Faida za kupanda mbegu bora za mahindi: dk 777
Вставка
- Опубліковано 4 жов 2024
- kilimo cha mahindi na mbegu nzuri za mahindi ni moja kati ya vitu muhimu vya kuzingatia kuanzia kuandaa shamba, uchaguzi wa mbegu nzuri za mahindi , dk 777, karibu tujifunze hapa.
Nimejaribu kwetu Siaya Kenya na nimefurahia matokea. Hata msimu uliopita niliupanda.❤❤❤
Ipo vizuri
Mm nimurahia na mafundisho yenu,,,ila nina kiulizo Haujasema mbolea yakutumika kwenye hiyo mbegu ya dk 777
We sio mkulima bhana unaonekana ni mjanja wa mjini
Maindi inabidi utie mbolea malangap
Kama ungependa video ya maada lolote kwenye kilimo, kuongeza thamani, comment APA chini, tupo na wataalamu wote, na pia kama video zetu zina kusaidia, like , pia subscribe, na karibu
Nitumie mbolea gani kupandia kujutia kuzalishia
Kuna yarmila cereal, otesha ama dap, ni mbolea zinafanya vizuri kupandia mahindi .
Me nipo ITIGI mbegu gan inafaa
Habari boss! Itigi ipo mkoa gan boss,
Mavuno kwa ekari ???
Minimum 20 bags, na maximum 35bags, Kwa uzioefu wetu.na pia kama utatunza shamba lako na kulihudumia vzuri na Kwa wakati
Naomba namba yk ya cm ili uweze kunisaidia ninapo Anza kilimo,pili heka moja inai itakuwa na miche mingapo nitatumia vipimo vya sentimita ngapi
Habari na karibu, kwenye shamba la mahindi Miche inatakiwa kuwa kati ya 22000 - 35000/acre kulingana na nafasi unayoacha, na kiwango Cha Mbolea unayotumia , na nafasi kati ya mmea recommended ni kati ya 20cm -30cm, na row spacing standards 60cm-76cm, Kwa maelezo zaidi tupigie cm 0620511969
Napataje? Hiimbegu
Uko mkoan Gani boss,
Niko dar kwa sasa ila nalimiaga mkoa wa manyala
Inaweza kulimwa kwenye udongo wote?
Kila sehemu ama mkoa Kuna mbegu inafanya vizuri, Kwa maana hata hz dk Zina aina ake , kwahyo ningependa kujua upo mkoa upi, Ili nikupe jibu sahihi
@@macotv2197 Niko Geita vijijini Kuna udogo wa mfinyanzi ,mchanga na kokoto vidogo
Hii inalimika Sumbawanga?
Eee ,Tena inafanya vizuri huko sumbawanga Kuna ndgu analima hko wilaya ya nkasi ,Rukwa
Maindi inabidi utie mbolea malangap
Habari, Mbolea unaweka ya kuoandia , na pia ya kukuzia , ila Sasa inategemeana na Hali ya mazao /afya ya udongo . Na pia Kuna mashamba mengine inakubidi ukizie mara mbili ama kulingana na Hali ilivyo. Unaweza angalia hz video naamin zinawwzankisaidia
ua-cam.com/video/TYA9bqskq58/v-deo.htmlsi=0CXPvuj57x9wsx8K
ua-cam.com/video/ToEYkWA9Ars/v-deo.htmlsi=iQ9JtyjsLAAPb9fj
ua-cam.com/video/q9GJd9YHnJY/v-deo.htmlsi=cLX6o0j830Vg1Dww