MUNGU ALISEMA USIOGOPE SIKILIZA HII

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 278

  • @DenisChacky
    @DenisChacky 15 днів тому +1

    Mbona kuna vitu kama unatudanganya yaan unamaanisha Bwana Mungu wetu Yesu Kristo hawez kuruhusu ufilisike ingali unamali za Shetani hapo siunampa Shetani uhalali ktka maisha yako😢😮😮maana bado unavitu vyake.

  • @CatherineMusau-s4e
    @CatherineMusau-s4e 5 місяців тому +6

    Glory be to God aki mungu atakusaidia hauwezi kufa kuna maisha yako ya kesho iyo jeneza sii yako

  • @LifeWaytv4287
    @LifeWaytv4287 6 місяців тому +59

    🇰🇪 Hili jina "Samueli" ni jina langu na ni jina la ajabu ajabu maana yake "Mungu husikia". Lakini vita za kiroho jameni! Mara ni mashetani, mara wachawi, mafreemason, njoka njekundu vichwa saba nane kumi! Busara kumpokea Yahusha Ha Mashiak/Yesu Kristo ambaye anatuokoa na kutufanya zaidi ya washindi. Hongera kijana Samueli. Wewe ni champion. Kazana umshidi na utashida!

  • @Robbysco
    @Robbysco 2 місяці тому +4

    Huyo dogo muongo kama unakubali gonga like❤

  • @fridahkarimi3457
    @fridahkarimi3457 6 місяців тому +9

    MATHEW 16:26
    JEREMIAH 29:11-14
    JEREMIAH 33:3
    EXODUS 23:25-30
    JOHN 10:10
    MATHEW 7:7-14
    JOHN 3:16

  • @MagyMarg
    @MagyMarg 6 місяців тому +11

    Asanti baka mungu akubariki sana sio wote watakuelewa lakini atakaye shika haya mambo ataokoka TU na kumtumikiamungu Amen

  • @judithmasele9451
    @judithmasele9451 6 місяців тому +8

    KKimiliki ktk makanisa yaliyowatesa ulipokuwa kule ili ukombolewe na uzuie kifo chako. Shetani anakutishia tu. Amini Mungu ni kila kitu

  • @nestasanga8433
    @nestasanga8433 6 місяців тому +4

    Njoo nikuombee Mungu ni mkuu kuliko freemasoni

  • @Babylove36
    @Babylove36 6 місяців тому +16

    Mungu tuponye nasisi Ambao hatuna haraka na hela za haraka 🙏Any Tanzania people here nawapenda nyote ❤❤❤❤

  • @desderymakoi6595
    @desderymakoi6595 6 місяців тому +17

    Ubarikiwe Sana ndgu...SHETANI AMEPOTEZA NA YESU AMEPATA.USHINDI KWA BWANA YESU KRISTO

    • @legendaction202
      @legendaction202 3 місяці тому

      Yesu gani kwan yesu ndo mungu mbona mnajisahau

  • @eleanorkinadiali4721
    @eleanorkinadiali4721 6 місяців тому +10

    Siuongee mara moja...mrudie mungu hautakufa.

  • @DennisBosire-tx2rf
    @DennisBosire-tx2rf 3 місяці тому +1

    May God help him and save him genuinely.There's a time I was interested and he asked me for money for recruitment before I got saved.Its true anapeana advice but lets pray atoke kabisa.

  • @judithlejalearnmore2236
    @judithlejalearnmore2236 6 місяців тому +17

    Kwanini ajitabiria kifo na Mungu ndiye anayepeana uhai, Mtumikie Mungu watu wamjue Mungu kupitia wewe

  • @LuwizaErasto-rp2ty
    @LuwizaErasto-rp2ty 5 місяців тому +6

    No brow,, usijitabilie kufa I know there is reason for you to cameback and your alive na utaishii kaka nakufurahia sana maan umefanya jambo la maana,,, Remember Mungu anasema Piga kelele usiache paza sauti yako kama Tarumbeta na uwahubiri watu piaa neema ya Mungu iko nawee,, AMEN

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 6 місяців тому +26

    Wewe huna haja ya kujisalimisha kwa jeneza. Toa maisha yako kwa Yesu wala hutaishia kwenye jeneza. Ukitoa maisha yako kwa Yesu utasalimika

    • @AnamaryAlfred
      @AnamaryAlfred 5 місяців тому

      Nawewe hujachelewa njoo kwa Yesu sa hii hakuna haja ya majeneza kumbuka Kuna maisha baada ya kifo na hukumu pia

    • @juliusfelister894
      @juliusfelister894 2 місяці тому

      Awezi alishamkufuru Roho
      mtakatifu hyo
      dhambi aisamehewe

  • @EMILYKILWAKE-w2g
    @EMILYKILWAKE-w2g 6 місяців тому +7

    Huyu kijana abarikiwe unajaribu kusema ukweli kwa yale ulishuhudia bt kunao wana kutusi naona mwili wako umepatilika sio vile ulianza kusema nakutakia mazuri yenye baraka

  • @SimonMulwa-sy9yu
    @SimonMulwa-sy9yu 6 місяців тому +4

    Pesa sio kila kitu,maisha muhimu sana.

  • @RehemaRehemaJosephbaraka
    @RehemaRehemaJosephbaraka 6 місяців тому +15

    Asante kaka ublikiwe kwa kutu kumbusha

  • @teresiahnjeri5457
    @teresiahnjeri5457 6 місяців тому +6

    Kama unerundia mungu Samuel saindia maskini utabarikwa,,mm nisaindie hera kidogo niweke biashara nitakusukuru pia mungu akiwa juu ataona wema wako akuokoe n maovu

    • @Lzzlzz-k3m
      @Lzzlzz-k3m 6 місяців тому +1

      Pesa za freemason utawekaje nazo biashara sually😢uwanga zinakujiwa na maspirit zao za Mungu yu ndizo utumika mpaka na watukuu

    • @teresiahnjeri5457
      @teresiahnjeri5457 6 місяців тому

      @@Lzzlzz-k3m I believe in God hata hizo zao zitafanya kwa imani, maadiko inasema tutapitiswa kwa moto n tutachomeka ,,kisha tutakula chakula kiko n sumu n hakitatuthuru,,sina deni n shetani atakunja kunidai nn,,n pia tumepewa mamlaka y kukanyanga pepo wa chafu ,,unaombea pesa before utumie nae roho mtakatifu anakuongoza ,with God all things are possible 🙏

  • @GLADYSJEROTICH-l4s
    @GLADYSJEROTICH-l4s 6 місяців тому +2

    Kimbilia yesu anawesa na umpende katika maisha Yako

  • @Owindemsanii-yz9yb
    @Owindemsanii-yz9yb 2 місяці тому +2

    Ulitokaje kwa freemason 😮😮😮😮

  • @kbabyshorts..4152
    @kbabyshorts..4152 5 місяців тому +3

    Hauf bAli utaish uyasimulie matendo ya Mungu.

  • @CatherineMusau-s4e
    @CatherineMusau-s4e 5 місяців тому

    Glory be to God aki mungu atakusaidia hauwezi kufa kuna maisha yako ya kesho iyo jeneza sii yako naitaji number ya uyu Samuel

  • @marianzunda
    @marianzunda 6 місяців тому +2

    God to be with you but you have do good work

  • @EsmilyMwasi
    @EsmilyMwasi 6 місяців тому +3

    Go to servant of Gods fr prayers ..utsishi maisha marefu

  • @AliMsellem
    @AliMsellem 6 місяців тому +7

    mtegeme allah s w

  • @GIFTHOLY
    @GIFTHOLY 2 місяці тому

    Glory be to God,,, ubarikiwe na Mungu kabisa ,,endelea kutumikia Mungu

  • @BrianaKiondo
    @BrianaKiondo 6 місяців тому +3

    Mpe yesu maisha anasema joon wote mlemewao na mizigo nitawapumzisha

  • @TitoPella
    @TitoPella 6 місяців тому +4

    Kwa uongo ulionao ni vizuri zaidi ukifa ukajibie Kwa mwenyez

  • @roseshijedi8744
    @roseshijedi8744 6 місяців тому +4

    Akika samweli anaye kusikia nakukuelewa atafaidika mungu akubariki

  • @BRIANKITININDI
    @BRIANKITININDI 6 місяців тому +3

    Good love anatupima

  • @SIAHSTATIONARY
    @SIAHSTATIONARY 5 місяців тому +2

    Andaa Roho yako ikaishi mahali oazur usiandae jeneza jeneza sii kitu ile rojo yako ndo yakuandaa Na njia n kumpokea Yesu upate wokovu utubu dhambi uende mbjnguni u

  • @judithsidimohamed
    @judithsidimohamed 6 місяців тому +2

    Mbona wanaotoka freemason hawakui waislam wanakimbilia kwa Kristo

  • @MalindiSaid
    @MalindiSaid 5 місяців тому +1

    Pole sana wewe kaka mungu atakusaidia😂

  • @MalindiSaid
    @MalindiSaid 5 місяців тому +1

    Pole sana wewe kaka mungu atakusaidia

  • @AliMsellem
    @AliMsellem 6 місяців тому +6

    pole sana kijana

  • @RevinaFitina
    @RevinaFitina 5 місяців тому +2

    Yesu akusaidie sana

  • @Mayasa-o2w
    @Mayasa-o2w 6 місяців тому +2

    Duh yani hata sura yake inaonyesha anapitia mazito mana kafanya kupauka simama na mungu utashinda tu simama na mungu narudia tena natena simama na mungu yani imani mana ukisimama na mingu nilazima ur na imani ndio ushinde

  • @teresamokeira4042
    @teresamokeira4042 6 місяців тому +3

    Samwel ahsante kwa kuelekeza binadamu lakini mbona usitoboe hao manabii na wachungaji ambao wako freemason ili watu wajiepushe nazo. Ombi langu hilo.

    • @agathaclara1838
      @agathaclara1838 5 місяців тому

      Huwa hawasemwi akisema hvo baasi yake kwisha

  • @princemozes9923
    @princemozes9923 6 місяців тому +6

    Saweli nenda kwa KUHANI MUSA shetani hana NGUVU kupita YESU nenda kuhani Musa utashinda

  • @Nancybosibori-sz5nb
    @Nancybosibori-sz5nb 6 місяців тому +6

    YUSHOA 7:19 yushoa akamwambia Akani,Mwanangu nakushihii,umtukuze BWaNA,mungu wa Israel,Ukaungama kwako, Uniambie sasa ulilolitenda,Usinifiche.20,21

  • @samwelycypriano1504
    @samwelycypriano1504 6 місяців тому +7

    mjin nja imezid sana ase na kwa nn iwe samwel ase 😢

  • @fridaerastor9722
    @fridaerastor9722 6 місяців тому +2

    Tatizo la huyu kaka hawezi kujieleza kwann

  • @SaltiHilal
    @SaltiHilal 6 місяців тому +6

    Kuwa na imani

  • @happinessmosala2217
    @happinessmosala2217 6 місяців тому +4

    I start to doubt about samuel.something is not right😏

  • @sammiebabu8550
    @sammiebabu8550 5 місяців тому +1

    Jiasilimishe kwa mungu

  • @nehemiamwailongano2960
    @nehemiamwailongano2960 5 місяців тому

    Okokaa kijana mwangalie katekera mwenzio anavosonga mbele mbingu ipo MUNGU wetu anaokoa kupitia jina la YESU KRISTO. Nikuombe kijanaa okoka MUNGU ana neema na atakusaidia😢

  • @FestoMunishi
    @FestoMunishi 6 місяців тому +2

    Hasa km umeamua kumrudia mungu manake vitu ulivovipata huko kwa shetani km vile magari nyumbaa n vingine huwa vinakufa na ksambaratika hasa inakuwaje unavyooooo

  • @visage_du_monde-jaguar
    @visage_du_monde-jaguar 5 місяців тому +2

    Sasa wa diamond Platinumz ameshakwisha famila

  • @DennisBosire-tx2rf
    @DennisBosire-tx2rf 3 місяці тому +1

    Naombea ndugu yangu sana ila kwa nini anashikana na watu ambao aliachana nao mm bado may we be careful and sealed by the bloodnof Jeaus

  • @iddiSule-e4x
    @iddiSule-e4x 5 місяців тому +2

    Muongo bado hujasema kweli sema kweli usizunguke wekawazi una tafuta kk tu

  • @MariaKazimily
    @MariaKazimily 3 місяці тому

    Huy nae sili ya majenez inataka kusemwa yeye anakatisha😢😢

  • @LaventahLugalishi-z8m
    @LaventahLugalishi-z8m 2 місяці тому

    Seek the kingdom of God and all shall be added to you

  • @carolinenerima9023
    @carolinenerima9023 5 місяців тому +1

    Hamna mtu ana haki ya kifo juu ya mtu yeyote hata mtu huyo akiwa ni yeye mwenyewe!!

  • @PoulKilusu
    @PoulKilusu 5 місяців тому +4

    Tumsifu yes kristo

  • @JerusaOmb
    @JerusaOmb 3 місяці тому

    Pole Mungu akusaidie

  • @ShellaJuma-v3r
    @ShellaJuma-v3r 5 місяців тому +2

    Tobaaaaa ya Rabbi

  • @TimmyJ-i8f
    @TimmyJ-i8f 5 місяців тому +3

    Why do most people dig there own crave let God be glory

  • @JoshuaMolel-u8b
    @JoshuaMolel-u8b 5 місяців тому

    Amen ubarikie kabisa kweli kabisa 😅😂

  • @AntinesDeus
    @AntinesDeus 5 місяців тому +2

    Pole sana kaka mungu atakuponya ata usiogope mtumainie mungu2

  • @waltermichael9429
    @waltermichael9429 4 місяці тому

    Huyu mwandishi chenga saana.... Ajui kuhoji kabsaa

  • @Happiness-p5n
    @Happiness-p5n 6 місяців тому +5

    Ushindwe katika jina la yesu

  • @ViolyneBenson
    @ViolyneBenson 5 місяців тому

    Glory to you Lord 🙏🙏🙏

  • @AchotaSamuel
    @AchotaSamuel 6 місяців тому +1

    Samuel l want meet you physically I'm in Uganda Jinja city

  • @suleymanosman1788
    @suleymanosman1788 5 місяців тому +1

    Huyu ni Ngosha tuu

  • @DalmasOundo
    @DalmasOundo 6 місяців тому +1

    Nataka ni jiunge na freemason

  • @rassyb-ij9md
    @rassyb-ij9md 5 місяців тому +2

    Huyu ache kuzungumzia wa2 alienda kimipago yake haku2mwa afe kama anakufa wangapi wamekufa wa mhimu akafa nyerere magu sembuse yeye

  • @MorisiMdowe
    @MorisiMdowe 5 місяців тому +2

    Duh!

  • @CuttisarahCuttisarah
    @CuttisarahCuttisarah 2 місяці тому

    Imani yako na ikupony

  • @SophieCherop-cv4ys
    @SophieCherop-cv4ys 4 місяці тому

    Ishindwweeeeeeeee shetaniiiiiiiii 👹👹👹

  • @Laurenti-v6h
    @Laurenti-v6h 2 місяці тому

    Pole sana Kwa majanga yaliokukuta

  • @nancymuriuki304
    @nancymuriuki304 6 місяців тому +3

    Huyu kijana namuhurumia aki

  • @enesiasungu7872
    @enesiasungu7872 4 місяці тому

    Mtoto wewe Mungu anakiona,,,, wewe kwanini usimludie Mungu,,,,,hela ziko wapi wakati nyumbani tunabwela bwela,,,,E mwenyezi Mungu kuanzia leo nafunga kamba ya kizazi hiki ,,, ikashwindwe,,,

  • @Sarlameck
    @Sarlameck 5 місяців тому

    Mungu akubariki sana

  • @FrolidaLuvanda
    @FrolidaLuvanda 3 місяці тому

    Kiukweli samweli nimekupenda bure YESU ni mwema

  • @PetronilaIngosi-en1gh
    @PetronilaIngosi-en1gh 6 місяців тому +1

    Naweza pata aje connection 😂😂😂😂

  • @MariaMaembega
    @MariaMaembega 5 місяців тому

    Namtegemea Mungu tu,

  • @joycegideon8224
    @joycegideon8224 6 місяців тому +6

    Yesu anaweza

  • @EvalineMgonja
    @EvalineMgonja 2 місяці тому

    Pole lakin uxjiandalie kabur hutakufa

  • @VeronicaCyprian-pv2vv
    @VeronicaCyprian-pv2vv 6 місяців тому +8

    😂😂 jaman naomben namba za samwel rfk yangu

  • @ShamsaMohammad-v1b
    @ShamsaMohammad-v1b 6 місяців тому +5

    Hakuna kitu kitakudhuru illa itakuwa imepangwa

  • @GeorgeMwakisu-n7e
    @GeorgeMwakisu-n7e 6 місяців тому +5

    Ila huyu kijana tatizo SI mkweli,ila amua wazazi kwa utajiri alionao,akawa anasema amempokea yesu alimtokea kuzimu wakati shetani anataka kumuua akajikuta yupo duniani,anafika kwake anamkuta mchungaji,baada ya mda akawa anaimiza watu wajiunge freemason,Leo jeneza,usimjaribu mwenyezi utashindwa

    • @molineadema4872
      @molineadema4872 6 місяців тому

      Hata mimi kufikia hapo sikumuelewa tena nikaacha kumfuatilia

    • @RestutaFesto
      @RestutaFesto 6 місяців тому

      Are

  • @DicksonJulius-m2b
    @DicksonJulius-m2b 4 місяці тому

    Pole kaka😢😢😢

  • @KylianAyesiga
    @KylianAyesiga 5 місяців тому

    Mungu amsaidie😢

  • @NChloride-id3dp
    @NChloride-id3dp 5 місяців тому +2

    Freemason hupatikana wapi peana connection nadai kujiunga

  • @DicksonJulius-m2b
    @DicksonJulius-m2b 4 місяці тому

    Pole kaka

  • @JohannesLaurian
    @JohannesLaurian 6 місяців тому +1

    Washauri vijana watambue kwamba nichama Cha mataperi wauaji wakubwa Bora wakina tuma kwanambahii jina litakuja ruzirankungana bigabiro byakahirila nawewe unatuma wakatihuo kwenye familia majina hayo hakuna kweli price wetu wanawashabgaa nakituoni huko ndowanaona vituko maweee mamaaa nehatari

  • @EmmanuelKatikilo
    @EmmanuelKatikilo 6 місяців тому +1

    Wewe husiogope chochote ety maana Mungu ni mkubwa sana ndugu yangu mhim wewe mludie muumba wako ty ishi katika imani ya Yesu kristo ty😂😂

  • @DicksonJulius-m2b
    @DicksonJulius-m2b 4 місяці тому

    Pole kaks

  • @EviathaEdistedius
    @EviathaEdistedius 6 місяців тому +2

    😢😢 Samwelii hajui kujielezeaaa....

    • @KylianAyesiga
      @KylianAyesiga 5 місяців тому +1

      Duuh pole sana mungu atasaidia bro😢😢

  • @RamadhanKahn
    @RamadhanKahn 2 місяці тому

    Freemason gani huyo sasa 😂

  • @bahatadof5543
    @bahatadof5543 3 місяці тому

    Asante sa

  • @AlhajiMbarami
    @AlhajiMbarami 2 місяці тому

    God help him

  • @AllyKyamundu
    @AllyKyamundu 6 місяців тому +2

    Muongo anavaa vibaya, anagonda

  • @AthlarLutagandana
    @AthlarLutagandana 5 місяців тому +1

    Duh!😤

  • @annanamuyala
    @annanamuyala 6 місяців тому +2

    Wewe ujatoka bado upouko twambie habali ya yesu alivyo fanya ludisha ulio wapoteza tubu adhalani ulio wauwa

  • @Ty-sSamuel
    @Ty-sSamuel 6 місяців тому +1

    Ajaokoka uyo kijana aache upuuzi

  • @EllyCantonaCantona
    @EllyCantonaCantona 6 місяців тому +1

    Mpuuzi muongo uyoa nanyie waandishi mnaaaaaa....

  • @husseinabdirazak6230
    @husseinabdirazak6230 5 місяців тому +1

    Mna makiki sana nyie huu niuongo wakupitiliza mwatafuta viuwas tu waliokua kwa flimasony hua wanajitangaza 😅

  • @EverlyneWataka
    @EverlyneWataka 5 місяців тому

    Niombee ndugu yangu namm nitoke ki maisha