KAJALA MSIBANI KWA MAUNDA KAFUNGUKA USHIKAJI WAO, KAJIBU HAYA KUHUSU HARMONIZE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 150

  • @chriacuschanga8730
    @chriacuschanga8730 2 роки тому +4

    Majibu mazuri sana Ma Paula... 👍 Pole Kajala

  • @tmamoshi3958
    @tmamoshi3958 2 роки тому +19

    Jamani kifo kitukumbushe kuacha dhambi na kumrudia Mungu maan hii dunia hakuna anayejua kesho yake hivyo tuache maringo na pia tusaidie wenzetu wasiojiweza ili tupate dhawabu mbinguni

  • @nairatykomba7962
    @nairatykomba7962 2 роки тому +13

    Yaaan waandishi ndo watu wakwanza wagombanishi mtu amekuja kwenye msiba mnamuuliza mambo mengine jamani ivi kwann mpo ivi kuweni na utaalamu wenu mlifundishwa heshimuni maeneo kila eneo lina jambo lake

  • @mwanahawarajabu1837
    @mwanahawarajabu1837 2 роки тому +3

    Kwenye macho bado umnapenda kondeboy

  • @cupaccionzae91
    @cupaccionzae91 2 роки тому +2

    All in all rest in peace 😭😭😭 and big up harmonize bakhalesa konde boy with kajala❤️❤️❤️❤️

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 2 роки тому +3

    Pole sana kwa familia
    Na ndugu marafiki wote
    Mimi simfahamu marehemu
    Lakini kifo hakina mwenyewe
    Wote tunaomboleza. .Mungu
    Ampumzishe kwa amani
    Amin.

  • @hashymharun9337
    @hashymharun9337 2 роки тому +3

    Yan mamake hakuna tabia inaniudhi kama hii ya waandishi watu wapo msiban mnaacha kuuliza maswala ya msingi mnauliza usenge

  • @jamessanga7120
    @jamessanga7120 2 роки тому +3

    we mpumbavu unae ulizia range msibani hovyo kabsa!

  • @gracelasoi3971
    @gracelasoi3971 2 роки тому +6

    Nimependa sana majibu Yako kwanza unaheshima sana kwa kheshim kilichowaleta, na kingine mkubalie tu kaka yet kind anateseka sana kwa ajili Yako huon had hajafunga ramadhani kwa ajila Yako 😭😭😭😭😭😭😭

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 2 роки тому

      Hajafunga Ramadhan kwa upumbavu wake msenge huyo… ushindwe kufunga kisa malaya?

  • @wardahrasheed3947
    @wardahrasheed3947 2 роки тому +3

    Wapuuzi sana hawa watangazaji maswali gan hayo unamuiliza kajana

  • @ynyynyyny
    @ynyynyyny 2 роки тому +14

    Nimrkupenda bure kajala kwa majibu yako mazuri, tupo kwaajiri ya maunda hapa na si mengineyo,

  • @dainessinnocent8873
    @dainessinnocent8873 2 роки тому +1

    Kajala nakushukulu kwakumkubalia hamonaizi bigapu Sana mdogowangu maisha yenyewe haya nimafupi tupendane Sana kajala huijuikesho .

  • @honestgroup2116
    @honestgroup2116 2 роки тому +2

    Aaah! Wajina vidoo unajua kaka duuh unampig mtu swali adi anachk mwenyw

  • @mataurabakari131
    @mataurabakari131 2 роки тому +24

    Ni aibu kwa waandishi wetu wa habari, nimependa sana majibu ya Kajala mnaacha kuuliza namna gani watamuenzi Maunda nyie mnauliza habari za range ni ujinga huo

  • @rehemagandi4912
    @rehemagandi4912 2 роки тому +2

    Waandish wa bongo hamnazo kbs,msiban ulizien yanayohusu msiban,mnachefua na kuboa sana waandish wengine

  • @medadilutama5351
    @medadilutama5351 2 роки тому +2

    Msiba uheshimiwe achen habar za mapenz msiban,!

  • @muktarmashukura950
    @muktarmashukura950 2 роки тому +6

    Mwijaku umefungua😞

  • @costalukeha9228
    @costalukeha9228 2 роки тому +1

    Kajala unasauti yakiume umemloga super star

  • @habibaally3892
    @habibaally3892 2 роки тому +4

    Vichekesho

  • @farhiyabona5784
    @farhiyabona5784 2 роки тому +2

    Mwijaku unatia aibu km in uchawa mwenzetu umezd kaaaaa baba huptwi!?

  • @josephlemu1212
    @josephlemu1212 2 роки тому +1

    Daaa honger xna uulizajii wa swaliii Millard ayoo mnajua😃😃🔥🔥

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 2 роки тому +10

    Hivi waandishi mtaacha lini huu upuuzi mnaacha mambo ya msiba mko buzy na huyo bibi

  • @habarikaonlinetelevision4142
    @habarikaonlinetelevision4142 2 роки тому +6

    Duh Kajala mwenyewe ndo huyo? Duh kabayaa ndo harmonize analilia

    • @christinemerere2117
      @christinemerere2117 2 роки тому

      😂😂

    • @khadijakdj8640
      @khadijakdj8640 2 роки тому +1

      Ww kwani yy anataka sura

    • @khadijakdj8640
      @khadijakdj8640 2 роки тому

      Sasa ingelikuwa ni uzuri tu wasingelikuwa wazuri wanadanga wengi waloolewa ni wale mnaosema wabaya lakini siyo wazuri unawopenda ww wazuri wengi ni vivutio vya watalii 🤣😂

  • @rashidyally8715
    @rashidyally8715 2 роки тому +4

    Baazi ya waandishi ni wapumbavu Sana Tena Sana Kama ni mtu mwingine unamuuliza maswali Kama hayo anakupiga kibao

  • @doreenkaiza9930
    @doreenkaiza9930 2 роки тому +2

    Kajala nakupenda sana

  • @BabuAli-mn5mk
    @BabuAli-mn5mk 2 роки тому +2

    Kwanini wasiwe wasitaarabu waheshimu misiba uyo dada hakwenda kwenye furaha ameenda kwenye msiba liangalieni hilo huyo kajala mukimuhitaji munampata sio munvizie kwenye misiba tubadilikeni jamaa

  • @fredanthony740
    @fredanthony740 2 роки тому +1

    Vidox yupo serious balaaa... Umekuja na range yako 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

  • @stn4873
    @stn4873 2 роки тому +3

    Utani hauna nafasi msibani tena ni haramu na ujinga ulio pindukia, kwa nini usitafakari yale anayo kwenda kukutana nayo mwenzako huko kaburini nawe ukaanza maandalizi?. Anapo kufa mmoja wetu ni wajibu wetu kutafakari, leo ni mwenzetu kesho ni mimi au wewe, zidisha mema, acha mabaya ili ukutane na Mola wako ukiwa salama.

  • @franksebastian3909
    @franksebastian3909 2 роки тому +3

    Waandishi wa bongo ni kichefuchefu tupu

  • @waytvtz2549
    @waytvtz2549 2 роки тому +2

    Mwajaku ana kiherere Sasa kumwekea kajala mkono ni mke wake

  • @jullykihuna8661
    @jullykihuna8661 2 роки тому +1

    Kumbe msiba mzima yupo kakata tu

  • @sylvestersylvester8613
    @sylvestersylvester8613 2 роки тому +2

    Kajala una kwama sasa mbona wewe humjibu harmonize

  • @Kudonjoshow
    @Kudonjoshow 2 роки тому

    Sasa uyumama mzee amakonde daaa nomaa uyu asingekua mtu marufu ata bule simtaki

  • @aminatanditse4987
    @aminatanditse4987 2 роки тому +1

    Jamani mmekuja msibani sio mapenzi msibani badala muwaze kusari mnawaza mapenzi mwenzenu katoka kumzika mwenzake na yeye kamfata mnawaza mapenzi Achane kujifanya ni malaika mnamuhudu mtu kama mungu

  • @zappe5528
    @zappe5528 2 роки тому +3

    Uyu vidox ni mpumbavuuu..

  • @loulumony8519
    @loulumony8519 2 роки тому

    Kajala pole san❤

  • @cisselamerverille5286
    @cisselamerverille5286 2 роки тому +2

    Huyo jamaa alievaa kapelo alivyo Kuja.. ameangalia MZIGO kwanza

  • @boccdastan7467
    @boccdastan7467 2 роки тому

    Mbn kajala wakawaida xn🤣🤣🤣au macho yang yananidangany hv huyu hyu mnauhakika ndo analiliw na konde🤣🤣

  • @emmanuelnzaligo6262
    @emmanuelnzaligo6262 2 роки тому +10

    Kajala jamani Dada yangu naomba umkubalie harmonize msanii wangu jamani kajala.

    • @habibaally3892
      @habibaally3892 2 роки тому

      Po

    • @habibaally3892
      @habibaally3892 2 роки тому

      A

    • @ramadhanimtetu7246
      @ramadhanimtetu7246 2 роки тому +1

      Emmanuel
      Acha Hizo Huyu Kajala nimeshapeleka
      Posa kwao Huyo Msaniii wako
      Mwambie Akaoe Wamakonde Wenzake
      au Watani zao Wandengereko hukoooo

    • @Burner_Acc
      @Burner_Acc 2 роки тому

      Msanii wako kivp unamlipa au yeye anakulipa wewe kumpa huduma?

  • @kennedydaudy2567
    @kennedydaudy2567 2 роки тому +1

    Waandishi wa habar Tanzania inabid waingie darasan ten kweny misib ya watu wanamuhoj MTU mahusian ten serekal embu wafatilie mamb kam haya

  • @annkim2690
    @annkim2690 2 роки тому

    Huku TZ ukiwa mzembe wakiroho tayari wachukuliwa misukule

  • @nameno8608
    @nameno8608 2 роки тому +1

    Maisha yetu ni mafupi poleni wafiwa Mungu amlaze pema peponi

  • @stanleymartin2943
    @stanleymartin2943 2 роки тому

    Apumzkie kwa amani🙏🙏🙏

  • @aminatanditse4987
    @aminatanditse4987 2 роки тому +1

    Wewe unasema kuhusu mwanao kwani ni uongo hana mambo ya ajabu ache mambo ya mitandao haya Levan amemuoa kamchezea kamuacha

  • @abbyalfred6249
    @abbyalfred6249 2 роки тому +2

    Ila Vido😆😆😆eti umekuja na range yako😂😂😂😂

  • @firdausqutty2067
    @firdausqutty2067 2 роки тому +4

    Waandishi wa habari hakili hamna hivi mnaona hapo nipakuongelea ujinga!!

  • @solangekubota9487
    @solangekubota9487 2 роки тому +1

    Harmonize, sasa ya mitandao ishiye apo apo muhusika uyu pale mbele yako kajala na Mwijaku karibu yenu ,tumesikilizana????

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 роки тому +1

    DADA KAJALA UMEONGEA VZL
    AITAKIW KUUCHUNA KWA MTU
    MWENZAKO UNAEMFAAM
    KUMCHUNIA SMS

  • @AliMohammed-lx7ys
    @AliMohammed-lx7ys 2 роки тому +4

    Hili jidada lina sura mbovu sana astakhfirullah

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 2 роки тому

      Jamani Muogope Mungu na malaika zake! Hee! Hata huogopi na upo kwenyewezi wa Toba??

    • @kakorejrboyz6447
      @kakorejrboyz6447 2 роки тому

      Sura mbaya

    • @fortunatemushi4943
      @fortunatemushi4943 2 роки тому

      Linatisha haswaaaaa

    • @luciasteven6441
      @luciasteven6441 2 роки тому

      ww siunawatoto wa kike au hauna maneno yanaish chunga kauli yko....ukute unashida hadi miguuni....unadhambi mpaka lkini unaangalia y mwenzio yko huyaoni....koma kabisa....kuwasema watu vibaya😏😏

    • @nuraynmakoya803
      @nuraynmakoya803 2 роки тому

      Ndo linapendwa sasa hilo sura huhuuuuuu

  • @fazilmalumalu2113
    @fazilmalumalu2113 2 роки тому +6

    Hizi snap zitakuja kuuwa wa kaka wawatu Na presha Bure, dada yangu hafanani Na picha zake hata kidogo

  • @mwahijasuleiman5062
    @mwahijasuleiman5062 2 роки тому +3

    Ama kweli akili ya binadamu ni kitendawili ! Kwahyo waandishi wa habari wa sikuhiz Wana mawazo mgando???? Aroo

    • @aziziabdalah781
      @aziziabdalah781 2 роки тому

      Walimfata ili wamuulize kuhusu harmo tu si kingine

  • @mzalendowaasili1727
    @mzalendowaasili1727 2 роки тому +1

    Naona huyu dada Mara nyingi harmonize ndo anampaisha Sana mjini

  • @khadijacharles2433
    @khadijacharles2433 2 роки тому +1

    Tuko msibani hapa

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 2 роки тому

    Kwan Vido Umetumwa

  • @giftyjohn3852
    @giftyjohn3852 2 роки тому

    Mimi nakupenda kwajili ya hamo

  • @MRRIGHT-iw3bq
    @MRRIGHT-iw3bq 2 роки тому +3

    REST IN PEACE

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 роки тому

    Mapenzi kwakweli ni dunia nyingine

  • @dismasstanslaus5985
    @dismasstanslaus5985 2 роки тому

    Kamaumegundua dada anajaribu kuruka e

  • @fj8317
    @fj8317 2 роки тому +1

    huyo mtangazaji wa ayo tv anazingua

  • @godfreykirutho2755
    @godfreykirutho2755 2 роки тому +1

    Wandishi mwache ushaa?

  • @remeckiusjoseph9390
    @remeckiusjoseph9390 2 роки тому

    Kwer maisha mafu p tupenane

  • @hashymharun9337
    @hashymharun9337 2 роки тому +1

    Vidox unaharibu career yako onaga na maswali ya kuuliza acha upumbavu

  • @angelakibwana3965
    @angelakibwana3965 2 роки тому

    Uyu kibibi nae anajikuta Nan kwan msewww

  • @joshuagolihama5390
    @joshuagolihama5390 2 роки тому +1

    Waandish wa habari wa mchongo ...

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 2 роки тому +1

    Munatupotezea mb zetu pumba fu

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 2 роки тому

    Dah bibi leo kaonekana kazi kwa sasa njomba nchumali aka Konde boy

  • @fj8317
    @fj8317 2 роки тому

    mna mdada mwenyewe usungi mweusi kazuri

  • @abasilihundu200
    @abasilihundu200 2 роки тому

    Sasa Paula imekujaje hapo, unajitahidi kumtafutia umaarufu

  • @brunokimaro1053
    @brunokimaro1053 2 роки тому

    Miandishi udakuni

  • @emanueljoseph828
    @emanueljoseph828 2 роки тому

    Pumzika kwa amani Hellen Maunda Zoro nilichogundua baadhi ya waandishi wanaishi kwa mikumbo na kufanya wenye weredi mzuri katika kazi nao thamani ya wenzao ishuke zaidi akili sahihi za mawazo katika kuhoji hakuna wanataka kuonekana wameongea bila kufikiri aina ya swali na geography ilivyo kujua kwanini yupo alipo na nini kimempeleka ili ajuze wasiokuwepo lenye umuhimu

  • @floraflora9490
    @floraflora9490 2 роки тому +1

    Kajala huyu na yule wa make up tofauti kumbe kilo mita zimesoma

  • @BabuAli-mn5mk
    @BabuAli-mn5mk 2 роки тому +1

    Kajala nakupa hongera umeenda msibani wanakuuliza maswali mengine kwa kweli dada umeongea kishujaa

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 роки тому +2

    Sasa mbona huyo demu mwenyewe sio mzuri ni mbaya hivyo, ana sura utafikiri ya baba yake sura ya kiume yaani kwa sura akiongozana na harmonize utafikiri wanaume wawili wameongozana , na demu ana chogo la kibantu na mdomo mkubwa haswa na ana kipara kwa mbali , kweli harmonize ameishiwa kama huko Tanzania mademu wenyewe ndio hao

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому

      😲😲Tu n'es pas gentil avec les femmes, mec !? 🙄🙄 Acha tabia hii ya kishamba, Guys kuwabeza na kuwadhalilisha Warembo! Kuwa Mstaarabu, Kaka ! Jifunze kwa Wazungu huko uliko, behave like a gentleman! Stop being frustrated! Tafuta girlfriend!

    • @hangimakina1263
      @hangimakina1263 2 роки тому

      Tatizo kalio lile

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 2 роки тому

      @@j.c.maxima816 ushamba unaujua wewe kilaza au unapayuka tu sasa niseme demu mzuri wakati ni mbaya tembea duniani uone mademu wazuri, choko wewe huna point yeyote ya kucomment unaona Wazungu ndio watu Mungu au unahadithiwa tu kuhusu ulaya, demu huyo mbaya kama ndio mademu wenyewe huko viroja🤮

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 2 роки тому

      @@hangimakina1263 hamna kitu hapo demu mbovu na sura la kiume anakata vibes, sijui wakati wa kulitomba inabidi ulifunike sura lake la kiume maana ni kama uko kitandani na mwanaume mwenzako, mmakonde ni mshamba hajui mademu wazuri

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому

      BEAUTY IS RELATIVE! Kisichokufaa wewe, kinamfaa mwingine! Tuheshimiane! Mi naona lugha yako kali sana towards Women! Wamekufanyia nini?!!!

  • @dullacambos3309
    @dullacambos3309 2 роки тому

    Pumzika kwaamani dd

  • @felistersmejumaa5188
    @felistersmejumaa5188 2 роки тому

    Lakini filter za saidia

  • @amanlenatus9067
    @amanlenatus9067 2 роки тому +3

    Mh ama kwel moyo ukipenda umependa sasa hapo harmonic amependa nini mbona anafanana na mwanamziki wa nyimbo za kisukuma huku RUNZEWE

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 2 роки тому

    Aya konde kulia kulia kajala huyo mmekutana msiban🤣🙏

  • @saidhassan7779
    @saidhassan7779 2 роки тому +3

    Hana UTI huyo Kajala jamanii??

  • @nellymatalanga5033
    @nellymatalanga5033 2 роки тому +4

    I don't think it's ok kwenda msibani kwa watu thn u starting interviewing people n asking them about their private stupid life .mko msibani jameni nkt mna udhi aki

  • @ABELVILTV
    @ABELVILTV 2 роки тому +1

    Chatting za inbox Nay wa Mitego, Roma Mkatoliki na Maunda hadharani waitana "Babe"
    ua-cam.com/video/WXe_KK2CqTM/v-deo.html

  • @habibaally3892
    @habibaally3892 2 роки тому +1

    HabibaaIly

  • @davidsalikoki6319
    @davidsalikoki6319 2 роки тому

    Ety ndo konde hasemi hafungi

  • @passonakimu2260
    @passonakimu2260 2 роки тому

    Kajala amegundua kuwa asilimia kubwa ya waandishi walipata four ya d mbili ndio mana wanauliza utumbo

  • @maestro_keysdcloopsbrand8372
    @maestro_keysdcloopsbrand8372 2 роки тому

    Sasa ilo lijamaa linatafuta nini hapo nyuma? Hahahahaha

  • @NadjibuAboubakar
    @NadjibuAboubakar 2 роки тому

    haka kanamtesa Hamo

  • @shishtommie264
    @shishtommie264 2 роки тому

    Kumbe ni filters hurembesha huyu mwanamke

  • @sofiadumba9792
    @sofiadumba9792 2 роки тому

    Glen lantan

  • @maishacenter-eastafricatv3976
    @maishacenter-eastafricatv3976 2 роки тому

    Mbona bibi kizee?🙄

  • @esterwakidunda6248
    @esterwakidunda6248 2 роки тому

    Vido kigaganizi 😂😂😂

  • @fredanthony740
    @fredanthony740 2 роки тому

    Vidox umekuja na range yako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @fredanthony740
    @fredanthony740 2 роки тому

    Vidox 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

  • @haniffa9024
    @haniffa9024 2 роки тому

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA
    *#*...*#*
    ua-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/v-deo.html

  • @naija6679
    @naija6679 2 роки тому

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA
    *#*#......
    ua-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/v-deo.html

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 2 роки тому

    Picha za Instagram za uongo

  • @haniffa9024
    @haniffa9024 2 роки тому

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA
    *#*...*#*
    ua-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/v-deo.html

  • @naija6679
    @naija6679 2 роки тому

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA
    *#*#......
    ua-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/v-deo.html

  • @djnajma5627
    @djnajma5627 2 роки тому

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA
    *#*#......
    ua-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/v-deo.html

  • @djnajma5627
    @djnajma5627 2 роки тому

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA
    *#*#......
    ua-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/v-deo.html