HIVI NDIVYO NGUVU YA MUNGU ITENDAVYO KAZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 210

  • @kadehakoreta9353
    @kadehakoreta9353 2 місяці тому

    Samwel mungu akubariki kwamafundisho hay

  • @Fredrickadeya
    @Fredrickadeya 5 місяців тому +10

    Kijana wewe ni mdongo sana wacha upuzi maisha yako itapoteya gafla coz unazungumzia watu wa mungu vibaya like Ezakiel Odero, ukona evidez yakutosha, kemeya upepo uliyo nayo coz auko sawa kiakili, shemon you.

  • @ShuraIddy
    @ShuraIddy 3 місяці тому +2

    Pole sana kaka angu ama kweli.mungu atuepushe na tamaaa

  • @JoyceMkini
    @JoyceMkini 5 місяців тому +8

    Shida kuna watu hawataki kumjua Mungu wa kweli wanapenda miujiza ya kutumia vifaa Mungu hahitaji msaada anajitegemea hahitaji kusaidiwa na vitu someni Neno la Mungu mtajua hao mnaowatetea muone kama hayo anayosema mi kweli au siyo kweli

  • @HusnaAbdalla-c2g
    @HusnaAbdalla-c2g 5 місяців тому +3

    Pole sana kaka

  • @FarhanSalimbukheit
    @FarhanSalimbukheit 5 місяців тому +9

    Allah subhaana wataala hakufanana na kitu chochote kila hakuzaa wala hakuzaliwa na Yesu sio mungu na Yesu na sisi waislam tunamwita Issa atarudi kabla ya Qiyama atakuambieni mimi sio mungu wala si mtoto wa Mungu

    • @EsterMachea
      @EsterMachea 5 місяців тому +2

      Pole Yesu ni Mungu tuh atabaki kuwa Mungu

    • @VictoriaCharles-r6y
      @VictoriaCharles-r6y 5 місяців тому +2

      Jidanganye ,,,, Yesu akija anakuja kuchukua watakatifu kwenda nao mbinguni usipomkubali sasa ni moto tu

    • @isayamgogojeradi
      @isayamgogojeradi 4 місяці тому

      Bado haujasema mfuga Majin kibaka wa Mohamed Yani yesu umuringanishe na hakiri za mhamad mbakaji fara wewe

    • @isayamgogojeradi
      @isayamgogojeradi 4 місяці тому

      yani wafunga majini vibaka wa Mohamed waga hawajui kama kibaka Mohamed arie riwa na guruwe

  • @roshirash-uv3mz
    @roshirash-uv3mz 5 місяців тому +34

    Niwewe unakuwa sio muwazi unakweoesha kusema ukweli unazunguka harafu husemi ambayo umeagizwa na mungu nenda street kwa nini husemi unakera bwana nenda kwenye point moja, kwa moja

    • @millicentouma1838
      @millicentouma1838 5 місяців тому +1

      Na vile nimejitolea kumsikiza nla shang'aaa vipi ukweli uko wapi?

  • @IblahimMwafongo-m2r
    @IblahimMwafongo-m2r 4 місяці тому +3

    Tuwe na iman na Allah pesa n mauwa2 ya dunian tutaziach

  • @CyprianNyakundi-m8d
    @CyprianNyakundi-m8d 5 місяців тому +3

    😭😭😭😭😭Kanumba may your soul continue resting in peace

  • @Happywillson-tp4ix
    @Happywillson-tp4ix 2 місяці тому

    Mungu anasema nawewe waap acheni zenu nyinyi mnao toka kuzimu ndo mnatupoteza mungu ananiambia wewe umetoka kuzim kwasabu mnaungua lengo nikutoa watu kwenye imani ilimuw pate mshindwe kwajina la yesu

  • @panadomadola3064
    @panadomadola3064 5 місяців тому +6

    Kwa hili la Kanumba eti akuwahi kuwa Freemason hapa mtumishi unatudanganya au pengine uwelewi chochote kuhusu kanumba

  • @eliasmyamba4767
    @eliasmyamba4767 3 місяці тому

    Asante mtumishi wa mungu kwataalifa

  • @MaryAtieno-t1z
    @MaryAtieno-t1z 2 місяці тому +1

    nime ngoja sana kwelewa adi nka choka

  • @JosphineKarambu-cq4mf
    @JosphineKarambu-cq4mf 5 місяців тому +1

    Umelipwa kusema uongo kuhusu watu wa mungu kumbuka ata mungu alisema tusiwaelekeze kidole watu wake

  • @Happiness-p5n
    @Happiness-p5n 5 місяців тому +1

    Umetumwa na kuzimu mmeona wanaalibu vitu vyenu😊

  • @EmigidiusElnatus
    @EmigidiusElnatus 3 місяці тому +1

    We ni kaongi bhana

  • @AsdASD-xc3sw
    @AsdASD-xc3sw 5 місяців тому +4

    Huweleweki kabisa 🤔🤔🤔🤔🤔🥺🥺

    • @kuschprince3216
      @kuschprince3216 5 місяців тому

      " Nlidhani ni mimi tu kumbe pia wewe? Huyu atubeba ufalah!

  • @Young_boys24609
    @Young_boys24609 5 місяців тому +1

    polesana❤

  • @SalomeMideva
    @SalomeMideva 3 місяці тому

    Hapo nimekuunga mkono kbsaa👍mm hata leo hii bdo nawatch movie zake,n pia mtu akiwa maarufu n afe inasemekana eti ooh freemasion washinde katika jina la yesu🙏

  • @JaneNyongesa-z4h
    @JaneNyongesa-z4h 2 місяці тому

    Sema tu ukweli point yko n gn

  • @JanetNjobvu-xf4vq
    @JanetNjobvu-xf4vq 4 місяці тому

    Acha kabisa kumuongelea kanumba muache aendelee kupumzika kwa amani

  • @ChambaloLukanya
    @ChambaloLukanya 3 місяці тому

    Shukrani alfredy

  • @EMILYKILWAKE-w2g
    @EMILYKILWAKE-w2g 5 місяців тому +4

    Kanumba hajafa ako hai tena vizuri sana acheni matusi please narudia kanumba hajafa

    • @ميريم-ط1س
      @ميريم-ط1س 5 місяців тому

      Mtoeni bas kama hajafa tumuone na sisi ju mnavosema hajafa yupo bas mnajua kwenye yuko nyinyi

    • @RehemaKatana-hb4ei
      @RehemaKatana-hb4ei 5 місяців тому +2

      Uongo tu kuoga Aaaaaaah mtoeni tumuone basi

    • @Mjombaa-k22
      @Mjombaa-k22 5 місяців тому

      Au ww ndo kanumba

  • @Isaihloishiye
    @Isaihloishiye 5 місяців тому +1

    Mbn shetani amefungiwa ww ulimuonaje ss wacha uwongo mtaft Mungu ndungu yangu sifa sio nzuri kamwe

  • @Marthachacha-n1i
    @Marthachacha-n1i 5 місяців тому

    Wewe toka hapo usiwahukumu watumishi WA mungu nakuhulumia wewe kijana

  • @MarySebastian-p3f
    @MarySebastian-p3f 2 місяці тому

    Pole sana

  • @RoselineOtieno-b1q
    @RoselineOtieno-b1q 3 місяці тому

    Mimi,nashanga,sana koz,anasema

  • @DamasPhillipo
    @DamasPhillipo 3 місяці тому +1

    Acha Tama tafuta vya harali

  • @EstherStephen-rg6ew
    @EstherStephen-rg6ew 5 місяців тому +1

    Me nakuamini sana kak💒💒💒💒

  • @JanethAssenga-j9m
    @JanethAssenga-j9m 5 місяців тому +3

    Mbona hatukuewel

  • @AminaKavuo-gj3oc
    @AminaKavuo-gj3oc 5 місяців тому

    Bwana yesu asifiwa mutumishi naomba tu maombi naomba tu hukiomba unikumbuke kwa maombi

  • @RachaelGuni
    @RachaelGuni 5 місяців тому +2

    Huyu sio freemason huyu kijana anatafuta uchawi wa makaburini hana lolote

  • @TonnyMchura
    @TonnyMchura 5 місяців тому +3

    Weeee bado ni shetani

  • @SamiaMwenjuma
    @SamiaMwenjuma 4 місяці тому

    Kweri kabsa😊

  • @PetroPaul-g2p
    @PetroPaul-g2p 4 місяці тому +1

    Mathayo7:1

  • @JesseMutethia
    @JesseMutethia 5 місяців тому +2

    Wewe hokoka

  • @VeroKiziro
    @VeroKiziro 4 місяці тому

    Mungu azidi kukusaidia

  • @POWERMANGWANA
    @POWERMANGWANA 2 місяці тому

    Mara unataka kutaja majina ya waliomo free mason mara jina lako linawanufaisha matapeli
    .NYAMAZA KIMYA!

  • @JamesSaasita
    @JamesSaasita 5 місяців тому

    Dieu tjrd aux contrôles

  • @rebeccamalumbosefyuko5380
    @rebeccamalumbosefyuko5380 3 місяці тому

    Wapo weng mno Yesu hachanganyi mafuta wala maj wala vitambaa na nk

  • @NasmaFikir
    @NasmaFikir 2 місяці тому

    Pol san kak ulikua ujui mung ata kusaidia

  • @matanobaya619
    @matanobaya619 5 місяців тому +4

    Unaudhi unapozunguka zunguka na unachukua dakika nyingi, sina mda na upuuzi.

  • @FatuNahimana
    @FatuNahimana 5 місяців тому

    Ninge kuwa rahisi mimi watanzania mnavyo ongeyaga utumbo ninge wa weka sawa

  • @Young_boys24609
    @Young_boys24609 5 місяців тому

    very good ❤

  • @LinetSimiyu-h9w
    @LinetSimiyu-h9w 2 місяці тому

    Wacha kuwaribia Eziekiel jina lake

  • @graciaasombo6636
    @graciaasombo6636 3 місяці тому +1

    Mungu alilahani nyoka wakati kani ? Kwenini unazungumuza uongo ku usu mambo ya mungu? Kwa tarifa yako nyoka alilahaniwa ni wakati alimu dangania ao kumtongoza Eva . wakati lusifa alijingiza kwa nyoka îli kutimiza lengo lake

  • @MiriamNajala
    @MiriamNajala 5 місяців тому

    Unajijosha bure kaka sikuelewiii😊

  • @BarakaTunze
    @BarakaTunze 4 місяці тому

    Aise samwel hueleweki unatuhasisha tujiunge freemason leo et umejitoa mwongo

  • @StanleyKanumba-yn1ps
    @StanleyKanumba-yn1ps 3 місяці тому +1

    Kanumba kafanyaje acha ufara

  • @EstherCharles-n2g
    @EstherCharles-n2g 4 місяці тому

    Acha uongo ww nimdogo sn muogope mungu kijana

  • @Sam-pm4en
    @Sam-pm4en 4 місяці тому

    Ni kama vile unajibana Bana sana , ebu funguka kiwazi bro

  • @StanleyKanumba-yn1ps
    @StanleyKanumba-yn1ps 3 місяці тому

    Unacho kiongea hueleweki ,,, acha na Kanumba kabisa

  • @EmmanuelPiusi
    @EmmanuelPiusi 5 місяців тому

    Nikweli kijana ubarikiwe sana na Mungu akulinde na asiye amini uyasemayo 7babu yakutajwa mapasta wao bac Mungu awasaidie sema watu wanaipenda miujiza ya upako injili za ovyo watu wanazipenda ety pokea gari pokea pesa duuuuuuuu!!!!!!!!!!

  • @RehemaDaffa
    @RehemaDaffa 2 місяці тому

    Mbona hasemi huyu muongo anazungusha taili tu

  • @VioletKnight-nh1ln
    @VioletKnight-nh1ln 5 місяців тому

    Utachoka buree,lakini kwa ezekiel sitoki ninacho kipatanakijua mm

  • @LilianIngosi-hh7ex
    @LilianIngosi-hh7ex 5 місяців тому

    Unatafuta comments na likes 😂 uko na shida sisi tunaamini mungu anawatumikia pastor Ezekiel we love you Ezekiel God protect you and continue using you to spread Gospel Amen

    • @EZEKIELIMUWANJE
      @EZEKIELIMUWANJE 4 місяці тому

      Hulazimishwi kuamini nimaamuzi yako siimeandikwa walumi10:10

    • @MariaBenedict-h2n
      @MariaBenedict-h2n 2 місяці тому

      Katu 1:49 1:50 😊ni❤

  • @THURAMLEBONGOUT
    @THURAMLEBONGOUT 4 місяці тому

    Huyu jamaa ni Muongo, anaposema eti kanumba alikuw si freemason, mpumbav zak

  • @matanobaya619
    @matanobaya619 5 місяців тому +4

    Wew inafaa upimwe akili, sababu leo unasema ivi kesho vile, walishambulia sehemu ya kichwa chako baada ya kuenda kinyume.

  • @ApolloniaMwinula
    @ApolloniaMwinula 5 місяців тому

    Huyu kaka hajui kupanga point akaeleweka!? Mm sijamuelewa anazungumzia hoja gani

  • @KhalifaChuma
    @KhalifaChuma 5 місяців тому

    Kwel kbs shetani ni Bab wauwongo lipo wazi ilo

  • @POWERMANGWANA
    @POWERMANGWANA 2 місяці тому

    Unafundisha theolojia au unashuhudia yaliyokupata na uliyoyana?!
    Yaani huelweki kabisa! Unaongea sana kuliko kuhabarisha umma, ujue watu wanatumia mb kukusikiliza.!

  • @FatrishaAyoub
    @FatrishaAyoub 5 місяців тому

    Unatafuta Kiki Kwa pikipik uyoooooooooooooo😝😝😝😝 acha kumuomgelea mtu ambaye ameshakwishakufa 😏😏😏

  • @JoyceMkini
    @JoyceMkini 5 місяців тому

    Jamani Mungu mbona hasaidiwi na vitu jamani anajitegemea sijaelewa hapo mwazo ulisema tuwaogope leo tuende tena

  • @BeatriceSoka-c7c
    @BeatriceSoka-c7c 5 місяців тому

    Tafuta Mungu super kaz sina uhakika na ww

  • @ABUUALLY-ch5jr
    @ABUUALLY-ch5jr 5 місяців тому +2

    😂😂😂ivoo unavyoongea tu unaonesha wazi kuwa ni muongoo

  • @EmmanuelNdahya-ud5nj
    @EmmanuelNdahya-ud5nj 5 місяців тому

    Uya ijamaaa so mkweli alisema amejiunga akiwa anauza chipis leo akiwa mdogo acha uongo brow 😮

  • @Vdjbecks254
    @Vdjbecks254 3 місяці тому

    Jaribu kuwa muwazi tafadhali unafumble saana

  • @Hannah-j7p
    @Hannah-j7p 4 місяці тому +1

    Kiherehere tupu

  • @LinaMsiska
    @LinaMsiska 5 місяців тому

    Ungeya basic tujuwe kanumba Yuko wapa and Hera zake ziko WaPo iyo ndiyo habari

  • @KemmyPrince-r4l
    @KemmyPrince-r4l 5 місяців тому

    Punguza bangiiii njaaa zitakuuwaaa kenge uww😂😂 ata shetan mwenywe anangalia bhna watu wenye akili ww kichwa Kama bosk akil 0 😀😀

  • @Zuuh107
    @Zuuh107 5 місяців тому +1

    𝙼𝚒 𝚙𝚒𝚊 𝚋𝚊𝚍𝚘 𝚗𝚊𝚊𝚗𝚐𝚊𝚕𝚒𝚊𝚐𝚊 𝚖𝚘𝚟𝚒𝚎 𝚣𝚊 𝚔𝚊𝚗𝚞𝚖𝚋𝚊 𝚖𝚙𝚔𝚊 𝚕𝚎𝚘 😢😢😢😢

  • @samsonsimon3138
    @samsonsimon3138 5 місяців тому

    Hawa watu wa aina hii huwa siwaamini sababu wanastori za kuumba hazina verification zozote

  • @maliustibendelana9453
    @maliustibendelana9453 5 місяців тому

    Wacha kuzunguka sana mpaka mwisho unakoswa kituo cha simlizi ako,
    Fanya hivi chukua pointi tueleze mpaka mwisho bila kuichanganyia mambo ingine

  • @johnmusau89
    @johnmusau89 5 місяців тому

    Ww haujawawai kuwa freemason

  • @MgrethCharles
    @MgrethCharles 5 місяців тому

    Ila wew mungu mogop

  • @RaulyMega
    @RaulyMega 5 місяців тому

    Huyu jamaa ametunga uongo ili apate umaarufu tu

  • @FrankKichele
    @FrankKichele 5 місяців тому +1

    We dogo acha kudanganya watu

  • @ChujanChujan
    @ChujanChujan 4 місяці тому

    Acha ujinga ukitaka kusema Seema Tena ww angalia huo uongo utakupeleka pabaya Soma wafilipi 3:1-5

  • @BakariLambae
    @BakariLambae 5 місяців тому

    We kichaa muongo uweleki

  • @josphatnyakango1871
    @josphatnyakango1871 3 місяці тому

    Nenda ukafungue ibada yako

  • @FredBarasa-s4k
    @FredBarasa-s4k 3 місяці тому

    Tufafanulie dugu yetu kirahis

  • @MariamSoza-t4q
    @MariamSoza-t4q 5 місяців тому

    Sema mungo lkn me naona kweli

  • @MargaretEbei
    @MargaretEbei 3 місяці тому

    Ww NI chizi manze unatafuta likes ujielewi bro

  • @Saidaliy-v2g
    @Saidaliy-v2g 5 місяців тому

    Ukiona hivyo hana kaz anatunga umbea ili apate koment kabugiiìi😅😅😅😅😅

  • @LukaMwilafi
    @LukaMwilafi 5 місяців тому

    Acha uongo bhanaa

  • @robysonpaul1958
    @robysonpaul1958 5 місяців тому +1

    Kils siku neno mojs

  • @Happywillson-tp4ix
    @Happywillson-tp4ix 2 місяці тому

    Hata hufanani naloho mtakatifu bali unafanana na mtaka fujo

  • @ADAMUKASSIAN
    @ADAMUKASSIAN 4 місяці тому

    Funguka bro mbona una kwama kwama

  • @estherobed8693
    @estherobed8693 5 місяців тому

    Rekebisha kwanza kiswahili chako yaan cjui hata cjakuelewa kwanza kan we kabila gan😏😏

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 5 місяців тому

    Kama kanumba yupo hai kwanini usimtoe hadhalani mnafikitu

  • @DedanTheuri
    @DedanTheuri 5 місяців тому

    Kwa iyo lucifer ni nyoka sio mtu🤔🤔

  • @StevenGalusi
    @StevenGalusi 5 місяців тому

    1🙉🙉🙉🙉 uongo tupu

  • @RoselineOtieno-b1q
    @RoselineOtieno-b1q 3 місяці тому

    Mbona,ukaingia.uko.ukosawa.kweli

  • @rassyb-ij9md
    @rassyb-ij9md 5 місяців тому +1

    Kama kanumba hajafa mlete kazi kumkubusha machungu mama wawa2 unajuwa kanumba alikuwa naumhimu Gani jitambuwe ufanya Yako acha kuliza mama wawa2 et hajafa mlete Sasa kiki za ajabu

    • @Imaniamockgmail
      @Imaniamockgmail 5 місяців тому

      Inaumiza sana Kwa kweli hawajui tu🤔💔 kama hayajawahi kukuta unaona kawaida tu subiri yakukute ndo utajua nimependa kauri Yako ndugu yangu🙏🎉

  • @MuyengaSalehGaston
    @MuyengaSalehGaston 3 місяці тому

    Dogo utakufa kwa nini unasumbuwa watu

  • @floraflora9490
    @floraflora9490 5 місяців тому +1

    Acheni sifa mwamuumiza sana mamake kanumba , kwani wangapi wamekufa mbele ya kanumba ama nyuma yake mbona msiwataje ,

  • @evelizabosibori3877
    @evelizabosibori3877 4 місяці тому

    Atuonyeshe picha yenye inaonyeza anajokisema ni kweri???

  • @CallenNyanchama
    @CallenNyanchama 5 місяців тому

    Wewe tunakuskiliza mbaka tunachoka acha umbwakin ongea faster faster,,,tunajua kanumba nimuigizaji

    • @MichaelDeusi
      @MichaelDeusi 5 місяців тому

      😂😂😂😂Uko siliz na bndo lako

  • @ev.jeconiahondieki9182
    @ev.jeconiahondieki9182 5 місяців тому

    Huyu Jamaa vitu vingi anadanganya

  • @RachaelGuni
    @RachaelGuni 5 місяців тому +3

    Mm nmkenya na pastor ezekiel odero tuna mjua sana atakabla awe pastor mwambieni awachane na ezekiel