KILIMO CHA MAHINDI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 лип 2019
  • Mahindi ni chakula kikuu katika nchi nyingi Africa ikiwemo Tanzania, mahindi ni lishe kuu kwa zaidi ya asilimia 50 ya watu, mahindi yana virutubisho vingi sana ikiwemo wanga, vitamin B, protini na madini, ambapo ni muhimu sana kwa afya zetu, mahindi huliwa kama ugali, japo wengine pia hupenedelea kula kama mahindi ya kuchoma
    Mradi wa kuboresha myororo wa thamani katika zao la mahindi Tanzania unatekelezwa na shirika la AMDT

КОМЕНТАРІ • 14

  • @michaelflorence2543
    @michaelflorence2543 2 роки тому +1

    mykoo

  • @paulonkusayoutubepaulonkus8437
    @paulonkusayoutubepaulonkus8437 4 роки тому

    ninzur

  • @barakakwanjula7634
    @barakakwanjula7634 4 роки тому +2

    Siku moja na mimi ntalima mahind

  • @alexnikole-qz7kp
    @alexnikole-qz7kp Рік тому

    Hekari moja inatoa kiasi gani cha maindi

  • @yusuframadhan7977
    @yusuframadhan7977 4 роки тому +1

    unadanganya eti hekta miche 3000?.umesomea kiswahili au sanaa.

  • @yusuframadhan7977
    @yusuframadhan7977 4 роки тому +8

    ndugu maelezo yako ni uongo mtupu. hecta sio heka.
    2.miche ya mahindi ni zaidi ya 22,000kwa hekari moja.
    3.Acheni kupotosha wakulima.Nimesikitika saanaa.

    • @magangakiyabo3429
      @magangakiyabo3429 4 роки тому +1

      Yusuf Ramadhan tueleweshe basi ndugu yangu kama kuna uwezekano hata namba y’a cm

    • @simeomataluma1263
      @simeomataluma1263 4 роки тому +1

      kuna ekari na hekta... ekari moja ni sawa na mita za mraba 4047 na hekta moja ni mita za mraba 10,000.Hekta ni kubwa kuliko ekari

    • @danielx8
      @danielx8 3 роки тому

      🤣🤣

  • @user-qz3nw2me3m
    @user-qz3nw2me3m 11 місяців тому

    wapi naweza pata mbegu hii

  • @solomonmwakitosi8197
    @solomonmwakitosi8197 3 роки тому

    Kipindi kilikua kizuru sasa hakipo tena tuna kiiitaji tena

  • @williammyamba7655
    @williammyamba7655 4 роки тому +1

    Naomba namba zako za cm nataka kulima msimu huu wa kiangazi mm 0766228285