CHALII HAELEWI SERA ZA WAJUMBE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 11 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
    :Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
    Bongo Star Search
    Follow Our Pages
    Facebook: / bongostarsearch
    Twitter: / bongostarsearch
    Instagram: / bongostarsearch
    SnapChat: BongoStarSearch

КОМЕНТАРІ • 349

  • @angelholsey2484
    @angelholsey2484 3 роки тому +39

    Yani nimekupendaje nimerudia rudia kuangalia na kusikiliza zaidi ya mara mbili yani wewe hatari 🔥🔥🔥🔥🔥💪💪

  • @Pblessed
    @Pblessed 3 роки тому +19

    Watching from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪 huyu kijana daaah mshindi wangu so far . Daaah anatesa

  • @gilliangabriel6476
    @gilliangabriel6476 3 роки тому +41

    Mshindi wangu Huyu awww🥺❤️❤️❤️

  • @shebydebely1751
    @shebydebely1751 3 роки тому +67

    HUYU NDO BINGWA BSS 2020 JAMAA FUNDI ANA VOICE YA KUIMBA SAAAAANA KM UNMUELEWA GONGA LIKE

    • @mrsliver198
      @mrsliver198 3 роки тому

      ua-cam.com/video/ChtDpxxsCZY/v-deo.html

    • @sebastianmichael9128
      @sebastianmichael9128 3 роки тому

      Yaani nyie majaji hamna kitu ujinga mtupu angalieni America got talent muone mbna mnakuwa washenzi washenzi.

    • @rodgersrugakira6132
      @rodgersrugakira6132 2 роки тому

      Sanaa

  • @kajugaa4537
    @kajugaa4537 3 роки тому +14

    Since day one nakukubali mwana na nyimbo ile "nakukabidhi moyo please usiniumize" pale ndo nilipaelewa sana

  • @dbwaxvevo5780
    @dbwaxvevo5780 3 роки тому +150

    KICHWA CHA BSS WOOOOW ASE KAMA UNAMKUBAL MWANA LIKE HAPA

  • @hawapherooz1160
    @hawapherooz1160 3 роки тому +3

    Aseee huyu mkaka anajua kwanza anasauti nzur san ❤ kama unakubali honga like tuwe mubashara💕💕💕

  • @fadiasly3048
    @fadiasly3048 3 роки тому +5

    Mshindi wangu ni huyu na mkimtoa sitawaelewa your a star boy ❤❤

  • @chelseasancha9400
    @chelseasancha9400 3 роки тому +2

    Winner hapa!
    🔥🔥🔥🔥🔥
    Hii search imeisha.
    Mtuletee tu majanaba plz

  • @nass.pofficial4086
    @nass.pofficial4086 3 роки тому +66

    Huy ndo mshind wa bss 2020

  • @jeremiamhando6383
    @jeremiamhando6383 2 роки тому +2

    Samahani sana bss ila nimekuwa nikifatiria hii kitu this season tangu day one mim na my family....
    Kuna mshiriki mmoja wa dodoma aliwapigia gita watu kazaa na yeye baadae akaimba kwa kweli alikuwa bora sana plz BSS do something kwa huyu jamaaa hata ikiwezekana mpeni nafasi ashiriki tena sehem nyingine...
    Kweli tunajua kwenda kushiriki sehem nyingine inaitaji pesa na mahitaji mengine ila wengine uwezo hawana plz madam help him

  • @alexjumanne939
    @alexjumanne939 3 роки тому +77

    kama unaamini jamaa anaweza gonga like twende sawa

  • @abbashalili0880
    @abbashalili0880 3 роки тому +79

    Mshindi wangu ni huyu
    Sijajua wao watatupitishia nani... ila jamaaa Anajua kinoma

    • @lilywile4810
      @lilywile4810 3 роки тому +3

      Madamu nampenda

    • @arafakiloli749
      @arafakiloli749 3 роки тому +1

      Abasi me hadi chozi limenitoka kwa rahaaa😘😘

  • @emanuelminja7403
    @emanuelminja7403 3 роки тому +3

    Hii ndio mashine ya BSS 2020 umetisha sana 😌

  • @husseinkudra8719
    @husseinkudra8719 3 роки тому +1

    Uyu mungu amsaidiy achukuwe ushindi juu ninoma sn anawez sana 💓

  • @redforcemagume958
    @redforcemagume958 3 роки тому +3

    Kama umesikia inabidi niendr kwa mama la mama gonga like hapa

  • @roi2553
    @roi2553 3 роки тому +10

    Masta j hicho kicheko chako nimekinakili tangu kitambo aisee nachoka😆😆😆😆

  • @anastaziamruma3775
    @anastaziamruma3775 3 роки тому +13

    Mshindi wanguu huyuuuu 🥰🥰🥰💋💋💋

  • @abedimiraji2520
    @abedimiraji2520 3 роки тому +7

    Chuga anauwa sana respect .

  • @alainbouba5164
    @alainbouba5164 2 роки тому

    Haya kujinadi kote ila mumemtoa haraka ivo... Daah.... ila Ommy ndie kamtowa kwasababu alimcukia mwanzo hapa wakati hawakumchagua... broo... you the best...

  • @elizabethlizy2731
    @elizabethlizy2731 3 роки тому +30

    Zido we nouma nakuamin utatuwakilisha Arusha

  • @kikotikikoti4828
    @kikotikikoti4828 3 роки тому

    Wewe ndio mahindi daaa jamaaa nakipajo Cha ajabu sijaona daaa all ze best Kama usipo shinda nitaamini uchawi upo

  • @silverminjal5108
    @silverminjal5108 3 роки тому +1

    Im not joking this guy is the winner of Bss 2020 bro u are de best

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 3 роки тому +1

    Wallah nmpenda hyu bro

  • @ronaldomselleronaldomselle6238
    @ronaldomselleronaldomselle6238 3 роки тому +22

    ARUSHA oyeeeeeeeeeeeeeee gonga like ap

  • @saidndimbwa4976
    @saidndimbwa4976 3 роки тому +2

    Huyu ndo mshindi wa BSS ...anajua sana huyu msenge...

  • @alexbenito8260
    @alexbenito8260 3 роки тому +1

    Mwamba anajua sanaa

  • @whatsupsweden
    @whatsupsweden 3 роки тому +7

    I thought he would be att least top 3. I hope some label will pick him up cus he is so talented

  • @sharrifahh670
    @sharrifahh670 3 роки тому +4

    Min 1:51 did it for me. More love 254🇰🇪🇰🇪 likes 😍

  • @zainabjuma8880
    @zainabjuma8880 3 роки тому

    Luv kwako bro yoyoteanaye kubliana nauyu bro atupie like apo

  • @neysam4143
    @neysam4143 3 роки тому +1

    hooooot jmn n noma

  • @lucymassawe3735
    @lucymassawe3735 3 роки тому +8

    mshindi wangu🥰😘

  • @albertrubaligwa3383
    @albertrubaligwa3383 3 роки тому +1

    Kikwakwaru1 BIGUP msela angu

  • @kassuqutbi2199
    @kassuqutbi2199 3 роки тому +2

    Jamaaa namkubali sana yeye Na bilionea hao ndio vinara wa mashindano hayooo”✌️

  • @msms8812
    @msms8812 3 роки тому +2

    Huyu kijana Masha Allah anajua kuimba kwa kweli

  • @Tiwiniankid
    @Tiwiniankid 3 роки тому +3

    He is da winner mpeni Hela zake tyar👌👌👌💯

    • @roi2553
      @roi2553 3 роки тому +1

      😆😆😆😆

    • @Tiwiniankid
      @Tiwiniankid 3 роки тому

      @@roi2553 kwl au waonaje ndugu😝😝

  • @khadijaallyfikirin358
    @khadijaallyfikirin358 3 роки тому +3

    Nimekupenda bure upo vizur🔥🔥🔥

  • @mamakeaisha4926
    @mamakeaisha4926 3 роки тому +11

    Huyu ndo mshindi inshaallah

  • @furahaj645
    @furahaj645 3 роки тому +15

    Me I’m done with Omi😂😂❤️

  • @kennytemba1341
    @kennytemba1341 3 роки тому +1

    Ally zidooo ngarenaro bana ngarenaro shkamooo wahuni kibao na warembo wa maana ngarenaro shkamooo 🤣💥💥💥💥💥💥💥💥 dah jamaa wa kitaaa

  • @kassuqutbi2199
    @kassuqutbi2199 3 роки тому

    Hawa machalii wa arusha nawakubali sana huyu DOGO Na bilionea wapo juu sana huenda mshindi akatokea hapa” kwa wawili hao

  • @faithdaniel5652
    @faithdaniel5652 3 роки тому +12

    Mshindi wangu

  • @ismailyabdi7390
    @ismailyabdi7390 3 роки тому +1

    Bless chaliiangu,,,kaza mkali upo vzuri man

  • @salmahussein8076
    @salmahussein8076 3 роки тому +1

    Uyu kaka anajua sanaaaaaaaa

  • @redemptagaudin4804
    @redemptagaudin4804 3 роки тому +19

    Christian Bella anataka waimbe lingala ndio anaelewa 👄

    • @bertinaafonsorapaz8345
      @bertinaafonsorapaz8345 3 роки тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂lingalaaaa

    • @minnahjay7676
      @minnahjay7676 3 роки тому +1

      😂😂mgum kinoma noma😂😂😂

    • @peloofficial5610
      @peloofficial5610 3 роки тому +1

      @@minnahjay7676 ndugu zangu sio lazima bella hakubali kila mtu tuwe waelewa ndugu zangu hapo akuna mambo ya ubanguzi wote anaowachangua bella niwatanzania wote sasa vya lingala vimekujaje hapo

    • @sitiabubakar2892
      @sitiabubakar2892 3 роки тому

      Leo ana mawazo yake huyo

    • @habibaibrahimu7903
      @habibaibrahimu7903 3 роки тому

      😂😂😅😅😅 yn mgumu kinoma

  • @mohamedkitemo6799
    @mohamedkitemo6799 3 роки тому

    Jamaa ndiyo mshindi huyu nakama cyo mshindi namuona top 5

  • @vailethnyagawa1360
    @vailethnyagawa1360 3 роки тому +1

    Yote 9 nimeshindwa Jikaza hapa we ni mshindi wangu🙏

  • @irenepaul1964
    @irenepaul1964 3 роки тому

    Nakupenda sanaah we ndo mshind 2020 unajua kinom nom

  • @chrissbigo5555
    @chrissbigo5555 3 роки тому +4

    Here again @Zido.
    I also bet huyu ndo mshindi wa BSS Season 11

  • @barakascoutandrew5791
    @barakascoutandrew5791 3 роки тому +10

    The man 🔥🔥🔥🔥

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 3 роки тому

    Yangu macho tyuuu

  • @mtech500
    @mtech500 3 роки тому

    We chaliangu usipopita ni figisuuu mzee master

  • @ibrahimmseti5643
    @ibrahimmseti5643 3 роки тому

    Dah someone likes you since day one 💪💪 hpo hta master kawek salute 👏👏

  • @sakinahyela545
    @sakinahyela545 3 роки тому

    Jmaa anajua sanaaa

  • @shanielmasoud4130
    @shanielmasoud4130 3 роки тому

    Kila la kheri chuga boy...nakuamin ww unawez sana Mungu atakusaidia utakuwa mshindi wa mashindano haya

  • @shabanlucas4790
    @shabanlucas4790 3 роки тому

    Mshindi wa bss mwaka 2020 ni huyu jamaa,yaan anajua mpaka anakela

  • @stevemungas9586
    @stevemungas9586 3 роки тому

    fantastic xana gedion can kapita wap jmn

  • @kimlylameck9879
    @kimlylameck9879 3 роки тому +25

    Ommy chizi sana😂😂😂

  • @betysamora6438
    @betysamora6438 3 роки тому +1

    Mi ommy tu ndo unaniuwa mweeee😍

  • @marysteve9871
    @marysteve9871 3 роки тому

    Unajua mzeee

  • @dannyelias382
    @dannyelias382 3 роки тому +2

    Kaaa jamaa mkali sana🔥🔥🔥🔥

  • @sheillahassani3997
    @sheillahassani3997 3 роки тому

    Naenjoe sana

  • @eshialabonita7736
    @eshialabonita7736 3 роки тому +8

    Jiga sana Idris 😂😂😂

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 3 роки тому +2

    Winner 2020 ❤❤🔥

  • @kellytoyi906
    @kellytoyi906 2 роки тому

    Anaweza kwakweli

  • @sandramapima882
    @sandramapima882 3 роки тому +1

    Ngarenaro republic #zido ngarenaro

  • @killylevenson
    @killylevenson 2 роки тому

    Naomba jina la huyu mwamba

  • @justineeliya175
    @justineeliya175 3 роки тому +2

    Kijana anajua tuache uongo

  • @zaitunthabit7995
    @zaitunthabit7995 3 роки тому

    nakuelewa sana

  • @najmaabdul5088
    @najmaabdul5088 3 роки тому +1

    Hii clip hainichoshi ni Mara ya 30 naiangalia na cjaichoka

  • @swedially4911
    @swedially4911 3 роки тому +2

    Dah. Huyu dogo duuu, sanaaa tu

  • @emmanuelandrew8965
    @emmanuelandrew8965 3 роки тому

    Huyu jamaa ni noma saana....🤣🤣🤣🤣🤝🤝

  • @omaryissa1824
    @omaryissa1824 3 роки тому

    Nakubali

  • @glorykimaro5528
    @glorykimaro5528 3 роки тому +1

    Yan ww ni star wangu

  • @titorybkenyamusic3984
    @titorybkenyamusic3984 2 роки тому

    Kali sana

  • @kevojr8814
    @kevojr8814 3 роки тому +1

    Chuga 2 the world

  • @sarahndulu5078
    @sarahndulu5078 3 роки тому +1

    jamn idriss eti "hamna dera hamna dera hamna dera kuna kimini"😂😂😂

  • @levisnicemkuumathias3451
    @levisnicemkuumathias3451 3 роки тому

    Nakubl mkuu

  • @bangablack694
    @bangablack694 3 роки тому +1

    Mwana anajua sana

  • @straton-shayo755
    @straton-shayo755 10 місяців тому

    Kaskazin boy 👊

  • @nabagalahadijjah1074
    @nabagalahadijjah1074 3 роки тому

    Nakubali mshindi uyoo

  • @hdtz3942
    @hdtz3942 3 роки тому

    Jamaaa anajua sana

  • @benardmoshi5060
    @benardmoshi5060 3 роки тому

    Mshindi wa bss chalii ya R

  • @aminakipingu8100
    @aminakipingu8100 3 роки тому

    Kaka Ana sauti Kama unamkubari like

  • @aishabakari8085
    @aishabakari8085 3 роки тому

    Ww ni star

  • @KANTANA97
    @KANTANA97 3 роки тому +1

    Washikaj wachuga wanawasha moto

  • @maryamomar8972
    @maryamomar8972 3 роки тому

    Wawooooh it nice song

  • @jahpeoplebadguy4226
    @jahpeoplebadguy4226 3 роки тому +1

    Mshindi wa BSS 2020💪🏾

  • @ruckydodo8098
    @ruckydodo8098 3 роки тому

    Jmn uyu kka anajua..wallh

  • @tameemothman8192
    @tameemothman8192 2 роки тому

    Wafokee mwana waoga majaji

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 3 роки тому

    Gita litamuangusha yuko vizur sana akiimba bila gita

  • @heavenlightukwai89
    @heavenlightukwai89 3 роки тому

    Big up chalii ya home hata usiposhinda ww unajua

  • @philemonmgonela9912
    @philemonmgonela9912 3 роки тому

    Dogo anaweza atakuwa mshindi hakika

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 роки тому +1

    Mwamba unajuwa sanaaaa 👊

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 3 роки тому +1

    M nmpenda ommy jmn😍😍😍

  • @upendocharles2294
    @upendocharles2294 3 роки тому

    Duh nimependa sana

  • @user-bs1iv8fe5z
    @user-bs1iv8fe5z Рік тому

    Uyu mwanangu uyu bx tu

  • @massudbiz9828
    @massudbiz9828 3 роки тому +1

    Kwann bella mgum hivo🤔🤔🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @goodluckjohnpaul1518
    @goodluckjohnpaul1518 3 роки тому +1

    Appreciate appreciate

  • @oscarjulius5867
    @oscarjulius5867 3 роки тому

    Vzur