MZEE MAGOMA AMLIPUA ALI KAMWE KUJIUZULU, KURUJUANI IMEANZA KAZI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 129

  • @kayandaabwe2976
    @kayandaabwe2976 2 місяці тому +3

    Mzee mangoma bado anavaa jezi za 2020

  • @OmarySaidi-j1k
    @OmarySaidi-j1k 2 місяці тому +9

    Wana Yanga fanyeni mpango mumalizane na huyu Mzee Magoma huyu mzee ni noma sana

    • @nurdinadam7174
      @nurdinadam7174 2 місяці тому

      Noma gan hana madhara hy mchumia tumbo

    • @peterpain5594
      @peterpain5594 2 місяці тому

      Hatutaki kumalizana na uyu mzee

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 2 місяці тому +1

      Hata gsm mchmia tumbo

  • @friminershayo5325
    @friminershayo5325 2 місяці тому

    Mzee Magoma the best Yanga Africa Advisor ❤

  • @BarakaAmosi-gb4ve
    @BarakaAmosi-gb4ve 2 місяці тому

    Sawa. Eehe sawa bhna

  • @chikandajr.1051
    @chikandajr.1051 2 місяці тому +1

    Magoma we lazima tumalizane ulaloulalo 😂😂 umeanza kutepeta mapema hivi? tulia watu wakufinye we si muhuni 😅😅😅

  • @asiasued3655
    @asiasued3655 2 місяці тому +4

    Duuu nitaongea na njaa yangu kuliko kujizalilisha hv

  • @hashimlowela294
    @hashimlowela294 2 місяці тому

    Uzungumze nanani eti kurujuan imejibu acha njaa mzee😂😂😂

  • @Sugal67
    @Sugal67 2 місяці тому +1

    Magoma ameanza mbwa!mbwa!mbwa 😂😂😂😂

  • @StamMagessa-uo3hk
    @StamMagessa-uo3hk 2 місяці тому

    Yes magoma km nakuelewa hv

  • @YusufSasamalo-uz4ii
    @YusufSasamalo-uz4ii 2 місяці тому +2

    Akina Hersi hawamuwezi huyu aslan abadani, wakubaliane nae meaning tu

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 2 місяці тому +1

    Kweli mzalomo mzalamo tu mbona ally yupo sana umepotea mzee magoma

  • @johnriwa2854
    @johnriwa2854 2 місяці тому +13

    Mzee Magoma lazima alishakuwa lawyer ana bubujika na facts 😅

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 2 місяці тому

      Lawyer wa kutengeneza vitanda gerezani, Ushawahi ona lawyer wa darasa la saba

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 місяці тому +3

    Mambo hayo wakati mwingine mzee wangu unatakiwa kuachana nayo maana mpira ni furaha siyo ugomvi, rudi kwenye timu mwendeshe timu yenu kwa amani.

    • @gregory6165
      @gregory6165 2 місяці тому

      Aendeshe tim gani sasa😅

  • @oddoluambano2211
    @oddoluambano2211 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂 pole Mzee wa kulujuani

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 2 місяці тому

    Kamwe bado yupo sana!

  • @filbertntibasiga8093
    @filbertntibasiga8093 2 місяці тому

    Mzee achana na hayo mambo Dunia imeshabadilika

  • @samsonmwaipaja5231
    @samsonmwaipaja5231 2 місяці тому

    wew subili kesho

  • @seleerenest3650
    @seleerenest3650 2 місяці тому

    Mpuuzi huyo mzee

  • @brucardkomba616
    @brucardkomba616 2 місяці тому +10

    Wapigania haki, wanapondwa na wanaowapigania, WATU kama Magoma walistahili vyeo vkubwa nchi hii, ili kutengeneza misingi ya uzalendo.

    • @JJ-fb9jp
      @JJ-fb9jp 2 місяці тому +1

      Nyie kilomoni mlimpa cheo?

    • @emmanuelthomas1078
      @emmanuelthomas1078 2 місяці тому

      Huyo hata hapa mtaani kwetu hatujampa ubalozi au uenyekiti wa mtaa😮

    • @gregory6165
      @gregory6165 2 місяці тому +1

      Unda team yako muweke awe kiongozi

  • @salemarahbi9171
    @salemarahbi9171 2 місяці тому

    Allah Kamwe bado yupo sana acha kutisha watu mtu mzima kama hujiheshimu na watoto watakuzarau

  • @AlexErnest-ob7ce
    @AlexErnest-ob7ce 2 місяці тому +3

    Ww Mzee Hatukutaki Achana Nayangayetu kwanza.ww Nisimba Soyanga mnafiki mkubwa.ww

  • @HusseinKoja-ww7gi
    @HusseinKoja-ww7gi 2 місяці тому +2

    Mzee anauchungu na yanga ya zamani naona hata jezi inathibitisha hilo🤗

    • @peterpain5594
      @peterpain5594 2 місяці тому

      Unetisha sana

    • @HannanSomaiyah-wp7ny
      @HannanSomaiyah-wp7ny 2 місяці тому

      huyu mzee Kama huyu ni wakumpotezea tu Menopause zinamsumbua, hata ukimsikikiza anaonekana ana msongo wa mawazo 😏😏😏

  • @shafiimdogwa1482
    @shafiimdogwa1482 2 місяці тому

    Mzee Mangoma Umeyatimba

  • @MarwaMasurula
    @MarwaMasurula 2 місяці тому

    Ila we mungu anakuona unavyoihujumu timu

  • @happinessmwisse1152
    @happinessmwisse1152 2 місяці тому

    Koma siuliyataka mzee mzima akili ziroooo

  • @DesertTears
    @DesertTears 2 місяці тому

    Anatangaza uganga sasa😂😂😂😂😂

  • @user-pb3ub3gl4q
    @user-pb3ub3gl4q 2 місяці тому

    Mzee ameyakanyaga

  • @saadaluvanga7024
    @saadaluvanga7024 2 місяці тому

    Mzee magoma ni zaidi ya hatari.

  • @WilliamthomasManyili-zw7vk
    @WilliamthomasManyili-zw7vk 2 місяці тому

    Acha uchonganisha Mzee, unazdi maana unaanza kulalia kwenye siasa. Ama ndoo unataka kutumia umuhimili wa Rais wa nchi ili ujknge.

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 2 місяці тому

    hahahahah dah kurujuani hii dahh

  • @bensonpaul3672
    @bensonpaul3672 2 місяці тому

    Kweli tuache HAKI ijisimamie,ila mh, mzee ameanza kuona umuhimu wa mama,mzee ameanza kujifananisha na nyenyere na wengine amewaona kama Catapila, huku anadai wameitwa Polisi,du! ngoja tuone mwisho wake.

  • @paulmasunga1754
    @paulmasunga1754 2 місяці тому

    Kisheri una hela😂😂😂😂

  • @editoexzavery7143
    @editoexzavery7143 2 місяці тому +1

    Anakesi ya kujibu amefoji signature ya mama yetu kule Zanzibar

  • @LionKing-qk2vz
    @LionKing-qk2vz 2 місяці тому

    Alafu huyu mzee alivyo wa ajabu anachafua na imani za watu pasipo kujua, 😂😂😂 njaa iz dah

  • @SylivesterKilunga
    @SylivesterKilunga 2 місяці тому

    Kimyaaa mzee

  • @Mazimoroyal
    @Mazimoroyal 2 місяці тому +3

    Adi magoma ameendelea kuzeeka hujuma zitamuuq hahahah

  • @salemarahbi9171
    @salemarahbi9171 2 місяці тому

    Utakoma mbwa wee 😅😅

  • @ChristopherMichael-fk4nu
    @ChristopherMichael-fk4nu 2 місяці тому

    Malumbano hayatawafikisha popote, kaeni mwongee yaishe boli litembee

  • @damianmcba9525
    @damianmcba9525 2 місяці тому

    Wanamlipa vikwenzi hizo interview, Karibuni tu watamsahau,,, Vimedia ambavyo avina contents vipo vingi ss hivi wanamuona mzee ndio content

  • @mwajabuYusuph
    @mwajabuYusuph 2 місяці тому

    We mzeee endelea kujazwa ujinga na mabepariii wenzako wanakupotezaaa jifanye unajua kumbe unajiharibia

  • @ShafiiShabani-pu2vr
    @ShafiiShabani-pu2vr 2 місяці тому

    Acha kutishia watu kurujuani utatengenezwa vizuri tu na utajutia

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 2 місяці тому +1

    MZEE MAGOMA KAMATIA HAPO HAPO HAO NG'OMBE WA MAZIWA YAO MAJANI TU

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 2 місяці тому +1

    Mzee umeyatimba mwenzako juma mwambelo alifauru mipango yake kumpinduwa manji sasa ww umekuja kipindi kibaya sana wanayanga hawataki masihara. Wakikumbuka habari ya bakuli hawawezi kukuelewa na iyo sheria yako

  • @EDSONMHOWERA
    @EDSONMHOWERA 2 місяці тому

    nenda mahakamani

  • @LionKing-qk2vz
    @LionKing-qk2vz 2 місяці тому

    Kama utakuwa na sikio zuri utagundua njaa ilivyo mbaya sana

  • @bahatisube120
    @bahatisube120 2 місяці тому

    Lakini mzee MAGOMA ulimsikiliza mtoto wa mzee MWAMBELO? Mbona humjibu huyo. Hebu mjibu kwanza.

  • @AbdulrazakAbdallah
    @AbdulrazakAbdallah 2 місяці тому

    Umewakamata utopolo woooooote wanajambajamba

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 2 місяці тому +2

    Waandishi wa habari kumbe mnamletea bage huyo Magoma kisha ndiyo mnamuhoji wewe Mzee Magoma hiyo sio tim baba yako kuwa ndiyo urithi wako we Mzee Magoma hiyo ni tim sio dini hata dini unaweza kusilimu nini tim ya mpira unaweza mtu kuamuwa tu hakuna kosa watu wanatoka Chadema nini Simba au Yanga

  • @GadafSalum
    @GadafSalum 2 місяці тому

    Utafugwa mze ww njaa itakuponza

  • @JuliusMahinya-wl7mq
    @JuliusMahinya-wl7mq 2 місяці тому +1

    Tamaa mbaya, mwisho wa tamaa ni mauti!!! Majuto ni mjukuu!

  • @ManjaHisani
    @ManjaHisani 2 місяці тому

    Jezi mpya za simba

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 2 місяці тому

    Huyu mzee yupo sahihi kabisa ukweli huwa unachelewa lkn ukifika uongo unakaa pembeni

  • @dicksontimotheo7617
    @dicksontimotheo7617 2 місяці тому +2

    mimi niko na wewe mpaka upate haki yako

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 2 місяці тому

    Mpelekeeni magoma jezi mpya

  • @KishadaAbdilahi
    @KishadaAbdilahi 2 місяці тому

    😂😂😂😂

  • @Malack-p7j
    @Malack-p7j 2 місяці тому

    Magoma tv

  • @joshuamwambene2874
    @joshuamwambene2874 2 місяці тому

    Mzee usihofu siku ya Yanga day tutakupa Ugeni rasmi 😂😂😂😂

  • @denishegga8510
    @denishegga8510 2 місяці тому

    Inaitwa kikwanyule mkwanyule kwangu kwa Jina lingine

  • @JustinJuliusMangombe
    @JustinJuliusMangombe 2 місяці тому

    Kwani kila mwanachama akisema afanye anachotaka tutaweza kweli hebu we Mzee nenda mahakamani kesho mkayajenge kisheria nahiyo krujuani Yako

  • @emmanuelmsang3949
    @emmanuelmsang3949 2 місяці тому

    We mtangazaji huna watu wengine au unapenda matusi

    • @JabirJabir-c9o
      @JabirJabir-c9o 2 місяці тому

      Sawa mbona nyie mnamfirahia mchome kuihijumu simba.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 місяці тому +1

    Duu mbona kachoka hivyoo.

  • @marianamontoedi1318
    @marianamontoedi1318 2 місяці тому +1

    Magoma ni lipumbafu 2

  • @EdifonsSylvester
    @EdifonsSylvester 2 місяці тому

    Hivi mi nataka kuuliza hyu mzee ndio mwanachama pekee wa yanga mbona kama yanga anaimiliki yeye peke yake

  • @unuc4100
    @unuc4100 2 місяці тому

    Tulia usitafute pakuchomokea, hadi tumalizane.

  • @edwindavid7037
    @edwindavid7037 2 місяці тому

    Ovyoo hakuna fact yoyote hapo

  • @mazaramatucha
    @mazaramatucha 2 місяці тому

    Ndio waandishi wetu hawa.

  • @reubenmakalla745
    @reubenmakalla745 2 місяці тому

    Huo siyo mchezo. Mmemshitaki nani asiyekuwepo?

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 2 місяці тому

    Magoma we endelea tunakukubali...unatetea hoja zako

  • @ShabaniAmiri-tz3rl
    @ShabaniAmiri-tz3rl 2 місяці тому

    Mzee tutakutafuta tu labda ukae ndani tu kifo kinakuita hatukuachi

    • @Mwachuomo
      @Mwachuomo 2 місяці тому

      Unajua kumtishia mtu kifo nikosa kubwa sana kama kikimkuta ki2 uyu meze wapelelezi wataanza naww kupitia comment yako

  • @GoldenLwila
    @GoldenLwila 2 місяці тому

    Mchome wa yanga huyu

  • @HajiAbdalla-vm2jr
    @HajiAbdalla-vm2jr 2 місяці тому

    Haibadiri imeanza lukupata yampayana hiyo

  • @hamidjuma2178
    @hamidjuma2178 2 місяці тому

    Tuko pamoja baba

  • @samsonmwaipaja5231
    @samsonmwaipaja5231 2 місяці тому

    umekwisha magoma yanga selikali

  • @DicksonMwasiposya
    @DicksonMwasiposya 2 місяці тому

    Mbona we mwandishi humuulizi kuwa anaposema kundi la wachache wanakanyaga katiba sasa yeye magoma ana watu wangapi nyuma yake na kama anataka tumwelewe aende pale makao makuu akaongelee ili tuone wanaomsapot mbona kila siku anaongelea nyumbani kwake

  • @HajiAbdalla-vm2jr
    @HajiAbdalla-vm2jr 2 місяці тому

    Acha uongo mtu mzima

  • @maryfides591
    @maryfides591 2 місяці тому

    We babu hachana na mambo ya mpila umeishakuwa mtu mzima sasa.waachie vijana wafanye kazi

  • @JohnHaule-rc3nk
    @JohnHaule-rc3nk 2 місяці тому

    Ameanza kuwa mdogo

  • @estonsaimon6671
    @estonsaimon6671 2 місяці тому

    Anajipa madaraka as if yeye ndo final decision maker

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 2 місяці тому

    YANGA NI ILE ILE

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 2 місяці тому

    Mzee magoma anamaslai yake binafsi sio kwakuigombania ivi yanga

  • @AllyNakopa
    @AllyNakopa 2 місяці тому

    Huyu mzee chizi

  • @driss4957
    @driss4957 2 місяці тому

    JELA INAKUHUSU, KUFOJI NYARAKA, UMEZOEA WEWE KUISUMBUA YANGA, UNAPENDA KUUMIZA RAHA YA MAMILIONI...TENA WEWE NI SEGEREA TUUU...

    • @DennisFandi
      @DennisFandi 2 місяці тому

      Mbona hapelekwi mahakamani ashasema mpelekeni

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 2 місяці тому

    Hivi nyie hua mnakosaga watu wa kuwahoji???? Wacheni upuuzi wenu bhana upuuzi mtupu huo

  • @AsifuSule
    @AsifuSule 2 місяці тому

    Serikali haishindani na mtu mmoja ww ulikua uchukue jembe ukalime mambo ya mpira uwachane nayo

  • @abasiramashoo5026
    @abasiramashoo5026 2 місяці тому

    Wacha uwongo

  • @JosephDaudi-n5l
    @JosephDaudi-n5l 2 місяці тому

    Mzee kumayamkeo

  • @IddiHassan-mr3sb
    @IddiHassan-mr3sb 2 місяці тому

    Kumbe wazee wapo wapumbavu?

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 2 місяці тому

    Mzee magoma ukisema wao wamelisha unakosea sana ww ulienda mahakani ili iweje nakitu ujui usikubali kufanya mahujiano ndio unatoa siri zote tatizo ww mzalamo unaongea sana pia njaa inakutesa yanga yako wala sio yangu yanga nitaasisi kubwa na ktk taasisi lazima kuwa uwongozi ww unataka uwongozi sisi hatukutakutaki ww tapeli

  • @bakomungia9809
    @bakomungia9809 2 місяці тому

    Ongea kali za nguvu na kujiamini kama ulivyo anza kipindi kile.na unasema yanga wakae na ww wazungumzenini na ww.kesi siiko mahakamani nendeni mahakamani.akuna kukaa chini.ww unakadi ipi na ww sio mwanachama

  • @musamakuhana2200
    @musamakuhana2200 2 місяці тому

    Mzee anahojiwa vichochoroni tu unanipenda yanga wp pumbavu ww ww kwanza sio yanga upo upande wa pili kenge ww mzee sura ngumu mbaya ka dampo

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 2 місяці тому +2

    Huyu mzee anatufundisha kitu sisi vijana tuliozoea kuburuzwa kama mbuzi na wajanja wachache lakini na akili hatuna hatuelewi ila huyu mzee ni mwanapinduzi halisi mwenye kuhakikisha haki inapatikana na mambo yanaendeshwa kwa ufasaha

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 2 місяці тому +1

      Vijana wa leo kwa bahati mbaya kabisa ni watu walogeuka Kua Kua waoga na wenye kuabudu walofanikiwa , hakuna mtu anaehisi tajiri anakosea au boss , watu wakujikomba na kuabudu tu,

  • @LomTarakwa
    @LomTarakwa 2 місяці тому

    Nenda kajojiwe wewe acha uoga ndo ufungue akili

  • @gervasmihamboboniphace3720
    @gervasmihamboboniphace3720 2 місяці тому

    Mwamba huyo hapo

  • @emmanuelmsang3949
    @emmanuelmsang3949 2 місяці тому +1

    Wewe subil yukufunge msenge wewe

  • @GodsonkimeiGodson
    @GodsonkimeiGodson 2 місяці тому

    Tutakuweka ndan wewe

  • @AMOSEXAVERY-fm4qm
    @AMOSEXAVERY-fm4qm 2 місяці тому

    Mwandishi kama wewe unatia aibu taaluma hiyo.
    Yaani unaonekana wazi kwamba unalazimisha mambo Ili upate watazamaji.
    Waandishi kama wewe mnasababisha hii taaluma iwe ya hovyo kabisaa!!!

  • @JJ-fb9jp
    @JJ-fb9jp 2 місяці тому

    Mikwara

  • @WadhifHajji
    @WadhifHajji 2 місяці тому

    Mzee anataka apewe chapati mpumbavu halitaki kufanyakkazi lipenijezi licheze iviumokwenyetimu ya yanga yumo mtotowake fakos

  • @Shabani_Eka
    @Shabani_Eka 2 місяці тому

    Hivi hii chanel Mzee magoma anahisa au😂

    • @JabirJabir-c9o
      @JabirJabir-c9o 2 місяці тому

      Kwani simba inapochafuliwa na mchome mbona hamuongei.

  • @seydouside4081
    @seydouside4081 2 місяці тому

    Hijuwi kitu mzeee ..hivi Hawa mashekhe ..wanawaona watu wana chafua Aya za Allah wanawaangalia kulujuwani ndio nini..alafu mnawahakikishia a atu kuwa dini yetu ni ya kutumia majini..daaaaah babu muda umeenda pambania pepo yako..bwamzeee..