JINI LA UTAJIRI LINAVYOANGAMIZA|MKATABA UNA VIPENGELE 30,UKIKIUKA?!~Shehe Omary Mnyeshani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Katika somo hili mhubiri anaeleza jinsi ambavyo watu wanaotafuta utajiri kwa nguvu za majini,walivyokatika hatari kubwa na maisha ya wasiwasi,pia anagusia kuhusu jini mahaba.

КОМЕНТАРІ • 57

  • @kabebowakabebo5889
    @kabebowakabebo5889 4 роки тому +13

    Duh! Huyu shehe! Kwa kweli shetani amekoma na alipata hasara takatifu

  • @sospetermasanja3224
    @sospetermasanja3224 4 роки тому +29

    Kuokoka kwa huyu Shehe ni pigo kubwa sana kwa shetani!

    • @janegeogre3234
      @janegeogre3234 4 роки тому +6

      sana tu! Nguvu za Mungu zimfunike asije akarudi nyuma maana shetani atajidai mno!

    • @reubenbusanji2904
      @reubenbusanji2904 4 роки тому +4

      Exactly kwakweli.

    • @estasage5506
      @estasage5506 4 роки тому +1

      Biblia yasema aliyemkuta yesu ni shetani mwenyewe

    • @sarahyvonne4580
      @sarahyvonne4580 3 роки тому +1

      Amen Amen Amen

    • @vaghoghontweki9827
      @vaghoghontweki9827 3 роки тому +2

      Nmejikuta nafatlia sana Makala zake,,,,yupo vzr Ashukuriwe Mungu🤝

  • @sarahyvonne4580
    @sarahyvonne4580 3 роки тому +8

    Shetani utakoma mwaka huu,ata mimi imeondoka kwako,YESU amenita nirudi nyumbani

    • @laurentraphael5470
      @laurentraphael5470 3 роки тому +1

      Ha ha ha hongera kwa kurudi nyumbani. Mungu akutunze.

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 роки тому +5

    Hee kumbe pete ni mtihani pia.hadi pete za ndoa,yaani duniani tunakutana na changamoto nyingi sana hasa sisi wakina mama.mungu tunusuru.

  • @miriamlotti7297
    @miriamlotti7297 3 роки тому +3

    Kumbukeni maneno ya Bwana Yesu, itawafaa nini kama mkipata utajiri wa Dunia yote na kuukosa Ufalme wa Mbingu

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 2 роки тому +2

    Asanteni kwa kwakutujulisha siri kubwa tulizani ni kawaida ya kuishi mwanadamu kumbe tuna a ngamia bila kujuwa Asante Yesu kwakumuleta uyu baba kwako ili atujulishe

  • @joivon3038
    @joivon3038 Рік тому +1

    Huu ushuhuda nilickikiza Safina radio Arusha ubarikiwe mtumish

  • @sabinajosef1
    @sabinajosef1 4 роки тому +6

    I cover myself with the blood of Jesus Christ of Nazareth!

  • @kulwalugal8661
    @kulwalugal8661 4 роки тому +3

    Huyu mtumishi Mungu amlinde

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 Місяць тому

    Kwa kweli shehe Omary anatufundisha mengi.

  • @miriamlotti7297
    @miriamlotti7297 3 роки тому

    Safi Sana, kina wanaojiita Wakristo na wanaenda Kwa waganga wa kienyeji kuomba utajiri wa kichawi.

  • @emanuelmurumbi6946
    @emanuelmurumbi6946 3 роки тому +3

    Rafiki yangu arusha aliteseka kwa hilo

  • @elvisekhayemba9069
    @elvisekhayemba9069 3 роки тому +1

    Aminaaa

  • @sarahyvonne4580
    @sarahyvonne4580 3 роки тому +2

    Ndo maana Ndoa zimezaa,vituko vya ajabu,hadi mtu anajiskia tu kuua mwenzake,hadi watu wanashangaa ivi hawaniwale waliokua wakipendana kweli aisee

  • @maryammaryam5789
    @maryammaryam5789 4 роки тому +2

    Wakati wanapeana mkataba akitoka kwenye duara anaweza zurika au akirudi nyumbani na kuweka fimbo napo hatamfuata jini na Nani ataaza kuodoka wakimariza kupeana mkataba?

  • @millicentochieng5740
    @millicentochieng5740 4 роки тому +1

    AMINA

  • @maryammaryam5789
    @maryammaryam5789 4 роки тому +3

    Nakupata mtumishi Oman mackat

  • @maryammaryam5789
    @maryammaryam5789 4 роки тому +4

    Huyo Dada anaezini na majini ni lazima saa 4za usiku awe chumbani lwapo lkitokea zarula amelazwa hospital au msiban au safari itakuwaje?, _=maswali yetu mtujibu

    • @marygregory7566
      @marygregory7566 4 роки тому +2

      majini yanamzuia asiugue..na msibani halali ..ndo wale watu hawaelewekagi kwenye jamii

    • @reubenbusanji2904
      @reubenbusanji2904 4 роки тому +1

      Magonjwa huletwa na majini.

    • @myself4128
      @myself4128 4 роки тому

      Majini wanasafiri pia ukisafiri unasafiri nao wanakufuata hukohuko na wanauwezo wa kufanya na wewe mapenzi hata mbele za watu kuna ushuhuda mwingi tuu hata hospital pia yanakufuata yanakugonga tuu

    • @myself4128
      @myself4128 4 роки тому

      Yanahusiana nini na wokovu????

  • @njaginjeru7131
    @njaginjeru7131 4 роки тому +1

    mwenye camera ako na shinda gani??

  • @jacksonsyskl4601
    @jacksonsyskl4601 4 роки тому

    Mbona zina fanana hizo sala za padriii?? Akisimama katika nyota ya vichwa sita??

  • @hardd2497
    @hardd2497 3 роки тому

    Itakuaje mtu aliyenunua pete akaiombea hiyo pete? Je itapata Kibali?

    • @ngombegeorge3577
      @ngombegeorge3577 Рік тому

      Hapana Kama kitu ni Cha shetani hauwezi kubadilisha , Wala yy habadilishwi

  • @maryammaryam5789
    @maryammaryam5789 4 роки тому +1

    Yeye apewa Pete jini pesa anatoa wap?

    • @myself4128
      @myself4128 4 роки тому +1

      Hivi wee maryam unamiaka mingapi na unaishi katika dunia gani????? Unauliza kweli majini pesa yanatoa wapi🙄🙄🙄🙄🙄
      Kuna watoto wengi humu

    • @joycenganyule3231
      @joycenganyule3231 4 роки тому

      Huyu Ni mchanga kabisaa kweny mambo ya kiroho jaman na sabab anauliza hivyo

  • @pierremira
    @pierremira 4 роки тому +3

    Mkulu ninatamani kusikia ushuhuda wa shehe omari jinsi alivyo okoka alifanya tukio gani lilopelekea yeye akaokoka

    • @pierremira
      @pierremira 4 роки тому +1

      Kama unaweza nitumia video hiyo ya ushuhuda wa tukiyo lililosababisha shehe omari akaokoka ilikuwaje !!!?

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  4 роки тому +1

      @@pierremira Baada ya semina ntaleta ushuhuda wake,yaani wiki ijayo

    • @pierremira
      @pierremira 4 роки тому +1

      @@PromovertvTz naomba kujua kama Luna vitabu ameandika na vinapatikana vipi ukiwa nje ya inchi

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  4 роки тому

      @@pierremira Bado hajaandika vitabu vya kutosha,akiandika ntatoa taarifa

    • @nyamogafamily4262
      @nyamogafamily4262 4 роки тому +1

      Andika ushuhuda wa shekhe omary,alikuwa kanisani kwa gwajima,utalia machozi ya damu

  • @tiwasavagefntiwasavage2376
    @tiwasavagefntiwasavage2376 4 роки тому

    Nipe namba WhatsApp

  • @amaniyakobo8889
    @amaniyakobo8889 4 роки тому

    Kwanini usimwokoe na uyo dada

  • @lolguy-x9n
    @lolguy-x9n 2 роки тому

    mkataba. sound load of bs.
    what is all these?

  • @joivon3038
    @joivon3038 Рік тому +1

    Huu ushuhuda nilickikiza Safina radio Arusha ubarikiwe mtumish