EXCLUSIVE: SHUHUDA wa Ajali Asimulia Mwanzo Mwisho Ilivyotokea Ajali ya Maunda Zorro hadi Kufa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • EXCLUSIVE: SHUHUDA wa Ajali Asimulia Mwanzo Mwisho Ilivyotokea Ajali ya Maunda Zorro hadi Kufa

КОМЕНТАРІ • 43

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 2 роки тому +8

    kujielezea jamaaa hajui kabisa... daaaah
    Apumzike kwa amani Dada yetu...

  • @mwasimbega8712
    @mwasimbega8712 2 роки тому +5

    Hajuii kujieleza maskin 😭

  • @neemalaizer8053
    @neemalaizer8053 2 роки тому +1

    Mungu mtie nguvu mume na familia ya zorro

  • @ablashaffy2860
    @ablashaffy2860 2 роки тому +2

    Kujieleza ni kipaj toka kwa Mungu

  • @Boaz22
    @Boaz22 2 роки тому +8

    Huyu jamaa kujieleza ni sifuriii,zero kabisa😅

  • @samwelabunuas625
    @samwelabunuas625 2 роки тому

    Daaa polen sana family kwa msiba

  • @taysonyelias5154
    @taysonyelias5154 2 роки тому

    Pole Sana

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 2 роки тому +2

    Jmn naona kama ndoto vile kifo ni fumbo 😭😭😭😭😭

  • @kazitembo4928
    @kazitembo4928 2 роки тому +1

    Rest in peace maunda 😭😭

  • @karaoglan9444
    @karaoglan9444 2 роки тому +1

    Mtu anapata ajali mnazingira gari?? Badala ya kusaidia kumuwahisha hospital mnaanza kumfunika chini!! Tunahitaji mafunzo ya huduma ya kwanza...

  • @barakalema4358
    @barakalema4358 2 роки тому

    Asee unajua nini ukishuhudia tukio baya huwezi ukawa sawa lazima utapanik sana pole bro

  • @bonnysure8706
    @bonnysure8706 2 роки тому

    Jamaa haeleweki Mara aliwashiwa full light sa akaovateki je akakutana na hiyo ya mchanga?

  • @hekimamtazamo4151
    @hekimamtazamo4151 2 роки тому +1

    Huyu jamaa ni muhaaaa kabisa blazaaa k kaja town ila wahaaaa mnanini lakiniii jamani

  • @barakakimambo4528
    @barakakimambo4528 2 роки тому

    Duuuh huyu jamaa kanichekesha sana

  • @mesakajohn7303
    @mesakajohn7303 2 роки тому +1

    Huyu ziro kabisaaàaaa

  • @saleemadhiyabalkhatri7800
    @saleemadhiyabalkhatri7800 2 роки тому +1

    Bwege hujui kuelezea sijuihatalinazungumza nini nasikia mchanga na pare pare pare ndioanalolijua kwenda bwegewewe

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 2 роки тому +1

    Jamaa hata simuamin kama alishuhudia ajali cz maelezo yake hayaeleweki

    • @زيتونتنزانيا
      @زيتونتنزانيا 2 роки тому

      Nikweli walikuwa vijana kama 3 wamekata. Maeneo ya sokoni pale kuna soko nahao vijana niwa bodaboda

  • @rizikladyherson8451
    @rizikladyherson8451 2 роки тому

    Kwan waogpa nn ebu punguza presha ukijieleza vizur utashikwa upelekwe polis kuwa mpole dogo ajar ajar nikama waogpa kipaza sauti inalillah waina ilayhi rajiun mungu akueke mahal pema ijapokua sikujui

    • @zumbeshauri8114
      @zumbeshauri8114 2 роки тому

      Yani kweli hadi anatia hasira kujielezatu shida

  • @queenhuu2852
    @queenhuu2852 2 роки тому

    Sijui hajasooma ata darasa moja au ndio kwanza Leo ykwnza kuekewa kipaza

  • @abdallahrashidi419
    @abdallahrashidi419 2 роки тому

    Very sad,hivi maunda ni muislam au mkristo?

  • @neemalaizer8053
    @neemalaizer8053 2 роки тому

    Hatukuwahi kusikia skendo zozote mbaya kuhusu wewe , ila wanadamu wanamaneno haijalishi watasema nn njia hyo uliyopita sasa ni yetu sote RIP

    • @neemalaizer8053
      @neemalaizer8053 2 роки тому

      😭😭😭😭😭😭😭 mungu amtie nguvu mume na familia ya maunda Zorro

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 роки тому

    Huyu aliota ndoto, sidhani kama alijipanga. Kuna shuhuda aliyetoa maelezo vizuri

  • @jacobmwalituke8981
    @jacobmwalituke8981 2 роки тому

    Hamna kitu hapa chenga tu

  • @halimarashid294
    @halimarashid294 2 роки тому +1

    Yani kuna watu hawajui kuelezea mbele anaeka nyuma kati anaeka mwisho haeleweki kabisaa kurudia maneno aseee. Anyway RIP MAUNDA.

  • @ssaa7495
    @ssaa7495 2 роки тому

    Shuuda ni mungu tu huyu hakuona kitu 😰😰😰

  • @nyamwekomatoke9951
    @nyamwekomatoke9951 2 роки тому +1

    Watu bana
    Mnataka ajielezejeee? Hapo alipo anakiwewe, kwahiyo Huwezi kujieleza ipasavyo kwasababu ya tukio aliloliona
    Bado liko kichwani mwake

  • @macksokaempire5233
    @macksokaempire5233 2 роки тому

    Mh sijaelewa

  • @remmyathanas84
    @remmyathanas84 2 роки тому +4

    Dah! Uyu kweli zero brain 🧠 anashindwa kuelezea tukio lilivyokuwa.RIP Maunda 🙏

    • @neykweyamba1784
      @neykweyamba1784 2 роки тому

      Acha dharahu huu ni umbaji wa Mungu kunawengine awawezi kujieleza

  • @sadabahla7120
    @sadabahla7120 2 роки тому

    Auelewiki kabisa

  • @mossassaid2683
    @mossassaid2683 2 роки тому

    Yaani hapo nikikuuliza wewe ulie fanya hilo zowezi ulikuwa kama nani
    Kama nchi iko na sharia wewe ndie ulie mmaliza naakesho pumbaav unuus

  • @zahratahmad7990
    @zahratahmad7990 2 роки тому

    Kwani huyu anaongea nini 😣

  • @arnoldbassu474
    @arnoldbassu474 2 роки тому

    Hivi huyu mhandishi wa habari anajua nachokifanya? anamuhoji mtu afu yuko busy na mtu mwingine pembeni...zero brain kabisa,hereni masikioni na zenyewe...hawa waandishi wa michongo hawa...balaa tupu...R.I.P Maunda

    • @stn4873
      @stn4873 2 роки тому

      Huyo ndio Simple the Boy🤣🤣🤣🤣🤣