Utajiri wa Vanila |KILIMANJARO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Tanzania Kijani: Nimetembelea mkoa wa Kilimanjaro ili kufahamu historia ya Vanila inayolimwa mkoani humo.
    Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wametajirika kupitia zao hilo. Inasemekana kuwa kuna kipindi bei ya soko la dunia ikiwa nzuri, Vanila iliyochakatwa yaani 'Black Vanila' huuzwa mpaka laki 4 hadi 6 kwa kilo.
    ______________________________
    Camera: Justin Msechu
    Drone: Ahmed Mbaraka
    Written and Produced by Anna Peter
    _______________________________
    Fatilia kipindi hiki kila JUMAMOSI saa 12:30jioni na JUMATATU saa 3:00 asubuhi TBC1

КОМЕНТАРІ • 3