Mume wa Maunda Zoro Amwaga Machozi Mbele ya Waandishi | Ajibu Kuhusu Ujauzito

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Mume wa Maunda Zoro Amwaga Machozi Mbele ya Waandishi | Ajibu Kuhusu Ujauzito

КОМЕНТАРІ • 169

  • @thedon8048
    @thedon8048 2 роки тому +13

    Ni ngumu sana kama imekutokea!!
    Hakika mungu akujalie nguvu ktk maumivu hayooo@RIP maunda

  • @giftkelvin7
    @giftkelvin7 2 роки тому +19

    This man has been facing a lot, I really feel sorry for him

  • @elizabethmgeni5839
    @elizabethmgeni5839 2 роки тому +11

    Pole sana kaka, Roho wa Mungu akufariji

  • @joshuamogoiombati1303
    @joshuamogoiombati1303 2 роки тому +3

    RIP Maunda Zorro 😭😭😭my condolences from her fans in Kenya. Poleni sana

  • @abigail3414
    @abigail3414 2 роки тому +17

    Ohh my tell me this is not true😢😢😢😢 been listening to maunda since back then up to date still have some of her songs in my playlist condolences to the family.... Am her fan from #254🇰🇪 rip maunda ♥️♥️

  • @mwanahamisbwanga1184
    @mwanahamisbwanga1184 2 роки тому +15

    Mpumzshen jaman. Kumuhoj uyu kaka. Amechokaa. Jaman anakidonda kikubwaa😭😭😭

  • @swahiliinspirations7953
    @swahiliinspirations7953 2 роки тому +3

    Hongera sana Kaka Kwa Moyo wa Ushujaa Ulionao.. Inauma sana lakini unajitahidi kuyastahimili Maumivu. Mungu akutie Nguvu

  • @ladislauslingwentu9670
    @ladislauslingwentu9670 2 роки тому +1

    Pole sana brother,poleni Sana wana ndugu!Mungu ampumzishe kwa Amani!Amina!

  • @hydo8027
    @hydo8027 2 роки тому +34

    Sasa watu wanalaumu media ivi bila ya hizi media ,,, hizi taarifa mungeziona wapi acheni zalau ivi munajua kazi ya muandishi wa habari ninyi😞

  • @elizabethgasper2606
    @elizabethgasper2606 2 роки тому +6

    I'm speechless!! RIP maunda!!

  • @jemedarikalimasi5754
    @jemedarikalimasi5754 2 роки тому +1

    Pole sana kaka yetu yote hii mipango ya mwenyezi mungu, sisi sote tunapitatu.

  • @emiliankatura1684
    @emiliankatura1684 2 роки тому +3

    Huyu jamaa ni jasiri sana,pole sana kwa msiba.

  • @ashabakke4733
    @ashabakke4733 2 роки тому +6

    Pole sana kaka yangu. Muombee tu mungu. R.I.P

  • @aishaomary4498
    @aishaomary4498 2 роки тому +3

    Pole sana Allah akutie nguvu inauma lakini hamna namna

  • @vumiliawambula1716
    @vumiliawambula1716 2 роки тому +1

    pole Sana ndugu Mungu akutiye nguvu

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 2 роки тому

    Pole saaana mme wa Elleni kuondokewa na mkeo na kaka yako pia Mungu akubariki,akujalie uwakuze wanao

  • @ahz6907
    @ahz6907 2 роки тому +6

    Pole sana bro.ila ungekaa mbali na vyombo vya habari.umhifadhi mkeo.
    Mteueni msemaji wa matukio yote ya huu msiba bila hivyo utasumbuka sana.

  • @khadijahemed9852
    @khadijahemed9852 2 роки тому

    ewe mungu wangu nakuomba iweke roho yake helen mahali pema peponi amina amina tumuombeeni dua kila siku tumeumia sana poleni sana famiia yake yote

  • @johnelmes1647
    @johnelmes1647 2 роки тому +1

    Pole Sana ndg yangu. Tumwombee apumzike Kwa Amani

  • @gabbyhenrgy1157
    @gabbyhenrgy1157 2 роки тому +10

    Ni kweli angepata msaada wa haraka angepona duh niliwahi pata accident 2015 nikiwa na IST niligongana na basi asee miguu tu ndo iliumia lkn uso na maeneo mengine hata mchubuko hakuna, lkn miguu ilikua imevunjika mara kadhaa, wasamalia wema walivunja kioo wakaniwahisha hospitali kwa mapenzi ya Mungu nilipona na kutembea vizuri aft 2yrs.

    • @aishajumanne2698
      @aishajumanne2698 2 роки тому +1

      Mashallah Allah is great...sali sana kwa ajilj ya Mungu wako na utoe sadaka..Mungu amekudhiirishia uwepo wake.asante Allah your the great .amina🙏 RIP MAUNDA.Allah hatukuki kwa aliempiga vita.please Allah forgive her n us.alhamdulilah.

    • @brownjulius8514
      @brownjulius8514 2 роки тому +1

      Pole sana kwa mapito uliopitia

    • @dulummi1095
      @dulummi1095 2 роки тому

      Pole sana

    • @abubakaryalmas7673
      @abubakaryalmas7673 2 роки тому

      Ahadi nayo siku ikishafika hakuna chakuzuia kikubwa tushukuru tu kwa yote japo kuondokewa kunauma

    • @henricamikambi6147
      @henricamikambi6147 2 роки тому

      Praise the Lord

  • @eliamichael8609
    @eliamichael8609 2 роки тому

    Pole sana kaka, daah najua inauma ila jipe moyo mungu ndo mpangaji wa kila kitu

  • @yotehapatv7705
    @yotehapatv7705 2 роки тому +6

    Kaka hayo maumivu sio mchezo kbsa, Bora aumwe tuuguze kuliko tyu gafra biniVuu😢.Tar 15 /12/21 nimempoteza namimi wakwangu kwa ajari ya bodaboda.😭😭😭😭

  • @sadasaid4408
    @sadasaid4408 2 роки тому

    Pole kaka Allah akupoze moyo wako pamoja na watoto na family

  • @jaklinsloni1537
    @jaklinsloni1537 2 роки тому

    Pole sana bro

  • @khadijahemed9852
    @khadijahemed9852 2 роки тому

    ewe mungu wangu nakuomba sanal msamehe helen

  • @mauwarashid4823
    @mauwarashid4823 2 роки тому

    pore sana kakaangu mungu_akutie_nguvu

  • @ashurahaji9115
    @ashurahaji9115 2 роки тому

    Pole sana kaka tunajua ulivyoumia

  • @mwajumabakari3730
    @mwajumabakari3730 2 роки тому

    Poleni sana Allha akufanyieni wepesi na awape subra

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 2 роки тому +2

    Pole sanaa kakaangu mungu akupe subrah
    Rip maundaaaaa🥲🥲🥲🥲💟💟💟💟

  • @ireneimbuhira7759
    @ireneimbuhira7759 2 роки тому +2

    Pole sana

  • @Kidotii
    @Kidotii 2 роки тому +1

    Polee kaka jamaniii!😭😭 Pole Pole poleee sana na watoto wadogo jamaniii

  • @samwelnevele1029
    @samwelnevele1029 2 роки тому

    Pole brother mungu akusimamie akupe nguvu kaka

  • @estherngowi8102
    @estherngowi8102 2 роки тому

    Pole Sana Kaka na familia yote kwa ujumla, Mungu kampenda zaidi

  • @joshuamwaipaja7616
    @joshuamwaipaja7616 2 роки тому

    Mungu akutie. Nguvu broh

  • @priscamhoja9490
    @priscamhoja9490 2 роки тому

    Kifo kiskie tyu jamn mungu amtie nguv hyu dada mungu n mwema

  • @elizabethmtweve1458
    @elizabethmtweve1458 2 роки тому

    Daah pole sanaa kaka,Mungu akutunze kipindi hiki kigumu

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 2 роки тому

    Pole sana kaka kwa msiba mkubwa mungu akufariji

  • @mghazamghaza3361
    @mghazamghaza3361 2 роки тому

    Pole sanaa kaka

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 2 роки тому

    Daaa jamani 😭😭😭pole sana kaka hakika kiatu chako ni kikubwa hata hakiwezi kunitosha Mungu wa mbinguni aendelee kukutia nguvu ktk kipindi hiki kigumu ulichonacho.R.I.P Maunda.

  • @mazibaonesmo3128
    @mazibaonesmo3128 2 роки тому

    polle sana kaka:::

  • @franciskavyega280
    @franciskavyega280 2 роки тому

    Poleni sana...

  • @delphinechrisemunguponyawa4615
    @delphinechrisemunguponyawa4615 2 роки тому

    Mungu awape ujasiri kwasababu pekeyenu sirahisi

  • @shamimushittindi1418
    @shamimushittindi1418 2 роки тому +5

    Waandishi hamna adabu sijui mkoje hivi mnakosaga maswali?muangalie na maswali na muda wa kuuliza

  • @sweet16honey75
    @sweet16honey75 2 роки тому

    Pole mdogo Mungu atakupa nguvu upate kulea watoto Rambi Rambi zangu kutoka kenya

  • @amanimyolo1478
    @amanimyolo1478 Рік тому

    Inna lillah waina ilaih rajiuun

  • @babaqueen5788
    @babaqueen5788 2 роки тому

    Dar pole sana

  • @marympango9247
    @marympango9247 2 роки тому

    Daaaaaa.......h. Mungu akutie nguvu... Kaka....jmn. ...anajikaza sana..lakin ..ni ngum sana..

  • @kelvinmakongo6005
    @kelvinmakongo6005 2 роки тому

    Pole sote wa Tanzania kwa msima wa msani wetu maunda

  • @teclamastone7098
    @teclamastone7098 2 роки тому

    Pole sana kakaangu

  • @bengalipascal3893
    @bengalipascal3893 2 роки тому

    Pole Sana baba yangu jikaze futa machozi mpendwa

  • @rehemaaxwesso4435
    @rehemaaxwesso4435 2 роки тому

    pole sanaa

  • @gabrielmoses6860
    @gabrielmoses6860 2 роки тому

    Pole kaka
    !!!
    Pole sana

  • @catherinecharles932
    @catherinecharles932 2 роки тому

    Eeeeh mungu akutie nguvu kaka pole sana sina lakusema kiukweli poleni sana

  • @reginamanyangu6682
    @reginamanyangu6682 2 роки тому

    Pole Sana kaka

  • @isomerdumelahisabati4832
    @isomerdumelahisabati4832 2 роки тому

    Mungu akutangulie

  • @aminatanditse4987
    @aminatanditse4987 2 роки тому

    Mungu akutie nguvu

  • @neemalaizer8053
    @neemalaizer8053 2 роки тому

    Kaka usijali mungu akutie nguvu kifo kipo na hakizoeleki kiukwel ila ikifika imefika tu zoote ni sabab ila kifo ili kikamilike lazima kiwe na sababu , kama ingekuw haijafik asinge fariki ila yote kwa yote ni njia ya wote na majaribu ni mtaji , hvyo mungu ampe kaka nguvu Amen

  • @innocentrichard9316
    @innocentrichard9316 2 роки тому +5

    ila media za bongo yan azijiheshimu kabsa..

  • @abubakaryalmas7673
    @abubakaryalmas7673 2 роки тому

    Brother pole sana msiba unauma hasa kwa mtu wa karibu Yani siwezi kuvaa viatu vyako najikuta machozi yananitoka tu 😢

  • @yassintaibrahim24
    @yassintaibrahim24 2 роки тому

    M/Mungu Pekee Ndiye Faraja Nguvu Na Tumaini Lako Kwa Sasa
    Pole Saana Kakaetu

  • @teddylameck3355
    @teddylameck3355 2 роки тому

    Mungu akutie nguvu kaka unaumia mno nahis maumivu maana nimewai kufiwa

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 2 роки тому

    Pole kaka

  • @salamakombo3257
    @salamakombo3257 2 роки тому +2

    Jamani munge muekea kiti presha jamani waandishi muwe munafikiria mwili mkubwa uyo mtu

  • @safiyashaban488
    @safiyashaban488 2 роки тому

    pore sana kaka

  • @hafsasaid9666
    @hafsasaid9666 2 роки тому

    Mungu awatie nguvu familiya

  • @yama_virginhairthequeen1065
    @yama_virginhairthequeen1065 2 роки тому +1

    Jmn jmn roho inauma watoto wake jmn

  • @charlottempangala3881
    @charlottempangala3881 2 роки тому

    Pole sana shemeji yetu

  • @alfredibrahim9251
    @alfredibrahim9251 2 роки тому

    Poleni Sana

  • @matridawilium9945
    @matridawilium9945 2 роки тому

    Pole

  • @familylove5417
    @familylove5417 2 роки тому

    Allah akupesubra pole sana

  • @hazrathassan1134
    @hazrathassan1134 2 роки тому +2

    Bac ata hanjif mnashindwa kumpa mhh

  • @elizabethmtweve1458
    @elizabethmtweve1458 2 роки тому

    Daah😭R I P dada maunda ,tulikua tunaufanyia sana mazoez Sanaa ule nafurahi kuwa nawe daah 😭😭😭

  • @Bintikisirani
    @Bintikisirani 2 роки тому

    Baba umeniliza ,sjui mm nikifa mume wangu,Mara ya mwsho nitakuwa nimeongea naye sjui lini maana hata nichelewe vipi home hapigi simu kuniulza mke wangu mbona kmya
    Yaan ataskia nishazikwa ,😭😭..mm sjuagi Kama wanandoa wanapgiana simu

  • @teklarichard6693
    @teklarichard6693 2 роки тому

    Pole Kaka😔

  • @lucymacha1853
    @lucymacha1853 2 роки тому

    Miandishi mingine ovyo kama Hilo lililoulizaujauzito halijielewi pole Sana kaka

  • @agimariavicent7562
    @agimariavicent7562 2 роки тому

    Pole sn kaka,Mungu akutie nguvu.

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому

    Poleni sana wafiwa wote.

  • @amoswankara3863
    @amoswankara3863 2 роки тому +1

    inasikitisha

  • @neemalaizer8053
    @neemalaizer8053 2 роки тому

    Kaka Mungu wa mbinguni akutie nguvu , kila jambo linasababu na hii ni safari ya wote

  • @benymwalu9111
    @benymwalu9111 2 роки тому +1

    RIP ,,,maundaa,, Mungu akupe moyo wa subla kaka.

  • @nimrodmareges3131
    @nimrodmareges3131 2 роки тому +1

    Mtu kafiwa na mke wake na yuko ukweni msibani bado wewe mwandishi wa habari unamuuliza et inasemekana haukuwa na mahusiano mazuri na marehemu???
    Hili linatoka wapi waandishi wa habari muwe na staa na maisha ya watu hasa panapokuwa na tukio la kuhuzunisha kama hii

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 2 роки тому

    Pole sana kaka angu😭

  • @juliethmaro4951
    @juliethmaro4951 2 роки тому

    Jamani mwacheni😭😭😭

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 2 роки тому

    Jamani muacheni huyu kakawatu apumzike msimuulize maswali ya ajabuajabu muacheni mapaparazi wetu bwana awe Namibia asiwe na mimba inahusu nini jamani da mpumzishen namaswali please🙏🙏

  • @mbonimsamimsamimboni8222
    @mbonimsamimsamimboni8222 2 роки тому

    Pole kaka 😭

  • @aymankhadija619
    @aymankhadija619 2 роки тому +1

    Mtu mnamwona kachoooka na msiba mnamuuliza maswali meengi...Akidondoka😐Si heri mngempa kiti basi akakaa kisha ndo mumuhoji...Mara mkewe alikuwa na mimba hiyo mimba mlimpa nyie😊

  • @barikiwa22
    @barikiwa22 2 роки тому

    😭😭😭

  • @zahratahmad7990
    @zahratahmad7990 2 роки тому +1

    Mwandishi mjinga kabisa

  • @beatricemrisho8431
    @beatricemrisho8431 2 роки тому

    Rip

  • @issamohamedissa8894
    @issamohamedissa8894 2 роки тому

    R.I.P MAUNDA

  • @dianamdaku9802
    @dianamdaku9802 2 роки тому

    😢so sad

  • @anithasanga6159
    @anithasanga6159 2 роки тому

    Ata kama walikuwa awaelewani jamani ndoa ya malaika iyo bado ni mke wake miaka kumi na tatu waandishi acheni kumuhoji mfiwa taarifa za umbea sio sawa

  • @paulinaanney6412
    @paulinaanney6412 2 роки тому

    Pole sana😭

  • @karaoglan9444
    @karaoglan9444 2 роки тому +1

    Kwanini huwa hamuharakishi ndoa mapema?? Unakaa na bint wa watu unazaa naye watoto watatu bado tu hufungi ndoa na mtoto wa watu?!? Why??

    • @queenandchill91
      @queenandchill91 2 роки тому

      Swali lako la kipumbavu wala halina mantiki yoyote wakati huu wa majonzi, hicho ndo umeona cha kuuliza!! non sense

  • @evancekessy592
    @evancekessy592 2 роки тому

    mnazingua kumuuliza mume wa marehem yan wakat amefiwa

  • @limymasele21
    @limymasele21 2 роки тому

    Kama mwamba alikuw keshatoa Mahali basi Marehemu alikuwa mke wake katika mila zetu

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 2 роки тому

    💔💔💔🙏it is well

  • @glorychristopher7283
    @glorychristopher7283 2 роки тому

    Jaman msiba usikupate usikie t sisi tuiiotokewa na msiba na watu wa karibu mno tunajua msiba unavyouma huo ndo ukweii msiba
    Unauma asikuambie mtu

  • @barakakings
    @barakakings 2 роки тому

    Pole sana Mume wa Marehemu

    • @agnesspaul1866
      @agnesspaul1866 2 роки тому

      Mungu ndo faraja kuu na sivinginevyo poleni wafiwa wore maumivu yake nayajua

  • @jacobnorbertchenga9465
    @jacobnorbertchenga9465 2 роки тому

    Kwenye ndoa au mahusiano ??