WOMEN MATTERS :WANAWAKE WENGI WANAPENDA NDOA NDOMANA WANAPIGWA ,WANAUME TUNATUMIA FULSA HIYO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • #womanmatters

КОМЕНТАРІ • 239

  • @azizakwileka1686
    @azizakwileka1686 4 роки тому +3

    Yaani hawa wahenga wanavyozungumza ndio maisha yangu kabisaaaa... Yaani ni kama wananizungumzia mimi.... If you love me come directly kabisaa.... Sitaki uzungu mimi kwa kweli... I wish ningezaliwa miaka hiyo ya 50 kweusi sometimes natamani ule utaratibu wa kuolewa kizamani ungerudi kwa kweli... Leo mmenizungumzia mimi kabisaaa... Nimewapenda buree😍😍

  • @Rymaas1TV
    @Rymaas1TV 4 роки тому +18

    Uyu baba Big up sana tunashkr kwa ushauri.ameongea maneno muhimu kwa wanawake

  • @taraagire6176
    @taraagire6176 4 роки тому +3

    I live in norway 🇳🇴and every topic i watch! This is the best program ever thanks lily🙏

  • @agnesmwangombe6999
    @agnesmwangombe6999 4 роки тому +2

    i love sigala his advise work so well and full of fact

  • @shadyaomar2249
    @shadyaomar2249 4 роки тому +5

    Mnaposema mwanamke hata akipigwa na mumewe hapaswi kumnyima haki yake na haijalishi ameumia kiasi gani au kununa, all matters ni wewe as mwanamke umpe haki. Sipingi kwa hilo lakini kipigo kwa mwanamke kutoka kwa mumewe ni case mbili tofauti na wanatakiwa au tunatakiwa as women tuzitambue tofauti hizo na nyinyi muelimishe hizo tofauti. Tafauti ya kwanza ni ya yule mwanaume ambae tayari yeye anatabia ya kumpiga mkewe bila makosa, na ni kawaida yake kila siku kumpiga mkewe na kumuumiza na wala sio kwa bahati mbaya, wala kukosea. Na ameshakanywa sana lakini hasikii. Hivyo basi mwanamke unakila haki yakukataa na choose yourself over him. Na tofauti nyengine ni yule mume ambae akifikia kumpiga mkewe basi itakua mke amefanya kosa sana au mume ameteleza bahat mbaya kumpiga mkewe hapo ni haki kwa mke kumpa mumeo haki yake kwasababu anampenda mkewe ila kunasababu ya msingi mpaka amefikia kumpiga mkewe. Muzitofautishe hizi tofauti kwa lengo la kuwasaidia wanawake majumbani ambao wanapitia hali kama hii, kwasababu mkiwa hamutofautishi basi hata wale wanaume wanaopenda kupiga wake zao wataendelea kwa kudhani kwamba hata nikimpiga na kumuumiza na kumuingilia ndio solution.

    • @maggymm7302
      @maggymm7302 4 роки тому

      Hakuuna justification ya kumpiga mke or mme tena mtu mzima!! Kosa hilo ni kosa kama kosa lolote la jinai. Nyie ndiyo mnao sababisha hizi kesi haziishi sababu ya ku'justify.

  • @lauramalisa5993
    @lauramalisa5993 4 роки тому +3

    So amazing.

  • @azizakwileka1686
    @azizakwileka1686 4 роки тому +1

    Alaah kumbee!! Huyu ndio Oni Sigara ooh!! I only heard him on the radio but I never saw him... Shukran Lilian Mwasha kwa kutuletea watu hadimu

  • @leowin42
    @leowin42 4 роки тому +2

    Aisee ahsanten sana nimejifunza vitu vingi sana kupitia somo hili

  • @medicalphysicsbiomedicalen1707
    @medicalphysicsbiomedicalen1707 4 роки тому +3

    Nice show

  • @khayraa7374
    @khayraa7374 4 роки тому +2

    I need this man contacts just for future reference 😂💪🏽... good show guys

  • @mariamduge3494
    @mariamduge3494 4 роки тому

    Asante baba kwakutufundisha vitu ambavyo hatuvijui Asante sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @lovenessdiva3370
    @lovenessdiva3370 4 роки тому +3

    Show amazing 👏👏👏💕

  • @fridathomassen5898
    @fridathomassen5898 4 роки тому +12

    Ladies, wearing gloves alone doesn't help, you need to sit one meter apart .

    • @justinebitariho1129
      @justinebitariho1129 4 роки тому

      They shouldn't even eat with gloves on. It's better to just wash ur hands and eat, then deal with ur gloves later.

  • @samirarashid8186
    @samirarashid8186 4 роки тому +3

    Asalam aleikum wa rahmatullahi wa barakatuh. Tunashukuru sana kwa hiki kipindi kwa kweli tunafaidika sana. Bi khadidja ahsante sana kwa kusimamiya uwisilam. Na juwa tunakupenda sana hapa Oman. Natowa shukran tena.

  • @beatricekilima2691
    @beatricekilima2691 4 роки тому +23

    I think the show imekuwa so much about relationships their is so much more issues women go through apart from relationships let’s mix it up

    • @silverman6930
      @silverman6930 4 роки тому +3

      Beatrice kilima I absolutely agree with you , I reckon it’s because more people seem to like it , though it’s good to try and focus on other areas affecting women in various societies 🙏🇬🇧🙏

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 роки тому +1

      @@silverman6930 true many people watch and love r/ship issues than any other thing in this world. I love it too😂😂👌

    • @babyhamisi5331
      @babyhamisi5331 4 роки тому

      Good idea we have to request for the more

    • @preciouspeter6126
      @preciouspeter6126 4 роки тому +4

      Kila siku michepuko, tendo la ndoa(sex) 😂 as if hayo ndio mambo pekee yanayomuathiri mwanamke katika maisha.

    • @Nyamisango
      @Nyamisango 4 роки тому

      Beatrice kilima kweli .... kila siku topic za michepuko. The discussion are too focus on symptoms and not the problem.

  • @officialcarolyne2985
    @officialcarolyne2985 4 роки тому +11

    Jamani mlifanya vizuri kumuleta bibi khadija kopa hapa stay save they all beautiful souls

  • @peterngeri9442
    @peterngeri9442 4 роки тому

    Ubarikiwe mzee wa ushauri nakukubali napenda sana kufatilia ushauri wako ukiongea sipendi mtu akukatize

  • @konsolatatutu423
    @konsolatatutu423 4 роки тому +14

    😂😂Wamevaa gloves alafu wamekaa zero meter, wanajishika kwenye videvu, usoni yani izo gloves ni urembo tu apo, mama zangu hupaswi kujishika usoni kwa sababu kama umegusa sehem ambayo ina virus vinabaki kwenye gloves na mkisha zivua tupen hutakiwi kuzirudia tena kisha nawa mikono kwa sabun. Hili janga ni gumu kujilinda nalo maana linamasharti mengi ambayo huwez timiza ni MUNGU wa kutulinda.

  • @getrudejuma3354
    @getrudejuma3354 4 роки тому +3

    Those gloves can be a source of transmission, just clean the surface ,sanitize your handiand avoid touching your face

  • @irenealexander4545
    @irenealexander4545 4 роки тому +10

    Me wananiboa kitu kimoja tu wanaonges kwa makelele hawasubiri mtu amalize point wanamkatisha

    • @lilianelias8950
      @lilianelias8950 4 роки тому +2

      Hapo ndo shida, cjui kwanini hamwachi mtu akamaliza kusema, tukapata point

    • @happykulanga6696
      @happykulanga6696 4 роки тому

      Yaani inaboa sana wanaongea wote kwa pamoja

  • @aminaramdan3283
    @aminaramdan3283 4 роки тому

    Yani huyu baba Jamani Ahsante sana Tunashukuru Natamani Kila kipindi Uwepo jamani. Umeongea pointi sana na Tumejifunza mengi.Shukran dada Liliyani mwasha💞🥰🥰🥰

  • @ecabelmwai3474
    @ecabelmwai3474 4 роки тому +7

    Lilian mamangu you loook beautiful

  • @johnsonpeter4220
    @johnsonpeter4220 4 роки тому +32

    Kama unaangalia uku unaangalia comment like back:v

  • @ritchiexanti9587
    @ritchiexanti9587 4 роки тому +10

    huyu dada aliokaa pembeni ya khadija kopa anajikuta ana attitude kama zote utadhani kwenye ndoa yake ye ndo kaoa......pitty for her husband!

  • @kadragurey373
    @kadragurey373 4 роки тому

    Very true aunty sadaka... It will affect alot mentally

  • @magreth7981
    @magreth7981 4 роки тому +11

    Hapo kuna gender issue, pia uncle yupo more on culture/old school style nadhani Max &Niki wangetakiwa hapo leo ku spicy up na kubalance kizazi cha Dot.con !

    • @greenluke6882
      @greenluke6882 4 роки тому +1

      magreth 79 true that

    • @magreth7981
      @magreth7981 4 роки тому

      @@greenluke6882 Kuna mambo mengii ya asili zetu bado yanamkandamizaa sana mwanamke wakiafrikaa, na kumfanyaa asiwe na maamuzi ya kumchagua mtu anayempendaa, wanandoa walio wengi wanavumilia mambo yaki ukandamizaji simply utamaduni unamzibaa kuwa wazi, Mm nasema mkombozi wa mwanamke ni elimu na kujitambua +kuachaa kuwa tegemezii, mwanaume ukimuonyeshaa una uwezo atakupaa heshimaa.!wanawake kuamshana kuwe endelevu @Lilian kaza buti ktk kukomboaa fikra za wadada ktk jamii! Tusikimbiliee ndoa kabla ya kujua waendaa kufanyaje nn kwenye ndoa na mchango wako utakuwaa nini ! Ni mtazamoo binafsi tu.🙇‍♀️

    • @malikeyndotopopote
      @malikeyndotopopote 4 роки тому

      @@magreth7981 Sema mnapenda kuiga mambo ya kimagharibi. Mimi mwenyewe nachoka sana maana madem wengi tumewatafuna kwa kupenda migizo na umagharibi . Na ndio maana maisha ya ndoa za kisasa ni upumbavu.mimi ni kijana ila nachoka na maisha yetu vijana

    • @malikeyndotopopote
      @malikeyndotopopote 4 роки тому

      @@magreth7981 wewe umeolewa. Na je ndoa yako ina raha kama umeolewa

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 4 роки тому +1

    Hongereni Mr oni big up na madada zangu nnakupendeni

  • @frankgervas357
    @frankgervas357 4 роки тому +1

    Kweli mzee

  • @euniceshao115
    @euniceshao115 4 роки тому +8

    Kaka one jman hata kichaa akipigwa nimecheka Sana. .. lil nakufuatilia Sana

  • @benbenedict2720
    @benbenedict2720 4 роки тому +4

    I missed you auntie Sadaka, usipotee tena mama

  • @alirahma8967
    @alirahma8967 4 роки тому +3

    Manshallah kipindi kizuri sana

  • @tunsumegideonmwamboneke9639
    @tunsumegideonmwamboneke9639 4 роки тому

    great conversation,

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 4 роки тому +1

    Kwanini hawawezi kuongea kwa kupokezana mtu akamaliza point yake? Vurugu kama kelele za sokoni? You guys can do better than this. The guy started rough but he finished with big points....,shukrani baba.

  • @benbenedict2720
    @benbenedict2720 4 роки тому +1

    Wapi mama Teri wapi mama Deborah? Women matters team is super sweet natamani mngekuwepo woote kila mara

  • @faridamwandenuka8631
    @faridamwandenuka8631 4 роки тому

    Aunt Sadaka, Mr. Sigala na Khadija Kopa nimewaelewa sana, mmeongea jambo zur, mwanaume anaetaka kuoa anatakiwa ajipange na si kumtegemea mwanamke

  • @marionlashku2738
    @marionlashku2738 4 роки тому +1

    Mchango wangu ni kwamba tuwe wasikivu na kufuatilia vipindi mie nimekipa big up hiki kipindi maana sasa hivi wadada wanachoangalia ni mwanaume ana nini, na wa kaka nao wanataka kuoa mwanamke mwenye kazi. sasa huyu akikosa hivyo vitu mapenzi yanaisha. na ndiyo maana ndoa hazidumu.

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 2 роки тому

    Labda uelewa wangu ni mdogo ama umri pia unachangia, ivi suala la kuvishana pete lina Asili ya kiafrica ama ni uzungu pia?

  • @sophiabryson2735
    @sophiabryson2735 2 роки тому

    🔥

  • @azizacleny8677
    @azizacleny8677 4 роки тому +2

    Daaaah mnatupa mafunzo meng sana nikikikosa huwa sjiskii vzr wallah

  • @berithatilutoza5492
    @berithatilutoza5492 4 роки тому

    Sigala asee nmekupenda kwakweli kuna mambo unaongelea very very true and nayaishi

  • @nasreennashugosso9454
    @nasreennashugosso9454 4 роки тому

    Huyo mzee hapo kaongea points zote sawa kipindi chaleo nimekipenda sana watu wameongea kwa utulivu na busara tulete watu kama hawa kwakweli tunailimika sana. Tulete pitter mitimingi 👍uwone kazi (mambo ya kisaikolojia yatafufuliwa mubaki midomo wazi 😉

  • @samirarashid8186
    @samirarashid8186 4 роки тому +3

    Love you all 🥰🥰🥰

  • @gloriousshayo8604
    @gloriousshayo8604 4 роки тому +1

    Habari Lilian, kitaalam kuvaa gloves kwenye kipindi mmekosea tena mnakula nazo you only needed to wash your hands with soap and running water. I have even seen some of you touching your phones and faces with gloves. At least you would have just put on face masks.Thank you

  • @polloz77
    @polloz77 4 роки тому

    Safi sana kwa elimisha

  • @lucykangwa8657
    @lucykangwa8657 4 роки тому

    Big ups baba...u are real.

  • @rogermwanawahunda884
    @rogermwanawahunda884 4 роки тому +6

    Huyu mzee anafaa sana kwenye hiki kipindi

    • @hawraymuncw9893
      @hawraymuncw9893 4 роки тому

      Mzee anafaa ila anatakiwa kupata maarifa ya kidini huko ataweza kufaidisha sn watu

  • @a.856
    @a.856 4 роки тому +2

    🙏🏻

  • @itsolutions2238
    @itsolutions2238 4 роки тому

    dahh kuna watu wanaelim oni sigara hongera kwa kutuelimisha,lilian big up kwa kipindi

  • @sharonatieno840
    @sharonatieno840 4 роки тому

    I like this ..especially the guy ooo my God

  • @healthchoicewithluciebern8741
    @healthchoicewithluciebern8741 4 роки тому +1

    1.5m distance

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 4 роки тому +1

    Mr One nashukru sana
    Da Lilly eti kichaa akipigwa anakuaje vile

  • @susans4490
    @susans4490 4 роки тому +1

    Mpo karibu sana ,mate na virus vinawapata wote.

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 4 роки тому +2

    Mada nzuri sana, shida hapo akina bi khadija, aunt sadaka na baba yetu wanaongelea maisha halisi ya mapenzi yetu hasilia ambayo ndio tunatakiwa kuyafuata,lakini lilian na mwenzie wao wako ktk mapenzi ya kisasa ambayo tunaiga kwa wenzetu which is not ok,sio culture yetu.ninachotaka kusema mtabishana mpaka hasubuhi hamtapata suluhu mko culture mbili hapo. 😉😁❤👍

  • @rehemasiad3696
    @rehemasiad3696 4 роки тому

    Uko vizuri Lilian make up nice

  • @halimaamini8015
    @halimaamini8015 4 роки тому +2

    Mimi ilishawai nitokea hii usiombe itokee huwo ni unyanyasaji alipiga kweli kweli kisha akataka nilikataa alitumia nguvu😭😭😭siwezi sahau hilo tukio

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 4 роки тому

      Halima pole sana kwa yaliokukuta nadhani kama bado hivo vitu akilini mwako unahitaji msaada wa kisaikologia. Waweza kunitafuta.

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 4 роки тому +4

    Liliane mu mualike mama dangoti tumusikilize .

  • @alikhamis3723
    @alikhamis3723 4 роки тому +6

    Kwa utamaduni wakipemba lazima umwambie mzee wako unataka kuoa. Swali na kwanza unalokumbana halo hela ya mahari unayo? Kama huna unambiwa nenda kajiandae hujawa tayari

    • @azizakwileka1686
      @azizakwileka1686 4 роки тому +1

      😂😂😂 mie ndo maana nawapenda wapemba

    • @alikhamis3723
      @alikhamis3723 4 роки тому +1

      @@azizakwileka1686 Asante karibu Pemba

  • @janetmeshack1544
    @janetmeshack1544 4 роки тому +1

    MUNGU Azidi kuwabariki Sna, Maana mim ni miongoni mwa wanaonufaika na kujifunza Vitu vingi sana

  • @shabanabdul1614
    @shabanabdul1614 4 роки тому

    Hi I like that

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 4 роки тому

    It’s very much true 👍

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 4 роки тому

    Vai

  • @laithal-habsii2870
    @laithal-habsii2870 4 роки тому

    Hongera sana lilian umedamshi sana leo. Mbn mama debora na mama terry hawapo.

  • @abdulkhalim5564
    @abdulkhalim5564 4 роки тому

    Gud job mwasha kip it up.

  • @Elisa-yw4bp
    @Elisa-yw4bp 4 роки тому

    This woman can singgggg.

  • @Noah-se3ni
    @Noah-se3ni 4 роки тому +1

    Maongenzimazuri sana huyu Baba ni kibokoyao. Ongera sana kwa wote

  • @alikhamis3723
    @alikhamis3723 4 роки тому +3

    Huyu baba ana elimu halisi ya maisha sio ya darasani ya mzungu

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 4 роки тому +7

    Mmevaa gloves sawa hongereni lakini mmekaa karibu karibu mnatakiwa kukaa mita mbili kutoka mwingine halafu mnacheka mate yanarukia mwenzako hamjajikinga kabisa hapo kama mwenzako anao mate yakikurukia basi umepata.

  • @noraevers8868
    @noraevers8868 4 роки тому

    ManshaAllah nimependa mada iyii

  • @janetheben5819
    @janetheben5819 4 роки тому +1

    Nampenda sana Vailet 😊😊😊😉

  • @husnahassan6289
    @husnahassan6289 4 роки тому +1

    Mada inanihusu mno mno asanteni sana sana wapendwa wangu

  • @hadijapazia8255
    @hadijapazia8255 4 роки тому +3

    Najifunza sn kupitia hiki kipindi🔥🔥🔥

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 4 роки тому +1

    Nawapat nikiwa mascut oman yani najiona rahaaaa sanaaaa

  • @kingeddyatwine1153
    @kingeddyatwine1153 4 роки тому +2

    Tuwombe mungu Sana atuwe uwezo jamani.

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 4 роки тому

    Nc Show, but gloves for which purpose

  • @itsolutions2238
    @itsolutions2238 4 роки тому

    mi najiona mshamba na mume wangu kumbe ni sahihi asantee kwa somooo🗝

  • @judithmwambe4767
    @judithmwambe4767 4 роки тому +1

    Baba nimekuelewa.....Mr

  • @donaldsumary8397
    @donaldsumary8397 4 роки тому

    Mkitoka hapo nendeni quarantine
    1. Social distancing is Zero
    2. No Mask a.k.a barakoa
    3. Showering saliva in someones food.
    Kuhusu COVID 19 Tz bado tunasafari ndefu sanaa

  • @vlogvlog8522
    @vlogvlog8522 4 роки тому +5

    Kama kawaida show la kibabe

  • @ms_caramel2688
    @ms_caramel2688 4 роки тому

    Duuh huyu mzee ana busara sana aise

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 4 роки тому

    Wadada it’s true Mzee tell them the truth 👍👍

  • @restallen5581
    @restallen5581 4 роки тому +2

    Izo gloves contamination hatari sanitizer tuu inatosha

  • @thamiyuucute7098
    @thamiyuucute7098 4 роки тому +4

    Wameficha mikono usowazi cjaelew😂😂

  • @mbuyutv8271
    @mbuyutv8271 4 роки тому +1

    Gloves hapo sio mahala pake, ni mis-use of resources na jamiii itakuwa munaielekeza sivyo. Inatakiwa kukaa mbali mbali , kutogusana mikono, kutoshika uso wako na kunawa mikono mara kwa mara. Pia kwa wale wenye maambukizo wanatakiwa kujitenga, self isolation.
    Ningemshauri mwendesha kipindi awaalike wataalamu angalau wawili kuelezea kuhusu ugonjwa wa corona na kuruhusu watu kuuliza maswali itasaidia watu kuelewa zaidi kwani women matters ina wasikilizaji wengi, kwa hivyo msg itafika haraka.

  • @ms_caramel2688
    @ms_caramel2688 4 роки тому

    Nice kipind

  • @azizisaidy8553
    @azizisaidy8553 4 роки тому +1

    duh mambo mazito haya😁😀

  • @winfridamwigilwa2107
    @winfridamwigilwa2107 4 роки тому

    Aksante kwa kipindi kizuri sana

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 4 роки тому

    Kuvaa glove huku mukizungumuza sauti za juu na maji maji kuwalukia wengine. Badala ya kuziba midomo yetu virus zisiwalukie wengine mumevaa gloves na kuacha midomo yenu ambayo ndiyo mahali vairus zinapotoka.

  • @vlogvlog8522
    @vlogvlog8522 4 роки тому +6

    Mnanikosha Jaman japo tume fungiwa ndani na wazungu wenye nchi Ila nikiiangalia show raha tupu

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 4 роки тому

    Baba yupo vizuri sanaaaaa

  • @princessenzahoraho1364
    @princessenzahoraho1364 3 роки тому

    Wa maman hawana wakati wakufanya kazi zote nyumbani naza kulea watoto nakunyonyesha kufanya kazi yake na kufanya kazi za mume zao. Ni kazi nyingi saaana. Wa maman nikupumuzika nawa baba watumike wasaidiye wa maman.

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 роки тому +3

    Wallai mimi mume wangu akikuudhi tu anataka tendo na sijui nikwanini

  • @shionsaeed7338
    @shionsaeed7338 4 роки тому +2

    Mmevaa gloves.halafu mmegendana kwenye kikakao mlikuwa muwe mbali ya mita mbili,....Hapo mmekosea tusomesheni Corona sasa hali mbaya ndugu.

  • @officialcarolyne2985
    @officialcarolyne2985 4 роки тому +1

    💋 Hehehe the man on behalf of the another man s you have talk it

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 роки тому

    Mungu atunusuru

  • @yudatadeshayo4434
    @yudatadeshayo4434 4 роки тому +2

    Mzee sigala ameongea ukweli wanaume tunapenda kuoneka vidume hata kama hatuna hushupavu huo!

  • @rickykawacha9636
    @rickykawacha9636 4 роки тому

    Lilian mzuri mno ukimuona live ni mzuri kuliko kwenye screen,nilikuona nikakupenda kweli

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 4 роки тому +4

    Uyu baba yuko sahihi kabisa.

  • @omigaiamasi9829
    @omigaiamasi9829 4 роки тому

    Mzee anajua sana muwe mnamualika kwenye kipindi

  • @benbenedict2720
    @benbenedict2720 4 роки тому +3

    Mngeweka vijana wa kiume wambalance One, kaongea vizuri lakini kibaba/kihenga zaidi.

  • @rickykawacha9636
    @rickykawacha9636 4 роки тому

    Huyu kaka sigara yuko poa sana