 місяці тому +3

    Mwahachie sugu hata Kama hameonga

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o 4 місяці тому +4

    Uyu msigwa rema alimshitukia mda mrefu, nawaambia kama angepita uyu kanda ya nyasa alikuwa anakwenda kuiuwa kisiasa, wewe ondoka chadema mapambano yanaendelea. Mbowe anafanya kazi kubwa sana na ndiye aliyekubeba. Ulikuwa aujulikani kabisa leo wakumnenea mbowe mabaya? Subiri majibu ya sugu sasa

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 4 місяці тому +2

    Msigwa alibebwa na mbowe sana na kwa sababu alikuwa akimuhonga mbowe sana alikuwa anasaliti wenzie sana hata kuondoka kwa zitto alichangia sana sasa muosha huoshwa

  • @josephmabula9658
    @josephmabula9658 4 місяці тому +1

    Shida sisi chadema ni mbowe tu,yaani sijui tunanini,,watu washindane,wapambane,wakate rufaa,zisikilizwe

  • @RwelamiraPascal
    @RwelamiraPascal 4 місяці тому +2

    Msigwa hata kenye mdahalo alipwaya sana. Sugu alitulia sana

  • @FranksonMkumbwa-mb3pp
    @FranksonMkumbwa-mb3pp 4 місяці тому +1

    Nakukubali saana😅😅😅😅

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 4 місяці тому +2

    Msigwa kakosea sana.Huku ni kutaka kukibomoa chama.

  • @GeoffreyShali
    @GeoffreyShali 4 місяці тому

    Upo sahihi kabisa kaka

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 4 місяці тому +2

    Tatizo msigwa umezoea kula kupitia cdm. Ukihamia CCM utakula zaidi.

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 4 місяці тому +3

    Hayo ni maandalizi ya kuhama chama. Kumbukeni mwanadamu si Mungu. Anaweza kubadilika muda wowote.

  • @ellykibale190
    @ellykibale190 4 місяці тому +3

    Kuna siku alitembelewa na marehemu magufuli jimboni mwake akiwa mbunge...na akamsifia. Siku moja baadaye bungeni akaanza kumponda, wakamkumbusha mbona ulimsifia, akajibu kitu kama sikuwa serious, leo ndiyo nipo serious...Binafsi niliona tatizo kubwa sana la kiuongozi kwa Msingwa kwani kiongozi lazima awe mtu unayeweza kusimamia maneno yake.
    Ndiyo pia tunachokiona hapa, kabla ya uchaguzi anasema hivi baadaye anabadirika.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 3 місяці тому

      Ni kweli aliwahi kufanya hivyo

  • @HemedKiama
    @HemedKiama 3 місяці тому

    Hii ni sawa na mtu kulipwa million kumi ukanye msikitini, umejidhalilisha sana bro,heshima yote imeondoka kwa sekunde,nani kakuloga sikujua una kichaa,dah🤔!..

  • @mrmadebwesanga4971
    @mrmadebwesanga4971 4 місяці тому +4

    Umechambua vyema sana kiongozi wangu

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 4 місяці тому +3

    Yaani Chadema pamoja na wewe Mtu akiamua kusema ukweli wa moyo wake mnasema ananunuliwa?😢 Binadamu ni mtu na anahisia zake, ila akitokea upande wa pili mnasema kafuata haki 😅 Huwa mnachekesha sana na kuhuzunisha.

  • @ClementLushino
    @ClementLushino 4 місяці тому +2

    Mch Msingwa unaoneka kukisaliti chama kabla na baada ya uchaguzi ksababu ya kumunga mkono mbunge SAS wa jimbo la Iringa mjini, si ajabu umelamba noti, unatafuta sababu, jimbo la Iringa Chadema kwa ww litakosekana.

  • @LucianSanga-q8j
    @LucianSanga-q8j 4 місяці тому +3

    Mbona uli kubali Mwenyewe kumbee hata tume ya uhadema sio huru kama ya Taifa haya sasa fungeni Midomo yenu

    • @Ommylayzah_tz
      @Ommylayzah_tz 4 місяці тому

      Hajasema yeye ni Chadema anachambua tu

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 4 місяці тому +2

    Siasa bwana yani sugu anamshinda msigwa😂

  • @farhatfatma12
    @farhatfatma12 3 місяці тому

    Nilimpenda sana Msigwa , Lakini sasa najuta, kumbe ni wa Maslahi tu. Kule zanzibar karibuni Muheshmiwa Mazrui ataungana na Msigwa. Watu wa aina hii bora wajulikane mapema.

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 4 місяці тому +1

    Uko sahihi kbs anasema sitaki kukikchafua chama changu wakati ameshakishafua tayali yaan sielewi ana maana gan

  • @FidasMwaiteghelesya-hw9qs
    @FidasMwaiteghelesya-hw9qs 4 місяці тому +1

    Nimekusubili sana kuhusu hili hatimea nimefurahi usichekewe kutufafanulia

  • @williamnkuhi6166
    @williamnkuhi6166 4 місяці тому

    Njaa mbaya sana aisee.. Hawa wanasiasa walio wengi ni wasaka tonge chumia tumbo..😅

  • @bonifacedanielmwakisunga9638
    @bonifacedanielmwakisunga9638 4 місяці тому +2

    Hawa wanasiasa uchwala tu Mzee gurumo ni wachumia tumbo mi nilitegemea kuwa kukibali kushindwa na sio kuja adharani kulalamika

  • @FashoKibona
    @FashoKibona 4 місяці тому +5

    Msigwa anaelement za kuhama chama ,na Kwa jicho la darubini nyuma ya msigwa Kuna CCM,huyu tumpuuze.niking'ang'anizi wa madaraka.? Msigwa alifaa kuwa mfano wa kuheshimu matokeo, swali ,je msigwa angeshinda yy angeyasema hayo?

    • @FatumaMohamedi-t6t
      @FatumaMohamedi-t6t 4 місяці тому

      Ndio ujue kila binadam anapenda kua juu hapendi kushindwa hat awe mchungaji shekhe .

    • @FatumaMohamedi-t6t
      @FatumaMohamedi-t6t 4 місяці тому

      Na pia km kuna kasoro lazima zisemwe ili wat wajue kilichojificha ndani.

  • @solomoneglesias9752
    @solomoneglesias9752 4 місяці тому +2

    Munyalu huyu hofyo kabisa yaani unajivua chupi hadharani hivi et kisa ni madaraka!!!! Hata ckutegemea hofyo kabisa ila sisi bado tupo na cdm yetu,, cdm ilikuheshimisha sana!!! Yaani kumbe hata uchungaji mwachie Abihudi we umekuwa mbwa mwitu mla kondoo😭😭😭

  • @AlanMbilinyi
    @AlanMbilinyi 4 місяці тому

    Msigwa unajivunjia heshima Tunakuheshimu tunakupenda kauli ulizotamuka kwanza na unanasema sasa nitofàuti .Msikilize Ngurumo Unajidhalilisha pole sana.ukikata rufaa utafeli zaidi haya kata rufaa tuone.

  • @gladsonurioh2629
    @gladsonurioh2629 4 місяці тому

    Hongereni wana CHADEMA kwa kuruka kiunzi. Ili ni pandikizi kubwa.

  • @irenalawrence6386
    @irenalawrence6386 4 місяці тому

    Ndugu Ngurumo hakika unafaa kuwa mwalimu wa siasa, vilevile unaye Roho Mtakatifu anayekuongoza vema, aksante leo kwa ufafanuzi wa @Msigwa!

  • @siriplacid7152
    @siriplacid7152 4 місяці тому

    Huyu ni kiongozi mzuri japokuwa anaweza kuonekana na madhaifu madogo madogo kama hayo . Lakini bado ni kiongozi

  • @pastorkongoke6308
    @pastorkongoke6308 4 місяці тому +1

    Hapo kwa Njombe umejipotosha Alichosema Msigwa ni baada ya rufaa uchaguzi uliitishwa tena na ukavurugwa

  • @barakamfilinge6943
    @barakamfilinge6943 4 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂 nimecheka sana hii simulizi

  • @malinzirutta3391
    @malinzirutta3391 4 місяці тому +2

    Absurd interpretation of law

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 4 місяці тому +3

    Lakini mbona Tundu lisu alisema kuna rushwa ndani ya Chadema lakini watu wamekaa kimya? mi nadhani msigwa anakaukweli flani na inabidi Chadema wajitafakari sana wengine mlio inje mtasema lakini kilichopo ndani kinaweza kisiwe sawa.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 3 місяці тому

      Hukumuelewa alikuwa na maana fedha zimemwagwa kule ili kuwanunua na kufarakanisha chama cha Chadema

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 4 місяці тому +4

    Hakuna ya hivi. Ali hiki fanya sivyo. Nimekuelewa disappointed naye. Hapa unaona moja kwa moja kajidharilisha mwenyewe kwa kauli mbili tofauti. Na hii ni tatizo kubwa kwa mtu mwenye hekima na heshima. Kashindwa kuzitawala hasira zake na hii imetuonyesha upande wa pili wa ndugu Msigwa. Ana sura mbili tofauti.
    Namsikiyimia sababu angetulia kidogo na kutafakari, hata kama ameonewa angeita kikao ndani ya chama kwa maslahi ya chama na si kwenda hadharani namna hii. Inamaana Hana imani na chama bila yeye kuwa madaraka I.

  • @CoaFinanceZone
    @CoaFinanceZone 4 місяці тому

    mwenyekiti wa kanda analipwa bei gani mpaka mchungaji analazimisha ye ndiyo ashindwe?

  • @kenedyrocky4641
    @kenedyrocky4641 4 місяці тому +1

    MH PETER MSIGWA "MCHUNGAJI" AMENI SIKITISHA SANA. SIKUTEGEMEA KAMA ANGEONGEA MANENO HAYO. NIMEFEDHEHEKA NAFSINI MWANGU KWAAJILI YA KAULI ZAKE KWENYE PRESS.

  • @josephmwita6012
    @josephmwita6012 4 місяці тому +20

    mzee ngurumo wewe ni bingwa bobezi wa uchambuzi na nitaendelea kukufuatilia ili nipate asali ya ya ubongo

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn 4 місяці тому +1

    Dah ansbert ni mchambuzi nimemkubali sana huyu msigwa chadema wa muangalie Kwa macho mawili Mimi SI chadema ila napenda upinzani imara na ustaarabu. Wa siasa lakini ukiona mtu anatoka Siri za chama huyu tayari ameishaanguka.ushauri Kwa mh mbowe awe mtaratibu tu na afanye siasa za ustaarabu sababu mamluki anao wengi sana

  • @SekeyanGodson
    @SekeyanGodson 4 місяці тому +2

    Yaelekea msigwa baada ya kutangaza kukubali kushindwa alienda kufanya kikao na maadui wa chadema ndio wakamshawishi kuchafua Chadema. Tusubiri kidogo Kuna dalili ya kuchepuka... Tuendelee kufuatilia.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 3 місяці тому

      Au alikua mda mrefu mguu moja ndani mwingine nje .Mtu mwenye kuishi kibinafsi kimtegomtego

  • @ignacekiwale7281
    @ignacekiwale7281 4 місяці тому +2

    Msigwa kajichanganya ,maneno yake

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 4 місяці тому

    msigwA has capacity of creat lmotion into chadema we can say anything but reality stil there kwahiyo tusimbeze msigwA abauwezo mkubwa ktk siasa ndivyo ilovyo

  • @sospeterodhiambo6869
    @sospeterodhiambo6869 4 місяці тому +1

    Hakika Ngurumo umetupa darasa kamili

  • @godfreymikmta5008
    @godfreymikmta5008 4 місяці тому +1

    Pia ukichunguza kwa umakini anataka kuleta hoja mwenyekiti ni mbaya.

  • @SalambaPeter
    @SalambaPeter 4 місяці тому +1

    Kumbuka chadema ilkokutoa nakuona unataka kutuvuruga ushindwe na ulegee

  • @kwasmokweka9598
    @kwasmokweka9598 4 місяці тому +2

    Mchungaji nini kimempata?yeye si amesoma biblia na anaielewa? Huyu roho mbaya amemnyemeleaje na kumwingilia? Akumbuke ameshaelekezwa la kufanya na afanye hima!

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 4 місяці тому

    👍✌👊.

  • @MwijageHilary
    @MwijageHilary 4 місяці тому +2

    Nina siku nyingi sana bila kuandika huwa Namfatilia Mr Ansibert Ngurumo, kwa kubobea sana ktk uchambuzi mimi nimeumia sana kwa mh. Msigwa kwa haya anayoyasema yaani duuu binadamu wa siasa chadema Tunaipenda sanaaa kubari ushindwe tuu

    • @sospeterodhiambo6869
      @sospeterodhiambo6869 4 місяці тому

      Nilikuwa namwamini sana Msigwa lkn kwa sasa nimemtoa thamani Chadema itaendelea kuwa imara zaidi