Matumizi ya Vanila Iliyochakatwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Tanzania Kijani:
    Bei ya Vanila ikiwa kijani ni tofauti na Vanila Nyeusi. Vanila Nyeusi na kimininika chake ‘Vanila Extract’ inauzwa bei ya juu kuliko Vanila Kijani. Hivyo Kampuni ya NEI iliyopo mkoani Kilimanjaro inatoa uhakika wa soko kwa wakulima wa Vanila mkoani Kilimanjaro kwa kununua zikiwa Vanila Kijani kisha kuzichakata hadi kuwa Vanila Nyeusi.
    Kwa mujibu wa maandiko ya kisayansi kuhusu afya na mimea yanasema mmea wa Vanila una matumizi mbalimbali kwenye tiba za asili.
    Mbali na Mmea wa Vanila kutoa ladha maarufu duniani kwenye viburudisho kama icecream, yogurt n.k. Pia mmea huu ni muhimu katika afya ya binadamu na katika maswala ya urembo.
    ________________________________
    Cameraperson: Justin Msechu
    Drone: Ahmed Mbaraka
    Writer and Producer: Anna Peter
    _____________________________
    Fatilia Kipindi hiki kila JUMAMOSI saa 12:30jioni na JUMATATU saa 3:00 asubuhi TBC1.
    #tanzaniakijani #mimea #uhifadhi #maendeleoenendelevu #vanila #tanzania #kilimanjaro #sustainabledelopment #conservation

КОМЕНТАРІ • 2