Ona Mtoto wa Maunda Akilia Jeneza la Maunda Likishushwa Nyumbani, Uwoya, Babanana zoro msibani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 316

  • @janethndial5759
    @janethndial5759 2 роки тому +25

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢Mungu nataman nilee watt wangu mpka mwisho 😢😢😢😢😢😢😢😢Mungu inauma Bwana yesu

  • @carolinetanui2382
    @carolinetanui2382 2 роки тому +5

    Pole nyingi sana kutoka Kenya........

  • @vikimartin9441
    @vikimartin9441 2 роки тому +4

    Banana watoto hao uwalee katika njia impendezayo mungu.uwapeleke kanisani marakwa Mara wasikae kwenye simanzi Bali wamtukuze Mungu kwa yote.

  • @chriacuschanga8730
    @chriacuschanga8730 2 роки тому +6

    Jaman!!!! Mungu akutunzie watoto wako Maunda. 🙏

  • @claudiakanyembo5949
    @claudiakanyembo5949 2 роки тому +19

    I really can't bare to see a small child experiencing a mother death,it really break my heart. I have my little's one I don't really imagine theirs lives without me.rip dear woman.

    • @claudiakanyembo5949
      @claudiakanyembo5949 2 роки тому +2

      Nafsi ili uma janaaa, Nika isi kama ni mimi.akuna kitu kicho cost mzazi kama wanae!!I am among those who believe that spirit never dies!!she'll watch out from heaven!!

    • @sarahgodwin9520
      @sarahgodwin9520 2 роки тому

      Polen San😭😭

  • @neemalaizer8053
    @neemalaizer8053 2 роки тому +22

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 duh inauma had machozi yananimwagika jaman mtoto analia namna hyo jaman , mungu watie nguvu familia hii na watoto jaman , sio wakubwa kiukwel bado wadogo dah ! Nashidwa hata namna ya kueleza , njia yetu sote

  • @halimasaleh5705
    @halimasaleh5705 2 роки тому +10

    Innalillah wainnaillah Rajiuun ,Yaa Allah nisitiri na kizazi changu

  • @salomekiheka1972
    @salomekiheka1972 2 роки тому +1

    Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele humuagazie apumzike kwa amani amina😭😭😭😭😭

  • @frankfelix3876
    @frankfelix3876 2 роки тому +4

    Aaah imeniuma sana so sad tulikupenda dada yetu mungu akupe pumziko la milele Amen!! ✝️✝️🕯🕯🕯

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 2 роки тому +8

    Pumzika kwa amani Maunda, pole sana watoto na mume na familia nzima Mungu awape faraja.

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 2 роки тому +1

    Imeniuma sana hasa nikiangalia hawa watoto uwii kifo hakizoeleki yaan kama unakifaham pengine unaomba Mungu akuoneshe daah

  • @kellyngogo3319
    @kellyngogo3319 2 роки тому +2

    Raha ya Milele umpe Ee Bwana na Mwanga wa Milele umuangazie amina🙏

  • @begukulemosobe9685
    @begukulemosobe9685 2 роки тому +2

    Eh Mwenyezi Mungu mkuzie watoto wake ambao amewaacha duniani maana mama wa kambo ni kazi jamani

  • @emmadora7848
    @emmadora7848 2 роки тому +21

    Kuna walionyimwa akili wanacomment ujinga ujinga wao as if wao ni Mungu na wanaimiliki dunia ,kwa taarifa yenu Mungu ni wa wote na anatupenda wote na ndio maana alituweka wote chini ya jua na wote anatupatia mvua na jua ,jifunzeni kufuatilia yaliyo yenu ni bora ya wenyewe waachieni wenyewe ,umasikini umewajaaa kwa sababu mko busy kufatilia ya watu na kujiona mko sahihi sana ,ajuaje nani yuko sahihi ni Mungu pekee yake tulizeni mishono.

    • @kessyester2479
      @kessyester2479 2 роки тому +2

      Ni kweli kabisa tena ni mambwa wanaita wenzao makafiri wakat wao ndio makafiri mfyuu! yananikera mijitu ya namna hii hata kushiriki nao meza moja siwezi; mwezi huu unajifanya umefunga huku unamtuman mwenzako mwenye imani tofaut na yako huu ni utindio wa ubongo pyuuu.

    • @khadijamahmoud4365
      @khadijamahmoud4365 2 роки тому +1

      Hv hamjion kua makafiri kumwambia Mungu ana mtoto tena mtoto mwenywe pia ni Mungu. Jaman punguzen haya maneno hebu kaen mutafakar Mungu hana mwaka bali alileta wajumbe. Ss tunaamin Issa mwana wa Mariam ni MTUME WA MUNGU lkn si Mungu. MUNGU NI MMOJA HANA MSHIRIKA na huwezi kua muislam bila kumuamin Isaa au yesu ni MTUME WA MUNGU. hebu tafakarini

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 2 роки тому +1

      Tulieni nyie makafiri bhana,hamna chakwenu mbele za Mungu…Nyie wenu ni moto tu😂😂😜😜

    • @anithamollel8474
      @anithamollel8474 2 роки тому +3

      @@kassimrajabu7805 Usijione mtakatifu sana kwasababu uyo Mungu sio Baba ako mzazi useme anakushirikisha siri zake. Yan kama ni ukafiri bac kafiri wa kwanza utakuwa ni ww na kizazi chako

    • @anithamollel8474
      @anithamollel8474 2 роки тому

      @@kessyester2479 wao wana kazi ya kutuita makafiri wakati makafiri wa kwanza ni wao. Yan wanajiona kama vle Mungu ni binamu yao. Ndomana wanakazi ya kufuga majini wakiulizwa wanasema ni viumbe wa Mungu Mungu na majini ni wap na wap

  • @AshaaliSwaleh
    @AshaaliSwaleh 11 місяців тому

    Maunda she was a blessing in my life ,,,will always miss you my dear ❤❤❤❤

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 2 роки тому +1

    Mungu humuhidi amtakae , na hukumu zote ni zake , hakuna ajuae siri za muumba sote ni maamuma.

  • @wardw3022
    @wardw3022 2 роки тому +8

    😭😭😭😭😭 mtoto ameniliza kwa kweli duh ulipendwa Maunda Mungu kakupenda zaidi

  • @m8.x
    @m8.x 2 роки тому +9

    This is the saddest moment of the human being..r.I.p my sister

  • @musanasri2284
    @musanasri2284 2 роки тому +1

    Mungu amuweke mahali anapo stahiki mtt kanitoa machizi walahi kama mzazi

  • @jullymshashu856
    @jullymshashu856 2 роки тому +3

    Mwenyezi mungu awatie nguvu jmn huyu mtoto daah😭😭😭😭😭😭

  • @sylviermuhonjah8411
    @sylviermuhonjah8411 2 роки тому +1

    Kifo daa! Waongea Mara ghafla wazimika kaa mshumaa pole family

  • @Semnyawenda
    @Semnyawenda 9 місяців тому +1

    Wakristu tunaitwa makafir na waislam siku zote, sie tukiwadhihaki wao na kitabu chao kitakatifu wanatuua! Nashindwa elewa kwanini wanajipa umuhimu kuwa wao wasafi kuliko wengine, mungu hana hiyo jamani!

  • @saurathshafi6305
    @saurathshafi6305 2 роки тому +3

    Waaaah! Dunia si yetu hii haki ya Mungu 😩
    Yarabi tujaalie mwisho mwema 🙏

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 2 роки тому +1

    Jmn watoto wananiuma mm mwenzenu😭😭

  • @lalisaaaaaaa1004
    @lalisaaaaaaa1004 2 роки тому +1

    Mungu amweke mahali pema peponi

  • @alisaleh5863
    @alisaleh5863 2 роки тому +1

    Tujifunze, kupitia hii misiba, tuishi vle mungu anataka ili tupate amani ya milele tuendako.

  • @MaryMary-kq3nh
    @MaryMary-kq3nh 2 роки тому +1

    Mungu ablaze roho ya marehemu mahala pema peponi

  • @shakiraiddy4120
    @shakiraiddy4120 2 роки тому +1

    Msiba hauzoeleki haki ya mungu jeuri tunaonana mama anauma sana wallah 😭😭😭🙏🙏🙏

  • @antonianyambuka4860
    @antonianyambuka4860 2 роки тому +1

    Pole sana mtoto mzuri Mungu yupo nanyi siku zote

  • @latifamadai1716
    @latifamadai1716 2 роки тому +3

    Inallilah wainalilah rajighun Allah watie nguvu hao watoto nafamilia nzima kwa ujumla,.😭😭😭😭😭

  • @veronicasembo8341
    @veronicasembo8341 2 роки тому +1

    So sad kwa kwl watoto hao jmn

  • @williamkimweri2293
    @williamkimweri2293 2 роки тому +2

    Pumzika kwa aman maunda zoro mbele yetu nyuma yako

  • @Amina-xc8tl
    @Amina-xc8tl 2 роки тому +1

    ALLAH awajaalie subra kwa wingi, familia hasa kwa mtoto wetu😢wakat huu ngumu😭 it's so painful

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 роки тому

    Daa mqunda best angu daa mungu akutangulie jmn

  • @aminamkamba5406
    @aminamkamba5406 2 роки тому

    Polen sanaa Allah awstie nguvu

  • @zarinaathuman4839
    @zarinaathuman4839 2 роки тому

    Wananiliza sana hao watoto mungu awatie nguvu

  • @estermongi8987
    @estermongi8987 2 роки тому +4

    Lala maunda mungu awasimamie watoto wako

    • @hadijahamza7617
      @hadijahamza7617 2 роки тому

      Nmejikuta machoz yananitokq wallah msiba hua unauma hasa ukiona mtoto analia kwa uchungu km hivyo😭😭😭😭

    • @mikdadisudi5356
      @mikdadisudi5356 2 роки тому

      Shamsa mwanza pumzika kwa amani tulikupenda mungu kakupenda zaidi

  • @shomarathuman2328
    @shomarathuman2328 2 роки тому

    Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Amina

  • @hassanshangamwagona3758
    @hassanshangamwagona3758 2 роки тому

    Poleni Janani kazi ya mungu Haina makosa

  • @elizabethvictor8924
    @elizabethvictor8924 2 роки тому

    Pole sana wanangu Mungu awape nguvu pole kwa familia pia

  • @ernestmwakalambo3938
    @ernestmwakalambo3938 2 роки тому

    Kaz ya Mungu haina makosa, MUNGU airaza roho ya marehm mahala pema pepon Amina.

  • @loyceisaya1551
    @loyceisaya1551 2 роки тому

    Maunda pumzika kwa amani pia mwenyez mungu aipe ujasiri familia yke kwa ujumla

  • @happykibiki863
    @happykibiki863 2 роки тому

    Duu inauma poleni sana wapendwa

  • @farajaishebabi8089
    @farajaishebabi8089 2 роки тому

    Masikini mwenyewe alifanana na mwanae mnoo,Mungu akurehemu Maunda

  • @kagwilengaiza2050
    @kagwilengaiza2050 2 роки тому

    Pole ndugu na jamaa na watoto pia poleni jamani

  • @leahsamson9354
    @leahsamson9354 2 роки тому +1

    Pole mwanangu , mungu awape faraja, 😭😭😭

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +13

    Rest In Peace Maunda zorro, namuona huruma uyo mtoto 😢😭😭😭

    • @ashaomari7972
      @ashaomari7972 2 роки тому

      We nae saumu umejisahau kafiri haombiwi maghafira hyu we mckitikie 2 bac nakuwapa pole hao wafiwa.! ye acha akajipambanie na hali yake hko Allah atupe mwisho mwema Inshaallah🥰🥰

    • @zkiduku4068
      @zkiduku4068 2 роки тому

      @@ashaomari7972 Kuma weeee kafili mama ako mkundu wako weeeeee unazani mungu ndo ana akili kama zako

  • @Odama-dn7xy
    @Odama-dn7xy 2 роки тому +3

    R.I.P ma best artist maunda zorro

  • @williamkavuta8066
    @williamkavuta8066 2 роки тому

    Watu hawalii sana siku izi kama zaman...

  • @milliahachenya2749
    @milliahachenya2749 2 роки тому

    That boy is broken,woiiii too painful,am mourning with you guys

  • @zenasadick9876
    @zenasadick9876 2 роки тому

    Pole Sana familia

  • @vickydan2869
    @vickydan2869 2 роки тому

    Mungu ampokee salama Mwanga wa milele umwangazie ee bwana umsamehe makosa yake baba

  • @catherineamos7087
    @catherineamos7087 2 роки тому

    Pole Mtoto Mwenyezi Mungu awatie nguvu

  • @agnesskisima2249
    @agnesskisima2249 2 роки тому

    Mungu akupe pumziko lamilelee

  • @edwardbinya3761
    @edwardbinya3761 2 роки тому

    Machozi yananitoka tu kwakweli Mungu mkali Sana tumche Mungu maana tunaishi na kifo hata uwe mzima nafsi inaweza kuondoka

  • @hodhoj609
    @hodhoj609 2 роки тому

    Mbele yetu nyuma yake inalilah waina ileyi rajuhunah bro banana pole sana jikaze wewe ndo mama kwa hao watoto Mungu akupe nguvu broo

  • @madetekija6417
    @madetekija6417 2 роки тому

    Ni nyakati ngumu sana jmn mungu awatie nguvu nyoote

  • @anastaziaenock4094
    @anastaziaenock4094 2 роки тому

    Mungu wangu nimejikuta nalia mtoto alipokua analia ee Mungu wape faraja wafiwa

  • @obadiasapi459
    @obadiasapi459 2 роки тому

    Jamani mbonasielewi inamana maunda amekufa aundo mitandao inaongopa anaejuatalifahii naomba anijibu jamani mimißiamini kwasababu sinatalifakamahii naingia mtandaoni nakutananahii

  • @omarmtumwa3272
    @omarmtumwa3272 2 роки тому

    kumbe karitadi faida aliridhika na maisha ya dunia

  • @baltonmanjise7209
    @baltonmanjise7209 2 роки тому

    Pumzika kwa Aman Maunda sisi tulikupenda lakini mungu kakupenda zaidi

  • @mariamusamweri530
    @mariamusamweri530 2 роки тому

    Polena.bwana ametoa.bwana.ametwaa.jna.lake.lhmidiwe mungu awatie ngumv sote tumeumia maunda umeumalza.mwendo

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 2 роки тому

    Kijana mdogo kabisa masikini lkn mashalah angalia kiume mm nilikua na miaka 13 hata sijaweza kujikaza mm siri ya kifo hata haifahamiki

  • @syliviamgeta8131
    @syliviamgeta8131 2 роки тому +2

    Huyo mtoto jaman😭😭😭😭

  • @mariagodwin7669
    @mariagodwin7669 2 роки тому

    Duuh Poleni wanafamilia wote

  • @loycesiwila4550
    @loycesiwila4550 2 роки тому

    Mungu wangu jaman kifo kinaumiza Sana😥😥😥😥😥

  • @clarasenya5706
    @clarasenya5706 2 роки тому +1

    So Sad jmn 😢😭 Apumzike kwa Aman

  • @angelmassawe6655
    @angelmassawe6655 2 роки тому +1

    MUNGU awatie nguvu watoto

  • @jacklinemhadisa211
    @jacklinemhadisa211 2 роки тому +1

    Jaman mungu alaze mahali pema peponi😭😭😭

  • @maleek11flacko
    @maleek11flacko 2 роки тому +1

    Mungu aifariji familia❤

  • @khayratmhina3735
    @khayratmhina3735 2 роки тому +1

    Nimelia sana nikimuanfalia mtoto

  • @jeangodelo5349
    @jeangodelo5349 2 роки тому +1

    Duuuh 😭😭 apumzike kwa amani 🕯️🕯️

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 роки тому

    Daa wtt wadogo jmn ila ndo mipango yangu afadhal I ht wao wamemuona Kuna wengine ezaliwa tu na mama akafa

  • @patrickamos4006
    @patrickamos4006 2 роки тому

    RIP Maunda Zoro Mungu ampumzishe salama

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 2 роки тому

    Innalillah wainallah raajuuni allah ampe kauli sabinti amsamehe pale alipo kosea amin amiin

  • @jescajulius8023
    @jescajulius8023 2 роки тому

    Mungu nisaidie nilee mwanangu mpaka atakapokuwa na umr mkubwa

  • @mariam_719
    @mariam_719 2 роки тому

    تابع نجوم التيك توك فى مصر 🇪🇬

  • @Resudahexiaomianbao
    @Resudahexiaomianbao 2 роки тому

    R. I. P. Dada etu

  • @fatumajeremiha6349
    @fatumajeremiha6349 2 роки тому

    Jamanii jamanii mdogo wangu mungu akupe nguvu daaah kamelia kwa uchungu🙏🙏🙏🙏🙏

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 2 роки тому +13

    Innalilahiwanlarajinn mungu ampe kauli sabiti inshaallah mbele yake nyuma yetu

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 2 роки тому +10

      Samahani dada atampa nani kauli dhabit?aliesema hivyo hamuamini na dini yake kaikataa. Lkd yesu wake. Kauli Dhabi ni kwa waisilam tu tena walioitafuta hiyo kauli

    • @saidsam3053
      @saidsam3053 2 роки тому +6

      Thabit gan bwana mtu murtad bdo kaul thabit t

    • @zuberimohamedi255
      @zuberimohamedi255 2 роки тому +4

      Murtadi hapaswi kupewa maneno hayo,

    • @zuberimohamedi255
      @zuberimohamedi255 2 роки тому +3

      Inasikitisha familia mseto

    • @salhanassor5201
      @salhanassor5201 2 роки тому +5

      Kauli thabit tena?! Mbona unatuletea mageni nawewe nawe

  • @firdausrajabu6822
    @firdausrajabu6822 2 роки тому +2

    Huzuniii😭😭

  • @neyfathcharles2071
    @neyfathcharles2071 2 роки тому +1

    Mwanga wa milele amuuangazie ee bwana apumzike kwa amanai😭🙏

  • @rehemasaid6876
    @rehemasaid6876 2 роки тому

    Poleni Sana wanangu

  • @happinnesspius9854
    @happinnesspius9854 2 роки тому +1

    Mungu wangu najua ntakufa lakin naomba unipe muda nijiandae pia nije kukuza watt wangu

  • @laymashabani832
    @laymashabani832 2 роки тому +1

    Mh dunia mapito tena tunapita tukiwa wadogo sana 😭😭😭

  • @zainabuabilaijr2085
    @zainabuabilaijr2085 2 роки тому

    Allah ampunguzie adhabu ya kabul innalilah waina ilah raajuun🙏

  • @swabratmlonge1965
    @swabratmlonge1965 2 роки тому

    Mung akupe kauli thabit uwendako maraika her wakupe mwangaza wa milele

  • @ashaathuman1472
    @ashaathuman1472 2 роки тому

    Apumzike kwa amani

  • @maryamalhabsi4364
    @maryamalhabsi4364 2 роки тому

    Ooohhhh kifo jamani. Polee sanaaaa beby boys

  • @paulinafabiano2564
    @paulinafabiano2564 2 роки тому

    Inauma sana mungu ndo kapanga hatuna namna

  • @swahiliplaylistofficial8975
    @swahiliplaylistofficial8975 2 роки тому

    pole sana familiya ya maunda zoro

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 2 роки тому

    Masikini inauma sana uone kwa mbali tu

  • @hamadshembago7647
    @hamadshembago7647 2 роки тому

    R.i.p sister allah akupe kaul thabit 😥😥😥kifo ni fumbo kubwa hakika yapasa kujiandaa maana dakika inayofuata haitabirik allah atujaalie shahada siku ya mwisho 🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️😭😭😭inauma

  • @marymkyeniy3571
    @marymkyeniy3571 2 роки тому

    Inalilah wainalilah rajiuni

  • @veroncawaziri912
    @veroncawaziri912 2 роки тому

    Daah pumzk kwa Aman madam😢😢🙏🏼

  • @zenabali568
    @zenabali568 2 роки тому

    Inalila wainalila rajiun

  • @graceakinyi8448
    @graceakinyi8448 2 роки тому

    So sad wah..Alhamdulilah

  • @hawaabakari6005
    @hawaabakari6005 2 роки тому +3

    Innalilah wainnalillah rajiun bele yake nyuma yetu Allah ampe kauli tabithi amsamee dhambi zasiri na zadhairi huu ndio mwisho wetu Mungu wape nguvu familia yote 🤲🤲🤲

    • @neykweyamba1784
      @neykweyamba1784 2 роки тому +1

      Amiin ila kumbe Alibadiri dini akawa Mkirsto ili afunge ndoa na mzazi mwenzake😢😢😢 Uruma sanaa

    • @najmaulaya8819
      @najmaulaya8819 2 роки тому +1

      @@neykweyamba1784 yaan kafa.kafir😧😧😧😧😧😧😧😢😢😢😢😢

    • @mjukuuumachoz1599
      @mjukuuumachoz1599 2 роки тому +1

      @@najmaulaya8819 yaan mnashida ninyi et kafiri utazan mnajua mnapoelekea wakat din zote tumeletewa tu

    • @neykweyamba1784
      @neykweyamba1784 2 роки тому +1

      @@najmaulaya8819 Ndivyo my Afu kilicho mfanya Akijatimia Allah Atupe mwisho mwema jamani Dunia hii Sirorote😭😭😭

    • @najmaulaya8819
      @najmaulaya8819 2 роки тому

      @@mjukuuumachoz1599 alhamdulillah muslim

  • @naketizainabu7803
    @naketizainabu7803 2 роки тому +1

    So sad 😭😭

  • @zawadiissa7488
    @zawadiissa7488 2 роки тому

    kila hatua dua